Tuesday , 23 April 2024

Habari za Siasa

AfyaHabari za Siasa

Tamisemi: Hospitali Biharamulo ilitengewa Mil 500

  HALIMASHAURI ya Wilaya ya Biharamulo, Kagera ilipatiwa kiasi cha Sh. 500 Milioni katika mwaka wa fedha 2019\20 kwa ajili ya kuanza ujenzi...

Habari za Siasa

Rais Samia, Spika Ndugai wateta Ikulu

  RAIS wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan, amefanya mazungumzo na Spika wa Bunge la nchi hiyo, Job Ndugai. Anaripoti Matilda Peter, Dodoma …...

Habari za Siasa

DED Sengerema asimamishwa kazi

  MKURUGENZI wa Halmashauri ya Wilaya ya Sengerema, Magesa Mafuru, amesimamishwa kazi ili kupisha uchunguzi wa tuhuma za ubadhirifu wa fedha za miradi...

Habari za SiasaTangulizi

Natamani kurudi nyumbani – Lema

  GODBLESS Lema, aliyekuwa Mbunge wa Arusha Mjini (Chadema) ambaye kwa sasa anaishi uhamishoni Canada amesema, anatamani kurejea nyumbani. Anaripoti Mwandishi Wetu, Dar...

Habari za Siasa

Natamani kurudi nyumbani – Lema

  GODBLESS Lema, aliyekuwa Mbunge wa Arusha Mjini (Chadema) ambaye kwa sasa anaishi uhamishoni Canada amesema, anatamani kurejea nyumbani. Anaripoti Mwandishi Wetu, Dar...

Habari za Siasa

Rais Samia ateua viongozi nane

  RAIS wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan, amefanya uteuzi wa viongozi mbalimbali nane. Anaripoti Mwandishi Wetu, Dodoma … (endelea). Taarifa iliyotolewa na Mkurugenzi...

Habari za Siasa

Rais Samia aiomba benki ya dunia…

  SAMIA Suluhu Hassan, Rais wa Tanzania, ameiomba Benki ya Dunia (WB), kuendelea kushirikiana katika kujenga uchumi utakaogusa makundi yote ya jamii ili...

Habari za SiasaTangulizi

Rais Samia kuhutubia Bunge Alhamisi

  RAIS wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan atahutubia Bunge la nchi hiyo, Alhamisi jioni ya tarehe 22 Aprili 2021. Anaripoti Mwandishi Wetu, Dodoma...

Habari za Siasa

Rais Samia amwapisha Mdolwa kuwa Balozi

  RAIS wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan Yusuf Tindi Mndolwa kuwa Balozi. Anaripoti Mwandishi Wetu, Dodoma … (endelea). Mdolwa, ameapishwa leo Jumatatu, tarehe...

Habari za Siasa

Bilioni 42 kulipa fidia wananchi Chalinze

  SERIKALI ya Tanzania imesema, Sh.42.3 bilioni zimetengwa ili kulipa fidia kwa wananchi waliopisha miradi wa kusafirisha umeme kutoka Kinyerezi na Bwawa la...

Habari za SiasaTangulizi

Rais Samia aonya wabunge “jadilini bajeti”

  SAMIA Suluhu Hassan, Rais wa Tanzania, amewaonya wabunge wanaojikita kumlinganisha yeye na aliyekuwa Rais John Pombe Magufuli, akiwataka kufanya kazi ya kibunge...

Habari za Siasa

Mchengerwa atangaza neema kwa watumishi

  WAZIRI wa Nchi, Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora, Mohamed Mchengerwa, ameitaka Idara ya Uendelezaji Rasilimaliwatu ya...

Habari za Siasa

Rais Samia afanya uteuzi mwingine

  SAMIA Suluhu Hassan, Rais wa Tanzania, amemteua Yusuf Tindi Mndolwa kuwa Balozi. Anaripoti Kelvin Mwaipungu, Arusha … (endelea). Pia, Rais Samia amemteua...

Habari za Siasa

Majaliwa atoa msimamo uendelezaji Dodoma

  WAZIRI Mkuu wa Tanzanua, Kassim Majaliwa amewatoa hofu Watanzania kuhusu kuendelezwa kwa Makao Makuu ya nchi Dodoma akisema, Serikali imeweka mfumo mzuri...

Habari za Siasa

Utatuzi Masheikh wa Uamsho wanukia

  OTHMAN Masoud Othman, Makamu wa Kwanza wa Rais Zanzibar, ameahidi kuendelea juhudi zilizofanywa na mtangulizi wake Hayati Maalim Seif Shariff Hamad na...

Habari za Siasa

Rais Samia ateua wasaidizi wake 9

  RAIS wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan, amefanya uteuzi wa viongozi mbalimbali kwenye ofisi yake akiwemo, Juma Selemani Mkomi kuwa katibu wake. Anaripoti...

