Saturday , 20 April 2024

Habari za Siasa

Habari za Siasa

Chadema, kina mdee vitani tena

  MKAKATI wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) nchini Tanzania, kuwang’oa bungeni, waliokuwa wanachama wake 19, wakiongozwa na Halima James Mdee, umegeuka...

Habari za Siasa

CCM yawaweka kikaangano mawaziri sita

  KATIBU Mkuu wa chama tawala nchini Tanzania- Chama Cha Mapinduzi (CCM), Daniel Chongolo amesema, chama hicho kitaita mawaziri sita ili kujiridhisha juu...

Habari za SiasaTangulizi

M/kiti CCM awapa somo wapinzani madai Katiba mpya

  MWENYEKITI wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), mkoani Mwanza, Dk. Anthony Diallo, amewataka wanasiasa wa vyama vya upinzani Tanzania, wadai mifumo bora ya...

Habari za SiasaTangulizi

Mbowe apata pigo, kaka yake afariki kwa Covid-19

  MWENYEKITI wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), Freeman Mbowe, amepata pigo baada ya kuondokewa na kaka yake, Charles Mbowe, aliyefariki dunia...

Habari za Siasa

Rais Samia, Mbatia wavutana ongezeko kodi ya mafuta

  WAKATI Rais Samia Suluhu Hassan, akisema Serikali imeongeza kodi ya Sh. 100 kwa kila lita moja ya mafuta, ili ipate fedha za...

Habari za SiasaTangulizi

Mbatia: Hatutarudi nyuma kudai katiba mpya

  MWENYEKITI wa Chama cha siasa cha upinzani nchini Tanzania- NCCR-Mageuzi, James Mbatia, amesema chama chake hakitarudi nyuma katika harakati za kudai Katiba...

Habari za Siasa

Chongolo awataka wabunge CCM kurudi majimboni

  KATIBU Mkuu wa chama tawala nchini Tanzania- Chama Cha Mapinduzi (CCM), Daniel Chongolo amewaagiza wabunge wote wa Bunge wa chama hicho, kurejea...

Habari za Siasa

Rais Samia: Vichokochoko vimeanza, msiingizwe mkenge

  SAMIA Suluhu Hassan, Rais wa Tanzania, amewataka wananchi kudumisha amani na kuwaepuka walioanzisha “vichokochoko” kuwapuuza kwani hawawatakii mema. Anaripoti Mwandishi Wetu, Morogoro...

Habari za SiasaKimataifa

Rais Samia amwalika Rais wa Marekani

  RAIS wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan, amemwalika Rais wa Marekani, Joseph Biden kutembelea nchini humo ili kuzidi kuimarisha uhusino uliopo kati ya...

Habari za Siasa

Mbowe apigilia msumari wa mwisho sakata la Mdee na wenzake

MWENYEKITI wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema ) Taifa, Freeman Mbowe, amesema chama hicho hakitabadili msimamo wake wa kumfukuza Halima Mdee na...

Habari za SiasaTangulizi

Mbunge CCM alitishia gazeti la Raia Mwema, siri zaidi zafumuka

  TIMOTHEO Paul Mzava, mbunge wa Korogwe Vijijini (CCM), amelitishia gazeti la Raia Mwema, kuwa atalifikisha mahakamani kwa madai ya kuchapisha “habari za...

Habari za Siasa

Kiongozi Uamsho apata kigugumizi suala la katiba mpya

  KIONGOZI wa Jumuiya ya Uamsho na Mihadhara ya Kiislamu Zanzibar (JUMIKI), Mselem Ali Mselem amesema hatoweza kujitosa katika mjadala wa Katiba mpya,...

Habari za SiasaTangulizi

Hashim Rungwe: Rais Samia amewakosea Watanzania

  MWENYEKITI wa Chama cha Ukombozi wa Umma (Chaumma), Hashim Rungwe amesema Rais Samia Suluhu Hassan, amewakosea Watanzania, kufuatia msimamo wake wa kuweka...

Habari za Siasa

Askofu Bagonza aingilia kati mjadala Katiba mpya

  ASKOFU wa Kanisa la Kiinjili la Kilutheri Tanzania (KKKT), Dayosisi ya Karagwe mkoani Kagera, Dk. Benson Bagonza, amewashauri watu wanaotaka au kupinga...

Habari za SiasaTangulizi

Katiba mpya: Dk. Kigwangalla ashambuliwa, ajitetea

  DAKTARI Hamis Kigwangalla, Mbunge wa Nzega Vijijini kupitia chama tawala nchini Tanzania- Chama Cha Mapinduzi (CCM), ameibua mjadala makali wa mchakato wa...

Habari za Siasa

Chadema wamkalia kooni Rais Samia

  BAADA ya Baraza la Vijana la Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Bavicha), kuanza harakati za kudai katiba mpya, Baraza la Wanawake la...

Habari za Siasa

Mdude Chadema aibua mjadala, UVCCM yamuonya

  KAULI ya kada wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), Mdude Nyagali ya kutaka kumnyoa kwa wembe Rais Samia Suluhu Hassan, imezua...

