Thursday , 28 March 2024

Habari za Siasa

Habari za Siasa

Ateuliwa, atumbuliwa kabla ya kuapishwa

  SAA 48 kabla ya Makatibu Tawala wa Mikoa (RAS) kuapishwa, Rais wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan, ametengua uteuzi wa Azza Hilal Hamad....

Habari za Siasa

Siku 14 za Wambura kufikia U-DCI, Rais Samia…

  NYOTA ya Camilius Wambura, ndani ya Jeshi la Polisi Tanzania, imeendelea kung’aa, baada ya Amri Jeshi Mkuu, Rais Samia Suluhu Hassan, kumpandisha...

Habari za Siasa

Rais Samia ateua ‘Boss’ mpya FCC, WCF

  RAIS wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan, amewateua watendaji wakuu katika Tume ya Ushindani wa Biashara (FCC) na Mfuko wa Fidia kwa Wafanyakazi...

Habari za SiasaTangulizi

Rais Samia apangua Ma-RAS, wapya 11

  RAIS wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan, jana tarehe 29 Mei 2021, amefanya uteuzi na uhamisho wa Makatibu Tawala wa Mikoa (RAS). Anaripoti...

Habari za SiasaTangulizi

Mbowe aweka kambi Shinyanga

  MWENYEKITI wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), Freeman Mbowe, ameendelea na utekelezaji wa operesheni mpya ya chama hicho, iliyozinduliwa hivi karibuni...

Habari za SiasaTangulizi

Walimu wageuza madarasa nyumba za kuishi

  BAADHI ya walimu katika Shule ya Msingi Mwachambia mkoani Singida, wamelazimika kugeuza madarasa kuwa nyumba za kuishi. Anaripoti Hamisi Mguta, Dar es...

Habari za Siasa

Wilaya za Kagera, Kigoma kuunda mkoa wa Chato

  KAMATI ya Ushauri ya Mkoa wa Geita (RCC), imependekeza baadhi ya wilaya katika mikoa ya Kagera na Kigoma, zichukuliwe kwa ajili ya...

Habari za Siasa

Madiwani Chamwino walia uhaba kondomu za kike

  BAADHI ya madiwani katika Halmashauri ya Wilaya ya Chamwino, wameuomba uongozi wa halmashauri hiyo, usambaze kondom za kike , ili kulilinda kundi...

Habari za Siasa

Rais Samia ateta na mjumbe wa UN

  RAIS wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan, amefanya mazungumzo na Msaidizi wa Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa (UN), Dk. Phumzile Mlambo-Ngouka, kuhusu...

Habari za SiasaTangulizi

Ole Sabaya akamatwa

  ALIYEKUWA Mkuu wa Wilaya ya Hai, mkoani Kilimanjaro, Lengai ole Sabaya, ametiwa mbaroni jijini Dar es Salaam. Anaripoti Saed Kubenea, Dar es...

Habari za SiasaTangulizi

Ubadhirifu wa Bil 1.67, wang’oa vigogo 11 wizara ya fedha

  WAZIRI Mkuu, Kassim Majaliwa, amewasimamisha kazi vigogo 11 wa Wizara ya Fedha na Mipango, ili kupisha uchunguzi wa tuhuma zinazowakabili, za matumizi...

Habari za Siasa

Dk. Mpango atoa maagizo Wizara ya Kilimo

  MAKAMU wa Rais wa Tanzania, Dk. Phillip Mpango, ameiagiza Wizara ya Kilimo, ichukue hatua za haraka kukabiliana na changamoto zinazorudisha nyuma sekta...

Habari za Siasa

Mabadiliko tabia ya nchi tishio EAC

  WATAALAM wa Jumuiya ya Afrika Mashariki (EAC), wamekutana jijini Dar es Salaam, kwa ajili ya kutafuta ufumbuzi wa athari za mabadiliko ya...

Habari za SiasaTangulizi

Mbowe awachongea maafisa Takukuru kwa Rais Samia

  MWENYEKITI wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), Freeman Mbowe, amemuomba Rais Samia Suluhu Hassan, awachukulie hatua maafisa wa Taasisi ya Kuzuia...

Habari za Siasa

Mbunge ataka wanaume wasitengwe fursa za kiuchumi

  MBUNGE wa Moshi Mjini mkoani Kilimanjaro (CCM), Priscus Tarimo, ameiomba Serikali iweke mipango ya kuwawezesha wanaume kiuchumi, kama inavyofanya kwa wanawake, vijana...

Habari za Siasa

Mbunge CCM ashauri taasisi huru ziundwe kuidhibiti Serikali

  MBUNGE Viti Maalum mkoani Tanga (CCM), Mhandisi Mwanaisha Ulenge, amesema kuna haja ya nchi kuwa na taasisi huru, iitakayodhibiti utendaji wa wizara...

Habari za Siasa

Ujambazi waibuliwa bungeni, Majaliwa atoa kauli

  MBUNGE wa Makete mkoani Njombe (CCM), Festo Sanga, amehoji kauli ya Serikali kuhusu kukithiri vitendo vya ujambazi katika majiji nchini. Anaripoti Nasra...

