MBUNGE wa Viti Maalum wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) nchini Tanzania, Asia Halanga amempongeza Rais wa Taifa hilo, Samia Suluhu Hassan na...
By Mwandishi WetuMay 19, 2022ALIYEKUWA Mkaguzi na Mdhibiti Mkuu wa Hesabu za Serikali nchini-CAG, Profesa Mussa Assad amesema licha ya kuwa kuna umuhimu wa kuwa na Katiba...
By Faki SosiMay 19, 2022SERIKALI ya Tanzania imesema imetoa maelekezo kwa mameneja wote wa mikoa na wilaya kuwaunganishia umeme wale wote waliokuwa wameshalipia Sh 27,000 kabla ya...
By Mwandishi WetuMay 19, 2022RAIS Samia Suluhu Hassan, ametoa maagizo matatu kwa wizara na taasisi za Serikali, yenye lengo la kuchochea maendeleo ya wananchi. Anaripoti Regina Mkonde,...
By Gabriel MushiMay 18, 2022RAIS Samia Suluhu Hassan, amesema Serikali yake kupitia Wizara ya Ofisi ya Rais-TAMISEMI, itaandaa mradi wa kumalizia maboma yaliyoanza kujengwa na wananchi, ikiwemo...
By Gabriel MushiMay 18, 2022MBUNGE wa Viti Maalum wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) nchini Tanzania, Mariam Ditopile ameimpongeza Serikali inayoongozwa na Rais wa nchi hiyo, Samia...
By Mwandishi WetuMay 18, 2022CHAMA cha ACT-Wazalendo, kimeishauri Serikali ya Morocco iitishe kura ya maoni ili wananchi wa Sahara Magharibi, waamue kama wanakubali kuwa Taifa huru...
By Mwandishi WetuMay 17, 2022RAIS Samia Suluhu Hassan amesema mafanikio ya utekelezaji wa miradi iliyoanzwa katika serikali ya awamu ya tano, yanawasuta watu wanaosema uongo kwamba...
By Mwandishi WetuMay 17, 2022KIONGOZI wa chama kikuu cha upinzani nchini Tanzania cha Chadema, Freeman Mbowe ameonesha kushangazwa na uamuzi wa Spika wa Bunge, Dk. Tulia...
By Mwandishi WetuMay 17, 2022MAHAKAMA Kuu Kanda ya Dar es Salaam imesema wabunge 19 wa Chadema (Covid 19) waliovuliwa uanachama wa chama hicho hivi karibuni wataendelea...
By Mwandishi WetuMay 16, 2022Spika wa Bunge la Tanzania Dk.Tulia Akson, ametoa ufafanuzi zaidi kuhusu uamuzi wake wa kutowafukuza bungeni wabunge 19 wa Chadema baada ya...
By Danson KaijageMay 16, 2022WANAWAKE 1,580 wamepoteza maisha nchini Tanzania wakati wa kujifungua katika kipindi cha mwaka mmoja wa 2021. Anaripoti Mwandishi Wetu, Dodoma … (endelea)....
By Mwandishi WetuMay 16, 2022CHAMA cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) kimesema hakijapokea wito wa mahakama kuhusu kesi inayodaiwa kufunguliwa na wanachama wake 19 waliofukuzwa hivi karibuni ndani...
By Gabriel MushiMay 16, 2022MAKAMU Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema)-Bara nchini Tanzania, Tundu Lissu ameukosoa vikali uamuzi wa Spika Tulia Ackson kuwabakisha bungeni Halima...
By Gabriel MushiMay 16, 2022BUNGE la Tanzania limesema wabunge 19 wa viti maalumu waliofukuzwa uanachama wa Chadema, wataendelea kutumikia mhimili huo hadi pale Mahakama Kuu, itakapotoa uamuzi...
By Gabriel MushiMay 16, 2022LICHA ya Halima Mdee na wenzake 18 kufukuzwa uanachama ndani ya Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), leo Jumatatu tarehe 16 Mei...
