Habari za Siasa

Gwajima kukiona, Dk. Slaa kutelekezwa

IKIWA ni siku mbili tangu kutangazwa kwa mshindi wa mbio za Urais 2015, na siku moja tangu John Magufuli kukabidhiwa cheti maalumu cha ushindi watu wanaodaiwa kuwa ni usalama wa ...

Read More »

Magufuli akumbushwa kuleta Katiba Mpya

ASASI mbalimbali za kiraia (AZAKI) zimemtaka Rais Mteule, John Magufuli kuhakikisha analeta Katiba Mpya ili kubadirisha maendeleo ya nchi na kuondoa matatizo mbalimbali yanayotokana na mfumo mbovu wa katiba ya ...

Read More »

Mahakama yawang’ang’ania Vijana Chadema

WASHITAKIWA nane wamefikishwa mahakani kwa kosa la jinai ya kukusanya matokeo ya uchaguzi Mkuu wa Urais mwaka huu ya Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) na kuyachapisha kupitia mitandao ya ...

Read More »

Wakazi Kijitoupele wakosa kura ya mbunge

WAKAZI wa Jimbo la Kijitoupele, Visiwani Zanzibar wameshidwa kupiga kura ya mbunge kutokana na kutokuwepo karatasi yenye majina ya wabunge wanaopaswa kupigiwa kura. Anaandika Pendo Omary …(endelea). Wanaogombea katika jimbo ...

Read More »

CCM yapuuza msiba wa Dk. Makaidi

VIONGOZI wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) wamepuuza kushiriki katika ibada ya kuaga mwili wa aliyekuwa Mwenyekiti wa Chama cha Nation Legue For Demokracy (NLD), Dk. Emmanuel Makaidi kwenye Ukumbi wa ...

Read More »

Mbowe anazushiwa

CHAMA cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), kimeshangazwa na tuhuma za uongo na uzushi zilizotolewa na baadhi ya vyombo vya habari dhidi ya Mwenyekiti wa chama hicho Freeman Mbowe za kuhamisha ...

Read More »

JK ashitakiwa UN, ICC

CHAMA cha Demokrasia na Maendeleo Chadema kimemshitaki Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Jakaya Mrisho Kikwete. Anaandika Josephat Isango … (endelea). Akizungumza na waandishi wa habari mapema leo mchana ...

Read More »

Ukawa yatangaza kituo cha kutoa habari za Uchaguzi

UMOJA wa Katiba ya Wananchi (Ukawa) leo umezindua rasmi ukumbi maalum wa vikao na utoaji taarifa mbalimbali zinazohusu masuala ya vyama hivyo vinavyounda umoja huo. Anaandika Hamisi Mguta … (endelea). Akizungumza ...

Read More »

Dk. Makaidi kuzikwa kesho

MWILI wa aliyekuwa Mwenyekiti wa Chama cha National League for Democracy (NLD) ambaye pia alikuwa mgombea ubunge Jimbo la Masasi mkoani Mtwara, Dk. Emmanuel Makaidi aliyefariki Alhamis, wiki iliyopita, unatarajiwa ...

Read More »

Deo Filikunjombe buriani

ALIYEKUWA mbunge wa jimbo la Ludewa ambaye anatetea kiti hicho katika uchaguzi wa Oktoba 25, Deo Filikunjombe amefariki dunia katika ajali ya helikopta. Anaandika Faki Sosi … (endelea). Pia Kapteni ...

Read More »

‘Toroka Uje’ yashika kasi, Mwapachu naye atoroka CCM

ALIYEWAHI kuwa Katibu Mkuu wa Jumuiya ya Afrika Mashariki na Kada wa Chama cha Mapinduzi (CCM), Balozi Juma Mwapachu leo ametangaza kujivua uanachama wa chama hicho kutokana na chama kupoteza ...

Read More »

Mwili wa Dk. Kigoda kuwasili kesho

MWILI wa marehemu Waziri wa Viwanda, Biashara na Masoko, Dk. Abdallah Omar Kigoda unatarajiwa kuwasili nchini kesho saa 9 mchana. Anaandika Pendo Omary … (endelea). Dk. Kigoda alifariki dunia jana saa ...

Read More »

Waislam wasiyumbishwe kuhusu Lowassa

SHEIKH Khalifa Hamisi, muislam maarufu nchini ambaye siku hizi anajitokeza kuzungumzia masuala ya kisiasa akijitambulisha kuwakilisha Taasisi ya Imam Bukhar, ametakiwa kuacha kuwagawa Waislam kwa kauli za kichochezi wakati huu ...