Habari za Siasa

Bunge lahofia mwenendo upatikanaji fedha za bajeti

  KAMATI ya Kudumu ya Bunge ya Ardhi, Maliasili na Utalii, imesema kusuasua kwa mwenendo wa utoaji fedha za bajeti kutoka serikalini, unakwamisha...

Habari za Siasa

Serikali hatarini kupoteza 100 Bil, Mdee amkaba Lukuvi

  MBUNGE Viti Maalum asiye na chama bungeni, Halima Mdee, amesema Serikali iko hatarini kupoteza Sh. 100 bilioni, endapo itavunja mkataba wa mradi...

Habari za Siasa

Mbunge alilia barabara ya lami Uwanja wa Ndege Chato

  MBUNGE wa Biharamulo (CCM), Ezra Chiwelesa, ameiomba Serikali ijenge Barabara ya Nyamirembe-Chato mpaka Katoke Biharamulo , kwa kiwango cha lami, ili kurahisisha...

Habari za Siasa

Tanzania, Saudi Arabia kukuza ushirikiano wa kibiashara, utalii

  NCHI ya Tanzania na Saudi Arabia, zimeahidi kukuza ushirikiano katika biashara ya mazao ya kilimo pamoja na utalii. Anaripoti Regina Mkonde, Dar...

Habari za SiasaTangulizi

Dk. Bashiru alipa kibarua Bunge

  MBUNGE wa kuteuliwa na Rais, Dk. Bashiru Ally, amelishauri Bunge la 12 lijikite katika ajenda za kuchochea mapinduzi ya kilimo, kama Bunge...

Habari za SiasaTangulizi

Kwa mara ya kwanza Dk. Bashiru atema nyongo bungeni

  DAKTARI Bashiru Ally, Mbunge wa Kuteuliwa na Rais, leo tarehe 25 Mei 2021, amesimama bungeni kwa mara ya kwanza na kutumia jukwaa...

Habari za Siasa

Bajeti kilimo 2021/22 yaongezeka, yaja na vipaumbele 7

  BAJETI ya Wizara ya Kilimo, kwa mwaka wa fedha wa 2021/2022, imeongezeka kwa Sh. 64.3 bilioni (22%), kutoka Sh. 229.83 bilioni (2020/2021),...

Habari za SiasaTangulizi

Spika Ndugai aishukia Wizara ya Fedha

  SPIKA wa Bunge la Tanzania, Job Ndugai ameishauri Wizara ya Fedha na Mipango, iache kuchukua fedha za miradi ya maendeleo, za halmashauri...

Habari za Siasa

Mdee ahoji kinachokwamisha uboreshaji makazi Dar

  MBUNGE Viti Maalum asiye na chama bungeni, Halima Mdee, amehoji kinachokwamisha utekelezaji Mpango wa Uboreshwaji Makazi ya Jiji la Dar es Salaam...

Habari za SiasaTangulizi

Mbowe kuzindua operesheni mpya, kufanyika nchi nzima

  FREEMAN Mbowe, Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) Taifa, tarehe 27 Mei 2021 siku ya Alhamisi, anatarajiwa kuzindua ‘Operesheni Haki,‘...

ElimuHabari za Siasa

Ajira ualimu kizungumkuti, 89,958 wajitosa, nafasi ni 6,949

  WAZIRI wa Ofisi ya Rais-Tamisemi, Ummy Mwalimu, amekiri uwepo wa tatizo la ukosefu wa ajira za ualimu nchini, akisema kwamba, nafasi zinazotolewa...

Habari za SiasaTangulizi

Mbunge ataka walioporwa fedha na TRA warejeshewe

  MBUNGE wa Vunjo mkoani Kilimanjaro (CCM), Dk. Charles Kimei, ameiomba Serikali irudishe fedha za kodi zilizokusanywa na Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA),...

Habari za Siasa

Nape aibua sakata la korosho, Spika Ndugai aibana Serikali

  MBUNGE wa Mtama mkoani Lindi (CCM), Nape Nnauye, ameiomba Serikali irudishe Bodi ya Korosho pamoja na fedha za tozo ya mauzo ya...

Habari za Siasa

Spika Ndugai awapa masharti wabunge

  SPIKA wa Bunge la Tanzania, Job Ndugai, amewataka wabunge kuacha ngonjera katika kipindi cha maswali na majibu, ili kuokoa muda. Anaripoti Jemima...

Habari za Siasa

Ripoti CAG yabaini ubadhirifu Wizara ya Kilimo Z’bar

  MDHIBITI na Mkaguzi wa Fedha za Serikali Visiwani Zanzibar (CAG), Dk. Othman Abbas Ali, amemefichua ubadhirifu wa mabilioni ya shilingi katika wizara...

Habari za SiasaTangulizi

Shirika la Meli Zanzibar lakutwa na madeni hewa Sh. 2.9 Bil.

  MKAGUZI na Mdhibiti Mkuu wa Hesabu za Serikali (CAG), Visiwani Zanzibar, amegudua kuwapo kwa madeni hewa yenye thamani ya Sh. 2.9 bilioni,...

