WAZIRI wa Katiba na Sheria, Dk. Damas Ndumbaro, amesema wizara yake inakwenda kuufumua mfumo wa jinai, ili kuangalia namna ya kupunguza msongamano wa...
By Gabriel MushiJune 6, 2022WABUNGE wameikumbusha Serikali kuhusu utekelezaji wa ahadi za aliyekuwa Rais wa Awamu ya Tano, Hayati John Magufuli, ya kutoa fedha kwa ajili ya...
By Gabriel MushiJune 6, 2022WAZIRI Mkuu wa Tanzania, Kassim Majaliwa amekemea tabia ya utiririshaji wa maji machafu na majitaka kutoka viwandani na kwenye migodi kwani inachangia...
By Mwandishi WetuJune 5, 2022NGOME ya Vijana ya Chama cha ACT Wazalendo nchini Tanzania imebuka na hoja sita dhidi ya Bodi ya Mikopo ya Elimu ya...
By Mwandishi WetuJune 5, 2022KANISA la Kiinjili la Kulutheli Tanzania (KKKT) Dayosisi ya Konde imetangaza kumwondolea wakfu wa Uaskofu, Dk. Edward Mwaikali aliyekuwa askofu wa Dayosisi...
By Mwandishi WetuJune 5, 2022KATIBU Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) nchini Tanzania, Daniel Chongolo amekemea tabia ya baadhi ya watendaji wa serikali kupanga watumishi wa...
By Mwandishi WetuJune 3, 2022KATIBU wa Halmashauri Kuu ya Taifa (NEC) ya CCM, Itikadi na Uenezi, Shaka Hamdu Shaka ameziagiza mamlaka husika kuhakikisha mradi wa maji...
By Mwandishi WetuJune 3, 2022MBUNGE wa Viti Maalum Mkoa wa Dodoma (CCM), Mariam Ditopile amemtaka Waziri wa Nishati, January Makamba kuwa makini na Mardi wa Gesi...
By Mwandishi WetuJune 2, 2022MBUNGE wa jimbo la Uyui nchini Tanzania, Almasi Maige, amehoji sababu ya Tanzania kushindwa kupata nishati ya mafuta licha ya kuwa na...
By Mwandishi WetuJune 2, 2022KATIBU Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Daniel Chongolo amemtaka Mbunge wa Itilima, Njelu Silanga kuwawezesha wakulima wa jimbo hilo kuhakikisha kila...
By Mwandishi WetuJune 2, 2022WIZARA ya Maliasili na Utalii nchini Tanzania imepewa mwezi mmoja (siku 30) ihakikishe watendaji wake wa wanaohusika na wanyamapori wawe wamefika Meatu...
By Mwandishi WetuJune 2, 2022MBUNGE wa Kigamboni jijini Dar es Salaam kupitia chama tawala nchini Tanzania- Chama Cha Mapinduzi (CCM), Dk Faustine Ndugulile amesema, kilio cha...
By Mwandishi WetuJune 2, 2022ALIYEKUWA Mkuu wa Wilaya ya Hai, Mkoa wa Kilimanjaro nchini Tanzania, Lengai Ole Sabaya amebubujikwa machozi mahakamani wakati akimwomba Rais Samia Suluhu...
By Mwandishi WetuJune 1, 2022KUTOKANA na ukubwa wa gharama za miundombinu ya usambazaji wa gesi asilia, Kampuni ya Mandeleo ya Petroli Tanzania (TPDC) na Wakala wa...
By Mwandishi WetuJune 1, 2022SERIKALI ipo mbioni kuanza matumizi ya teknolojia ya kisasa katika shughuli za upakuaji mafuta kutoka kwenye meli ili kuepuka udanganyifu na upotevu...
By Mwandishi WetuJune 1, 2022SERIKALI imetenga Sh 1.44 trilioni katika mwaka wa fedha 2022/23 kwaajili ya kutekeleza kazi mbalimbali kwenye mradiMradi wa Kuzalisha Umeme kwa Kutumia Maji...
By Mwandishi WetuJune 1, 2022MWENYEKITI wa Chama cha Chadema, Freeman Mboiwe, amesema hatua ya Rais Samia Suluhu Hassan, kuzindua kitabu cha msanii mkongwe wa muziki wa...
