Friday , 19 April 2024

Habari za Siasa

Habari za Siasa

Samia: Sijaumbwa kufokafoka

  RAIS Samia Suluhu Hassan amesema atafanya kazi kwa kalamu na hata siku moja hatomfokea mtu kwasababu hajaumbwa kufokafoka. Anaripoti Mwandishi Wetu, Dodoma...

Habari za SiasaTangulizi

Rais Samia asema utumishi ulijengewa heshima ya woga

RAIS Samia Suluhu Hassan amesema heshima ya utumishi wa umma iliyokuzwa katika awamu ya tano ilikuwa ya woga. Anaripoti Mwandishi Wetu, Dodoma …...

Habari za SiasaTangulizi

Kinana: Nitaimarisha demokrasia, haki kwenye chama

  MAKAMU mpya Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Abdulrahman Kinana, amesema katika uongozi wake atahakikisha haki na demokrasia inaimarika ndani na nje...

Habari za Siasa

Katiba ya CCM yarekebishwa, Samia atoa neno

  WAJUMBE wa Mkutano Mkuu Maalumu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), wamepitisha mapendekezo ya Halmashauri Kuu ya chama hicho Taifa (NEC), kuhusu marekebisho...

Habari za Siasa

Mangula amkabidhi Kinana mafaili wanaoanza harakati Uchaguzi 2025

  ALIYEKUWA Makamu Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Mzee Phillip Mangula, amemtaka mrithi wake, Abdulrahman Kinana, kuwashughulikia WanaCCM wanaokiuka maadili kwa kuanza...

Habari za SiasaTangulizi

Kinana akemea ukanda, ukabila CCM

  MAKAMU Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Tanzania Bara, Abdulrahman Kinana, amekemea vitendo vya ukabila, udini na ukanda, ndani ya chama hicho,...

Habari za Siasa

Mzee Makamba amtaka Kinana asamehe waliompiga madongo

  KATIBU Mkuu Mstaafu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Mzee Yusuph Makamba, amemtaka Abdulrahman Kinana, atakapopitishwa kuwa Makamu Mwenyekiti wa chama hicho Bara,...

Habari za Siasa

Hizi hapa sababu Mangula kung’atuta CCM

RAIS Samia Suluhu Hassan na Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) amesoma barua ya kujiuzulu kwa aliyekuwa Makamu Mwenyekiti Bara, Philip Mangula, katika...

Habari za SiasaTangulizi

Mzee Makamba amsafishia njia Samia Uchaguzi 2025

  KATIBU Mkuu Mstaafu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Mzee Yusuph Makamba, amevitaka vyama vya upinzani nchini, vijitayarishe kuchuana na Rais Samia Suluhu...

Habari za SiasaTangulizi

Mrema, mkewe wakatisha hotuba ya Rais Samia Mkutano Mkuu CCM

  MWENYEKITI wa Chama cha Tanzania Labour Party (TLP), Augustino Mrema na mkewe Doreen Kimbi, wameibua shangwe walipoingia katika Mkutano Mkuu Maalumu wa...

Habari za Siasa

#LIVE: Mkutano Mkuu Maalum wa CCM, Kinana…

  CHAMA tawala nchini Tanzania- Chama Cha Mapinduzi (CCM) kinafanya mkutano mkuu maalum leo Ijumaa tarehe 1 Aprili 2022 katika ukumbi wa Jakaya...

Habari za SiasaTangulizi

CCM yataja sababu za kumsamehe Membe

CHAMA Cha Mapinduzi (CCM), kimesema kimemsamehe aliyekuwa Mjumbe wa Halmashauri Kuu yake Taifa (NEC), Benard Membe na Abdallah Diwani, kwa kuwa wamekiri makosa...

Habari za SiasaTangulizi

Rais Samia apangua baraza la mawaziri

RAIS wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan leo Alhamis tarehe 31 Machi 2022 amefanya mabadiliko madogo ya baraza lake la mawaziri. Anaripoti Mwandishi Wetu…(endelea)....

