MJADALA juu ya mgawo wa umeme na uhaba wa maji, umeiweka Serikali ya Tanzania njia panda, baada ya baadhi ya viongozi wake...
By Gabriel MushiNovember 19, 2021RAIS Samia Suluhu Hassan ameiagiza Wizara ya Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee, Watoto na Walemavu kushirikiana na Hospitali ya Kanda ya...
By Mwandishi WetuNovember 18, 2021RAIS Samia Suluhu Hassan amesema mojawapo ya chanzo cha uhaba wa maji jijini Dar es Salaam ni watu kujenga blocks ‘vizuizi’ kwenye...
By Mwandishi WetuNovember 18, 2021JOACHIM Tiganga, Jaji anayesikiliza kesi ya ugaidi inayomkabili Mwenyekiti wa Chadema, Freeman Mbowe na wenzake watatu, ameiahirisha hadi Jumatatu, tarehe 22 Novemba...
By Mwandishi WetuNovember 18, 2021MAWAKILI wa pande mbili katika kesi ya ugaidi inayomkabili Mwenyekiti wa Chadema, Freeman Mbowe na wenzake watatu, wanachuana katika pingamizi la utetezi...
By Mwandishi WetuNovember 18, 2021UPANDE wa utetezi, katika kesi ya ugaidi inayomkabili Mwenyekiti wa Chadema, Freeman Mbowe na wenzake watatu, umepewa ‘diary’ aliyokutwa nayo kizimbani shahidi...
By Mwandishi WetuNovember 17, 2021PINGAMIZI la utetezi dhidi ya kumkataa shahidi wa Jamhuri katika kesi inayomkabili Mwenyekiti wa Chadema, Freeman Mbowe na wenzake watatu, limetupiliwa mbali...
By Mwandishi WetuNovember 17, 2021MAHAKAMA Kuu, Divisheni ya Makosa ya Rushwa na Uhujumu Uchumi iliyopo Mawasiliano jijini Dar es Salaam, imeahirisha kutoa uamuzi madogo katika kesi...
By Mwandishi WetuNovember 16, 2021MAHAKAMA Kuu, Divisheni ya Rushwa na Uhujumu Uchumi jijini Dar es Salaam nchini Tanzania, leo Jumanne, tarehe 16 Novemba 2021, itatoa uamuzo mdogo...
By Mwandishi WetuNovember 16, 2021MAWAKILI wa utetezi na jamhuri katika kesi ya makosa ya ugaidi inayomkabili Mwenyekiti wa Chadema, Freeman Mbowe na wenzake, wameonesha umwamba wa...
By Mwandishi WetuNovember 15, 2021RAIS Samia Suluhu Hassan amewataka makamanda wa Jeshi la Wananchi Tanzania (JWTZ) kuijadili changamoto ya ugaidi na kuzidi kuimarisha weledi katika mapambano...
By Mwandishi WetuNovember 15, 2021MAHAKAMA Kuu, Divisheni ya Makosa ya Rushwa na Uhujumu Uchumi, Dar es Salaam, imekubali kupokea barua inayomthibitisha Askari Mpelelezi, Ricardo Msemwa, kuwa...
By Mwandishi WetuNovember 15, 2021JUMUIYA ya Wanawake ya chama cha upinzani nchini Tanzania- Chama cha Wananchi (JUKECUF), imekiomba chama kuwafungulia kesi wanachama waliofukuzwa kwa madai ya...
By Mwandishi WetuNovember 15, 2021ALIYEKUWA Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam (RC) nchini Tanzania, Paul Christian Makonda, anatarajiwa kufikishwa mahakamani, wakati wowote kuanzia sasa. Anaripoti...
By Mwandishi WetuNovember 15, 2021AMIRI Jeshi Mkuu wa Majenzi ya Ulinzi na Usalama nchini Tanzania, Rais Samia Suluhu Hassan leo Jumapili, tarehe 14 Novemba 2021, anazindua Chuo...
By Mwandishi WetuNovember 14, 2021RAIS wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan amefanya uteuzi wa viongozi nane akiwemo bosi wa zamani wa Mamlaka ya Usimamizi wa Mifuko ya...
By Mwandishi WetuNovember 13, 2021WALIOKUWA wajumbe wa Baraza Kuu la Chama cha Wananchi (CUF), wanatarajia kuwasilisha barua ya kukataa rufaa kupinga kutimuliwa, kwa Msajili wa Vyama...
