MAHAKAMA ya Hakimu Mkazi Arusha, imeelezwa upelelezi kesi ya jinai ya uhujumu uchumi inayomkabili aliyekuwa mkuu wa wilaya ya Hai, Lengai Ole...
By Mwandishi WetuAugust 13, 2021KAMATI ya Kudumu ya Bunge ya Hesabu za Serikali za Mitaa (LAAC), imeishauri Ofisi ya Mthibiti na Mgamuzi Mkuu wa Hesabu za...
By Danson KaijageAugust 13, 2021RAIS wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan, leo Ijumaa tarehe 13 Agosti, 2021 amekutana na kufanya mazungumzo na Rais na Mtendaji Mkuu wa...
By Mwandishi WetuAugust 13, 2021OFISI ya Msajili wa Vyama vya Siasa Tanzania, imekiandikia barua Chama Kikuu cha Upinzani nchini humo, Chadema, ikikitaka kijieleze juu ya kauli...
By Mwandishi WetuAugust 13, 2021KIONGOZI wa Chama Kikuu cha Upinzani Tanzania-Chadema, Freeman Mbowe na wenzake watatu, wameiomba Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu, jijini Dar es Salaam,...
By Regina MkondeAugust 13, 2021MAHAKAMA ya Hakimu Mkazi Kisutu jijini Dar es Salaam, leo Ijumaa tarehe 13 Agosti 2021, inasikiliza kesi ya kiongozi wa chama kikuu...
By Regina MkondeAugust 13, 2021CHAMA tawala nchini Tanzania- Chama Cha Mapinduzi (CCM) kimesema, kimeanza taratibu za kuwachukulia hatua makada wake wanaokwenda kinyume na misimamo ya chama...
By Regina MkondeAugust 11, 2021CHAMA tawala nchini Tanzania- Chama Cha Mapinduzi (CCM), kimesema, kitachukua hatua kali dhidi ya watumishi wa gazeti la Uhuru kwa kuandika habari...
By Regina MkondeAugust 11, 2021MAHAKAMA ya Arusha imeelezwa jinsi mshitakiwa wa tatu, Daniel Bura kwenye kesi ya unyang’anyi inayomkabili, pamoja na aliyekuwa Mkuu wa Wilaya ya...
By Mwandishi WetuAugust 11, 2021Chama Cha Mapinduzi (CCM), kimezipa siku 14 kamati za siasa za mikoa na wilaya, kuwasilisha taarifa za ukaguzi wa miradi ya maendeleo...
By Mwandishi WetuAugust 10, 2021KATIBU Mkuu wa Chama Kikuu cha Upinzania Tanzania, John Mnyika, amedai kwamba, Rais Samia Suluhu Hassan, amepotoshwa kuhusu sheria inayoruhusu vyama vya...
By Kelvin MwaipunguAugust 10, 2021CHAMA cha siasa cha upinzani nchini Tanzania cha NCCR-Mageuzi kimeshangazwa na kauli ya Rais wa nchi hiyo, Samia Suluhu Hassan kuhusu mashtaka...
By Kelvin MwaipunguAugust 10, 2021CHAMA kikuu cha upinzani nchini Tanzania cha Chadema, kimedai kauli ya Rais Samia Suluhu Hassan, dhidi ya mashtaka ya kula njama za...
By Mwandishi WetuAugust 10, 2021RAIS wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan, amewataka wanasiasa nchini humo kufanya siasa za maendeleo, badala ya kufanya siasa za fujo na vurugu....
By Regina MkondeAugust 9, 2021RAIS wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan, amewaomba Watanzania na ulimwengu kwa ujumla, kusubiri maamuzi ya mahakama dhidi ya mashtaka yanayomkabili kiongozi wa...
By Regina MkondeAugust 9, 2021WAKATI chanjo ya kinga ya ugonjwa wa korona (Uviko-19) ikiendelea kutolewa nchini Tanzanioa, wabunge wawili wa chama tawala- Chama Cha Mapinduzi (CCM),...
By Mwandishi WetuAugust 9, 2021WANACHAMA na wafuasi wa Chama kikuu cha upinzani nchini Tanzania-Chadema, wameendelea kufanya maombi maalum, ya kumsihi Mungu aingilie kati kwenye kesi inayomkabili...
