Habari za Siasa

Kada CCM apinga ‘papara’ za kuhamia Dodoma

FESTO Mgina, Mwenyekiti wa Halmashauri ya Wilaya ya Mufindi mkoani Iringa ameshangazwa na ‘ukurupukaji’ wa Serikali kutaka kuhamia katika Mkoa wa Dodoma pasipo kufanya maandalizi ya msingi, anaandika Charles William. ...

Read More »

Magufuli ‘awakomoa’ Chadema Arusha

RAIS John Magufuli amemteua Mrisho Gambo aliyekuwa Mkuu wa Wilaya ya Arusha (Mjini) kuwa Mkuu wa Mkoa wa Arusha na kumng’oa Felix Kijiko Ntibenda aliyekuwa akishikilia wadhifa huo, anaandika Charles ...

Read More »

Chadema: Maandalizi UKUTA yanoga

UONGOZI wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) wamesema, maandalizi ya mikutano ya UKUTA katika Mkoa wa Dodoma yamefikia hatua nzuri, anaandika Dany Tibason. Pia uongozi huo wamelaani Jeshi la ...

Read More »

Madudu Dodoma

WAKATI serikali ikijiandaa kuhamia Mkoa wa Dodoma, Kamati ya Kudumu ya Hesabu za Serikali za Mitaa imebaini kuwepo kwa madudu katika Sekretarieti ya mkoa huo, anaandika Dany Tibason. Kamati hiyo ...

Read More »

Mateso Zanzibar ‘yamponza’ Kubenea

MWANDISHI mahiri wa habari za uchunguzi nchini, Saed Kubenea, amehojiwa na makachero wa jeshi la Polisi Kanda Maalum ya Dar es Salaam. Anatuhumiwa kuandika makala ya uchochezi kuhusu mgogoro wa ...

Read More »

Dk. Shein, Maalim Seif ‘bifu’ kali msibani

MAMBO yanazidi kuharibika. Ndivyo unavyoweza kusema baada ya Maalim Seif Sharif Hamad kugoma kupokea mkono wa Dk. Ali Mohamed Shein kwenye msiba wa Alhaj Aboud Jumbe, anaandika Mwandishi Wetu. Hali ...

Read More »

Dk. Lwaitama amshangaa Rais Magufuli

Dk. Azaveli Lwaitama, mchambuzi wa masuala ya siasa nchini, ameeleza kushangazwa na kauli ya Rais John Magufuli kutaka kuifanya Ikulu ya Jijini Dar es Salaam kuwa jumba la makumbusho, anaandika Pendo ...

Read More »

Jicho la Lissu kwa Aboud Jumbe

Alhaj Aboud Jumbe Mwinyi amefariki dunia. Akiwa na miaka 96, Jumbe aliishi muda mrefu sana kwa kigezo chochote kile, anaandika Tundu Lissu. Alikuwa mwasisi wa Serikali ya Mapinduzi Zanzibar mara ...

Read More »

JPM angejua, asingethubutu

KWA kauli na mwenendo wa utawala wake, Rais John Magufuli hapendi upinzani. Hapendi kukosolewa. Anafanya jitihada zote anazoweza kuhakikisha yeye pekee ndiye anabaki katika majukwaa ya siasa. Anawaambia wanasiasa wengine ...

Read More »

Rais mbabe au viongozi wa dini waoga?

TAIFA linahitaji uponyaji, maombezi na maonyo kutoka kwa viongozi wa dini zote, anaandika Mwandishi Wetu. Huduma hizo zinahitajika mno sasa kuliko wakati mwingine, kwa kuwa zipo dalili kwamba Tanzania sasa ...

Read More »

Makonda aumbuka, azomewa mbele ya JPM

PAUL Makonda, Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam amezomewa na wafanyabiashara wadogowadogo (wamachinga) mbele ya Rais John Magufuli, anaandika Faki Sosi. Tukio hilo lilitokea jana katika ofisi ndogo za ...

Read More »

Kafulila: Magufuli anazidi kudidimiza uchumi

DAVID Kafulila, aliyekuwa Mbunge wa jimbo la Kigoma Kusini (2010-2015) amesema takwimu za kiuchumi zinaonyesha hali ya Tanzania inaendelea kuwa mbaya zaidi chini ya Serikali ya awamu ya tano, anaandika ...

