MWENYEKITI wa Bodi ya Chuo cha Kumbukumbu ya Mwalimu Nyerere, Stephen Wasira amemuelezea Baba wa Taifa, Hayati Mwalimu Julius Nyerere alikuwa kiongozi...
By Mwandishi WetuOctober 12, 2021MAKAMU Mwenyekiti wa Chama Cha Mapiduzi (CCM), Mzee Phillip Mangula, amesema vikao ni muhimu katika kutafuta makubaliano na kujenga umoja. Anaripoti Mwandishi...
By Mwandishi WetuOctober 12, 2021MWANASIASA mkongwe nchini Tanzania, Jaji Joseph Sinde Warioba, amekemea watu wanaotaka kuleta ubaguzi katika ukabila, udini, ukanda na uvyama, akisema wanahatarisha amani...
By Regina MkondeOctober 12, 2021CHAMA cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), kimesema hakitashiriki vikao vya majadiliano ya wadau wa vyama vya siasa, vilivyoitishwa na Msajili wa Vyama...
By Mwandishi WetuOctober 11, 2021MBUNGE wa Mtama mkoani Lindi, kupitia Chama Cha Mapinduzi (CCM), amempigia chapuo Rais Samia Suluhu Hassan, akitaka aongezewe muda wa kuiongoza Tanzania...
By Regina MkondeOctober 11, 2021CHAMA cha siasa nchini Tanzania cha ACT-Wazalendo kimesema, muda ulioombwa na Rais Samia Suluhu Hassan kuachwa ili kuijenga nchi kiuchumi umetosha na...
By Mwandishi WetuOctober 11, 2021BAADA ya chama cha siasa nchini Tanzania cha ACT-Wazalendo kuibuka washindi wa Jimbo la Konde-Pemba visiwani Zanzibar, chama hicho kimetosa sababu kuu...
By Mwandishi WetuOctober 11, 2021RAIS SAMIA Suluhu Hassan ameonya watumishi aliowateua kuacha kueneza sumu ya ukabila pindi wanapokosea na kutumbuliwa kwa sababu hateui kwa kuzingatia ukabila....
By Mwandishi WetuOctober 11, 2021JAJI Kiongozi wa Mahakama Kuu ya Tanzania, Mustapha Siyani, amekabidhiwa rasmi majukumu yake mapya baada ya kuapishwa na Rais Samia Suluhu Hassan,...
By Mwandishi WetuOctober 11, 2021RAIS wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan, amewaapisha viongozi watatu aliowateua tarehe 8 Oktoba 2021. Anaripoti Regina Mkonde, Dar es Salaam … (endelea)....
By Regina MkondeOctober 11, 2021WAZIRI wa Nchi, Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora nchini Tanzania, Mohamed Mchengerwa amewataka watumishi wa umma...
By Mwandishi WetuOctober 9, 2021SPIKA wa Bunge la Tanzania, Job Ndugai amefanya mabadiliko madogo ya wajumbe wa kamati za kudumu za Bunge huku akiwapangia kamati waliokuwa...
By Regina MkondeOctober 9, 2021RAIS wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan amefanya uteuzi wa viongozi mbalimbali akiwemo Jaji Mustapha Siyani kuwa Jaji Kiongozi. Anaripoti Mwandishi Wetu, Dar...
By Mwandishi WetuOctober 8, 2021RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Visiwani humo, Dk. Hussein Ali Mwinyi amesema uamuzi wa mapokezi ya ndege mbili...
By Mwandishi WetuOctober 8, 2021TUME ya Taifa ya Uchaguzi (NEC), imewataka wapiga kura katika uchaguzi mdogo wa ubunge na udiwani, unaotarajiwa kufanyika kesho Jumamosi, kutofanya mikusanyiko...
By Mwandishi WetuOctober 8, 2021Makamu wa Rais, Dk. Philip Mpango amemuagiza Waziri ya viwanda na biashara, Prof. Kitila Mkumbo pamoja na Shirikisho la wenye Viwanda nchini...
By Mwandishi WetuOctober 8, 2021KONGAMANO la haki, amani na maridhiano lililokuwa lifanyike tarehe 21-23 Oktoba 2021, ambalo linaandaliwa na Kituo cha Demokrasia Tanzania (TCD) limeahirishwa. Anaripoti...
