Habari za Siasa

15 warejeshwa kugombea ubunge, 15 watupwa

TUME ya Taifa ya Uchaguzi (NEC) nchini Tanzani, imekubali rufaa 15 kati ya 55 za wagombea ubunge katika Uchaguzi Mkuu utakaofanyika Jumatano tarehe 28 Oktoba 2020. Anaripoti Mwandishi Wetu, Dar ...

Read More »

Magufuli atoa siri Tizeba, Lugola kukatwa

MWENYEKITI wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) nchini Tanzania, Rais John Pombe Magufuli, ameeleza mchakato wa kuwapata wagombea ubunge wa Buchosa jijini Mwanza na Mwibara mkoani Mara ndani ya chama hicho. ...

Read More »

‘Dili’ la Membe, Lissu, Maalim Seif hadharani

KAULI kwamba ‘tutashirikiana’ kati ya Chama cha ACT-Wazalendo na Chama  cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), imeanza kudhihiri kwa vitendo. Anaripoti Mwandishi Wetu, Unguja … (endelea). Tundu Lissu, mgombea urais kupitia ...

Read More »

Mgombea ubunge CCM kuwarejesha nyumbani wana Mufundi

MGOMBEA Ubunge wa Mufindi Kusini Mkoa wa Iringa kupitia Chama Cha Mapinduzi (CCM), David Kihenzile amesema, vijana na wasomi wote wanaoishi nje ya Mufindi wanapaswa kurudi nyumbani na kuijenga Mufindi ...

Read More »

Wagombea 62 ACT-Wazalendo wang’olewa

JUMLA ya wagombea 62 wa Chama cha ACT-Wazalendo, wameng’olewa kwenye kinyang’anyoro cha ubunge Tanzania Bara na visiwani Zanzibar. Anaripoti Faki Sosi, Dar es Salaam…(endelea). Zitto Kabwe, kiongozi wa chama hicho ...

Read More »

JPM: Shukrani ya punda, mateke

DAKTARI John Magufuli, mgombea urais kupitia Chama Cha Mapinduzi (CCM) amesema, licha ya kufanya kazi kubwa ya kuleta maendeleo Tanzania, bado kuna watu wanamtukana. Anaripoti Mwandishi Wetu…(endelea). Ametoa kauli hiyo ...

Read More »

Gwajima aliamsha dude Kawe, ‘sina njaa’

ASKOFU Josephat Gwajima, mgombea ubunge katika Jimbo la Kawe kupitia Chama Cha Mapinduzi (CCM), amesema alianza kuitumikia Kawe siku nyingi. Anaripoti Mwandishi Wetu, Dar es Salaam…(endelea). Amesema, kabla ya kuwa ...

Read More »

Majaliwa: Bilioni 577 zatekeleza miradi Arusha, mchagueni Magufuli

MJUMBE wa Kamati Kuu ya Chama Cha Mapinduzi (CCM) ambaye ni Waziri Mkuu wa Tanzania, Kassim Majaliwa amesema Serikali ya awamu ya tano inayoongozwa na Rais John Pombe Magufuli imetoa ...

Read More »

Maganja wa NCCR-Mageuzi abainisha vipaumbele 10 ikiingia Ikulu

CHAMA cha NCCR-Mageuzi nchini Tanzania leo Jumamosi tarehe 5 Septemba 2020 kimezindua rasmi kampeni zake za Urais wa Tanzania katika Uchaguzi Mkuu wa tarehe 28 Oktoba 2020. Anaripoti Regina Mkonde, ...

Read More »

Mbatia atoa siri upinzani kutoungana uchaguzi mkuu 2020

JAMES Mbatia, Mwenyekiti wa Chama cha NCCR-Mageuzi nchini Tanzania, amesema ukosefu wa uaminifu ndiyo sababu vyama vya siasa vya upinzani kutofikia mwafaka wa kuungana katika Uchaguzi Mkuu utakaofanyika Jumatano tarehe ...

Read More »

NCCR-Mageuzi wamkosoa IGP Sirro

CHAMA cha NCCR-Mageuzi nchini Tanzania kimeoneshwa kusikitishwa na kauli ya Inspekta Jenerali wa Polisi (IGP) Simon Sirro aliyesema ataweka kambi visiwani Zanzibar, kwa ajili ya kufuatilia Uchaguzi Mkuu wa tarehe ...

Read More »

NCCR-Mageuzi wazindua Ilani ya Mwafaka wa Kitaifa

CHAMA cha NCCR-Mageuzi nchini Tanzania kimezindua Ilani yake ya Uchaguzi Mkuu wa Jumatano tarehe 28 Oktoba 2020, waliyoipa jina la ‘Ilani ya Mwafaka wa Kitaifa’. Anaripoti Regina Mkonde, Dar es ...