Habari za Siasa

Muongozo Covid-19: Serikali yaagiza shule zenye mrundikano ziwe na ‘Shift’

  SERIKALI ya Tanzania,  imeagiza uongozi wa shule, vyuo na taasisi za elimu zenye wanafunzi wengi, ziweke utaratibu wa kuingia kwa awamu ‘Shifting’,...

Habari za Siasa

IGP Sirro awapa kibarua wenyeviti, watendaji Serikali za Mitaa

  INSPEKTA Jenerali wa Jeshi la Polisi nchini, IGP Simon Sirro amewataka wenyeviti na watendaji wa Serikali za Mitaa, kuibua vitendo vya uhalifu...

Habari za Siasa

Spika Ndugai ampa somo CAG

  SPIKA wa Bunge la Tanzania, Job Ndugai, imetaka Ofisi ya Mkaguzi na Mdhibiti Mkuu wa Hesabu za Serikali, kujikita katika kuandaa ripoti...

Habari za SiasaTangulizi

Lissu aeleza kitakachomrejesha Tanzania

  MAKAMU Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), Tundu Lissu, amesema chama hicho kikitengeneza utaratibu wa kufanya mikutano ya hadhara kwa...

Habari za SiasaTangulizi

Mdude ajitosa madai katiba mpya, atoa ahadi nzito

  KADA wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), Mdude Nyagali amekula kiapo cha kusaka katiba mpya, kabla ya Uchaguzi Mkuu wa 2025....

Habari za Siasa

Askofu Mwamakula aitahadharisha CCM

  ASKOFU Mkuu wa Kanisa la Moravian la Uamsho Tanzania na Afrika Mashariki, Emmaus Mwamakula, amekishauri Chama Cha Mapinduzi (CCM), kisikatae marekebisho ya...

Habari za SiasaTangulizi

Chadema wamgomea Rais Samia, wamtaka aunde tume kusaka katiba mpya

  CHAMA kikuu cha upinzani nchini Tanzania- Demokrasia na Maendeleo (Chadema), kimekataa ombi la Rais wa Taifa hilo, Samia Suluhu Hassan la kutaka...

Habari za SiasaTangulizi

Rais Samia akabidhiwa ripoti BoT, CAG aweka wazi ‘madudu’

  MDHIBITI na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali (CAG), Charles Kichere, amemkabidhi Rais wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan, ripoti ya matumizi ya...

Habari za SiasaTangulizi

Viongozi wa siasa, dini, wanasheria wakataa subira ya Rais Samia

  KAULI ya Rais wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan, kuweka kiporo suala la Katiba Mpya na kuendeleza zuio la mikutano ya hadhara ili...

Habari za SiasaTangulizi

NCCR-Mageuzi: Rais Samia atafakari upya uamuzi wake

  CHAMA cha siasa cha upinzani nchini Tanzania, NCCR-Mageuzi, kimemwomba Rais wa Taifa hilo, Samia Suluhu Hassan, kuufikilia upya uamuzi wake kuhusu suala...

Habari za Siasa

Rais Samia ateta na bosi AfCFTA

  RAIS wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan, amekutana na kufanya mazungumzo na Katibu Mtendaji wa Sekretarieti ya Eneo Huru la Biashara Afrika (AfCFTA)...

Habari za Siasa

Bunge laahirishwa, maswali 1,468 yaulizwa

  KASIM Majaliwa, Waziri Mkuu wa Tanzania ameahirisha shughuli za Bunge la 12 la Tanzania leo Jumatano, tarehe 30 Juni 2021, jijini Dodoma...

Habari za SiasaTangulizi

Spika Ndugai ‘aota’ Katiba Mpya

  WAKATI wanasiasa, wanaharakati na wasomi wa kada mbalimbali nchini Tanzania, wakitaka mchakato wa Katiba Mpya uendelee, Job Ndugai, Spika wa Bunge la...

Habari za Siasa

Dk. Bashiru: Unafiki unakwamisha kufikia malengo

MBUNGE wa Kuteuliwa (CCM), Dk Bashiru Ally amesema, unafiki na kukosekana uzalendo kwa baadhi ya watu ni sababu ya mambo yanayokwamisha kufikia malengo....

Habari za SiasaTangulizi

ACT-Wazalendo wamkunjulia makucha Rais Samia

  CHAMA cha siasa cha upinzani nchini Tanzania-ACT Wazalendo, kimesikitishwa na kauli ya Rais wa Taifa hilo, Samia Suluhu Hassan kuwa mikutano ya...

Habari za Siasa

Mdee ataka sensa ibaini maeneo yasiyokuwa na maji

  MBUNGE Viti Maalumu (asiye na chama bungeni), Halima Mdee, ameishauri Serikali itumie sensa ya watu na makazi inayotarajiwa kufanyika 2022, kubaini hali...

Habari za Siasa

Rais Samia aweka kando Katiba Mpya, mikutano ya kisiasa

  SAMIA Suluhu Hassan, Rais wa Tanzania amewaomba wananchi kumuunga mkono katika harakati zake kufufua za uchumi. Anaripoti Mwandishi Wetu…(endelea). Pia amewataka wananchi...

