Friday , 29 March 2024

Habari za Siasa

Habari za Siasa

Mkewe Mbowe aeleza siri kanisa walilofungia ndoa

  MKE wa Mwenyekiti wa Chadema, Freema Mbowe, Dk. Lilian Mtei amesema Baba mkwe wake Aikael Mbowe ndiye aliyekuwa kiongozi wa ujenzi wa...

Habari za SiasaTangulizi

Mbowe ataja kiapo chake na Rais Samia

MWENYEKITI wa Chama cha Demokraria na Maendeleo (Chadema), Freeman Mbowe amesema kusimama katika misingi ya haki na ukweli ndilo agano aliloweka kati yake...

Habari za SiasaTangulizi

Mbowe aanika madudu ya Sabaya, ashukuru Polisi

MWENYEKITI wa Chama cha Chadema, Freeman Mbowe, amedai aliyekuwa Mkuu wa Wilaya ya Hai, mkoani Kilimanjaro, Lengai Ole Sabaya alikuwa anatumia ofisi yake...

Habari za Siasa

Hamad Rashid aikosoa Chadema, amtaja Mbowe na Lissu

MWENYEKITI wa Chama cha ADC, Hamad Rashid amewapa neno wanasiasa wanaokataa kushiriki shughuli za kiserikali na vikao vya kisheria, akisema Baba wa Taifa,...

Habari za Siasa

Spika Dk. Tulia asema nchi imepiga hatua kidemokrasia

SPIKA wa Bunge la Tanzania, Dk. Tulia Ackson, amesema katika kipindi cha mwaka mmoja wa uongozi wa Rais Samia Suluhu Hassan, nchi imepiga...

Habari za Siasa

Mbunge Malleko ampongeza Rais Samia

  MBUNGE wa Viti Maalum, Mkoa wa Kilimanjaro, Esther Malleko amempongeza Rais wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan kwa kufikisha mwaka mmoja madarakani kwa...

Habari za SiasaTangulizi

Ni mwaka mmoja wa uhuru na kuponya makovu

  WAKATI Serikali ya Awamu ya Sita, chini ya Rais Samia Suluhu Hassan, inatimiza kipindi cha mwaka mmoja tangu iingie madarakani tarehe 19...

Habari za Siasa

Mbowe aeleza aliyojifunza mahabusu, asema wanahitaji makomando wengine

  MWENYEKITI wa Chama cha Chadema, Freeman Mbowe, amesema siku 227 alizokaa kwenye mahabusu ya Gereza la Ukonga, jijini Dar es Salaam, amejifunza...

Habari za SiasaTangulizi

Chadema wadai Spika Tulia anawafanya mazuzu

  CHAMA cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), kimedai kauli ya Spika wa Bunge, Dk. Tulia Ackson, iliyodai Halima Mdee na wenzake 18 wako...

Habari za Siasa

Majaliwa kumwakilisha Rais Samia Qatar, Jordan

  WAZIRI Mkuu wa Tanzania, Kassim Majaliwa ameondoka nchini humo kwenda Qatar na Jordan kwa ziara ya kikazi. Anaripoti Mwandishi Wetu, Dar es...

Habari za Siasa

Taasisi ya urais haiwezi kuendeshwa kwa rimoti: Chongolo

  CHAMA Cha Mapinduzi (CCM) kimesema hakuna mtu anayeweza kuiendesha taasisi ya urais “kwa rimoti” na kwamba watu wanaofikiria hivyo “ni kuwa na...

Habari za SiasaTangulizi

Chadema yaligomea kongamano la TCD

  CHAMA kikuu cha upinzani nchini Tanzania cha Chadema, kimesema hakitashiriki kongamano la amani lililoandaliwa na Kituo cha Demokrasia Tanzania (TCD), kikidai hakioni...

Habari za SiasaTangulizi

Mbowe amshangaa IGP Sirro kuwepo madarakani

  KIONGOZI wa chama kikuu cha upinzani nchini Tanzania cha Chadema, Freeman Mbowe amesema, Inspekta Jenerali wa Polisi (IGP), Simon Sirro hapaswi kuwa...