Read More »

Kanisa Katoliki latoa tamko uchaguzi mkuu Tanzania

KANISA Katoliki nchini Tanzania, limevitaka vyombo vyote vinavyosimamia Uchaguzi Mkuu utakaofanyika Jumatano tarehe 28 Oktoba 2020 kutenda haki ili kutoivuruga amani iliyopo. Anaripoti Mwandishi Wetu…(endelea). Wito huo umetolewa na Rais ...

Read More »

Polisi yawadaka wagombea wanaofuatilia rufaa NEC

JESHI la Polisi Mkoa wa Dodoma limewakamata wagombea ubunge na udiwani kutoka Chama cha Demokraaia na Maendeleo (Chadema) waliokuwa wanakwenda Ofisi ya Tume ya Taifa ya Uchaguzi (NEC) zilizopo Njedengwa ...

Read More »

Chadema yaanza safari kutafuta uongozi Kinondoni

CHAMA cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) Jimbo la Kinondoni, Dar es Salaam, kimeanza safari ya kusaka uongozi kata na jimbo hilo, katika Uchaguzi Mkuu utakaofanyika Jumatano tarehe 28 Oktoba 2020. ...

Read More »

Mnyika: NEC turudishieni wagombea ili tupimane ubavu

JOHN Mnyika, Katibu Mkuu wa chama kikuu cha upinzani nchini Tanzania Chadema, ameitaka Tume ya Taifa ya Uchaguzi (NEC) kuwarejesha wagombea wao wa madiwani na wabunge ili wapimane ubavu na ...

Read More »

Alicia: Nilivutiwa na Lissu, nilidengua dengue kwanza

ALICIA Magabe, mke wa mgombea urais wa Tanzania kupitia Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), Tundu Lissu, ameeleza jinsi walivyokutana na kukubaliana kisha kufunga ndoa. Anaripoti Danson Kaijage, Dodoma … ...

Read More »

Profesa Mkumbo: Tutajenga ukumbi wa michezo wa kisasa

MGOMBEA ubunge wa Ubungo, Dar es Salaam kupitia Chama Cha Mapinduzi (CCM), Profesa Kitila Mkumbo amesema, akichagulia atahakikisha anaishaiwi Serikali kujengwa ukumbi wa kisasa wa michezo (Sports Arena) ndani ya ...

Read More »

Profesa Mkumbo aanika vipaumbele 10

PROFESA Kitila Mkumbo, mgombea ubunge wa Ubungo, Dar es Salaam kupitia Chama Cha Mapinduzi (CCM), amebainisha vipaumbele kumi atakavyokwenda kuvifanyia kazi endapo atachaguliwa katika Uchaguzi Mkuu utakaofanyika Jumatano tarehe 28 ...

Read More »

Chadema, TBC wamaliza tofauti zao

MGOGORO baina ya Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) na Shirika la Utangazaji Tanzania (TBC), umemalizika baada ya Jukwaa la Wahariri Tanzania (TEF) kuwakutanisha viongozi wakuu wa taasisi hizo. Anaripoti ...

Read More »

Lissu: Utawala huu umenifikisha hapa

TUNDU Lissu, mgombea urais kupitia Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), ameeleza kwamba, utawala wa awamu ya tano chini ya Rais John Magufuli, umemsukuma kugombea urais. Anaripoti Regina Mkonde, Dar es ...

Read More »

JPM aitibua Chadema, ‘Sisi waongo, matapeli?’

JOHN Mnyika, Katibu Mkuu wa Chama Cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), ameeleza kukerwa na kauli kwamba ‘wapinzani waongo, matapeli.’ Anaripoti Mwandishi Wetu, Tabora…(endelea). Ni baada ya kueleza kwamba, vyama vya ...

Read More »

JPM: Nataka niwe kama Kikwete

DAKTARI John Magufuli, mgombea urais wa Tanzania kupitia Chama Cha Mapinduzi (CCM), amesema anataka kukaa Ikulu kwa miaka 10 kama Rais Mstaafu, Jakaya Kikwete ili akamilishe miradi aliyoanzisha. Anaripoti Mwandishi ...

Read More »

Membe awafariji wahanga wa mafuriko

MGOMBEA Urais wa Tanzania kupitia ACT-Wazalendo, Bernard Membe amewafafiji wahanga wa mafuriko Kata ya Njinjo wilayani Kilwa mkoani Lindi. Anaripoti Faki Sosi, Lindi … (endelea). Mafuriko hayo yalitokea Januari 2020 ...

Read More »

Magufuli aahidi kusimamia sekta ya madini

JOHN Magufuli, Mgombea Urais wa Tanzania katika Uchaguzi Mkuu utakaofanyika Jumatano tarehe 28 Oktoba 2020 kupitia Chama Cha Mapinduzi (CCM), ameahidi kuimarisha mifumo ya kisera na kisheri kwenye sekta ya ...