Read More »

Kampeni jimbo la Arusha zasimama kupisha msiba

KAMPENI za wagombea Ubunge jimbo la Arusha Mjini zimesimama kufuatia kifo cha Mgombea Ubunge wa chama cha ACT-Wazalendo, Estomiah Mallah aliyefariki usiku wa kuamkia leo katika hospitali ya KCMC iliyopo ...

Read More »

Mch. Mtikila apumzishwa

MWILI wa aliyekuwa muasisi na mwenyekiti wa chama cha Democratic Party (DP) Mchungaji Christopher Mtikila, umepumzishwa kijijini kwake, Ludewa mkoani Iringa. Anaripoti Regina Mkonde … (endelea). Mtikila alifariki dunia Jumapili iliyopita ...

Read More »

Magufuli atiwa ‘changa la macho’ Dodoma

MGOMBEA urais wa Tanzania kupitia Chama Cha Mapinduzi (CCM), Dk. John Magufuli amedanganywa kuhusu mwenendo wa mtu aliyejitambulisha kwa viongozi wa CCM kuwa ni kiongozi katika Chama cha Demokrasia na ...

Read More »

Kigaila awachimba mkwara polisi Dodoma

MGOMBEA ubunge jimbo la Dodoma Mjini kupitia Chadema, Benson Kigaila amelitaka jeshi la polisi kufanya shughuli za kwa kufuata misingi ya kisheria na wasikubali kutumiwa na wanasiasa. Anaandika Dany Tibason, ...

Read More »

Mwili wa Waziri Kombani kuzikwa J’tatu Morogoro

MWILI wa aliyekuwa Waziri wa nchi, Ofisi ya Rais Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Mbunge aliyemaliza muda wake katika jimbo la Ulanga Mashariki mkoani Morogoro, Celina Kombani unatarajiwa kuwasili ...

Read More »

ACT-Wazalendo waunga mkono utafiti Twaweza

CHAMA cha ACT-Wazalendo kimekubaliana na matokeo ya utafiti yaliyotangazwa jana na Taasisi ya Twaweza. Utafiti huo ulihusu maoni ya wananchi kuelekea Uchaguzi Mkuu wa Oktoba 25 mwaka huu. Anaandika Sarafina ...

Read More »

Lowassa amtingisha JK

NI Lowassa kina kona. Kuanzia kwenye mikutano ya hadhara, sherehe za harusi, msiba, usafiri wa daladala, meli na ndege, jina la Edwad Lowassa, mgombea urais kupitia Umoja wa Katiba ya ...

Read More »

Chadema yamvaa Bulembo

KAULI ya Mwenyekiti wa Jumuiya ya Wazazi ya Chama Cha Mapinduzi (CCM), Abdallah Bulembo kwamba “CCM haitafanya makosa kukabidhi Ikulu kwa wapinzani” imezua mjadala. Anaandika Faki Sosi … (endelea). Bulembo ...

Read More »

Mbowe awaumbua Ghati, Nyambabe

MWENYEKITI Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) ambaye pia ni mwenza wa vyama vinavyounda Umoja wa Katiba ya Wananachi (UKAWA), Freeman Mbowe amesema, wanaoleta chokochoko ndani ya umoja huo walitaka ...

Read More »

Chadema kumburuza Dk. Magufuli kortini

CHAMA cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) kimepanga kumshitaki mgombea wa urais wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Dk. John Magufuli kwa madai ya kutumia vibaya nembo za chama hicho. Anaandika Sarafina ...

Read More »

NCCR kindakindaki UKAWA – Wadhamini

CHAMA cha NCCR-Mageuzi kimewakana viongozi wake wa juu akiwemo Katibu Mkuu, Mosena Nyambabe, waliotoa msimamo wa kushutumu mwenendo wa Umoja wa Katiba ya Wananchi (UKAWA) waliosema unakiua chama hicho. Anaandika ...

Read More »

Diwani wa Chadema kizimbani kwa kujeruhi

DIWANI wa kata ya Ubungo anayemaliza muda wake kwa tiketi ya Chadema, Boniface Jacob leo amepandishwa kizimbani katika Mahakama ya Kisutu, akituhumiwa kumpiga na kumjeruhi mwandishi wa habari wa gazeti ...