By Mwandishi WetuNovember 13, 2021ALIYEKUWA Mwenyekiti wa Baraza la Vyama vya Siasa Tanzania, John Shibuda amemuomba Rais Samia Suluhu Hassan aimarishe hali ya kisiasa na kidemokrasia...
By Mwandishi WetuNovember 13, 2021MWENYEKITI wa Chama cha NCCR-Mageuzi, James Mbatia, ameiomba Serikali itoke hadharani, ili itoe majibu dhidi ya changamoto za mgawo maji na sakata...
By Mwandishi WetuNovember 13, 2021SAMIA Suluhu Hassan, Rais wa Tanzania amemaliza ziara yake ya siku tatu nchini Misri na kurejea nchini mwake leo Ijumaa, tarehe 12...
By Mwandishi WetuNovember 12, 2021WAZIRI Mkuu wa Tanzania, Kassim Majaliwa ametoa maagizo sita muhimu ambayo yanatakiwa kuzingatiwa kikamilifu na viongozi na watendaji wote wa Serikali wakati...
By Mwandishi WetuNovember 12, 2021WAZIRI Mkuu wa Tanzania, Kassim Majaliwa amesema Serikali imetenga Sh.1 trilioni kwa ajili ya mikopo kwa mabenki na taasisi za fedha kwa...
By Mwandishi WetuNovember 12, 2021MAWAKILI wa utetezi katika mashtaka ya ugaidi yanayomkabili Mwenyekiti wa Chadema, Freeman Mbowe na wenzake watatu, wamepinga kupokelewa kwa barua inayomthibitisha askari...
By Regina MkondeNovember 12, 2021MAWAKILI wa utetezi katika mashtaka ya ugaidi yanayomkabili Mwenyekiti wa Chadema, Freeman Mbowe na wenzake watatu, wamepinga kupokelewa kwa barua inayomthibitisha askari...
By Regina MkondeNovember 12, 2021ASKARI Mpelelezi (Detective Constable-DC), Ricardo Msemwa, shahidi wa Jamhuri, katika kesi ndogo ya kupinga maelezo ya onyo ya mshtakiwa wa tatu, Mohammed...
By Regina MkondeNovember 12, 2021WIZARA ya Mambo ya Ndani nchini Tanzania, imesema kuanzia Januari hadi Septemba 2021, takwimu ya vitendo vya ukatili kwa watoto vilivyoripotiwa vituo...
By Mwandishi WetuNovember 12, 2021WAZIRI wa Nishati nchini Tanzania, January Makamba amesema, mafuta ya dizeli yaliyopo kwenye matenki yanatosheleza kwa siku 24 huku petrol ikiwa ya...
By Mwandishi WetuNovember 12, 2021WAZIRI wa Fedha na Mipango Mwigulu Nchemba amesema serikali haiwezi kukwepa kukopa fedha kutoka nje ya nchi kwa kuwa bado inaendelea na...
By Danson KaijageNovember 11, 2021WAZIRI Mkuu Kassim Majaliwa amesema Serikali haijafikiria kuanzisha mifuko ya kuwainua wanaume kiuchumi kwa kuwa wigo wa kupata mikopo upo lakini Serikali...
By Mwandishi WetuNovember 11, 2021MKUU wa Upelelezi wa Makosa ya Jinai wilayani Arumeru, Arusha, SP Jumanne Malangahe, ameieleza Mahakama Kuu, Divisheni ya Makosa ya Rushwa na...
By Regina MkondeNovember 11, 2021MAHAKAMA Kuu, Divisheni ya Makosa ya Rushwa na Uhujumu Uchumi, Mawasiliano jijini Dar es Salaam, imekataa kupokea kitabu cha kumbumbuku za mahabusu,...
By Regina MkondeNovember 11, 2021KITABU cha mahabusu cha Kituo kikuu cha Polisi cha Dar es Salaam, kinachoonesha taarifa za Mohammed Abdillah Ling’wenya, kuwekwa katika mahabusu ya...
By Mwandishi WetuNovember 10, 2021WAZIRI wa Maji, Jumaa Awesso amesema licha ya kwamba wizara hiyo imepiga hatua kubwa tanguTanganyika ipate uhuru mwaka 1961, changamoto ya ukosefu...
By Danson KaijageNovember 10, 2021MBUNGE wa Viti Maalum, Halima Mdee ameitaka Serikali kutoa takwimu sahihi kuhusu Watanzania waliofariki kutokana na maambukizi ya homa ya mapafu COVID-...
