Saturday , 20 April 2024

Habari za Siasa

Habari za SiasaTangulizi

Akamatwa kwa kusambaza taarifa ‘JPM mgonjwa’

CHARLES Majura (35), fundi simu na mkazi wa Dar es Salaam, anashikiliwa na Jeshi la Polisi Mkoa wa Kinondoni, kwa madai ya kusambaza...

Habari za SiasaTangulizi

Polisi wamsaka Kigogo

  JESHI la Polisi Mkoa wa Kipolisi Kinondoni, Dar es Salaam linamsaka mwanaharakati anayejiita jina la Kigogo katika mtandao wa Twitter. Anaripoti Mwandishi Wetu,...

Habari za SiasaTangulizi

Chadema wahoji alipo Rais Magufuli, Majaliwa awajibu

CHAMA cha Demokrasia na Mandeleo (Chadema), kimeitaka serikali ya Tanzania kuvuja ukimya juu ya mahali alipo Rais John Magufuli. Anaripoti Mwandishi Wetu, Dar...

Habari za SiasaTangulizi

RC Chalamila: Nimezungumza na Rais Magufuli

  MKUU wa Mkoa wa Mbeya (RC), Albert Chalamika amesema, Rais wa Tanzania, John Magufuli yuko salama na anaendelea na majukumu yake kama...

Habari za SiasaTangulizi

Serikali yaanika mwelekeo wa bajeti, deni la taifa lazidi kupaa

  WAZIRI wa fedha na mipango wa Tanzania, Dk. Phillip Mpango amesema, serikali imekopa kiasi cha dola za Marekani 463.8 milioni (Sh. 1.1...

Habari za Siasa

Dk. Mpango ‘asaka’ dawa uvivu wa kulipa kodi

WAZIRI wa Fedha na Mipango, Dk. Phillip Mpango amesema, serikali iko mbioni kukamilisha utafiti kuhusu mwitikio mdogo wa walipakodi, kusajili biashara na uwazi...

Habari za SiasaTangulizi

Chadema yatimua wafuasi wengine wa Mdee

  WANACHAMA saba wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), mkoani Mara wamevuliwa uanachama huku watatu wakiwekwa chini ya uangalizi kwa muda wa...

Habari za SiasaTangulizi

Uteuzi wa Dk. Bashiri utata mtupu

  KATIBU Mkuu Kiongozi (CS) wa Tanzania, Dk. Bashiru Ally, ameibua utata mpya wa kisheria, kufuatia kuendelea kuhudumu katika wadhifa wake wa katibu...

Habari za Siasa

Msafara wa Makamu wa Pili wa Rais Z’bar wapata ajali, mmoja afariki

  MSAFARA wa Makamu wa Pili wa Rais Zanzibar, Hemed Suleiman Abdulla, uliokuwa njiani kuelekea Mkoa wa Kusini Unguja kwa ziara ya kikazi,...

Habari za SiasaTangulizi

Mrema: Mimi ni mzima

  MKURUGENZI wa Itifaki na Mawasiliano wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) nchini Tanzania John Mrema amesema, “mimi ni mzima wa afya.”...

Habari za SiasaTangulizi

Maajabu kaburi la Maalim Seif

  BAADHI ya watu wanaokwenda kuzuru kaburi la Maalim Seif Sharif Hamad (77), aliyekuwa Makamu wa Kwanza wa Rais Zanzibar, wanadaiwa kuchota mchanga...

Habari za SiasaTangulizi

Sakata la Mahindi Kenya Vs Tanzania: Zitto aonesha njia

  WAKATI Serikali ya Tanzania ikilalamikia hatua ya Kenya kuzuia mahindi yake kuingia nchini humo, Zitto Kabwe ameshauri diplomasia itumieke. Anaripoti Mwandishi Wetu,...

Habari za SiasaTangulizi

COVID-19: Prof. Lipumba ‘watu wana hofu’

  PROFESA Ibrahim Lipumba, Mwenyekiti wa Chama cha Wananchi (CUF) amesema, wataalamu na wanasayansi Tanzania wamekuwa na hofu ya kueleza hali halisi kuhusu...

