Thursday , 25 April 2024

Habari za Siasa

Habari za Siasa

Lissu aibiwa pasipoti Ujerumani, amwomba nyingine Rais Samia

  MAKAMU Mwenyekiti wa chama kikuu cha upinzania nchini Tanzania-Chadema, Tundu Lissu, amedai hati yake ya kusafiria (pasipoti), imeibiwa mwezi uliopita akiwa nchini...

Habari za SiasaTangulizi

Lissu aifikisha kesi ya Mbowe kwa Rais Samia

  MAKAMU Mwenyekiti wa Chadema nchini Tanzania, Tundu Lissu amesema Rais Samia Suluhu Hassan ameahidi kushughulikia kesi ya ugaidi inayomkabili mwenyekiti wa chama...

Habari za Siasa

Fred Lowassa ajitosa sakata la Ngorongoro

  SAKATA la Hifadhi Ngorongoro limeendelea kuchukua sura mpya baada ya Mbunge wa Monduli (CCM), Mkoa wa Arusha, Fredrick Lowassa kuibuka akisema “Wamasai...

Habari za SiasaTangulizi

Rais Samia, Lissu wateta Ubelgiji

  RAIS wa Tanzania, Samia Suluhu Hassa amekutana na kuzungumza na Makamu Mwenyekiti wa chama kikuu cha upinzani nchini humo- Chadema, Tundu Lissu....

Habari za Siasa

Kesi ya kupinga Rais, Spika, Jaji Mkuu kutoshtakiwa yatupwa

MAHAKAMA Kuu ya Tanzania, Kanda ya Dar es Salaam, imeitupilia mbali kesi ya kupinga marekebisho ya Sheria ya Utekelezaji wa Haki za Msingi...

Habari za SiasaTangulizi

Kesi ya Mbowe: Jamhuri yafunga ushahidi

  MAHAKAMA Kuu, Divisheni ya Makosa ya Rushwa na Uhujumu Uchumi, jijini Dar es Salaam, imefunga kesi ya uhujumu uchumi, inayomkabili Mwenyekiti wa...

Habari za Siasa

Shahidi azungumzia madai ya Mbowe kukimbia upelelezi, kufikisha malalamiko kwa Rais

  SHAHIDI wa 13 wa Jamhuri, katika kesi ya ugaidi inayomkabili Mwenyekiti wa Chadema, Freeman Mbowe na wenzake watatu, Tumaini Swila, amedai hakusikia...

Habari za SiasaTangulizi

Shahidi: Mbowe alikuwa na nia ovu, hakumtafuta mlinzi wake Polisi

  MPELELEZI wa kesi ya uhujumu uchumi namba 16/2021, inayomkabili Mwenyekiti wa Chadema, Freeman Mbowe na wenzake watatu, Inspekta Tumaini Swila, amedai mwanasiasa...

Habari za Siasa

Makada CCM wazodoana msibani

  MSIBA wa kada maarufu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Wilaya ya Moshi mkoani Kilimanjaro, Shambe Sagafu, umegeuka jukwaa la wanasiasa kukosoana huku...

Habari za Siasa

Mahakama yatoa maamuzi madai ya kina Mbowe kunyimwa chakula miezi mitano

MAHAKAMA Kuu, Divisheni ya Makosa ya Rushwa na Uhujumu Uchumi, Dar es Salaam, imetoa maamuzi juu ya madai yaliyotolewa na Mwenyekiti wa Chadema,...

Habari za Siasa

Mpelelezi adai Mbowe alitoa fedha nyingine kufadhili ugaidi

MPELELEZI Msaidizi, wa kesi ya uhujumu uchumi, inayomkabili Mwenyekiti wa Chadema, Freeman Mbowe na wenzake, Inspekta Tumaini Swila, amedai kuna fedha ambazo mwanasiasa...

Habari za Siasa

Tanzania yafungua ubalozi mdogo Congo

SERIKALI ya Tanzania imefungua ubalozi mdogo (Konseli Kuu) katika Jiji la Lubumbashi, Jimbo la Haut Katanga, Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo. Ofisi za...