Habari za SiasaTangulizi

Dk. Hoseah ashinda urais TLS

  DAKTARI Edward Hoseah, ameibuka mshindi wa urais wa Chama cha Wanasheria wa Tanganyika (TLS). Anaripoti Regina Mkonde, Arusha … (endelea). Uchaguzi huo,...

Habari za Siasa

Mgogoro wakulima, wafugani Ruaha kufika tamati

  UTATUZI wa mgogoro wa muda mrefu kati ya wakulima na wafugaji wanaozunguka Hifadhi ya Taifa Ruaha, upo mbioni kuanza. Anaripoti Mwandiahi Wetu,...

Habari za Siasa

Wabunge waenda bungeni kwa bodaboda

IMEBAINIKA kwamba, baadhi ya wabunge wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, wamekuwa wakienda kwenye vikao vya bunge kwa kutumia usafiri wa...

Habari MchanganyikoHabari za Siasa

Ujenzi, Madini meza moja na Barrick

WIZARA ya Ujenzi na Uchukuzi, imeeleza kwamba itakaa meza moja na Wizara ya Madini pia Kampuni ya Barrick ili kujadili ujenzi wa Barabara...

Habari za SiasaTangulizi

TLS waanza kumsaka rais wao

  WANACHAMA wa Chama cha Wanasheria wa Tanganyika (TLS), wameanza kujitokeza katika zoezi la upigaji kura kuchagua viongozi wa ngazi za juu za...

Habari za Siasa

Askofu Gwajima aeleza kiini cha nchi kukwama

  ASKOFU Josephat Gwaji, Mbunge wa Kawe, Dar es Salaam amesema, Afrika ikiwemo Tanzania haziwezi kuendelea kwa kuwa, hazina utaratibu wa kuendeleza agenda...

Habari za Siasa

Nape: Kukosoa ni silaha, si udhaifu

  NAPE Nnauye, Mbunge wa Mtama (CCM), amesema kwa mujibu wa chama hicho, tabia ya kukosoa na kujikosoa ni silaha ya mapinduzi na...

Habari za Siasa

Shule sasa kuvuna maji ya mvua

  WIZARA ya Maji kwa kushirikiana na Tawala za Miko ana Serikali za Mitaa (TAMISEMI), watakutana kuweka mkakati wa kuhamasisha shule kujenga gata...

Habari za Siasa

Prof. Lipumba: Rais Samia alenge Tuzo ya Mo Ibrahim

  PROFESA Ibrahim Lipumba, Mwenyekiti wa Chama cha Wananchi (CUF), amemshauri Rais Samia Suluhu Hassan, katika utawala wake kulenga Tuzo ya Mo Ibrahim....

Habari za Siasa

Mbunge CCM aivimbia serikali

  NICODEMUS Maganga, Mbunge wa Mbogwe kupitia Chama Cha Mapinduzi CCM), amegomea majibu ya serikali, kwamba jimboni kwake serikali imechimba visima virefu vya...

Habari za Siasa

Prof. Kabudi: Elimu ya sheria kutolewa nchini

PROFESA Palamagamba Kabudi, Waziri wa Katiba na Sheria amesema, serikali ina mpango wa kutoa elimu ya sheria kwa makundi yote ya kijamii ili...

Habari za Siasa

CAG apekua BoT

  FEDHA zilizotolewa Benki Kuu ya Tanzania (BoT) na kutumika kati ya Januari na Machi mwaka huu, zimeanza kuchunguzwa. Anaripoi Mwandishi Wetu, Dar...

Habari za Siasa

Hayati Magufuli atetewa bungeni

  LIVINGSTON Silinde, Mbunge wa Mvumi (CCM), ameeleza kukerwa na watu wanaomsema vibaya Hayati John Magufuli. Anaripoti Danson Kaijage, Dodoma … (endelea). Amesema, anashangazwa...

Habari za Siasa

Ndege tatu mpya kutua nchini

  NDEGE tatu zitatua nchini muda wowote baada ya Serikali ya Tanzania, kukamilisha malipo ya ununuzi wa ndege hizo tatu. Anaripoti Danson Kaijage, Dodoma … (endelea)....

Habari za Siasa

Tutaenzi maono ya Rais Magufuli – Waziri Majaliwa

  KASIM Majaliwa, Waziri Mkuu wa Tanzania amesema, serikali itaenzi na kuendeleza jitihada, maono na juhudi za aliyekuwa Rais wa Awamu ya Tano,...

Habari za Siasa

Wavuvi kicheko, TAFICO kufufuliwa

  SERIKALI imeeleza, ipo kwenye mpango wa kufufua Shirika la Uvuvi Tanzania (TAFICO). Anaripoti Mwandishi Wetu, Dodoma … (endelea). Kauli hiyo imetolewa leo...

Habari za Siasa

Tozo za bandari kupitiwa upya

  SERIKALI imeeleza, kwamba itafanya vikao na wadau wa bandari ili kuangalia tozo zinazotozwa baada ya kulalamikiwa na wananchi. Anaripoti Mwandishi Wetu, Dodoma...