Habari za Siasa

#LIVE- Mbowe akitoa maazimio ya kamati kuu

  KIONGOZI wa chama kikuu cha upinzani nchini Tanania cha Chadema, Freeman Mbowe anatoa maazimio ya kikoa cha kamati kuu ya chama hicho...

Habari za Siasa

#LIVE- Katibu Mkuu CCM anazungumza na wanahabari

  KATIBU Mkuu wa Chama tawala nchini Tanzania- Chama Cha Mapinduzi (CCM), Daniel Chongolo anazungumza na waandishi wa habari leo Ijumaa, tarehe 18...

Habari za SiasaTangulizi

Majaliwa adaiwa kuwakimbia Malaigwanani Ngorongoro

  WAZIRI Mkuu, Kassim Majaliwa anadaiwa kuwakimbia viongozi wa kimila wa Kimasai wanaoishi wilayani Ngorongoro na badala yake kufanya kazi na wenzao wa...

Habari za Siasa

Mtia nia Urais 2020 ageuka kiunganishi cha wachumba

ALIYEKUWA mtia nia katika kinyang’anyiro cha kuwania nafasi ya urais mwaka 2020 kupitia Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), Dk. Mayrose Majinge ameanzisha...

Habari za SiasaTangulizi

Mwaka 1 SSH: Wasanii kicheko, watema nyongo

  WAKATI Rais Samia Suluhu Hassan akitarajiwa kutimiza mwaka mmoja madarakani tangu alipoapishwa rasmi tarehe 19 Machi, 2021, sekta ya sanaa na burudani...

Habari za SiasaTangulizi

Katiba mpya, tume huru inavyoipasua Chadema na ACT-Wazalendo

  MJADALA wa nini kianze kupatikana kati ya Katiba mpya na Tume huru ya uchaguzi, umeendelea kutikisa vyama vya Chadema na ACT-Wazalendo. Anaripoti...

Habari za SiasaTangulizi

Mbowe, Kinana, Lipumba kujadili mkwamo katiba mpya

  KITUO cha Demokrasia Tanzania (TCD), kimemuita Mwenyekiti wa Chama cha Chadema, Freeman Mbowe, Mwenyekiti wa Chama cha Wananchi (CUF), Prof. Ibrahim Lipumba...

Habari za Siasa

Ulinzi, mambo ya nje waelezea mafanikio mwaka mmoja wa Samia madarakani

  WIZARA ya Ulinzi na Jeshi la Kujenga Taifa, pamoja na Wizara ya Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, zimeeleza mafanikio...

Habari za SiasaTangulizi

Vigogo zaidi CUF kutimkia ACT Wazalendo, Kambaya, Maftaha watajwa

  AWAMU ya Pili ya ‘shusha Tanga pandisha tanga’ ya Chama cha ACT-Wazalendo imetajwa kuwa na kishindo baada ya viongozi waandamizi kutoka chama...

Habari za Siasa

Dk. Nchemba: Fedha zimefika mifukoni mwa watu

  WAZIRI wa Fedha na Mipango, Dk. Mwigulu Nchemba amesema katika kipindi cha mwaka mmoja wa Rais Samia Suluhu Hassan madarakani amefanya mambo...

Habari za Siasa

Kindamba apewa majukumu matatu Njombe

  RAIS wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan, amemkabidhi majukumu matatu, Mkuu mpya wa Mkoa wa Njombe, Waziri Kindamba. Anaripoti Mwandishi Wetu, Dodoma …...

Habari za SiasaTangulizi

Polepole kupewa darasa, kuteta na Rais Samia

  BALOZI mpya wa Tanzania nchini Malawi, Humphrey Polepole kabla ya kwenda kuanza majukumu yake mapya atakutana na mambo mawili muhimu ikiwemo kuteta...