By Mwandishi WetuJune 1, 2022WAZIRI wa Nishati, Januari Makamba amekuja na vipaumbele 12 katika utekelezaji wa bajeti ya mwkaa 2022/23. Anaripoti Mwandishi Wetu, Dodoma … (endelea)...
By Mwandishi WetuJune 1, 2022KATIKA kuimarisha usimamizi wa miradi ya kupeleka umeme vijini, Serikali imesema inakwenda kuajiri waratibu wa miradi ya umeme vijijini kwa kila jimbo....
By Mwandishi WetuJune 1, 2022KATIBU wa Itikadi na Uenezi wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Shaka Hamdu Shaka, amesema Rais wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan sasa anakirejesha...
By Mwandishi WetuJune 1, 2022WAZIRI wa Afya, Ummy Mwalimu ameiagiza Mamlaka ya Dawa na Vifaa Tiba (TMDA) kufanya tathmini ya kina kuhusu matumizi ya shisha, ugoro...
By Danson KaijageMay 31, 2022WAZIRI Mkuu wa Tanzania, Kassim Majaliwa amewataka wabunge wawaelimishe na wawahamasishe wananchi wajitokeza na washiriki katika Sensa ya Watu na Makazi ikiwa...
By Mwandishi WetuMay 31, 2022KATIBU Mkuu wa chama tawala nchini Tanzania- Chama Cha Mapinduzi (CCM), Daniel Chongoloamewataka viongozi ngazi zote nchini kuhakikisha wanashiriki vikao vya mashina ili...
By Gabriel MushiMay 30, 2022MBUNGE Viti Maalum, Christine Mzava, ameishauri Serikali iwashughulikie watu wanaofanya ukatili wa kijinsia, kama inavyowashughulikia watuhumiwa wa uhujumu uchumi, kwa kuwanyima dhamana mahakamani,...
By Gabriel MushiMay 30, 2022MGOGORO ndani ya Chama cha NCCR Mageuzi umeendelea kufukuta baada ya Katibu Mkuu wa chama hicho, Martha Chiomba kuibua na kudai maisha yake...
By Mwandishi WetuMay 29, 2022KATIBU Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Daniel Chongolo amewataka wananchi wa Mkoa wa Shinyanga na maeneo mengine kuchangamkia kilimo cha tumbaku...
By Mwandishi WetuMay 29, 2022MBUNGE wa Kawe, Askofu Dk. Josephat Gwajima amesema baadhi ya viongozi wa serikali badala ya kutatua migogoro ya ardhi wanachochea migogoro hiyo...
By Mwandishi WetuMay 27, 2022RAIS Samia Suluhu Hassan, amepandisha viwango vya posho ya kujikimu katika safari za ndani za watumishi wa umma, pamoja na malipo ya...
By Regina MkondeMay 27, 2022MBUNGE wa Geita Vijijini, Joseph Msukuma (CCM) amesema sio wanawake tu wanaofurahia utendaji wa Rais Samia Suluhu Hassan bali hata wanaume wanamfurahia. Anaripoti...
By Gabriel MushiMay 26, 2022BUNGE la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania leo tarehe 26 Mei, 2022 limeazimia kumpongeza Rais Samia Suluhu Hassan kwa kutajwa kuwa miongoni...
By Mwandishi WetuMay 26, 2022SPIKA wa Bunge, Dk. Tulia Ackson amemuagiza Naibu Waziri wa Afya, Dk. Godwin Mollel kujibu tena swali la msingi na maswali ya...
By Mwandishi WetuMay 26, 2022RAIS Samia Suluhu Hassan, amesema tuzo ya Babacar Ndiaye ya 2022, inayotolewa na Benki ya Maendeleo ya Afrika (AfDB), kwa ajili ya...
By Mwandishi WetuMay 25, 2022MBUNGE wa Viti Maalum Wanawake Mkoa wa Dodoma (CCM), Mariam Ditopile ameitaka Serikali kupitia Wizara ya Mifugo na Uvuvi kuja na mipango...
By Mwandishi WetuMay 25, 2022NAIBU Msajili wa Vyama vya Siasa nchini, Sisty Nyahoza, amemtaka aliyekuwa Mwenyekiti wa Chama cha NCCR-Mageuzi na wajumbe wa sekretarieti yake iliyovunjwa,...