By Mwandishi WetuOctober 8, 2021WAZIRI Mkuu wa Tanzania, Kassim Majaliwa amekataa kufungua barabara ya lami yenye urefu wa kilomita 1.2 iliyoko katika halmashauri ya wilaya ya...
By Mwandishi WetuOctober 7, 2021SPIKA wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Job Ndugai amesema alikuwa na ndoto ya kuwa hakimu kama alivyokuwa baba yake...
By Mwandishi WetuOctober 7, 2021WAZIRI Mkuu wa Tanzania, Kassim Majaliwa amesema Serikali ya awamu ya sita inayoongozwa na Rais Samia Suluhu Hassan, haitawavumilia watumishi wa umma...
By Mwandishi WetuOctober 7, 2021RAIS Samia Suluhu Hassan amemuagiza Jaji Mkuu na Kaimu Jaji Kiongozi kutupia jicho vizuri usimamizi wa ubora wa maamuzi kwenye mahakama za...
By Mwandishi WetuOctober 6, 2021PROFESA Mussa Assad, aliyewahi kuwa Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali ya Tanzania (CAG) amekerwa na viongozi wenye uwezo wa...
By Mwandishi WetuOctober 6, 2021PROFESA Mussa Assad, aliyewahi kuwa Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali ya Tanzania (CAG) amesema, aliondolewa katika wadhifa wa U...
By Mwandishi WetuOctober 6, 2021ALIYEWAHI kuwa waziri wa mambo ya nje wa Tanzania, Bernard Membe amesema Rais Samia Suluhu Hassan ni kiongozi jasiri na mahiri, anatosha...
By Mwandishi WetuOctober 5, 2021RAIS wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan, amekutana na kuzungumza na Mkurugenzi Mkuu wa Benki ya Kiarabu ya Maendeleo ya Uchumi Afrika (BADEA),...
By Mwandishi WetuOctober 5, 2021CHAMA cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), Kanda ya Pwani nchini Tanzania, kimemuomba Msajili wa Vyama vya Siasa nchini, Jaji Francis Mutungi, aingilie...
By Mwandishi WetuOctober 4, 2021WAZIRI Mkuu, Kassim Majaliwa, ameziagiza wizara, halmashauri na taasisi za Serikali na binafsi, ziimarishe mazingira ya uchumi shirikishi ili kukuza kipato cha...
By Regina MkondeOctober 4, 2021WANASHERIA wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), wamewasilisha maombi katika Mahakama Kuu ya Tanzania, kuiomba itoe amri ili wafuasi wake wanaoshikiliwa...
By Mwandishi WetuOctober 3, 2021MWENYEKITI wa Kituo cha Demokrasia Tanzania (TCD), Zitto Kabwe amemshauri Msajili wa vyama vya siasa nchini humo, Jaji Francis Mutungi kutoingilia ratiba...
By Masalu ErastoOctober 2, 2021RAIS wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan, amesema katika kipindi chake cha uongozi, atahakikisha anaimarisha chama cha Skauti nchini humo. Anaripoti Mwandishi Wetu,...
By Mwandishi WetuOctober 2, 2021NGOME ya Wazee wa Chama cha ACT-Wazalendo nchini Tanzania, imeomba kuonana na Rais wa nchi hiyo, Samia Suluhu Hassan, ili kuzungumza changamoto...
By Regina MkondeOctober 1, 2021TAASISI ya Mwalimu Nyerere (MNF) nchini Tanzania, imeombwa kuandaa kikao cha mariadhiano ambacho kitawakutananisha viongozi wakuu wa vyama vya siasa nchini ili...
By Mwandishi WetuOctober 1, 2021WAZIRI Mkuu wa Tanzania, Kassim Majaliwa, amesema kifo cha aliyekuwa Naibu Waziri Ofisi ya Waziri Mkuu, Uwekezaji, William Tate Ole Nasha, kilichotokea...
By Regina MkondeSeptember 30, 2021MAHAKAMA ya Hakimu Mkazi Arusha nchini Tanzania, kesho Ijumaa tarehe 1 Oktoba 2021, itatoa hukumu ya kesi ya unyang’anyi wa kutumia silaha,...