Habari za Siasa

Mbivu, mbichi ripoti BoT wiki hii

  RIPOTI ya ukaguzi wa matumizi ya fedha Benki Kuu ya Tanzania (BoT), kwa mwezi Januari mpaka Machi mwaka huu, kuwekwa hadharani wiki...

Habari za SiasaTangulizi

Mdude wa Chadema huru, shangwe zarindima mahakamani

  MAHAKAMA ya Hakimu Mkazi, Mkoa wa Mbeya imemwacha huru, Mdude Nyangali maarufu ‘Mdude Chadema,’ baada ya Jamhuri kushindwa kuthibitisha madai yake kuhusu...

Habari za Siasa

Kasi ya Rais Samia kwenye muziki yamkosha Wakazi

  HATUA ya Rais Samia Suluhu Hassan, kuagiza wanamuziki waanze kulipwa mirabaha kutokana na nyimbo zao kupigwa kwenye redio, imemkosha msanii wa muziki...

Habari MchanganyikoHabari za Siasa

THRDC, LHRC zafurahia uongozi wa Rais Samia

  SIKU 100 za uongozi wa Rais wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan, zinaelezwa kutoa ahueni katika Mshirika Yasiyo ya Kiserikali (NGO’s) nchini humo....

Habari za SiasaTangulizi

Siku 100 za Rais Samia: Machozi, kicheko CCM

  KATIKA siku 100 za uongozi wa Rais Samia Suluhu Hassan, ndani ya Chama Cha Mapinduzi (CCM), wapo wanachama wa chama hicho waliomwaga...

Habari za Siasa

Hukumu ya Mdude kutolewa Leo

  HUKUMU ya kesi ya Jinai Na. 36/2020, inayomkabili kada wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), Mdude Nyagali, katika Mahakama ya Hakimu...

Habari za SiasaTangulizi

Vyama vya siasa Tanzania vyamsubiri Rais Samia

  VIONGOZI wa vyama vya siasa vya upinzani nchini Tanzania, wamemkumbusha Rais wa Taifa hilo, Samia Suluhu Hassan, atekeleze ahadi yake ya kuonana...

Habari za SiasaTangulizi

Rais Samia agonga siku 100 Ikulu

  LEO Jumapili, tarehe 27 Machi 2021, Samia Suluhu Hassan, ametimiza siku 100 tangu alipoapishwa kuwa Rais wa Tanzania. Anaripoti Mwandishi Wetu, Dar...

Habari za Siasa

Chongolo: UWT simamie fedha za mikopo

  KATIBU Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Daniel Chongolo amewataka wabunge wanaotokana na Jumuiya ya Wanawake Tanzania (UWT), kusimamia kwa karibu utolewaji wa...

Habari za Siasa

Wafuasi Chadema wataka fedha za faini zijenge ofisi

  WAFUASI na wanachama wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), wameshauri kiasi cha Sh. 350 milioni kilichoshauriwa na mahakama kurejeshwa kwa Freeman...

Habari za Siasa

Siku 100 Madarakani: Rais Samia hajagusa ‘mtima’

  KATIBA na baadhi ya sheria kandamizi, zimetajwa kukwamisha kiu ya haki katika uongozi wa Rais wa Awamu ya Sita, Samia Suluhu Hassan. Anaripoti...

Habari za Siasa

CUF kumkabidhi Rais Samia ilani zake

  CHAMA cha Wananchi (CUF), kimesema kitamkabidhi ilani za chama hicho kuanzia Uchaguzi Mkuu wa 1995 hadi 2020 pindi ombo lao la kukutana...

Habari za SiasaTangulizi

Siku 100 za Rais Samia: Fatma Karume “katika hili, ametuangusha”

  FATMA Karume, wakili na aliyekuwa Rais wa Chama cha Wanasheria wa Tanganyika (TLS), amesema siku 100 za uongozi wa Rais Samia Suluhu...

Habari za SiasaTangulizi

Rais Samia: Tunafufua mradi Bandari Bagamoyo

  RAIS Samia Suluhu Hassan amesema, serikali imeanza mazungumzo ya kufufua mradi wa Bandari ya Bagamoyo pamoja na ule wa Mchuchuma na Liganga. Anaripti...

Habari za SiasaTangulizi

Rais Samia: Siku 100 za uhuru mahakamani

  TAREHE 27 Juni 2021, Rais Samia Suluhu Hassan atatimiza miaka 100 akiwa madarakani. Aliapishwa 19 Machi 2021, baada ya mtangulizi wake Rais...

Habari za SiasaTangulizi

Mahakama yafuta hukumu ya Mbowe, kurejeshewa mamilioni

  HUKUMU ya kesi ya Jinai Na. 112/2018 iliyotolewa na Mahakama ya Hakim Mkazi Kisutu, Dar es Salaam iliyomuhusu Freeman Mbowe, Mwenyekiti wa...

error: Content is protected !!