By Mwandishi WetuMay 25, 2022CHAMA cha ACT-Wazalendo kimewafungua milango na kuwakaribisha Halima Mdee na wenzake 18 waliotimuliwa katika Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), watakapowiwa kujiunga na...
By Masalu ErastoMay 25, 2022MBUNGE Viti Maalumu, Sophia Mwakagenda, ameishauri Wizara ya Elimu, Sayansi na Teknolojia, itumie matokeo ya nyuma ya wanafunzi katika kuamua ufaulu wa...
By Mwandishi WetuMay 25, 2022CHAMA cha Wananchi (CUF), kimeshauri mchakato wa katiba mpya uanze mara moja, kikishauri muundo wa Serikali upewe kipaumbele katika kupitiwa upya pamoja na...
By Gabriel MushiMay 24, 2022CHAMA cha Wananchi (CUF), kimewasilisha kwa shingo upande maoni na mapendekezo yake katika Kikosi Kazi kilichoundwa na Rais Samia Suluhu Hassan, kwa ajili...
By Gabriel MushiMay 24, 2022MBUNGE wa Sumbawanga Mjini kupitia Chama Cha Mapinduzi (CCM) nchini Tanzania, Aeshi Hilaly amewaomba mawaziri kutokutumia kinga ya Rais kukweka kuelezwa udhaifu...
By Mwandishi WetuMay 24, 2022MBUNGE wa Kigamboni, Dk. Faustine Ndungulile amesema abiria wamelazimika kupigana na nahodha wa kivuko cha MV Kigamboni baada ya kusimamisha kivuko hicho...
By Mwandishi WetuMay 24, 2022CHAMA cha ACT-Wazalendo, kimeshauri mchakato wa upatikanaji katiba mpya uanze mara moja, huku kikitoa mapendekezo ya hatua nne za kuchukua kuelekea suala...
By Regina MkondeMay 23, 2022HATARI za kiulinzi, kiusalama na upotevu wa mapato ya Serikali zimeetajwa kuwa athari za uwepo wa bandari bubu zipatazo 693 nchini Tanzania....
By Mwandishi WetuMay 23, 2022CHAMA cha Chadema, kimewasilisha kwa Rais Samia Suluhu Hassan, mapendekezo 10 yatakayosaidia kutibu madhila yaliyotokea miaka sita iliyopita. Anaripoti Mwandishi Wetu, Dar...
By Mwandishi WetuMay 23, 2022CHAMA Cha Mapinduzi (CCM) kimewataka Watanzania kuwa wavumilivu na wastahimilivu katika kusubiri kuelezwa kile alichozungumza Rais Samia Suluhu Hassan na viongozi mbalimbali...
By Mwandishi WetuMay 23, 2022BAJETI ya Wizara ya Ujenzi na Uchukuzi imeibua kizaazaa bungeni baada ya wabunge waliokuwa wakichangia kufanya matukio yasiyo ya kawaida kuonesha kusikitishwa na...
By Mwandishi WetuMay 23, 2022LICHA ya fedha za miradi ya maendeleo katika sekta ya ujenzi kutolewa kwa asilimia 96.48, utekelezaji wa miradi ya ujenzi wa barabara na...
By Mwandishi WetuMay 23, 2022SERIKALI imetekeleza bajeti ya miradi ya maendeleo sekta ya ujenzi kwa asilimia 96.5 kwa yenye gharama ya Sh. 1.532 trilioni. Anaripoti Mwandishi Wetu,...
By Mwandishi WetuMay 23, 2022RAIS wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan anatarajiwa kuondoka nchini leo tarehe 23 Mei, 2022 kuelekea jijini Accra nchini...
By Mwandishi WetuMay 23, 2022SPIKA wa Bunge, Dk. Tulia Ackson amewataka wabunge kuwa na staha wakiwa ndani ya Bunge na kuacha kutangatanga na kupiga kelele. Anaripoti...
By Mwandishi WetuMay 23, 2022HALMASHAURI Kuu ya Chama cha NCCR-Mageuzi, imemsimamisha Mwenyekiti wa chama hicho Taifa, James Mbatia na Makamu Mwenyekiti wake Bara, Angelina Mtaigwa, kwa...
By Bupe MwakitelekoMay 21, 2022