Read More »

Magufuli ‘azika’ demokrasia

  JOHN Magufuli, Rais wa Tanzania, ameonesha wazi dhamira ya kuzuia mikutano na maandamano ya vyama vya siasa nchini katika kipindi cha utawala wake wa miaka mitano, anaandika Moses Mseti. ...

Read More »

CCM, IGP wawakimbia Chadema na Mutungi

KIKAO kilichokuwa kimeitishwa na Tume ya Haki za Binadamu na Utawala Bora ili kujadili hatima ya kufanyika kwa mikutano ya hadhara hapa nchini kimeota mbawa baada ya baadhi ya wajumbe ...

Read More »

RC azomewa mbele ya JPM

JOHN Mongella, Mkuu wa Mkoa wa Mwanza amejikuta katika wakati mgumu baada ya kuzomewa na wananchi, mbele ya Rais John Magufuli, anaandika Moses Mseti. Mongella alikumbana na kasheshe hiyo wakati akitoa ...

Read More »

Chadema mguu sawa! Mbowe  hadi kieleweke

MWENYEKITI wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), Freeman Mbowe, amewataka viongozi na wafusi wa chama hicho katika ngazi mbalimbali, kutotishika na vitisho vya jeshi la polisi, anaandika Josephat Isango. ...

Read More »

Chadema ‘wapaniki’, Lissu ajiapiza

TUMECHOKA kuvumilia! Ni kauli ya viongozi wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) baada ya kudai kusakamwa na Serikali ya Rais John Magufuli, anaandika Pendo Omary. Chama hicho kimetoa kauli hiyo leo ...

Read More »

Mbunge CCM amshambulia mteule Magufuli

MVUTANO kuhusu hatua zinazochukuliwa na serikali dhidi ya wafanyabiashara wadogo (Machinga) katika Jji la Mwanza unakita mizizi, anaandika Moses Mseti. Stanslaus Mabula, Mbunge wa Jimbo la Nyamagana (CCM) jijini humo amemshambuliwa ...

Read More »

Zitto: Bila kilimo hakuna viwanda

WAKATI taifa likiadhimisha siku ya maonyesho ya wakulima ya Nane nane, serikali inalaumiwa kwa kutochukua hatua stahiki katika kuboresha hali ya kilimo kwa wakulima wadogo, anaandika Pendo Omary. Zitto Kabwe, Kiongozi ...

Read More »

Waitara ampandia Rais Magufuli

MWITA Waitara, Mbunge wa Jimbo la Ukonga, Dar es Salaam amesema, marufuku ya vyama vya siasa kufanya mikutano ya hadhara nchini inatokana na kukosekana kwa fikra pevu miongoni mwa viongozi, ...

Read More »

Chadema yaja juu

LICHA ya kuwepo kwa vitisho kutoka mamlaka za juu nchini kuhusu kuzuia mikutano ya hadhara ya kisiasa, Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) kimegoma kurudi nyuma, anaandika Dany Tibason. Kimeeleza ...

Read More »

CUF kufa kifo cha mende?

  CHAMA cha Wananchi (CUF) ni kama kipo kuzimu. Kimelegea, kimechuja na kwa sasa kimegota, anaandika Faki Sosi. CUF ya Prof. Ibrahim Lipumba, aliyekuwa mwenyekiti wa chama hicho taifa kabla ...

Read More »

Jaji Mutungi, wakala wa CCM?

JINA la Francis Mutungi, msajili wa vyama vya siasa nchini, limegonga tena vichwa vya habari. Jina hili huwa linajitokeza kwa nadra. Ila linapojitokeza, huwa ni kwa masuala yenye utata, anaandika ...

Read More »

Mgeja: Makamba anazeeka vibaya

KHAMIS Mgeja, aliyekuwa Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Mkoa wa Shinyanga amesema, Yusufu Makamba, Katibu Mkuu Mstaafu wa CCM anazeeka vibaya, anaandika Charles William. Mgeja ambaye aliihama CCM mwaka ...