Habari za SiasaTangulizi

Polepole, Kindamba waapishwa Ikulu

  RAIS wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan amewaapisha Humphrey Polepole kuwa Balozi wa Tanzania nchini Malawi na Waziri Kindamba kuwa Mkuu wa Mkoa...

Habari za Siasa

Wabunge Tanzania wanusa ‘madudu’ ujenzi SGR

  KAMATI ya Kudumu ya Bunge ya Miundombinu nchini Tanzania, imeonesha wasiwasi wa kukamilika kwa wakati na kwa viwango vya ujenzi wa Reli...

Habari za SiasaTangulizi

Mabadiliko mengine baraza la mawaziri yaja

  HAKUNA shaka kuwa Rais wa Jamhuri, Samia Suluhu Hassan, anaweza kulifanyika mabadiliko mengine baraza lake la mawaziri, muda wowote kutoka sasa. Anaripoti...

Habari za SiasaTangulizi

Samia amrejesha Mchechu NHC, ampeleka Polepole Malawi

RAIS Samia leo tarehe 14 Machi 2022 ameteua viongozi mbalimbali wa Serikali huku akimwondoa Humphrey Polepole bungeni na kumpeleka kuwa balozi wa Tanzania...

Habari za Siasa

Spika Tulia awapa mbinu ya ushindi wanawake uchaguzi CCM

SPIKA wa Bunge la Tanzania, Dk. Tulia Ackson, amewataka wanawake wafanye maandalizi ya kugombea nafasi za uongozi wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), katika...

Habari za Siasa

Sheria ya kulinda data, faragha yaja

  WAZIRI wa Habari, Mawasiliano na Teknolojia ya Habari, Nape Nnauye, amesema maandalizi ya muswada wa Sheria ya Ulinzi wa Taarifa Binafsi, yako...

Habari za SiasaTangulizi

Lema, Zitto hapatoshi, watupiana madongo

WANASIASA wawili vijana na maarufu nchini, Godbless Lema na Zitto Kabwe wameingia kwenye vita nnzito ya maneno baada ya kila mmoja kuanza ‘kufukua...

Habari za Siasa

CCM kufanya marekebisho ya Katiba yake

CHAMA Cha Mapinduzi (CCM), kinatarajia kufanya Mkutano Mkuu Maalumu, kwa ajili ya kufanya marekebisho katiba yake ya 1977, iliyorejewa mwaka 2020, kwa lengo...

Habari za Siasa

Wawili kuchuana uenyekiti ACT-Wazalendo Vijana Dar es Salaam

NGOME ya Vijana ya Chama cha ACT-Wazalendo, Mkoa wa Dar es Salaam, kesho Jumapili, tarehe 13 Machi 2022, kinatarajia kufanya uchaguzi wa kujaza...

Habari za SiasaTangulizi

Bajeti ya pili ya Rais Samia imelenga kufikisha wapi uchumi?

  WAKATI mwaka mmoja wa kukamilisha bajeti yake, ukifikia ukingoni, Serikali ya awamu ya sita imelenga kuongeza zaidi ukuaji uchumi kwa mwaka wa...

Habari za Siasa

Serikali yaokoa Bil. 236/- baada ya kushinda mashauri 451

  SERIKALI ya Tanzania, imeokoa kiasi cha Sh. 236.6 bilioni katika kipindi cha mwaka mmoja wa uongozi wa Serikali ya Rais Samia Suluhu...

Habari za Siasa

Uchumi wa Tanzania waongezeka kwa asilimia 0.1

UCHUMI wa Tanzania umeongezeka kwa asilimia 0.1 kwa kipindi cha mwaka mmoja. Anaripoti Mwandishi Wetu Dodoma … (endelea). Uchumi wa Tanzania umeongezeka kwa...

Habari za SiasaTangulizi

NCCR-Mageuzi yakubali kushiriki mkutano TCD na Rais

  CHAMA cha NCCR-Mageuzi, kimetengua azimio lake la kutoshiriki mkutano wa Kituo cha Demokrasia Tanzania (TCD) na Rais Samia Suluhu Hassan, baada ya...