By Kelvin MwaipunguAugust 8, 2021CHAMA cha ACT-Wazalendo, kimeishauri Serikali ya Tanzania, iwasilishe bungeni mpango maalumu wa kunusuru sekta zilizoathirika kiuchumi, kutokana na janga la Ugonjwa wa Korona...
By Masalu ErastoAugust 8, 2021CHAMA kikuu cha upinzani nchini Tanzania cha Chadema, kimepanga kiwafikisha mahakamani kwa majina yao, Mkuu wa Polisi wa Wilaya (OCD) wa Dodoma...
By Mwandishi WetuAugust 7, 2021RAIS wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan, amefanya uteuzi wa viongozi mbalimbali akiwemo, Athumani Mbuttuka kuwa Mkaguzi Mkuu wa Ndani wa Serikali. Anaripoti...
By Mwandishi WetuAugust 7, 2021MAHAKAMA ya Hakimu Mkazi Kisutu, jijini Dar es Salaam nchini Tanzania, imeitaka Ofisi ya Mkurugenzi wa Mashtaka nchini (DPP), kuharakisha taratibu za...
By Regina MkondeAugust 6, 2021HALFAN Bwire Hassan, mlinzi wa Mwenyekiti wa Chama cha Chadema, Freeman Mbowe, amesomewa shtaka la kumiliki sare na jeshi kinyume cha sheria....
By Regina MkondeAugust 6, 2021CHAMA cha upinzani nchini Tanzania cha NCCR-Mageuzi, kimesema kitatuma mawakili wake watano waandamizi wakiongozwa na Boniface Mwambukusi, katika kesi ya ugaidi inayomkabili...
By Regina MkondeAugust 6, 2021KIONGOZI wa chama kikuu cha upinzania nchini Tanzania cha Chadema, Freeman Mbowe na wenzake watatu, wamesomewa upya mashtaka katika kesi ya ugaidi...
By Regina MkondeAugust 6, 2021KIONGOZI wa chama kikuu cha upinzani nchini Tanzania cha Chadema, Freeman Mbowe na wenzake watatu, wamefikishwa Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu jijini...
By Regina MkondeAugust 6, 2021JUMUIYA za Kimataifa zimejitosa katika kesi ya ugaidi, inayomkabili kiongozi wa chama kikuu cha upinzani nchini Tanzania cha Chadema, Freeman Mbowe na...
By Mwandishi WetuAugust 5, 2021BAADHI ya wanachama wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), wamekamatwa na Polisi Tanzania nje ya Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu, jijini...
By Kelvin MwaipunguAugust 5, 2021MAHAKAMA ya Hakimu Mkazi Kisutu jijini Dar es Salaam, imetoa amri ya kufikishwa mahakamani hapo kesho Ijumaa tarehe 6 Agosti 2021, saa...
By Kelvin MwaipunguAugust 5, 2021DIWANI wa Buyuni (CCM), Wilaya ya Ilala, Mkoa wa Dar es Salaam, Karimu Madenge amefariki dunia jana Jumatano, tarehe 4 Agosti 2021,...
By Mwandishi WetuAugust 5, 2021MAHAKAMA ya Hakimu Mkazi Kisutu jijini Dar es Salaam, inasikiliza kesi ya kiongozi wa chama kikuu cha upinzani nchini Tanzania cha Chadema,...
By Kelvin MwaipunguAugust 5, 2021RAIS wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan, amemteua, Mtumwa Khatib Ameir kuwa Makamu Mwenyekiti wa Bodi ya Mamlaka ya Usafiri wa Anga Tanzania...
By Mwandishi WetuAugust 5, 2021TUME ya Taifa ya Uchaguzi (NEC), imetangaza Jimbo la Konde visiwani Zanzibar, liko wazi baada ya mbunge wake mteule kupitia Chama Cha...
By Regina MkondeAugust 3, 2021OFISI ya Bunge la Tanzania imesema, wabunge kama ilivyo kwa watumishi wengine wa umma na viongozi wa kisiasa nchini humo, wanakatwa kodi...
By Mwandishi WetuAugust 3, 2021BARAZA la Vijana la chama kikuu cha upinzani nchini Tanzania- Chadema (Bavicha), limedai kauli ya Inspekta Jenerali wa Polisi (IGP), Simon Sirro,...