Habari za Siasa

CCM ya tetea wazawa miradi ya ujenzi

  CHAMA Cha Mapinduzi (CCM), Mkoa wa Tabora kimeiomba serikali kuwapa kipaumbele wazawa katika miradi ya ujenzi nchini. Anaripoti Mwandishi Wetu, Tabora…(endelea). Kauli...

Habari za SiasaTangulizi

Maalim Seif aliacha siri nzito

  MANSOUR Yusuf Himid (53), mmoja wa wanasiasa machachari visiwani Zanzibar, ndiye aliyekuwa chaguo la kwanza la Maalim Seif Sharif Hamad, kutaka kurithi...

Habari za SiasaTangulizi

Katibu Mkuu mpya CCM huyu hapa

MJADALA wa nani atakayeshika nafasi ya Katibu Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), umeanza kushika kasi. Anaripoti Mwandishi Wetu, Dar es Salaam …...

Habari za Siasa

Mrithi wa Maalim Seif asisitiza umoja, mshikamo Z’bar

  MAKAMU wa Kwanza wa Rais wa Zanzibar, Othman Masoud Othman, amewataka wananchi visiwani humo, kudumisha umoja na mshikamano ambao ndiyo njia kuu...

Habari za SiasaTangulizi

Corona yatinga Z’bar, Rais Mwinyi: Imeathiri watu wetu

  RAIS wa Zanzibar, Dk. Hussein Ali Mwinyi, amekiri hadharani kuwa visiwa hivyo, ambavyo ni sehemu ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, vinakabiliwa...

Habari za SiasaTangulizi

Bandari ya Kigoma yaipiku Mwanza

  MKURUGENZI Mkuu wa Mamlaka ya Usimamizi wa Bandari Tanzania (TPA), Mhandisi Deusidedit Kakoko amesema, maboresho makubwa yaliyofanywa katika Bandari ya Kigoma yameanza...

AfyaHabari za SiasaTangulizi

Chadema: Serikali itoe taarifa sahihi za corona, chanjo

  CHAMA cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), kimeitaka Serikali ya Tanzania, kupima na kutoa takwimu za maambukizi ya virusi vya corona (COVID-19). Anaripoti...

Habari za SiasaTangulizi

Othman Masoud apitia njia ya Maalim Seif

  MAKAMO wa Kwanza wa Rais Visiwani, Othman Masoud Othman, ameonyesha kuwa ataendeleza kwa vitendo, matamanio na mwelekeo wa mtanguzi wake katika nafasi...

Habari za Siasa

Uchaguzi wa wanawake Chadema waingiliwa

HALIMA James Mdee, mmoja watu “waliodekezwa” ndani ya Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), hadi kujigeuza “mungu mtu,” anatajwa kutaka kujimilikisha baraza la...

Habari za SiasaTangulizi

Dk. Mwinyi amteua Dk. Mkuya, Nassor Mazrui

  RAIS wa Zanzibar, Dk. Hussein Mwinyi amewaingiza kwenye baraza lake la amwaziri Dk. Saada Mkuya Salum, Nassor Ahmed Mazrui na Omar Said...

Habari za Siasa

Waziri Majaliwa aitaka TPA kuongeza umakini

  KASIMU Majaliwa, Waziri Mkuu wa Tanzania, ameiagiza Mamlaka ya Bandari Tanzania (TPA), kuimarisha usimamizi wa mitambo ya mita za upimaji wa mafuta...

Habari za SiasaTangulizi

Mrithi wa Maalim Seif ataja ‘kilichombeba’

  OTHMAN Masoud Sharif, Makamu wa Kwanza wa Rais visiwani Zanzibar, ametaja mambo matatu yaliyombeba kuteuliwa katika nafasi hiyo. Anaripoti Mwandishi Wetu, Zanzibar...

