Thursday , 25 April 2024

Habari za Siasa

Habari za Siasa

#LIVE- Ndugai amuibua James Mbatia

  MWENYEKITI wa chama cha upinzani Tanzania- NCCR-Mageuzi, James Mbatia anazungumza na waandishi wa habari kuhusu masuala mbalimbali ikiwemo kujiuzulu kwa Job Ndugai...

Habari za Siasa

#LIVE-Rais Samia ashiriki matembezi Pemba

  MWENYEKITI wa chama tawala nchini Tanzania- Chama Cha Mapinduzi (CCM), Rais Samia Suluhu Hassan anashiriki kilele cha matembezi ya miaka 58 ya...

Habari za Siasa

CCM Dodoma: Wanaopanga kugombea urais 2025 ni wachawi

  JUMUIYA ya Wazazi CCM – Mkoa wa Dodoma imelaani ‘genge’ la watu wachache ambao wamepanga njama za kugombea urais katika uchaguzi mkuu...

Habari za SiasaTangulizi

Shughuli za Bunge zasimamishwa Tanzania

  KATIBU wa Bunge la Tanzania, Nenelwa Mwihambi ametangaza kusitisha shughuli zote za Bunge ikiwemo kamati za Bunge zilizokuwa zikutane kuanzia tarehe 10...

Habari za SiasaTangulizi

Tundu Lissu anazungumzia kung’oka kwa Spika Ndugai

  MAKAMU Mwenyekiti wa Chama Kikuu cha Upinzani Tanzania- Chadema, Tundu Lissu anazungumza na umma kwa njia ya mtandao. Anaripoti Mwandishi Wetu, Dar...

Habari za SiasaTangulizi

Spika Bunge la Tanzania ajiuzulu

  JOB Ndugai, Spika wa Bunge la Tanzania, amejizulu nafasi hiyo leo Alhamisi 6 Januari 2022. Anaripoti Mwandishi Wetu, Dodoma … (endelea). Ndugai...

Habari za SiasaTangulizi

Rais Samia aagiza bei ya kuungiwa umeme ipande, Waziri Makamba asema…

  RAIS wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan ametoa agizo la kufutwa kwa kiasi cha awali cha Sh.27,000, kilichokuwa kinatozwa na Shirika la Umeme...

Habari za SiasaTangulizi

Utaratibu wa kung’oa Spika madarakani

  WAKATI joto la kuachia madaraka kwa Spika wa Bunge, Job Ndugai likiendelea kushika kasi, Kanuni za Kudumu za Bunge, Toleo la Juni...

Habari za Siasa

Rais Samia afichua simu ya waziri ilivyomnyima usingizi

  RAIS Samia Suluhu Hassan amesema kutokana na ‘stress’ za madeni ya nchi siku moja Waziri wa Fedha na Uchumi, Dk. Mwigulu Nchemba...

Habari za SiasaTangulizi

Rais Samia atangaza kufanya mabadiliko mawaziri, makatibu wakuu…

  RAIS Samia Suluhu Hassan ameutangazia umma wa Watanzania kuwa hivi karibuni atafanya mabadiliko ya nafasi za viongozi mbalimbali wa Serikali anayoiongoza kuanzia...

Habari za SiasaTangulizi

Rais Samia ‘amlipua’ Spika Ndugai

  RAIS wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan amewapongeza wenyeviti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) kwa kusimama kutetea mkopo wa Sh.1.3 trilioni. Anaripoti Mwandishi...

Habari za Siasa

Bosi CCM amjibu ‘kiani’ Spika Ndugai

  KATIBU Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) nchini Tanzania, Daniel Chongolo amesema, hakuna Taifa ulimwenguni limeendelea pasina kukopa. Anaripoti Mwandishi Wetu, Dar...

Habari za Siasa

Rais Samia ateua viongozi 3

  RAIS wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan amefanya uteuzi wa viongozi watatu akiwemo Mkurugenzi wa Mamlaka ya Usimamizi wa Bima Tanzania (TIRA), Dk....

Habari za SiasaTangulizi

Mabadiliko yaja baraza la mawaziri Tanzania

  RAIS wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan, anaweza muda wowote kuanzia sasa, akafanyika mabadiliko makubwa ndani ya Baraza lake la Mawaziri. Anaripoti Mwandishi...

Habari za SiasaTangulizi

Spika Ndugai: Nimekosa mimi, nimekosa sana, nisameheni

  SPIKA wa Bunge la Tanzania, Job Ndugai amemwomba radhi, Rais Samia Suluhu Hassan na Watanzania wote waliokwazika kutokana na kauli aliyoitoa kuhusu...

Habari za Siasa

Majaliwa awapongeza Ma RC na DC, awapa maagizo

  WAZIRI Mkuu wa Tanzani, Kassim Majaliwa amewapongeza wakuu wote wa mikoa (RC) na wakuu wote wa Wilaya (DC) nchini kwa kazi nzuri...

Habari za Siasa

Waziri Majaliwa aonya watengeneza migogoro serikalini 

  WAZIRI Mkuu wa Tanzania, Kassim Majaliwa, amewataka watu wanaotengeneza migogoro dhidi ya viongozi wa Serikali, waache mara moja. Anaripoti Mwandishi Wetu, Dar...