Habari za SiasaKimataifa

Bunge DRC lapiga kura kutokuwa na imani na Waziri

  BUNGE la Jamhuri ya Kidemocrasia ya Congo , limepiga kura kumuondoa Waziri wa Uchumi Jean Marie Kalumba , katika wadhifa wake Jumatano...

Habari za SiasaTangulizi

Membe asamehewa, arejeshwa CCM

BAADA ya kusota ‘benchi’ kwa muda wa mwaka mmoja na ushee, Kada aliyejipatia umaarufu kisiasa ndani ya CCM na baadaye ACT Wazalendo, Bernard...

Habari za SiasaTangulizi

Mangula ang’atuka CCM, Kinana arejea

HATIMAYE Makamu Mwenyekiti wa CCM Tanzania Bara, Philip Mangula ameng’atuka kwenye nafasi hiyo aliyoihudumu kwa miaka muda wa miaka 10. Anaripoti Mwandishi Wetu,...

Habari za Siasa

Mbowe aitaka Serikali kufanyia kazi hukumu ya EACJ

  MWENYEKITI wa Chama cha Maendeleo na Demokrasia (Chadema), Freeman Mbowe, ameiomba Serikali ya Rais Samia Suluhu Hassan, ifanyie kazi hukumu iliyotolewa na...

Habari za SiasaTangulizi

Dk. Slaa ailaumu Serikali kuficha kuugua kwa Hayati Magufuli

  BALOZI Mstaafu,Dk. Wilbrod Slaa, ameilaumu Serikali kwa kuchelewa kutoa taarifa za kuugua wa aliyekuwa Rais wa Awamu ya Tano, Hayati John Magufuli,...

Habari za SiasaTangulizi

Kina Mbowe waishinda Serikali ya Tanzania, EACJ yatoa maagizo

  MAHAKAMA ya Haki ya Afrika Mashariki (EACJ) imeitaka Serikali ya Tanzania kurekebisha vifungu vya mabadiliko ya Sheria ya Vyama vya Siasa ya...

Habari za Siasa

“Jeshi la Magereza haliongei lugha moja”

  KUTOKUWA na ushirikiano miongoni mwa asktrai na maafisa wa Jeshi la Mageresha kumetajwa kama kikwazo cha kupiga hatua katika maendeleo ya jeshi...

Habari za Siasa

Rais Samia ayapa majeshi changamoto mpya

  RAIS Samia Suluhu Hassan amesema anataka mwelekeo mpya wa majeshi kuachana na uzalishaji mali na kuwekeza nguvu zaidi katika majukumu yao. Anaripoti...

Habari za Siasa

Samia ataka askari waliopandishwa vyeo kurudi kusimamia wafungwa

  RAIS Samia Suluhu Hassan amesema hatotoa ajira mpya kwa askari wa jeshi la Magereza na kuagiza waliopandishwa vyeo kurudi kusimamia wafungwa. Anaripoti...

Habari za Siasa

Mbowe atinga kortin, hukumu kutolewa leo

  MAHAKAMA ya Haki ya Afrika Mashariki leo Ijumaa tarehe 25 Machi 2022 itatoa hukumu ya kesi juu ya uhalali wa Mabadiliko ya...

Habari za Siasa

Tanzania kuisaidia Msumbiji kukomesha ugaidi

  WAZIRI Mkuu wa Tanzania, Kassim Majaliwa amesema Tanzania itandelea kuwa mstari wa mbele kuisaidia nchi ya Msumbiji katika kukabiliana na vitendo ya...

Habari za Siasa

Samia azitaka TBA, NHC, Watumishi House kushirikisha sekta binafsi

  KUFUATIA ombi la Wakala wa Majengo Tanzania kutaka Serikali kuiwezesha kupata fedha za kuendeleza maeneo ya kota yaliyotwaliwa na Serikali Kuu kutoka...