Habari za Siasa

Bawacha yasitisha kongamano la siku ya wanawake duniani

  BARAZA la Wanawake wa Chama cha Demokarasia na Maendeleo (Bawacha), nchini Tanzania, limesitisha kongamano la ‘Siku ya Wanawake Duniani’ kitaifa, lililopangwa kufanyika...

Habari za SiasaTangulizi

Rais Mwinyi amwapisha mrithi wa Maalim Seif

  RAIS wa Zanzibar, Hussein Mwinyi, amemwapisha Othuman Masoud Othuman wa chama cha ACT-Wazalendo kuwa Makamu wa Kwanza wa Rais visiwani humo. Anaripoti...

Habari za SiasaTangulizi

Mrithi wa Maalim Seif aahidi haya

  OTHMAN Masoud Othman (58), Makamu wa Kwanza wa Rais Mteule visiwani Zanzibar, amewapa ahadi Wazanzibari. Anaandika Mwandishi Wetu…(endelea). Ahadi hiyo ameiweka kwenye...

Habari za Siasa

Dk. Mwinyi atoa fursa kwa wanahabari Z’bar

  RAIS wa Zanzibar, Dk. Hussein Mwinyi, amewataka waandishi wa habari visiwani humo, kuandaa namna bora ya kuunda sheria mpya ili kuimarisha sekta...

Habari za SiasaTangulizi

Rais Mwinyi ateua mrithi wa Maalim Seif

  RAIS wa Zanzibar, Hussein Mwinyi, amemteua Othuman Masoud Othuman wa ACT-Wazalendo kuwa Makamu wa Kwanza wa Rais visiwani humo, kuchukua nafasi ya...

Habari za SiasaTangulizi

Rais Mwinyi: Nileteeni anayefanana na Maalim Seif

  SIKU chache baada ya Maalim Seif Shariff Hamad (71), aliyekuwa Makamu wa Kwanza wa Rais visiwani humo kufariki dunia, Rais wa Zanzibar,...

Habari za SiasaTangulizi

Jina la mrithi wa Maalim Seif, lafikishwa kwa Rais Mwinyi

  KIONGOZI Mkuu wa chama cha ACT-Wazalendo, Zitto Zuberi Kabwe amesema, chama chake, tayari kimekabidhi kwa Rais wa Zanzibar, Dk. Hussein Mwinyi, jina...

Habari za SiasaTangulizi

Mrithi wa Maalim Seif, siri nzito

  MCHAKATO wa kumtafuta mrithi wa Maalim Seif Sharif Hamad, aliyekuwa Makamo wa Kwanza wa Rais Visiwani, umemalizika. Anaripoti Regina Mkonde, Dar es...

Habari za SiasaTangulizi

Rais Magufuli amuapisha Katibu Mkuu Kiongozi mpya

  DK. Bashiru Ally, aliyekuwa Katibu Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), ameapishwa rasmi kuwa Katibu Mkuu Kiongozi. Anaripoti Mwandishi Wetu, Dar es...

Habari za SiasaTangulizi

Dk. Bashiru: Nilipata taarifa za uteuzi mitandaoni

  DAKTARI Bashiru Ally, Katibu Mkuu Kiongozi amesema, taarifa za kuteuliwa kwake, kwa mara ya kwanza alizipata kupitia mitandaoni. Anaripoti Mwandishi Wetu, Dar...

Habari za SiasaTangulizi

Magufuli amteua Dk. Bashiru kumrithi Balozi Kijazi

  RAIS wa Tanzania, John Pombe Magufuli amemteua Dk. Bashiru Ally kuwa Katibu Mkuu Kiongozi. Anaripoti Mwandishi Wetu, Dar es Salaan … (endelea). ...

Habari za SiasaTangulizi

Saa 48 baada ya Maalim Seif kuzikwa

  Saa 48 baada ya kuzikwa kwa Maalim Seif Sharif Hamad (77), aliyekuwa Makwamu wa Kwanza wa Rais, wa Serikali visiwani Zanzibar, Taifa...