Habari za SiasaTangulizi

Spika Ndugai alipasua Taifa

  MJADALA kuhusu kauli ya Spika wa Bunge, Job Ndugai,  iliyodai  iko siku nchi itapigwa mnada kutokana na kuelemewa na madeni, umezidi kushika kasi,...

Habari za SiasaTangulizi

Lissu, Lema kurejea Tanzania Machi 202

  MAKAMU Mwenyekiti wa Chadema Bara, Tundu Lissu na Mwenyekiti wa chama hicho Kanda ya Kaskazini, Gobless Lema, wanatarajia kurudi nchini Tanzania kati...

Habari za SiasaTangulizi

Lissu amweka mtegoni Rais Samia kuhusu miradi ya JPM

  MAKAMU Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), Tundu Lissu, amemshauri Rais wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan, aipige chini miradi ya...

Habari za Siasa

Lissu amuunga mkono Spika Ndugai

  MAKAMU Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), Tundu Lissu, amedai kuwa, Spika wa Bunge, Job Ndugai, alikosea kusema kuna siku...

Habari za SiasaTangulizi

Rais Mwinyi awakabidhi zigo la uchumi wa bluu Diaspora

  RAIS wa Zanzibar, Dk. Hussein Mwinyi, amewaomba Wazanzibar wanaoishi nje ya nchi ‘Diaspora’, washirikiane na Serikali yake katika kuimarisha uchumi wa visiwa...

Habari za Siasa

Hashim Rungwe afunga mwaka na kilio cha katiba mpya

  MWENYEKITI wa Chama cha Ukombozi wa Umma (Chaumma), Hashim Rungwe, amesema mwaka 2021 unaisha pasina kilio cha wananchi juu ya upatikanaji katiba...

Habari za SiasaTangulizi

UVCCM yamkaanga Spika Ndugai

  UMOJA wa Vijana wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), umehoji kwa nini makelele juu ya Serikali kukopa fedha za utekelezaji miradi ya maendeleo,...

Habari za Siasa

CCM Mwanza: Kauli ya Ndugai ni ya kihuni

  CHAMA Cha Mapinduzi (CCM), Mkoa wa Mwanza, kimesema kauli iliyotolewa na Spika wa Bunge, Spika Job Ndugai, ya kuwa kuna siku nchi...

Habari za SiasaTangulizi

Lissu ajipanga upya, kurejea Tanzania

  MAKAMU mwenyekiti wa chama kikuu cha upinzani nchini Tanzania cha Chadema, Tundu Lissu, leo Ijumaa tarehe 31 Desemba 2021, anatarajiwa kuhutubia Taifa,...

Habari za Siasa

Spika Job Ndugai ‘kutimuliwa,’ wabunge CCM wanoa makucha

  NAFASI ya Spika wa Bunge la Tanzania, Job Ndugai kuendelea kukalia kiti hicho Bungeni iko shakani. Anaripoti Mwandishi Wetu, Dar es Salaam...

Habari za Siasa

Kesi ya Makonda yatinga kwa Jaji Mfawidhi

  MALALAMIKO dhidi ya Hakimu Mkazi wa Mahakama za Kinondoni na Kisutu, kugoma kufungua shauri la jinai dhidi ya aliyekuwa Mkuu wa Mkoa...

Habari za SiasaTangulizi

CCM wamkalia ‘kooni’ Spika Ndugai

  SPIKA wa Bunge la Tanzania, Job Ndugai ameendelea kukaliwa ‘koo’ na chama chake baada ya Chama Cha Mapinduzi (CCM), Mkoa wa Singida...

Habari za SiasaTangulizi

Lissu kuanika mikakati ya Chadema 2022

  MAKAMU mwenyekiti wa chama kikuu cha upinzani nchini Tanzania cha Chadema, Tundu Lissu, ataitaja mikakati ya chama hicho kuelekea 2022, kesho tarehe...

Habari za Siasa

Waliokufukuzwa CUF wamkumbusha Msajili, yeye awajibu

  WALIOKUWA wajumbe wa Baraza Kuu la Chama cha Wananchi (CUF), wamehoji ukimya wa Ofisi ya Msajili wa Vyama vya Siasa, juu ya...

Habari za Siasa

Askofu Bagonza azichambua kauli za Rais Samia, Spika Ndugai

  ASKOFU wa Kanisa la Kiinjili la Kulutheri Tanzania (KKKT), Dayosisi ya Karagwe mkoani Kagera, Dk. Benson Bagonza amezungumzia kauli za viongozi wawili,...

Habari za Siasa

Majaliwa akoshwa ujenzi wa madarasa Lindi, mamilioni yabaki

  WAZIRI Mkuu wa Tanzania, Kassim Majaliwa ameridhishwa na hatua iliyofikiwa kwenye ujenzi wa madarasa yanayotokana na fedha za maendeleo mkoani Lindi. Anaripoti...