Habari za SiasaTangulizi

Mbowe, wenzake wanyimwa chakula miezi 5

  KIONGOZI wa chama kikuu cha upinzani nchini Tanzania-Chadema, Freeman Mbowe ameibuka malalamiko mahakamani ya kunyimwa chakula kwa zaidi ya miezi mitano kila...

Habari za Siasa

Spika Tulia, Waziri Nape kujadili Bunge ‘live’

  SPIKA wa Bunge la Tanzania, Dk. Tulia Ackson amesema, atazungumza na Waziri wa Habari, Mawasiliano na Teknolojia ya Habari, Nape Nnauye ili...

Habari za Siasa

Matibabu ya Prof Jay: Serikali, Chadema ‘wachuana’

  WAKATI hali ya kiafya ya aliyekuwa Mbunge wa Mikumi, mkoani Morogoro, Joseph Haule maarufu ‘Profesa Jay’ haijaimarika, Chama cha Demokrasia na Maendeleo...

Habari za SiasaTangulizi

Kina Mbowe waandika barua hospitali aliyotibiwa shahidi, wajibiwa

  PETER Kibatala, Kiongozi wa Jopo la Mawakili wa Utetezi, katika kesi ya ugaidi inayomkabili Mwenyekiti wa Chadema, Freeman Mbowe na wenzake watatu,...

Habari za SiasaTangulizi

#LIVE: Spika Tulia anazungumza na waandishi

  LEO Jumatatu, tarehe 14 Februari 2022, Spika wa Bunge la Tanzania, Dk. Tulia Ackson anazungumza na waandishi wa habari katika ukumbi wa...

Habari za SiasaTangulizi

Mbowe atoa salamu za Valentine

  LEO Jumatatu tarehe 14 Februari 2022 ni siku ya wapendao ‘Valentine Day’ na ndani ya chumba cha Mahakama Kuu, Divisheni ya Rushwa...

Habari za Siasa

Msigwa: Hakuna aliyeupinga, kufuta ujenzi bandari Bagamoyo

MSEMAJI Mkuu wa Serikali, Gerson Msigwa amesema hakuna aliyewahi kuupinga wala kuufuta ujenzi wa bandari ya Bagamoyo chini ya mradi wa Ukanda Maalumu...

Habari za SiasaTangulizi

Majaliwa atoa maagizo mazito TARURA

  WAZIRI Mkuu Kassim Majaliwa amewaagiza wahandisi wa Wakala wa Barabara Vijijini (TARURA) kusimamia miradi kwa weledi, uadilifu na uaminifu huku wakizingatia ubunifu...

Habari za Siasa

Prof. Lipumba: Nafasi yangu iko wazi 

  MWENYEKITI  wa Chama cha Wananchi (CUF), Profesa. Ibrahim Lipumba, amesema nafasi yake iko wazi kwa yeyote atakayetaka kugombea kwenye uchaguzi wa chama...

Habari za Siasa

Bunge lataka muongozo usafishaji mito

  BUNGE la Tanzania, limeishauri Serikali, kuandaa muongozo wa kitaifa wa usimamizi wa usafishaji mito, ili kutunza mazingira. Anaripoti Mwandishi Wetu, Dodoma…(endelea). Ushauri...

Habari za Siasa

Zungu atumia kanuni za Bunge kuomba kura

  MBUNGE wa Ilala (CCM), Mussa Azan Zungu, ametumia Kanuni za Bunge toleo la 2020, kuomba wabunge wamchague katika kiti cha U-Naibu Spika....

Habari za Siasa

Miradi Dodoma: Mbunge Ditopile amfagilia Rais Samia

  MBUNGE wa Viti Maalum (CCM), Mariam Ditopile amesema Rais Samia Suluhu Hassan ndani ya muda mfupi tangu aingie madarakani anazidi kuwaumbua wale...

Habari za SiasaTangulizi

Kesi ya Mbowe: Shahidi adai kuumwa, mahakama yataka uthibitisho

  MAHAKAMA Kuu, Divisheni ya Makosa ya Rushwa na Uhujumu Uchumi, Dar es Salaam, imeahirisha kesi ya uhujumu uchumi, inayomkabili Mwenyekiti wa Chadema,...