Habari za Siasa

Mtia nia Urais Chadema 2020 amsifu Rais Samia, ataka watu waache dhana mbaya

ALIYEKUWA mtia ya kugombea Urais kwenye Uchaguzi Mkuu wa mwaka 2020 kupitia Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), Dk. Maryrose Majinge amewataka Watanzania...

Habari za SiasaTangulizi

Sakata la kina Mdee:Chadema yasema haitapeleka barua nyingine bungeni

  CHAMA cha Demokarsia na Maendeleo (Chadema), kimesema hakitapeleka barua nyingine kwenda kwenye uongozi wa Bunge, kulitaarifu msimamo wake wa kufukuza uanachama wabunge...

Habari za Siasa

Lissu asema mchakato katiba mpya mgumu, ataka safari ianze

  MAKAMU Mwenyekiti wa Chama cha Chadema Bara, Tundu Lissu, amesema mchakato wa upatikanaji katiba mpya ni mgumu, kwani unachukua muda mrefu na...

Habari za Siasa

Mbowe ateta na RC, RPC Iringa

  MWENYEKITI wa Chama Cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), Freeman Mbowe amekutana na kufanya mazungumzo na Mkuu wa Mkoa wa Iringa (RC), Queen...

Habari za SiasaTangulizi

Mbowe atumia dakika 76 kutema nyongo, amshukuru Rais Samia

MWENYEKITI wa Chadema, Freeman Mbowe ametumia takribani dakika 76, kulihutubia Taifa ikiwa ni siku nne baada ya kutoka mahabusu ya Gereza la Ukonga,...

Habari za SiasaTangulizi

Mbowe ataja chanzo cha kukamatwa, kufunguliwa kesi ya ugaidi

  MWENYEKITI wa Chama cha Chadema, Freeman Mbowe, amedai chanzo cha yeye kukamatwa na kufunguliwa mashtaka ya ugaidi, ni hotuba yake ya uchambuzi...

Habari MchanganyikoHabari za Siasa

Rais Dk. Mwinyi kuanzisha Wizara mpya, kumweka mwanamke

RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Dk. Hussein Ali Mwinyi, amesema anakwenda kufanya mabadiliko ya Wizara ya Afya kwa kuitenganisha...

Habari za Siasa

Rais Samia: Hakuna kuulizana dini wakati wa sensa

Rais Samia Suluhu Hassan amesema hakuna mtu atakayeulizwa dini yake wakati wa sensa ya watu na makazi inayotarajiwa kufanyika Agosti mwaka huu. Anaripoti...

Habari za Siasa

Askofu Bagonza amzungumzia Mbowe, Urio na ACP Kingai

ASKOFU wa Dayosisi ya Karagwe ya Kanisa la Kiinjili la Kilutheri Tanzania, KKKT, Dk. Benson Bagonza, amesema juhudi zinahitajika ili kuijenga Tanzania mpya...

Habari za SiasaTangulizi

Rais Samia atoa tahadhari mfumuko wa bei

RAIS wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan ametahadharisha uwepo wa mfumuko mkubwa wa bei nchini unaosababishwa na kupanda kwa bei...

Habari MchanganyikoHabari za Siasa

Askofu Bagonza aeleza alivyopingwa pendekezo la Rais mwanamke

ASKOFU wa Dayosisi ya Karagwe ya Kanisa la Kiinjili la Kilutheri Tanzania, KKKT, Dk. Benson Bagonza, amesema miaka kumi iliyopita alipingwa na baadhi...

Habari za SiasaTangulizi

Askofu Bagonza aeleza kwa nini CCM itakufa

  ASKOFU wa Dayosisi ya Karagwe, ya Kanisa la Kiinjili la Kilutheri Tanzania (KKKT), Dk. Benson Bagonza, amesema Chama Cha Mapinduzi (CCM), kitakufa...

error: Content is protected !!