Habari za SiasaTangulizi

Viongozi wanawake Afrika wamuonesha njia Rais Samia

  MTANDAO wa Viongozi Wanawake Barani Afrika (AWLN), umemshauri Rais Samia Suluhu Hassan, azitumie fursa za maendeleo zinazotolewa na taasisi pamoja na mashirika...

Habari za Siasa

Ripoti ya CAG Zanzibar yamuibua Zitto

  UBADHIRIFU ulioibuliwa katika Ripoti ya Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali (CAG), Zanzibar, kwenye mwaka wa fedha wa 2019/2020, umemuibua...

Habari za Siasa

UVCCM yahofia mporomoko ajira za vijana

  UMOJA wa Vijana wa Chama Cha Mapinduzi (UVCCM), umeiomba Serikali ichukue hatua za haraka, kumaliza tatizo la vijana kukosa ajira nchini. Anaripoti...

Habari za Siasa

ACT-Wazalendo: Rais Samia anakwamishwa

  CHAMA cha ACT-Wazalendo, kimesema Rais wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan, anakwamishwa na baadhi ya watendaji wake, hasa waliopewa dhamana ya kusimamia michakato...

Habari za SiasaTangulizi

Ado: Khatib amekufa na kilio cha Masheikh Uamsho

  KATIBU Mkuu wa Chama cha ACT-Wazalendo, Ado Shaibu, amesema aliyekuwa Mbunge wa Konde kupitia chama hicho, Hayati Khatib Haji, ameondoka duniani na...

Habari za Siasa

Rais Samia ateta na bosi TRC

  RAIS wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan leo Jumamosi, tarehe 22 Mei 2021, amezungumza na Mkurugenzi Mkuu wa Shirika la Reli Tanzania (TRC),...

Habari za Siasa

Rais Samia ateua mabalozi 23 akiwemo Hoyce Temu

  RAIS wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan amefanya uteuzi wa mabalozi 23, akiwemo Hoyce Anderson Temu, ambaye ni mwandishi wa habari na mjasiriamali....

Habari za SiasaTangulizi

Chongolo aonya wanaopanga uongozi CCM 2022

  KATIBU Mkuu wa chama tawala nchini Tanzania- Chama Cha Mapinduzi (CCM), Daniel Chongolo, amewaonya wanachama wa chama hicho, walioanza kupanga safu za...

Habari za Siasa

Kikwete ampa kibarua Rais Samia

  RAIS wa Awamu ya Nne wa Tanzania, Jakaya Kikwete, ameishauri Serikali ya Rais Samia Suluhu Hassan, ijikite katika kutoa elimu kwa Watanzania,...

Habari za SiasaTangulizi

Dk. Kikwete: Msikubali kutumika

  RAIS Mstaafu wa Tanzania, Dk. Jakaya Kikwete, amewashauri Watanzania wasikubali kutumika katika kutengeneza migogoro. Anaripoti Regina Mkonde, Dar es Salaam … (endelea)....

Habari za Siasa

Kifo cha Dk. Magufuli: Rais Ndayishimiye amtumia ujumbe Rais Samia

  RAIS wa Burundi, Evariste Ndayishimiye amemtumia ujumbe Rais waTanzania, Samia Suluhu Hassan, kufuatia kifo cha aliyekuwa Rais wa Awamu ya Tano, Hayati...

Habari za Siasa

Vitendo vya wanaume kutekeleza watoto vyatikisa Bunge, latoa maagizo

  VITENDO vya baadhi ya wanaume kutelekeza watoto kwa kutogharamia matunzo yao, vimezua mjadala bungeni. Anaripoti Mwandishi Wetu, Dodoma … (endelea). Mjadala huo...

Habari za SiasaTangulizi

Meya Kinondoni, Mkurugenzi wakwepa rungu la CCM

  MEYA wa Manispaa ya Kinondoni (CCM), Songoro Mnyonge pamoja na Mkurugenzi wa manispaa hiyo, Sipora Liana, wamemaliza mgogoro wao uliobuka hivi karibuni,...

Habari za SiasaTangulizi

Chongolo akunjua makucha migogoro madiwani, wakurugenzi

  BAADA ya kuibuka mivutano baina ya madiwani na watendaji, katika Manispaa za Ubungo na Kinondoni, mkoani Dar es Salaam, Chama Cha Mapinduzi...

Habari za Siasa

Rais Museveni aacha somo kwa Watanzania

  RAIS wa Uganda, Yoweri Museveni, ametumia hotuba yake katika hafla ya utiaji saini mkataba hodhi wa Mradi wa Bomba la Mafuta Ghafi...

Habari za Siasa

Tanzania kuvuna matrilioni mradi bomba la mafuta

  SERIKALI ya Tanzania, inatarajia kuvuna matrilioni ya fedha, katika Mradi wa Bomba la Mafuta Ghafi la Afrika Mashariki (EACOP), unaotekelezwa kwa ubia...

Habari za Siasa

Rais Samia atoa maagizo Tanzania, Uganda

  RAIS wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan, amezitaka pande zinazoendelea na majadiliano ya ujenzi wa Bomba la Mufuta Ghafi kutoka Hoima nchini Uganga...

error: Content is protected !!