Read More »

Umoja wa Wazazi wajinadi kuipa ushindi CCM

UMOJA wa Wazazi wa CCM Tanzania, wamedai watahakikisha Mgombea Urais kwa tiketi ya CCM, John Magufuli anakuwa rais wa serikali ya awamu ya tano ya Tanzania. Anaandika Hamisi Mguta … ...

Read More »

Wafuari wa Chadema wafikishwa kizimbani

WANACHAMA wanne wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), wamepandishwa kizimbani jana katika Mahakama ya Wilaya ya Dodoma Mjini wakikabiliwa na mashtaka manane ya shambulio la kudhuru mwili kwa kutumia ...

Read More »

Gwajima: Dk. Slaa basi tena

ASKOFU Mkuu wa Kanisa la Ufufuo na Uzima, Josephat Gwajima amesema Dk. Willibrod Slaa ametekwa na mke wake Josephine Mushumbusi na haiwezekani kumtoa. Anaandika Sarafina Lidwino … (endelea). Gwajima amesema ...

Read More »

Chama cha TPP chapigwa ‘stop’ kufanya kampeni

OFISI ya Msajili wa Vyama vya Siasa Tanzania kimetoa onyo kali kwa Chama cha Tanzania Peoples Part (TPP) kutoshiriki katika shughuli zozote za kisiasa zinazoendelea nchini. Anaandika Faki Sosi … ...

Read More »

Kubenea kumvaa Dk. Slaa

NIMEMSIKILIZA kwa makini, Dk. Willibrod Slaa, aliyekuacha Ukatibu mkuu wa Chadema na katibu wa Umoja wa Katiba ya Wananchi (UKAWA) akizungumza katika mahojiano na kituo cha telebisheni cha Star TV. ...

Read More »

UKAWA walia rafu za CCM, wamchana Masaburi

UMOJA wa Katiba ya Wananchi (UKAWA) umelalamika rafu wanazofanyiwa na Chama Cha Mapinduzi (CCM), huku zikifumbiwa macho na vyombo vya dola, pamoja na Tume ya Uchaguzi. Anaandika Sarafina Lidwino … ...

Read More »

Maoni ya Watanzania juu ya kauli ya Dk. Slaa

BAADA ya kutolewa hotuba ya aliyekuwa Katibu Mkuu wa Chama Cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), Dk.Willbrod Slaa wananchi wa mji wa Dodoma wamepokea hotuba yake kwa mlengo tofauti. Anaandika Dany ...

Read More »

Lowassa hajavunja utaratibu – Mbatia

MWENYEKITI Mwenza wa Umoja wa Katiba ya Wananchi (UKAWA), James Mbatia amesema mgombea urais wa Tanzania anayewakilisha Umoja wa Katiba ya Wananchi (UKAWA), Edward Lowassa amelazimika kuzungumzia suala linalohusu watuhumiwa ...

Read More »

Chadema Monduli yapata viongozi wapya

BAADA ya mvutano wa viongozi wa juu wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) uliotokea hivi karibuni katika wilaya ya Monduli kwa viongozi hao kuachia ngazi hatimaye chama hicho kimepata ...

Read More »

Mfumo mbovu wa uteuzi chanzo cha matatizo CCM

BAADHI ya wanachama wa Chama cha Mapinduzi CCM wameulalamikia mfumo wa uteuzi ndani ya chama hicho na kudai kuwa ni mbovu na umekisababishia chama hicho kujikuta katika matatizo. Anandika Dany ...

Read More »

Prof. Mwandosya amchana Mkapa

MWANASIASA mashuhuri nchini, Prof. Mark Mwandosya, amemtolea uvivu, Rais mstaafu Benjamin Mkapa. Anaripoti Mwandishi Wetu … (endelea). Prof. Mwandosya ambaye alikuwa mmoja wa wagombea urais wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) ...

Read More »

Bodaboda: Tunatumiwa na wanasiasa

UONGOZI wa waendesha bodaboda jijini Dar es Salaam umekiri kutumiwa na wanasiasa katika harakati zao za kisiasa. Anaandika Sarafina Lidwino … (endelea). Akijibu swali la mwandishi wa Mwanahalisionline aliyetaka kujua ...

Read More »

James Mbatia: Hatuondoki UKAWA

CHAMA cha NCCR-Mageuzi kimesema hakuna namna kinaweza kujitenga na ushirikiano na vyama vitatu vilivyounda Umoja wa Katiba ya Wananchi (UKAWA). Mwenyekiti wa chama hicho, James Mbatia amesema “Mimi na chama ...