By Mwandishi WetuNovember 10, 2021MAWAKILI wa utetezi katika kesi ya uhujumu uchumi, inayomkabili Mwenyekiti wa Chadema, Freeman Mbowe na wenzake, wameweka pingamizi dhidi ya kitabu cha...
By Regina MkondeNovember 10, 2021SIKU moja baada ya Baraza Kuu la Chama Cha Wananchi (CUF) nchini Tanzania, kuwafukuza wanachama wake nane kwa tuhuma mbalimbali, wahusika wamepanga...
By Mwandishi WetuNovember 10, 2021KESI ndogo ndani ya kesi ya msingi ya ugaidi inayomkabili Mwenyekiti wa Chadema, Freeman Mbowe na wenzake, imeanza kusikilizwa, Mahakama Kuu, Divisheni...
By Regina MkondeNovember 10, 2021RAIS wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan ameondoka nchini humo kwenda Cairo, Misri kwa ajili ya ziara ya kiserikali ya siku tatu. Anaripoti...
By Mwandishi WetuNovember 10, 2021MAPINGAMIZI yametawala katika kesi ya uhujumu uchumi, inayomkabili Mwenyekiti wa Chadema, Freeman Mbowe na wenzake, tangu ilipoanza kusikilizwa katika Mahakama Kuu, Divisheni...
By Regina MkondeNovember 9, 2021MAHAKAMA Kuu, Divisheni ya Makosa ya Rushwa na Uhujumu uchumi, Mawasiliano jijini Dar es Salaam, imeelezwa namna Mwenyekiti wa Chadema, Freeman Mbowe,...
By Regina MkondeNovember 9, 2021MAHAKAMA Kuu, Divisheni ya Rushwa na Uhujumu Uchumi nchini Tanzania, imekubali kupokea hati ya ukamataji mali wa washtakiwa Adam Kasekwa na Mohammed...
By Regina MkondeNovember 9, 2021MAHAKAMA Kuu, Divisheni ya Makosa ya Rushwa na Uhujumu Uchumi jijini Dar es Salaam, imeahirisha usililizwaji wa kesi inayomkabili, Mwenyekiti wa Chadema,...
By Regina MkondeNovember 8, 2021SERIKALI imesema idadi ya Watanzania wapatao milioni 1.2 wanaoishi nje ya nchi kwa kipindi cha miaka mitano iliyopita, wametuma nchini kupitia mifumo...
By Mwandishi WetuNovember 8, 2021CHAMA tawala nchini Tanzania- Chama Cha Mapinduzi kimeendelea kujisuka upya kiuongozi baada ya kupanga-pangua makatibu wa mikoa na wilaya nchi nzima. Anaripoti...
By Mwandishi WetuNovember 8, 2021AFISA wa Polisi nchini Tanzania, Jumanne Malangahe, ametoa ushahidi wake katika kesi ya uhujumu uchumi yenye mashtaka ya ugaidi, inayomkabili Mwenyekiti wa...
By Mwandishi WetuNovember 8, 2021UPANDE wa utetezi, katika kesi ya uhujumu uchumi, inayomkabili Mwenyekiti wa Chadema, Freeman Mbowe na wenzake, wameipinga hati ya kukamatwa watuhumiwa wawili...
By Mwandishi WetuNovember 8, 2021MAJUZI, Waziri wa Madini nchini Tanzania, Dotto Biteko ameainisha uwekezaji wa miradi mipya mikubwa mitatu inayoanza kufanyiwa uwekezaji nchini. Anaandika Zitto Kabwe,...
By Mwandishi MaalumNovember 8, 2021MVUTANO kati ya Ofisi ya Msajili wa Vyama vya Siasa nchini Tanzania na Chama cha NCCR-Mageuzi umeanza upya, hivyo ndivyo unaweza kusema....
By Mwandishi WetuNovember 8, 2021AFISA wa Polisi nchini Tanzania, Jumanne Malangahe, ameanza kutoa ushahidi katika kesi ya uhujumu uchumi, yenye mashtaka ya ugaidi inayomkabili Mwenyekiti wa...
By Regina MkondeNovember 8, 2021KAMATI kuu maalum ya chama tawala nchini Tanzania- Chama Cha Mapinduzi (CCM), imekutana leo Jumapili, tarehe 7 Novemba 2021, Ikulu ya Chamwino...
By Mwandishi WetuNovember 7, 2021