Habari za SiasaTangulizi

Serukamba amvaa Spika Ndugai

  MBUNGE wa zamani wa Kigoma Kaskazini (CCM), Peter Serukamba amemtaka Spika wa Bunge la Tanzania, Job Ndugai kuacha kupotisha umma kuhusu mkopo...

Habari za Siasa

Rais Samia aitangazia neema TOT

  MWENYEKITI wa chama tawala nchini Tanzania- Chama Cha Mapinduzi (CCM) Rais Samia Suluhu Hassan, ameelekeza kutatuliwa kwa changamoto zinazoikabili Bendi ya Tanzania...

Habari za SiasaTangulizi

Rais Samia ateua mwenyekiti mpya NEC

  RAIS wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan, ameteua viongozi mbalimbali, akiwemo Jaji Jacob Casthom Mwambegele, aliyemteua kuwa Mwenyekiti wa Tume ya Taifa ya...

Habari za Siasa

ACT-Wazalendo yawachongea wateule wa Rais

  CHAMA cha ACT-Wazalendo, kimemuomba Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora, Mohamed Mchengerwa, kufuatilia kwa...

Habari za SiasaTangulizi

ACT-Wazalendo kuja kivingine 2022 kuibana Serikali nje ya Bunge

  BAADA ya Bunge la  12 la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, kukosa idadi kubwa ya wabunge wa upinzani, Chama cha ACT-Wazalendo, kinatarajia...

Habari MchanganyikoHabari za SiasaTangulizi

Rais Samia atoa salamu za Krismasi, Mwaka Mpya

  RAIS wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan, ametoa salamu za Krismasi na Mwaka Mpya 2022 huku akiwataka wananchi kufanya kazi kwa weledi na...

Habari za Siasa

Polepole atoa salamu za mwaka mpya “tukatae wahuni”

  MBUNGE wa Kuteuliwa (CCM), Humphrey Polepole amewaonya wale wote wanaoghushi mitandaoni na kuwaomba wananchi kwa mwaka 2022 “kazi moja ni kukataa wahuni...

Habari za Siasa

Kesi ya Makonda yatinga Mahakama Kuu

  KESI ya jinai iliyopangwa kufunguliwa dhidi ya aliyekuwa mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Paul Christian Makonda, imetinga kwa Jaji Mfawidhi,...

Habari za Siasa

Mtikisiko CCM, wanachama 200 warudisha kadi

  WANACHAMA zaidi ya 200 wa chama tawala nchini Tanzania- Chama Cha Mapinduzi (CCM), katika kijiji cha Njinjo, Wilaya ya Kilwa, Mkoa wa...

Habari za Siasa

Rais Samia ateua, atengua

  Rais wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan amefanya uteuzi wa viongozi mbalimbali na kutengua uteuzi wa Dk. Fenella Mukangara, aliyewahi kuwa waziri wa...

Habari za SiasaTangulizi

Msajili ateua kikosi kazi cha watu 23, yupo Zitto

  MSAJILI wa Vyama vya Siasa nchini Tanzania, Jaji Francis Mutungi ameteua kikosi kazi cha watu 23 kinachojumuisha makundi mbalimbali ya wanasiasa, wanazuoni,...

Habari za SiasaTangulizi

WAMEUMIA 2021; Wengi vigogo CCM, mfumo awamu ya sita umewatema

  KIBAO kimegeuka juu chini! Ndivyo unavyoweza kuelezea mapito waliyokumbana nayo wanasiasa machachari nchini katika kipindi cha mwaka huu baada ya kuenguliwa katika...

Habari za Siasa

ACT-Wazalendo yawaonya wanaotaka kukiendesha, kukiburuza

  KATIBU Mkuu wa Chama cha ACT- Wazalendo nchini Tanzania, Ado Shaibu, amesema chama chake kinataka kujitofautisha na vyama vingine, hivyo hakitakubali kuendeshwa...

Habari za SiasaTangulizi

Balozi Kiondo atajwa sakata la ununuzi wa meli

  SAKATA la zabuni za ujenzi wa meli mpya tano, iliyotolewa na Serikali ya Tanzania kwa kampuni mbili kutoka nchini Uturuki, limeanza kuchukua...

Habari za Siasa

Balozi Kagasheki afunguka sakata la Polepole, aihoji TCRA

  WAZIRI wa zamani wa Maliasili na Utalii nchini Tanzania, Balozi Khamis Kagasheki amezungumzia kile kinachoendelea kwa Mbunge wa Kuteuliwa, Humphrey Polepole na...

Habari za SiasaTangulizi

Kina Mbowe kula Krismasi, mwaka mpya gerezani

  KIONGOZI wa chama kikuu cha upinzani nchini Tanzania cha Chadema, Freeman Mbowe na wenzake watatu, watasherekea sikuu ya Krismasi na mwaka mpya...

Habari za Siasa

Askofu Gwajima ‘roho ya paka,’ aijibu CCM kiana

  UNAWEZA kusema Mbunge wa Kawe (CCM), Askofu Josephat Gwajima, ana roho ngumu au ya paka, kwani licha ya chama chake, kumweka kiporo,...

error: Content is protected !!