Read More »

Joseph Butiku: CCM inanuka

MKURUGENZI Mtendaji wa Taasisi ya Mwalimu Nyerere, Joseph Butiku amesema wanachama wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) wanahama kutokana na chama hicho kunuka kwa kuendesha mambo kimizengwe. Anaandika Pendo Omary … ...

Read More »

Waziri wa JK kuburuzwa mahakamani

WAZIRI wa Afrika Mashariki, Dk. Harrison Mwakyembe, aweza kufikishwa mahakamani, kujibu shitaka la utapeli. Anatuhumiwa kumtampeli raia kutoka Korea, Chris Incheul Chae. Anaandika Saed Kubenea … (endelea). Mwingine awezaye kufikishwa ...

Read More »

Hatushangai kukimbiwa – Nape

CHAMA Cha Mapinduzi (CCM) hakishangai wala kuhuzunika na wimbi la wanachama wake kuhama chama katika wakati huu kinapokabiliwa na ushindani mkali kwenye uchaguzi mkuu utakaofanyika Oktoba 25 mwaka huu. Anaandika ...

Read More »

UKAWA wataja vigezo udiwani

MAKATIBU wakuu wa vyama vinavyounda Umoja wa Katiba ya Wananchi (UKAWA), jana walisaini makubaliano ya utaratibu wa kufuatwa katika kusimamisha mwakilishi mmoja katika ngazi ya udiwani anaandika Faki Sosi … ...

Read More »

Wanachama CCM wamtwanga Katibu wao

HALI isiyokuwa ya kawaida wanachama na wafuasi wa Chama cha Mapinduzi (CCM), Kata ya Bugogwa, Mwanza wamevamia na kumtembezea kichapo, Katibu wa chama hicho, wilaya ya Ilemela, Acheni Maulid, kwa ...

Read More »

Mbowe: Nipo salama

“HAKUNA hali yoyote ya hofu,” anasema Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), Freeman Mbowe akiwa amepata wasaa wa kukutana na waandishi wa habari asubuhi leo, ndani ya Hospitali ...

Read More »

Lowassa: Haijawahi kutokea

MGOMBEA urais wa Tanzania kupitia Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) ambaye ni mwakilishi wa UKAWA, Edward Lowassa ameshtushwa kupokewa na umma mkubwa uliohudhuria wakati akichukua fomu za kugombea Tume ...

Read More »

Polisi ‘wamtii’ Lowassa

JESHI La Polisi Kanda Maalumu ya Dar es Salaam leo limelazimika kuhakikisha mgombea urais kupitia Chadema, Edward Lowassa anapata ulinzi wa kutosha. Anaandika Sarafina Lidwino … (endelea). Lowassa ameambatana na ...

Read More »

Lowassa : JK ameuharibu uchumi wa nchi

EDWARD Lowassa, mgombea urais wa Chadema amesema, Rais Jakaya Kikwete ameharibu uchumi wa Tanzania. Anaandika Pendo Omary … (endelea). Akizungumza na wafuasi wa Chadema pia UKAWA katika ofisi za Chadema mara ...

Read More »

Maalim Seif ampopoa Prof. Lipumba

KATIBU Mkuu wa Chama cha Wananchi (CUF), Maalim Seif Sharif Hamad amebeza kauli ya aliyekuwa mwenyekiti wa chama hicho, Prof. Ibrahim Lipumba kwamba, wapinzani wamepoteza mwelekeo wa kupata katiba ya ...

Read More »

Prof. Lipumba apotea

ALIYEKUWA Mwenyekiti wa Chama cha Wananchi (CUF), Prof. Ibrahimu Lipumba amepotea kwenye uwanja wa siasa. Anaandika Pendo Omary … (endelea). Hali hiyo imejitokeza leo asubuhi wakati mgombea urais kwa tiketi ...

Read More »

CCM yapukutika Arusha

CHAMA Cha Mapinduzi (CCM), kimeendelea kupata pigo kwa kuondokewa na wanachama wake. Mara hii, Onesmo Nangole na Isaac Joseph, wametangaza rasmi kukihama chama hicho na kuhamia Chama cha Demokrasia na ...

Read More »
error: Content is protected !!
Visit Us On FacebookVisit Us On TwitterVisit Us On YoutubeVisit Us On Instagram