Habari za Siasa

Serikali yawapa unafuu wakaazi Magomeni Kota

  SERIKALI imewapa unafuu wakaazi wa nyumba mpya za Magomeni Kota kwa kuwawezesha kununua nyumba hizo kwa mfumo wa mpangaji mnunuzi. Anaripoti Mwandishi...

Habari za Siasa

Wanaosema miradi haitaendelezwa wana upeo mdogo: Samia

  RAIS Samia Suluhu Hassan amesema watu wanaofikiri kwamba miadi iliyoachwa na mtangulizi wake haitaendelezwa wana upeo mdogo wa kufikiri. Anaripoti Mwandishi Wetu,...

Habari za Siasa

TBA yaomba fedha kuendeleza maeneo yote ya kota

  WAKALA wa Majengo Tanzania (TBA) imeiomba Serikali kupitia Wizara ya ujenzi na uchukuzi kuendelea kutoa fedha za kuendeleza maeneo mengine yaliyorejeshwa Serikali...

Habari za Siasa

DPP amwacha huru Abdul Nondo

  MAHAKAMA ya Rufaa ya Tanzania, Divisheni ya Iringa, imeifuta rufaa ya Mkurugenzi wa Mashtaka nchini (DPP), kupinga uamuzi wa Mahakama ya Hakimu...

Habari za Siasa

Rais Samia aeleza mafanikio kuanzishwa RUWASA

  RAIS Samia amesema kumekuwepo na mafanikio makubwa katika sekta ya maji baada ya kuanzishwa kwa Mamlaka ya Maji Safi na Mazingira Vijijini...

Habari za Siasa

Samia ‘aikopesha’ Dawasa Sh 500Mil. kusambaza maji Chalinze

  RAIS Samia Suluhu Hassan amesema ametoa Sh. 500 Milioni kwaajili ya Mamlaka ya Maji Safi na Usafi wa Mazingira (DAWASA) kuanza kusambaza...

Habari za Siasa

Mabadiliko Katiba, tume huru: LHRC watoa mapendekezo 14

  KITUO cha Sheria na Haki za Binadamu nchini (LHRC), kimetoa mapendekezo 13 kwa Kikosi Kazi cha Kiratibu Maoni ya Wadau wa Demokrasia...

Habari za SiasaTangulizi

TCD kujadili mgomo wa Chadema

  KITUO cha Demokrasia Tanzania (TCD), kimesema kitajadili sababu za Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), kugoma kushiriki kongamano lake la amani, linalotarajiwa...

Habari za Siasa

CCM wamtega Dk. Shein kumwachia Rais Mwinyi uongozi

  WAKATI chama tawala nchini Tanzania- Chama Cha Mapinduzi (CCM), kikielekea kufanya mkutano mkuu maalum tarehe 1 Aprili 2022, baadhi ya wanachama wa...

Habari za SiasaTangulizi

Katiba mpya, Tume huru zavigawa vyama vya siasa

  MJADALA wa nini kianze kupatikana kati ya katiba mpya na tume huru ya uchaguzi, umevigawa vyama vya siasa, baada ‘ya kutofautiana misimamo...

Habari za Siasa

Ubinafsi, kutoaminiana vyatajwa mkwamo maridhiano kisiasa nchini

  KIKOSI kazi cha kuratibu maoni ya wadau wa demokrasia ya siasa za vyama vingi imesema ubinafsi na kutoaminiana ni miongoni mwa changamoto...

Habari za SiasaTangulizi

Rais Samia kuzungumza na Chadema

  RAIS wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan, amesema atafanya mazungunzo na vyama vya siasa ambavyo havishiriki katika masuala mbalimbali ya kuamua mustakabali wa...

Habari za Siasa

Rais Samia achomoa ruzuku vyama vyote vya siasa

  RAIS Samia Suluhu Hassan ameonesha kutokukubaliana na mapendekezo ya Kikosi Kazi cha kuratibu maoni ya wadau wa demokrasia ya vyama vingi vya...