Habari za Siasa

Mdee ageukwa, Spika Ndugai ‘aokoa’ jahazi

  WABUNGE wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), ama wamemchoka Halima Mdee, mbunge asiye na chama bungeni au wamekerwa na kauli yake, aliyosema ‘kuna...

Habari za SiasaTangulizi

Rais Samia atoa ujumbe wa Ramadhani

  RAIS wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan, amewataka Waislamu wote nchini humo, kutumia kipindi hicho, kufanya toba na kuiomba nchi hiyo. Anaripoti Mwandishi...

Habari za Siasa

Spika Ndugai amjibu Mbowe

HOTUBA ya Freeman Mbowe, Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), ‘imemkera’ Spika wa Bunge, Job Ndugai. Anaripoti Mwandishi Wetu, Dodoma…(endelea). Kwa...

Habari za Siasa

Mzee Mwinyi: Rais Samia ameanza vizuri, tumsaidie

  Rais wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan amefanya mazungumzo na Rais Mstaafu wa awamu ya Pili wa nchi hiyo, Ali Hassan Mwinyi huku...

Habari za Siasa

Mto Ruvuma kuzalisha umeme

  MAJI ya Mto Ruvuma, yapo kwenye mpango wa serikali kutumika kuzalisha umeme. Anaripoti Mwandishi Wetu, Dodoma … (endelea). Kauli hiyo imetolewa na...

Habari za Siasa

Upembuzi barabara Kinyata kukamilika Sept

  KAZI ya upembuzi wa barabara ya Barabara ya Kinyata kutoka Nyamagana – Usagara, jijini Mwanza yenye urefu wa kilomita 22, inafanyika ili...

Habari za Siasa

Ni miaka 37 kicho cha Sokoine

  EDWARD Moringe Sokoine, aliyekuwa waziri mkuu wa Tanzania, amefikisha miaka 37 tangu alipofariki dunia, Alhamisi ya tarehe 12 Aprili 1984, katika ajali...

Habari za Siasa

Mbowe ataja mambo mawili magumu ya JPM

  FREEMAN Mbowe, Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), amesema atamkumbuka aliyekuwa Rais wa Awamu ya Tano wa Tanzania, Hayati Dk....

Habari za Siasa

CCM, wastaafu watakiwa kutubu

  CHAMA cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema),  kimewataka viongozi wastaafu na walioko madarakani wa Chama Cha Mapinduzi (CCM)  na wa serikali, kuwaomba radhi...

Habari za Siasa

Chadema wabisha hodi Ikulu

  FREEMAN Mbowe, Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), amesema chama hicho kimemwandikia barua Rais Samia Suluhu Hassan, kuomba kukutana naye....

Habari za Siasa

Chadema kuanza operesheni nchi nzima

  CHAMA cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), kimesema kinakusudia kuanza operesheni nchi nzima. Anaripoti Regina Mkonde, Dar es Salaam…(endelea). Akizungumza na Watanzania kupitia mitandao...

Habari za Siasa

Iundwe Tume ya Majaji ifanye uchunguzi – Zitto

  ZITTO Kabwe, Kiongozi wa Chama cha ACT-Wazalendo, amemshauri Rais Samia Suluhu Hassan kuunda Tume ya Majaji, ili kuchunguza fedha ‘zilizolipwa’ na watuhumiwa...

Habari za Siasa

Askofu Kinyaiya: Rais Samia ana busara

  ASKOFU Mkuu, Jimbo Kuu la Katoliki Dodoma, Beatus Kinyaiya, amemtaja Rais Samia Suluhu Hassan kwamba ni kiongozi shupavu, mkakamavu, jasiri, mtenda haki,...

Habari za Siasa

Zitto aanza kufukua makaburi

  KIONGOZI wa Chama cha ACT-Wazalendo, Zitto Kabwe amesema, Taifa linalipa gharama ya kuendesha nchi gizani. Anaripoti Mwandishi Wetu, Dar es Salaam…(endelea). Zitto...

Habari za SiasaTangulizi

Zitto amuomba radhi CAG Kichere

  ZITTO Kabwe, Kiongozi Mkuu wa Chama cha ACT-Wazalendo, amemuomba radhi Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za SerikalI (CAG), Charles Kichere kufuatia...

Habari za SiasaTangulizi

Lissu, Prof. Assad wapenyeza ‘sms’ Ikulu

  TUNDU Lissu, Makamu Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) na Prof. Mussa Assad, aliyekuwa Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali...

Habari za SiasaTangulizi

Rais Kenyatta atuma ujumbe Tanzania, Samia atoa maagizo

  RAIS wa Tanzania, amewataka mawaziri na wataalamu wa Tanzania na Kenya wanaounda Kamati ya Ushirikiano wa Pamoja, kukutana mara moja ili kufanyia...

error: Content is protected !!