Habari za SiasaTangulizi

Kina Mbowe wahoji jalada kufunguliwa bila maelezo

  TUMAIN Swila, Shahidi wa 13 wa Jamhuri katika kesi ya ugaidi inayomkabili Mwenyekiti wa Chadema, Freeman Mbowe na wenzake watatu amedai wakati...

Habari za SiasaTangulizi

Kesi ya Mbowe: Askari polisi adai haina maslahi binafsi

  MKAGUZI wa Jeshi la Polisi Tanzania, Tumaini Swila, amedai kesi ya uhujumu uchumi namba 16/2021, inayomkabili Mwenyekiti wa Chadema, Freeman Mbowe na...

Habari za SiasaTangulizi

Kesi ya Mbowe: Inspekta Swila akana kuwa mpelelezi wa kimkakati

  MKAGUZI wa Jeshi la Polisi Tanzania, Tumaini Swila, amedai uhamisho wake wa muda kutoka Ofisi ya Mkuu wa Upelelezi Mkoa wa Kipolisi...

Habari za SiasaTangulizi

Kesi ya Mbowe: Mpelelezi abanwa sababu msaidizi wa Sabaya kuachwa huru

  MKAGUZI wa Jeshi la Polisi Tanzania, Tumaini Swila, amedai Justine Kaaya,  aliyekuwa msaidizi wa Lengai Ole Sabaya, akiwa Mkuu wa Wilaya ya...

Habari za Siasa

Maagizo ya Samia yampasua kichwa RC Mara, asema jana hakulala

  MKOA wa Mkoa wa Mara, Ally Hapi amesema jana tarehe 6 Februari, 2022 yeye pamoja na wasaidizi wake hawakulala kwa lengo la...

Habari za SiasaTangulizi

Rais Samia azuru kaburi Mwalimu Nyerere

  RAIS Samia Suluhu Hassan leo tarehe 7 Februari 2022 amezuru kaburi la Baba wa Taifa Mwalimu Julius Nyerere nyumbani kwake Butiama mkoani...

Habari za Siasa

RC Hapi awachongea wakuu wa idara kwa Rais Samia

  MKUU wa Mkoa wa Mara (RC), Ally Hapi amemwomba Rais wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan kufumua wakuu wa idara mkoani humo wanakwamisha...

Habari za SiasaTangulizi

Wabunge CCM wachuana kumrithi Dk. Tulia

  WABUNGE wa chama tawala nchini Tanzania- Chama Cha Mapinduzi (CCM) wameanza kujitosa kuchukua fomu kuomba kuteuliwa na chama hicho kugombea nafasi ya...

Habari za SiasaTangulizi

Bobali atua ACT-Wazalendo, Nkumbi arejea CUF

  ALIYEKUWA Mwenyekiti wa Jumuiya ya Vijana ya Chama cha Wananchi (JUVICUF), Hamidu Bobali, amejiunga na ACT-Wazalendo na kupokelewa na Katibu Mkuu wa...

Habari za SiasaTangulizi

Prof. Lipumba awaita vigogo ACT-Wazalendo, awaahidi vyeo

  MWENYEKITI wa Chama cha Wananchi (CUF), Profesa Ibrahim Lipumba, amewaita wanachama wa chama hicho waliokimbilia ACT-Wazalendo, warejee ili waweze kuchukua nafasi za...

Habari za Siasa

Miaka 45 ya CCM: Chongolo atoa maagizo kwa wenyeviti

  KATIBU Mkuu wa chama tawala nchini Tanzania- Chama Cha Mapinduzi (CCM), Daniel Chongolo, amewaagiza wenyeviti wa CCM mkoa na wilaya kutenga siku...

Habari za Siasa

Shaka achambua miaka 45 ya CCM

  KATIBU wa NEC, Itikadi na Uenezi wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Taifa, Shaka Hamdu Shaka, amesema ndani ya miaka 45 tangu kuzaliwa...