By Masalu ErastoSeptember 30, 2021RAIS Samia Suluhu Hassan amesema Serikali imeshakamilisha kitini kinachotoa muongozo wa namna mashirika yasiyo ya kiserikali (NGO’s) yatanufaika na misamaha ya kodi....
By Masalu ErastoSeptember 30, 2021RAIS Samia Suluhu Hassan ametoa mitihani mitano kwa mashirika yasiyo ya kiserikali nchini ikiwamo kuoanisha mipango yao na vipaumbele na mipango ya...
By Masalu ErastoSeptember 30, 2021LILIAN Furaha Kibona, mke wa mshtakiwa wa pili, Adam Kasekwa, ameieleza Mahakama Kuu, Divisheni ya Makosa ya Rushwa na Uhujumi Uchumi, Dar...
By Regina MkondeSeptember 29, 2021RAIS wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan, amekutana na kufanya mazungumzo na Waziri Mkuu mstaafu wa Uingereza, Tony Blair. Anaripoti Wiston Josia, TUDARCo...
By Masalu ErastoSeptember 29, 2021LILIAN Furaha Kibona, mke wa mshtakiwa wa pili, Adam Kasekwa, kwenye kesi ya uhujumu uchumi inayomkabili Mwenyekiti wa Chadema, Freeman Mbowe na...
By Regina MkondeSeptember 29, 2021MAHAKAMA Kuu, Divisheni ya Makosa ya Rushwa na Uhujumu Uchumi, Dar es Salaam, imeahirisha usikilizwa wa kesi inayomkabili Mwenyekiti wa Chadema, Freeman...
By Regina MkondeSeptember 29, 2021MKE wa mshtakiwa Adam Kasekwa ambaye ni shahidi wa tatu wa utetezi, Lilian Kibona, ameanza kutoa ushahidi wake katika Mahakama ya Uhujumu...
By Regina MkondeSeptember 29, 2021RAIS Samia Suluhu Hassan ameliomba Kanisa la Anglikana Tanzania kuunga mkono dhamira ya Serikali katika kuwainua wanawake kijamii, kiuchumi, kisiasa na kupambana...
By Masalu ErastoSeptember 28, 2021KESI ya uhujumu uchumi, inayomkabili Mwenyekiti wa Chadema, Freeman Mbowe na wenzake, imechukua sura mpya baada ya taarifa za washtakuwa wawili kukinzana...
By Kelvin MwaipunguSeptember 28, 2021RAIS wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan ametoa pole kwa familia, Bunge na wananchi kufuatia kifo cha William Tate Ole Nasha. Anaripoti Mwandishi...
By Mwandishi WetuSeptember 28, 2021RAIS wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan, amefanya uteuzi wa wajumbe watatu kujaza nafasi katika Tume ya Taifa ya Uchaguzi (NEC). Anaripoti Mwandishi...
By Mwandishi WetuSeptember 27, 2021ADAM Kasekwa, mshtakiwa wa pili katika kesi ya uhujumu uchumi yenye mashtaka ya ugaidi, inayomkabili Mwenyekiti wa Chadema, Freeman Mbowe na wenzake,...
By Regina MkondeSeptember 27, 2021KWA mara ya pili Rais Samia Suluhu Hassan amewakemea watumishi wanaodhani kuwa yeye ni mpole na kurudia kusisitiza kuwa ataongea nao kwa...
By Masalu ErastoSeptember 27, 2021RAIS Samia Suluhu Hassan amesema kuna fedha ambayo ameipata na sasa anatarajia kushirikiana na halmashauri zenye uwezo kifedha kujenga madarasa 15,000 nchi...
By Masalu ErastoSeptember 27, 2021ADAM Kasekwa, mshtakiwa wa pili katika kesi ndogo ya kesi ya uhujumu uchumi, inayomkabili Mwenyekiti wa Chadema, Freeman Mbowe na wenzake, amepata...
By Regina MkondeSeptember 27, 2021RAIS wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan amewasili Jijini Dodoma akitokea mkoani Dar es Salaam. Anaripoti Mwandishi Wetu, Dodoma … (endelea). Rais Samia...
By Mwandishi WetuSeptember 27, 2021