By Mwandishi WetuMay 16, 2022CHAMA tawala nchini Tanzania- Chama Cha Mapinduzi (CCM) kimeshangazwa na ukimya kwa wakuu wa mikoa (RC) na wilaya (DC) katika kuelezea mafanikio...
By Mwandishi WetuMay 15, 2022RAIS wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan, ameridhia mapendekezo ya nyongeza ya mshahara kwa watumishi wa umma, ambapo kima cha chini kimeongezwa kwa...
By Regina MkondeMay 14, 2022CHAMA cha ACT-Wazalendo, kimetoa wito kwa watetezi wa haki za binadamu Tanzania kuungana na vyama vya siasa vya upinzani katika harakati za...
By Mwandishi WetuMay 14, 2022MBUNGE wa Kibamba, Issa Mtemvu ameonesha hofu yake ya kutoendelea kuwa mbunge wa jimbo hilo endapo changamoto ya upatikanaji wa maji haitatatuliwa...
By Mwandishi WetuMay 13, 2022BAADHI ya Wabunge wa Viti Maalum waliofukuzwa uanachama wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) wametinga bungeni siku moja baada ya Baraza...
By Mwandishi WetuMay 13, 2022CHAMA kikuu cha upinzani nchini Tanzania cha Chadema kimesema, kimewasilisha barua kwa Spika wa Bunge kumweleza kuhusu hatima ya rufaa za waliokuwa...
By Mwandishi WetuMay 13, 2022RUFAA za Halima Mdee na wenzake 18 za kupingwa kufukuzwa uanachama na kamati kuu ya Chadema zimetupiliwa mbali na wajumbe wa Baraza...
By Mwandishi WetuMay 12, 2022BARAZA Kuu la Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) nchini Tanzania limemaliza kusikiliza rufaa za Halima Mdee na wenzake 18 . Anaripoti...
By Mwandishi WetuMay 11, 2022CHAMA cha ACT Wazalendo kimeitaka serikali kukabiliana na changamoto ya upungufu wa walimu na kuboresha elimu katika sekta hiyo. Anaripoti Rhoda Kanuti Dar...
By Mwandishi WetuMay 11, 2022KIONGOZI wa Harakati za nguvu za umma na Rais wa chama cha National Unit Platform (NUP), Robert Kyagulanyi Ssentamu amesema alishinda urais katika...
By Mwandishi WetuMay 11, 2022MWENYEKITI wa chama cha ACT-Wazalendo Juma Duni Haji, amesema upinzani ukishirikiana uchaguzi ujao 2025 utaweza kukiondoa madarakani Chama Cha Mapinduzi (CCM). Anaripoti Mwandishi...
By Gabriel MushiMay 11, 2022MWENYEKITI wa Chama cha Ukombozi wa Umma (CHAUMMA), Hashim Rungwe, amedai misingi ya katiba na sheria haikufuatwa katika uongozi wa Awamu ya Tano,...
By Gabriel MushiMay 11, 2022NAIBU Msajili wa Vyama vya Siasa, Sisty Nyahoza, amekitaka Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), kishiriki katika mikutano ya vyama vya siasa, ili...
By Gabriel MushiMay 11, 2022HALIMA Mdee na wenzake 18 wamesema wamefika kusikiliza rufaa zao wakisema “tuko tayari kwa lolote.” Anaripoti Mwandishi Wetu, Dar es Salaam …...
By Mwandishi WetuMay 11, 2022MKUTANO wa Baraza Kuu la chama kikuu cha upinzani nchini Tanzania cha Chadema unafanyika leo Jumatano tarehe 11 Mei 2022, katika ukumbi...
By Mwandishi WetuMay 11, 2022VIONGOZI wa Chama cha Mapinduzi (CCM) waliopo madarakani wametakiwa kuruhusu watia nia wa nafasi mbalimbali ndani ya chama hicho kuchukua fomu hata katika ...
By Gabriel MushiMay 10, 2022MBUNGE wa Ubungo, Profesa Kitila Mkumbo, ameishauri Serikali ifute kada ya maafisa elimu kata, ili kuziba changamoto ya upungufu wa walimu shuleni....