Read More »

Bodi 100 taasisi za kisiasa, dini njiapanda 

WAKALA wa Usajili Ufilisi na Udhamini (RITA) nchini Tanzania, imezitaka Bodi za Wadhamini wa Taasisi 100 ambazo hazijafanya marejesho ya wadhamini kufanya hivyo haraka kabla hatua hazijachukuliwa. Anaripoti Mwandishi Wetu, ...

Read More »

Wanasiasa wanaodhalilisha wanawake wawajibishwe

WANAMTANDAO wa Katiba, Uchaguzi na Uongozi ambao ni watetezi wa haki za wanawake na wasichana, wamelaani kauli za udhalilishaji zilizoanza kutolewa na baadhi ya wanasiasa katika kampeni za Uchaguzi Mkuu ...

Read More »

Kikwete awafariji wagombea CCM

JAKAYA Mrisho Kikwete, Rais mstaafu wa Tanzania, amewataka wagombea wa Chama cha Mapinduzi (CCM) katika Uchaguzi Mkuu utakaofanyika Jumatano wa tarehe 28 Oktoba 2020, kutonyimwa usingizi na maneno ya vyama ...

Read More »

Rungwe: Nikiwa rais, nitauza ndege za Magufuli

HASHIMU Rungwe, mgombea urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kupitia Chaumma amesema, iwapo atachaguliwa kuwa rais wa nchi hiyo, atauza ndege zilizonunuliwa hivi karibuni. Anaripoti Mwandishi Wetu, Dar es Salaam ...

Read More »

Lowassa amnadi mwanae Monduli, amtumia ujumbe Magufuli

EDWARD Lowassa, Waziri Mkuu wa zamani nchini Tanzania, amemtumia ujumbe mgombea urais wan chi hiyo kupitia Chama Cha Mapinduzi (CCM), Rais John Magufuli kuelekea Uchaguzi  Mkuu utakaofanyika Jumatano tarehe 28 ...

Read More »

ACT-Wazalendo waja 50 kwa 50

CHAMA cha ACT-Wazalendo nchini Tanzania kimesema, endapo kitaingia madarakani baada ya Uchaguzi Mkuu utakaofanyika Jumatano tarehe 28 Oktoba 20200, kitaweka usawa wa kijinsia wa 50 kwa 50 kwenye uongozi. Anaripoti Faki ...

Read More »

Membe awataka wananchi kumuuliza Magufuli maswali 4

BERNARD Membe, Mgombea Urais wa Tanzania kupitia ACT-Wazalendo, amewataka wananchi wa Kilwa Mkoa wa Lindi, kuumuuliza maswali manne, mgombea urais wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Rais John Pombe Magufuli. Anaripoti Faki ...

Read More »

Lissu amwachia swali Magufuli 

TUNDU Lissu, Mgombea Urais wa Tanzania kwenye Uchaguzi Mkuu wa Jumatano tarehe 28 Oktoba 2020 kupitia Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), amemtaka Rais John Magufuli aeleze ukweli kuhusu watu ...

Read More »

Mbowe: CCM hawajiamini, akumbushia mil 50 kila kijiji

FREEMAN Mbowe, Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) amesema, Chama Cha Mapinduzi (CCM), hakijiamini na kimejaa hofu dhidi ya chama hicho. Anaripoti Mwandishi Wetu, Shinyanga … (endelea). Ametoa ...

Read More »

Alicia Lissu: Sitakwenda Ikulu kupika uji

ALICIA Magabe, mke wa mgombea urais wa Tanzania kupitia Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), Tundu Lissu amesema, atakapokwenda Ikulu hatobaki kuangalia tamthilia au kupika uji. Anaripoti Mwandishi Wetu, Shinyanga ...

Read More »

Jaji Mkuu: Kesi za uchaguzi zisicheleweshwe

MAJAJI wa Mahakama ya Rufani Tanzania wametakuwa kutochelewesha kutoa uamuzi wa kesi za kisiasa pasipo na sababu za msingi kwa kuwa, huwa na mvuto kwa wananchi. Anaripoti Christina Haule, Morogoro … (endelea). Prof. ...

Read More »

Magufuli nusura awatumbue DED, DC mkutanoni

JOHN Mwaipopo, Mkuu wa Wilaya ya Igunga (DC) na Revocatus Kuuli, Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri ya wilaya hiyo (DED) mkoani Tabora, nusura watumbuliwe. Anaripoti Mwandishi Wetu, Igunga … (endelea). Ni ...

Read More »

CUF wakosoa kauli ya Maalim Seif

KAULI ya Maalim Seif Sharif Hamad, mgombea urais wa Zanzibar kupitia Chama cha ACT-Wazalendo kwamba ‘vijana wawe tayari,’ imekosolewa vikali. Anaripoti Mwandishi Wetu, Zanzibar … (endelea). Mussa Haji Kombo, mgombea urais ...