Read More »

Yametimia, ni Lissu tena kizimbani

HATIMAYE Jeshi la  Polisi Jijini Dar es salaam limemfikisha rasmi kizimbani Mwanasheria Mkuu wa Chadema ambaye pia ni Mbunge wa Jimbo Singida Mashariki wilaya ya Ikungi mkoani Singida, anaandika Charles ...

Read More »

Lissu ‘ampeleka’ rumande Katibu Mkuu Bavicha

KATIBU Mkuu wa Baraza la Vijana wa Chama Cha Demokrasia na Maendeleo (Bavicha) Julius Mwita amekamatwa na Jeshi la Polisi mchana huu katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu, Dar es ...

Read More »

Ulinzi wa kutisha, Lissu bado rumande

MAHAKAMA ya Hakimu Mkazi Kisutu imezungukwa na askari wa Jeshi la Polisi waliojihami kwa silaha za moto wakati Mwanasheria Mkuu wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) Tundu Lissu akisubiriwa ...

Read More »

Polisi wamnyima Lissu dhamana

JESHI la Polisi, kanda Maalumu ya Dar es Salaam limemnyima dhamana, Tundu Lissu, Mwanasheria Mkuu wa Chama Cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), baada ya kumaliza kuhojiwa katika kituo kikuu cha ...

Read More »

Lissu funga kazi, polisi watweta

TUNDU Lissu, Mbunge wa Singida Mashariki amefikishwa katika Kituo cha Polisi cha Kati jijini Dar es Salaam kwa mahojiano, polisi wamekuwa na kazi ya ziada, anaandika Shaban Matutu. Idadi ya ...

Read More »

UKAWA wahamasishana kumsaka Lissu

VIONGOZI na wanachama wa vyama vinavyounda Umoja wa Katiba ya Wananchi (UKAWA), wameombwa kujitokeza kwa wingi makao makuu ya jeshi la polisi jijini Dar es Salaam, kufuatilia hatma ya mbunge ...

Read More »

Hofu yatua ACT-Wazalendo

ZITTO Kabwe, Kiongozi Mkuu wa Chama cha ACT-Wazalendo ameonesha hofu ya kustawi kwa chama chake iwapo kauli ya Rais John Magufuli ya kuzuia mikutano itaendelea kusimamiwa, anaandika Faki Sosi. Amesema, ...

Read More »

Lissu hajulikani alipo, Chadema wamsaka

TUNDU Lissu, Mbunge wa Singida Mashariki hajulikani alipo. Viongozi wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) Mkoa wa Singida wanamsaka, anaandika Josephat Isango. Lissu alikamatwa na Jeshi la Polisi jana ...

Read More »

Lissu mbaroni

TUNDU Lissu Mbunge wa Singida Mashariki ametiwa mbaroni na jeshi la Polisi Mkoani Singida mara baada ya kumaliza mkutano wa hadhara, anaandika mwandishi wetu. Taarifa zinasema kuwa Lissu alikamatwa mara ...

Read More »

Richard Mabala amkosoa Rais Magufuli

  MWANDISHI mkongwe wa vitabu nchini, Richard Mabala amekosoa hatua ya serikali kuhamia Dodoma kama wamekurupushwa, anaandika Pendo Omary. Mabala ameonesha kuwa, nia ya Rais John Magufuli la kuitaka serikali ...

Read More »

Lugola, Mwambalaswa, Murad huru

TUHUMA za kuomba rushwa zilizokuwa zikimkabili wabunge Kangi Lugola, Victor Mwambalaswa na Murad Sadiq zimefutwa, anaandika Faki Sosi.   Wabunge hao walifikishwa katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu, jijini Dar ...

Read More »

Mch. Msigwa: Nitalipa kisasi

KEJELI za Rais John Magufuli dhidi ya vyama vya upinzani lazima zijibiwe, tena bila hofu, anaandika Pendo Omary. Ni kauli ya Mchungaji Peter Msigwa, Mbunge wa Jimbo la Iringa Mjini leo alipozungumza ...

Read More »

Lissu ‘ampasua’ Magufuli

TUNDU Lissu, Mbunge wa Singida Mashariki amesema, mwenye mamlaka ya kuzuia mikutano ya kisiasa ni Mkuu wa Polisi Wilaya (OCD) pekee, anaandika Faki Sosi. Amesema, Katiba ya Jamhuri ya Muungano wa ...