Habari za Siasa

Mkewe Mbowe aeleza siri kanisa walilofungia ndoa

  MKE wa Mwenyekiti wa Chadema, Freema Mbowe, Dk. Lilian Mtei amesema Baba mkwe wake Aikael Mbowe ndiye aliyekuwa kiongozi wa ujenzi wa...

Habari za SiasaTangulizi

Mbowe ataja kiapo chake na Rais Samia

MWENYEKITI wa Chama cha Demokraria na Maendeleo (Chadema), Freeman Mbowe amesema kusimama katika misingi ya haki na ukweli ndilo agano aliloweka kati yake...

Habari za SiasaTangulizi

Mbowe aanika madudu ya Sabaya, ashukuru Polisi

MWENYEKITI wa Chama cha Chadema, Freeman Mbowe, amedai aliyekuwa Mkuu wa Wilaya ya Hai, mkoani Kilimanjaro, Lengai Ole Sabaya alikuwa anatumia ofisi yake...

Habari za Siasa

Hamad Rashid aikosoa Chadema, amtaja Mbowe na Lissu

MWENYEKITI wa Chama cha ADC, Hamad Rashid amewapa neno wanasiasa wanaokataa kushiriki shughuli za kiserikali na vikao vya kisheria, akisema Baba wa Taifa,...

Habari za Siasa

Spika Dk. Tulia asema nchi imepiga hatua kidemokrasia

SPIKA wa Bunge la Tanzania, Dk. Tulia Ackson, amesema katika kipindi cha mwaka mmoja wa uongozi wa Rais Samia Suluhu Hassan, nchi imepiga...

Habari za Siasa

Mbunge Malleko ampongeza Rais Samia

  MBUNGE wa Viti Maalum, Mkoa wa Kilimanjaro, Esther Malleko amempongeza Rais wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan kwa kufikisha mwaka mmoja madarakani kwa...

Habari za SiasaTangulizi

Ni mwaka mmoja wa uhuru na kuponya makovu

  WAKATI Serikali ya Awamu ya Sita, chini ya Rais Samia Suluhu Hassan, inatimiza kipindi cha mwaka mmoja tangu iingie madarakani tarehe 19...

Habari za Siasa

Mbowe aeleza aliyojifunza mahabusu, asema wanahitaji makomando wengine

  MWENYEKITI wa Chama cha Chadema, Freeman Mbowe, amesema siku 227 alizokaa kwenye mahabusu ya Gereza la Ukonga, jijini Dar es Salaam, amejifunza...

Habari za SiasaTangulizi

Chadema wadai Spika Tulia anawafanya mazuzu

  CHAMA cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), kimedai kauli ya Spika wa Bunge, Dk. Tulia Ackson, iliyodai Halima Mdee na wenzake 18 wako...

Habari za Siasa

Majaliwa kumwakilisha Rais Samia Qatar, Jordan

  WAZIRI Mkuu wa Tanzania, Kassim Majaliwa ameondoka nchini humo kwenda Qatar na Jordan kwa ziara ya kikazi. Anaripoti Mwandishi Wetu, Dar es...

Habari za Siasa

Taasisi ya urais haiwezi kuendeshwa kwa rimoti: Chongolo

  CHAMA Cha Mapinduzi (CCM) kimesema hakuna mtu anayeweza kuiendesha taasisi ya urais “kwa rimoti” na kwamba watu wanaofikiria hivyo “ni kuwa na...

Habari za SiasaTangulizi

Chadema yaligomea kongamano la TCD

  CHAMA kikuu cha upinzani nchini Tanzania cha Chadema, kimesema hakitashiriki kongamano la amani lililoandaliwa na Kituo cha Demokrasia Tanzania (TCD), kikidai hakioni...

error: Content is protected !!