By Mwandishi WetuAugust 3, 2021CHAMA cha ACT-Wazalendo, kimesema kinasubiri taarifa rasmi kutoka Tume ya Taifa ya Uchaguzi (NEC), kuhusu kujiuzulu kwa Mbunge mteule wa Konde, visiwani...
By Mwandishi WetuAugust 3, 2021INSPEKTA Jenerali wa Polisi nchini Tanzania (IGP), Simon Sirro amekitaka chama kikuu cha upinzani nchini humo, Chadema na wadau wengine, kuiachia mahakamana...
By Mwandishi WetuAugust 2, 2021SHEHA Mpemba Faki, Mbunge mteule wa Konde Zanzibar kupitia Chama Cha Mapinduzi (CCM), amejiuzulu nafasi hiyo ikiwa ni siku 15, tangu alipotangazwa...
By Mwandishi WetuAugust 2, 2021RAIS wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan, amefanya uteuzi wa Wakurugenzi Watendaji wa Halmashauri za Jiji, Manispaa,Miji na Wilaya. Anaripoti Mwandishi Wetu, Dar...
By Mwandishi WetuAugust 2, 2021HATIMA ya kufutwa au kupunguzwa kwa tozo ya miaka ya mitandao ya simu itajulikana wakati wowote kuanzia sasa, baada ya kamati iliyoundwa...
By Mwandishi WetuAugust 1, 2021RAIS wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan, kesho Jumatatu tarehe 2 Agosti, 2021, anafanya ziara ya rasmi ya Kiserikali ya siku mbili nchini...
By Masalu ErastoAugust 1, 2021CHAMA cha ACT-Wazalendo, kimedai kwamba Serikali ya Zanzibar, chini ya Chama Cha Mapinduzi (CCM) , inakwenda kinyume na maridhiano yao ya kuanzisha...
By Mwandishi WetuJuly 31, 2021CHAMA cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), kimemuomba Rais Samia Suluhu Hassan, amuagize Mkurugenzi wa Mashtaka nchini (DPP), Sylvester Mwakitalu, amuondolee mashtaka ya...
By Mwandishi WetuJuly 31, 2021RAIS wa Jamhuri ya Muungano, Samia Suluhu Hassan, anakabiliwa na kibarua kigumu cha kujisafisha kwenye mioyo ya wananchi na jumuiya ya kimataifa,...
By Mwandishi WetuJuly 31, 2021SHIRIKA la Ndege la Tanzania (ATCL), limesema changamoto ya mrundikano wa madeni inaathiri utendaji wake na kusababisha lijiendeshe kwa hasraa. Anaripoti Regina...
By Regina MkondeJuly 30, 2021RAIS Samia Suluhu Hassan, amemteua Rogatus Hussein Mativila, kuwa Mtendaji Mkuu wa Wakala wa Barabara Tanzania (Tanroads), akichukua mikoba ya Mhandisi Patrick...
By Regina MkondeJuly 30, 2021MWENYEKITI wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Samia Suluhu Hassan, ameendelea kupanga safu ya uongozi wa chama hicho, tangu alipokabidhiwa wadhifa huo, mwishoni...
By Regina MkondeJuly 30, 2021RAIS wa Zanzibar, Dk. Hussein Ali Mwinyi, ameteua makatibu wakuu wanne, wa wizara na taasisi mbalimbali visiwani humo. Anaripoti Regina Mkonde, Dar...
By Regina MkondeJuly 30, 2021KAMATI Kuu ya Chama Cha Mapinduzi (CCM), imeelekeza makada wake wanaokiuka mienendo na maadili ya chama hicho, wachukuliwe hatua za kinidhamu. Anaripoti...
By Mwandishi WetuJuly 30, 2021BARAZA la Wanawake la Chadema (Bawacha), limeiandikia barua Ubalozi wa Marekani nchini Tanzania, likiitaka uingilie kati tukio la kushikiliwa kwa Mwenyekiti wa...
By Mwandishi WetuJuly 29, 2021RAIS wa Serikali ya Mapinduzi Zanzibar, Dk. Hussein Ali Mwinyi, ameziomba Asasi za Kiraia na Mashirika Yasiyo ya Kiserikali (NGO’s), ziunge mkono...
By Mwandishi WetuJuly 28, 2021