Read More »

Polisi wazidisha danadana tuhuma za Sosopi.

Jeshi la Polisi kanda maalumu ya Dar es Salaam limeendelea kupiga danadana tuhuma zinazomkabili Patrick Ole Sosopi, Makamu Mwenyekiti wa Baraza la Vijana wa Chadema (Bavicha), anaandika Josephat Isango. Taarifa ...

Read More »

Dk. Mahanga: Nini kimempata Lembeli?

JAMES Lembeli amesikitisha wengi. Kauli yake ya kumshabikia Rais John Magufuli imeibua mjadala mkubwa, anaandika Charles William. Lembeli aliibuka katika mkutano wa hadhara wa Rais Magufuli na wananchi wa Kahama mkoani ...

Read More »

Mrema ajificha kwa Lowassa

HATUA ya Augustino Mrema, Mwenyekiti wa Chama cha TLP kutajwa kama wakala wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) ndani ya upinzani, inamkera, anaandika Regina Mkonde. Mrema ambaye hivi karibuni Rais John ...

Read More »

Chadema: Tutamalizia kwa Dk. Magufuli

  SIKU moja baada ya Rais John Magufuli kuonya mikutano ya kisiasa ya hadhara, Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) kimeahidi kumalizia mikutano yake nyumbani kwake Chato, Geita, anaandika Moses Mseti. ...

Read More »

Waziri aonya watumishi wa umma

SELEMAN Jafo, Naibu Waziri Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (Tamisemi) ametangaza kupambana na watumishi pia watendaji katika halmashauri  ambao hawatimizi wajibu wao, anaandika Dany Tibason. Katika ...

Read More »

Hofu ya vurugu 100%

TAIFA lipo njiapanda. Hivi ndivyo unavyoweza kusema baada ya Serikali ya Chama Cha Mapinduzi (CCM) ‘kuasisi’ mvutano usio wa lazima, anaandika Dany Tibason. Pande mbili zinaumana; moja ikiwa ni serikali inayoendeshwa ...

Read More »

Mbowe, Lowassa, Lissu ‘wavamia’ polisi

FREEMAN Mbowe, Mwenyekiti wa Chma cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), akiambatana na viongozi wengine wa chama hicho leo mchana ameitikiwa wito wa Jeshi la Polisi, anaandika Faki Sosi. Mbowe juzi aliandika ...

Read More »

Msigwa ataka Ikulu iuzwe

Peter Msigwa, Mbunge wa Iringa mjini (Chadema) amemshauri Dk John Magufuli, Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kuuza kwanza Ikulu kabla ya kuuza majengo mengine ya serikali ili zipatikane ...

Read More »

Lowassa kunguruma

WIKI moja baada ya kuwa gumzo kuu katika mkutano mkuu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Edward Lowassa, Waziri Mkuu Mstaafu ambaye aligombea urais katika uchaguzi mkuu mwaka jana, Jumapili 30 Novemba ...

Read More »

Lissu amjibu Magufuli

Tundu Lissu, Mwanasheria Mkuu wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) amesema kauli za Dk John Magufuli, Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ni za kibaguzi na zinavunja umoja ...

Read More »

Magufuli: Chadema watakiona cha mtema kuni

JOHN Pombe Magufuli, rais wa Tanzania amesewaonya viongozi wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) waliotangaza kuongoza maandamano kuanzia 1 Septemba mwaka huu,anaandika Charles William. Rais Magufuli ambaye alikabidhiwa uenyekiti ...

Read More »

Chadema yasisitiza ‘jino kwa jino’

SIKU Moja baada ya kuonywa na Msajili wa vyama vya siasa hapa nchini, Jaji Francis Mutungi Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), kimeibuka na kusema, oparesheni ya Umoja wa Kupinga Udikteta ...

Read More »

Maalim Seif kufunguka tena Marekani 

MAALIM Seif Shariff Hamad, Katibu Mkuu wa Chama Cha Wananchi- CUF anatarajia kuzungumza na watanzania waishio mji wa Boston nchini Marekani,  anaandika Pendo Omary. Mkuatano huo ambao utafanyika katika eneo ...

Read More »
error: Content is protected !!
Visit Us On FacebookVisit Us On TwitterVisit Us On YoutubeVisit Us On Instagram