Habari za Siasa

Kisa mauaji: Rais Samia awanyooshea kidole polisi, ampa maagizo Majaliwa

  RAIS wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan amemwagiza Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa kuunda kamati ya kwenda kuchunguza mauaji yaliyotolea mkoani Mtwara yanayodaiwa kufanya...

Habari za Siasa

Polepole pasua kichwa CCM

  UNAWEZA kusema aliyekuwa Katibu wa Itikadi na Uenezi wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) na Mbunge wa Kuteuliwa na Rais, Humphrey Polepole, ni...

Habari za SiasaTangulizi

Mfungua jalada la kesi aeleza walivyomnasa Mbowe

  MKAGUZI wa Polisi, Tumaini Swila (46), amedai aliyekuwa Mkuu wa Upelelezi Mkoa wa Arusha, Kamishna Msaidizi wa Polisi (ACP), Ramadhani Kingai, alimuagiza...

Habari za Siasa

Rais Samia atengua Ma-DED wanne

  RAIS wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan ametangaza kutengua uteuzi wa wakurugenzi wanne wa halmashauri (DED) ya Buchosha (Mwanza), Iringa, Mbeya na Singida...

Habari za SiasaTangulizi

Kaka wa Lissu atambulishwa kama mgeni kesi kina Mbowe

  WAKILI maarufu Alute Mughwai Lissu, kaka wa kiongozi wa chama cha siasa cha upinzani Tanzania cha Chadema, Tundu Lissu ametambulishwa mahakamani kama...

Habari za SiasaTangulizi

Vigogo ACT-Wazalendo kurejea CUF

  BAADHI ya vigogo na wanachama wa Chama cha ACT-Wazalendo, wanaodaiwa kutoridhika na mchakato wa uchaguzi wa mwenyekiti wa chama hicho, wako mbioni...

Habari za Siasa

Mrithi wa Dk. Tulia kupatikana Februari 11

  BUNGE la Tanzania limetanganza mchakato wa kujanza nafasi ya naibu spika wa Bunge ambapo uchaguzi wake utafanyika tarehe 11 Februari 2022. Anaripoti...

Habari MchanganyikoHabari za Siasa

Mauaji Tanzania yatinga bungeni, Serikali yatoa maagizo

  SERIKALI ya Tanzania, imeziagiza kamati za kutokomeza ukatili wa kijinsia zishirikiane na vyombo vya dola, kutokomeza mauaji yanayosababishwa na migogoro ya kifamilia....

Habari za Siasa

Babu Duni, Othman waanika vipaumbele 10

  MWENYEKITI mpya wa Chama cha ACT-Wazalendo, Babu Juma Haji Duni na Makamu Mwenyekiti Zanzibar, Othman Masoud Othman wametaja vipaumbele 10 ambavyo watavisimamia...

Habari za Siasa

Rais Samia ateua bosi TRA

  RAIS wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan amemteua Uledi Abbas Mussa kuwa Mwenyekiti wa Bodi ya Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA). Anaripoti Mwandishi...

Habari za Siasa

Mashahidi wakwamisha kesi ya Mbowe, yapigwa kalenda hadi Ijumaa

  MAHAKAMA Kuu, Divisheni ya Makosa ya Rushwa na Uhujumu Uchumi, jijini Dar es Salaam nchini Tanzania, imeahirisha kesi ya ugaidi inayomkabili Mwenyekiti...

Habari za SiasaTangulizi

Kesi ya Mbowe: Kilichowakimbiza Lissu, Lema Tanzania chatajwa

  MAKAMU Mwenyekiti wa Chadema-Bara nchini Tanzania, Tundu Lissu na Mwenyekiti wa chama hicho Mkoa wa Arusha, Goodbless Lema, wanadaiwa kwenda kuishi uhamishoni...

Habari za SiasaTangulizi

Dk. Tulia aibuka kidedea Uspika, azoa kura zote

  MBUNGE wa Mbeya Mjini, Dk. Tulia Ackson (CCM) ameibuka kidedea katika nafasi ya Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania...

error: Content is protected !!