Read More »

NEC yaunda kamati kuchunguza pingamizi, malalamiko

TUME ya Taifa ya Uchaguzi (NEC), imeunda Kamati za Maadili ili kushughulikia pingamizi na malalamiko ya wagombea kuhusu ukiukwaji wa maadili ya uchaguzi mkuu wa tarehe 28 Oktoba 2020. Anaripoti ...

Read More »

Membe ataja mambo 4 yaliyomfukuzisha CCM

BERNARD Membe, mgombea urais wa Tanzania kupitia ACT-Wazalendo, ameweka hadharani mambo manne yaliyosababisha kufukuzwa Chama Cha Mapindu (CCM). Anaripoti Faki Sosi, Lindi (endelea). Membe alifukuzwa CCM tarehe 28 Februari 2020 ...

Read More »

Zitto aichongea CCM kwa wananchi

ZITTO Kabwe, Kiongozi wa Chama cha ACT-Wazalendo amewataka Watanzania wasikipigie kura Chama Chama Mapinduzi  (CCM) kwani kimeshindwa kutekeza ahadi walizoahidi kwenye Kampeni za Uchaguzi Mkuu uliofanyika tarehe 25 Oktoba 2015. ...

Read More »

Maalim Seif: CCM ijiandae kuondoka itake isitake

MAALIM Seif Sharif Hamad, Mwenyekiti wa Chama cha ACT-Wazalendo amesema, chama hicho kimejiandaa kushika dola na Chama Cha Mapinduzi (CCM) kijiandae kuondoka ‘taka isitake’ baada ya Uchaguzi Mkuu utakaofanyika Jumatano ...

Read More »

Mwigulu amponda Lissu, Nyalandu mbele ya JPM 

DAKTARI Mwigulu Nchemba, mgombea ubunge Iramba Mashariki Mkoa wa Singida kupitia CCM, ameanza kumchokonoa Tundu Lissu, mgombea urais kupitia Chadema na Lazaro Nyalandu, mbombea ubunge Singida Kaskazini. Anaripoti Mwandishi Wetu, Singida ...

Read More »

Mgombea udiwani CUF aangua kilio kwenye kampeni

SALUM Mwinyikheri, mgombea udiwani katika Kata ya Mumbaka, Masasi mkoani Mtwara, ameangua kilio mbele ya wananchi wakati akiomba kura. Anaripoti Mwandishi Wetu, Masasi … (endelea). Akihutubia wananchi wake kwenye mkutano aliouandaa, ...

Read More »

Rais Magufuli: Hakuna kuzaa kwa mpango

DAKTARI John Magufuli, Mgombea Urais wa Tanzania kupitia Chama Cha Mapinduzi (CCM), amesema hakuna haja ya watu kuzaa kwa mpango kwa kuwa Serikali yake inatoa elimu bure. Anaripoti Mwandishi Wetu, ...

Read More »

Lissu: Nitafuta sheria hizi nikiingia Ikulu

TUNDU Lissu, mbombea urais wa Tanzania kupitia Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), ameahidi kufuta sheria zote kandamizi. Anaripoti Mwandishi Wetu, Arusha…(endelea). Ametoa ahadi hiyo jana Jumatatu tarehe 31 Agosti 2020, ...

Read More »

Magufuli: Miaka 5 ilikuwa onjaonja

MGOMBEA urais wa Tanzania kupitia Chama Cha Mapinduzi (CCM), Rais John Magufuli amesema, iwapo atapewa ridhaa na wananchi kuongoza Tanzani kwa awamu ya pili, kasi yake ya maendeleo itakuwa kubwa ...

Read More »

Kinana ahofia CCM kuanguka

ABDULRAHMAN Kinana, Katibu Mkuu Mstaafu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), ameonesha hofu ya kuanguka kwa chama hicho endapo wanachama wake watapuuza kupiga kura. Anaripoti Mwandishi Wetu, Bagamoyo … (endelea). Amesema, baadhi ...

Read More »

CCM yateua wagombea uwakilishi Z’bar

KAMATI Kuu Chama Cha Mapinduzi (CCM) imefanya uteuzi wa wagombea Uwakilishi katika Baraza la Wawakilish (BLW) Zanizbar katika majimbo 50 kwa kuzingatia uwezo, umahiri na utendaji wao. Anaripoti Danson Kaijage, ...

Read More »

Polepole amchimba mkwara Maalim Seif

HUMPHREY Polepole, Katibu wa Itikadi na Uenezi wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), amemtaka Maalim Seif Sharif Hamad kuacha kuchafua viongozi wa chama hicho, vinginevyo atashughulika naye. Anaripoti Mwandishi Wetu, Dodoma ...

Read More »
error: Content is protected !!