Habari za SiasaTangulizi

Manispaa Temeke matatani, Magufuli aagiza uchunguzi

  RAIS wa Tanzania, John Magufuli amenusa ufisadi wa Sh.19 bilioni, Manispaa ya Temeke, Mkoa wa Dar es Salaam na kuagiza Taasisi ya...

Habari za SiasaTangulizi

Mafao ya wastaafu: Magufuli awanyooshea kidole mawaziri “hamuwasiliani”

  TATIZO la wastaafu nchini Tanzania, kuchelewa kulipwa mafao yao, linasababishwa na baadhi ya mawaziri kutowajibika ipasavyo. Anaripoti Regina Mkonde, Dar es Salaam…(endelea)....

Habari za SiasaTangulizi

Chadema yatangaza mchakato mrithi wa Halima Mdee

  BARAZA la Wanawake wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Bawacha), limetangaza mchakato wa kuwapata viongozi wake ngazi ya juu, ikiwemo ya mwenyekiti...

Habari za Siasa

Mkurugenzi Jiji la Dar, ahamishiwa Kinondoni

  RAIS wa Tanzania, John Magufuli amempangia kazi, Sipora Liana kuwa, Mkurugenzi wa Manispaa ya Kinondoni, Dar es Salaam kuanzia leo Alhamisi, tarehe...

Habari za SiasaTangulizi

Sita wadakwa kwa utakatishaji fedha Bil 4.78

  WATU sita wamefikishwa katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu, jijini Dar es Salaam kwa madai ya utakatishaji fedha kiasi cha Sh. 4.78...

Habari za SiasaTangulizi

Rais Magufuli: Hatuchukii kukosolewa, ila kosoeni kwa staha

  RAIS wa Tanzania, Dk. John Pombe Magufuli amesema, serikali yake haikasirishwi na vyombo vya habari vinavyoikosoa, lakini ukosoaji huo, ni sharti uwe...

Habari za Siasa

Zungu amwambia JPM ‘barabara ni mbovu’

  MUSSA Azzan Zungu, Mbunge wa Ilala amesema licha ya manispaa hiyo kupandishwa kuwa Jiji, kuna barabara mbovu. Anaripoti Hamis Mguta, Dar es Salaam…(endelea)....

Habari za SiasaTangulizi

Mahakama yamwachia huru Mdee

  MAHAKAMA ya Hakimu Mkazi Kisutu, jijini Dar es Salaam, imemuacha huru mbunge Viti Maalumu (asiyekuwa na chama), Halima James Mdee. Anaripoti Regina Mkonde…(endelea)....

Habari za SiasaTangulizi

Magufuli alivunja Jiji la Dar, watumishi wake…

  RAIS wa Tanzania, John Magufuli, ameivunja Halmashauri ya Jiji la Dar es Salaam na kuipandisha hadhi Halmashauri ya Manispaa ya Ilala kuwa...

Habari za Siasa

JPM: Sitaki kisingizio cha corona

  RAIS John Magufuli ametaka miradi mbalimbali nchini kukamilika kwa wakati, na kwamba hataki kusikia imesimama kwa sababu ya corona (COVID-19). Anaripoti Mwandishi...

Habari za SiasaTangulizi

Kituo cha mabasi Magufuli, Daraja la Kijazi yaziduliwa

  RAIS wa Tanzania, John Magufuli amezindua Daraja la Juu la Ubungi na Kituo cha Mabasi yaendayo mikoani na nje ya nchi, Mbezi...

Habari za Siasa

Magufuli akumbusha machungu ya Waziri Mkuu Pinda

  RAIS wa Tanzania, John Magufuli amekumbusha ‘machungu’ ya Mizengo Pinda, aliyekuwa Waziri Mkuu katika Serikali ya awamu ya nne kuhusu bomoabomoa ya...

Habari za SiasaTangulizi

Magufuli kuvunja Jiji la Dar es Salaam

  JIJI la Dar es Salaam nchini Tanzania, linatarajiwa kuvunjwa ili kuokoa fedha zinazotumika kuendesha jiji hilo wakati halina miradi ya maendeleo na...

error: Content is protected !!