By Regina MkondeMay 10, 2022UFARANSA imeonesha kuridhishwa na hatua zilizochukuliwa na zinazochukuliwa na Serikali ya Awamu ya Sita katika kuboresha mazingira ya biashara na uwekezaji nchini Tanzania....
By Gabriel MushiMay 10, 2022SPIKA wa Bunge, Dk. Tulia Ackson amemuonya Mbunge Sengerema, Hamisi Tabasamu (CCM) baada ya kudaiwa kutweza mchango wa Mbunge wa Momba, Condester Sichwale...
By Gabriel MushiMay 10, 2022SERIKALI imesema imeanza mchakato wa kuchukua mkopo kutoka Benki ya Dunia (WB) na Shirika la Fedha Duniani (IMF) kwa ajili ya kuwekaahueni...
By Mwandishi WetuMay 10, 2022SERIKALI imetopa ruzuku ya Sh 100 bilioni kwa kipindi cha mwezi mmoja kwaajili ya kuleta ahueni katika bei ya nishati ya mafuta....
By Mwandishi WetuMay 10, 2022MFULULIZO wa matukio ya ajali za moto katika masoko mbalimbali nchini yamewaamsha wabunge wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na...
By Masalu ErastoMay 10, 2022RAIS wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan amekutana kwa mara nyingine na kiongozi wa chama kikuu cha upinzani nchini humo cha Chadema, Freeman...
By Mwandishi WetuMay 9, 2022CHAMA Cha Mapinduzi (CCM) kimeitaka Serikali kutafuta ufumbuzi wa haraka wa namna ya kukabiliana hali ngumu ya maisha kwa Watanzania kutokana na kupanda...
By Gabriel MushiMay 9, 2022MBUNGE wa Kawe, Askofu Dk. Josephat Gwajima (CCM) leo Jumatatu amesema licha ya kwamba ujenzi wa reli ya kisasa (SGR) lilikuwa wazo...
By Mwandishi WetuMay 9, 2022MVUTANO umeibuka bungeni baina ya Mbunge wa Buchosa, Eric Shigongo na Waziri wa Fedha na Mipango, Mwigulu Nchemba kuhusu nchi kuporomoka kutoka...
By Mwandishi WetuMay 9, 2022MBUNGE wa Kisesa, Luhaga Mpina, ameishauri Serikali ifanye uchunguzi dhidi ya Kampuni ya kuzalisha umeme ya Symbion Power, kabla ya kuilipa zaidi...
By Mwandishi WetuMay 9, 2022MBUNGE wa Mafinga Mjini, Cosato Chumi, ameitaka Wizara ya Viwanda, Biashara na Uwekezaji kuunda kikosi kazi cha masuala ya uchuimi kama ambayo...
By Mwandishi WetuMay 9, 2022RAIS wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan amewaagiza viongozi akiwemo Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa kutafuta suluhisho la haraka katika kukabiliana na tatizo la...
By Mwandishi WetuMay 9, 2022MWANASIASA mkongwe na Spika mstaafu nchini Tanzania, Job Ndugai ametangaza kutogombea tena nafasi ya ubunge wa Kongwa mkoani Dodoma katika uchaguzi mkuu...
By Danson KaijageMay 8, 2022CHAMA cha walimu Tanzania(CWT) kimempongeza Rais Samia Suluhu Hassan kutokana na namna inavyowajali watumishi nchini wakiwemo walimu. Anaripoti Danson Kaijage, Dodoma …...
By Danson KaijageMay 7, 2022WAKAZI wa Kata ya Nzuguni Jijini Dodoma wamepanga kuandamana hadi kwa Diwani wao, Mzee Aloyce (CCM) ili wamshinikize kujiuzulu kwa kushindwa kutimiza...
By Mwandishi WetuMay 7, 2022WIZARA ya Mambo ya Ndani ya Nchi imeweka kipaumbele kwa mafunzo na ununuzi wa sare za askari ambapo jumla ya Sh 34.7...
By Mwandishi WetuMay 5, 2022WABUNGE wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania wameishauri Serikali kuondoa tozo zisizo na athari katika miradi muhimu kwa wananchi pamoja...
By Mwandishi WetuMay 5, 2022