Habari za Siasa

Bwege: Msiichague CCM hali mbaya

SULEMAN Bungara Maarufu Bwege, Mgombea Ubunge wa Chama cha ACT-Wazalendo kwenye jimbo la Kilwa Kusini, amewataka wananchi wa jimbo la Kinondoni kutokukipigia kura Chama Cha Mapinduzi (CCM),  kwa kuwa chama ...

Read More »

Kubenea: Sitanii, hili nitafanya Kinondoni

SAED Kubenea, mgombea ubunge katika Jimbo la Kinondoni, jijini Dar es Salaam mesema miongoni mwa mambo ambayo atayasimamaia hadi kufanikiwa kwake ni suala la kutoa mikopo kwa vijana pamoja na ...

Read More »

Sheikh Katimba: 28 Oktoba fursa wapinzani kupumua

SHEIKH Rajab Katimba kutoka Taasisi ya na Jumuiya za Kiislamu Tanzania amesema, Uchaguzi Mkuu wa tarehe 28 Oktoba 2020 utumike kama fursa ya upinzani nchini humo kupumua. Anaripoti Mwandishi Wetu, ...

Read More »

ACT-Wazalendo yawatumia salamu watakaoiba kura

MWENYEKITI wa Ngome ya Wazee ya ACT-Wazalendo, Yassin  Mohammed amesema, mwenyezi Mungu atawaadhibu watakaoshiriki wizi wa kura kwenye Uchaguzi Mkuu utakaofanyika Jumatano tarehe 28 Oktoba 2020. Anaripoti Faki Sosi …(endelea). ...

Read More »

Polisi: Tunawashikilia maofisa watatu ACT-Wazalendo

POLISI Mkoa wa Kinondoni jijini Dar es Salaam nchini Tanzania, linawashikilia maofisa watatu wa chama cha upinzani cha ACT-Wazalendo katika kituo cha polisi Osterbay. Anaripoti Regina Mkonde, Kinondoni … (endelea). ...

Read More »

Maharagande ajinadi kwa ahadi saba Segerea

MGOMBEA Ubunge Segerea jijini Dar es Salaam kupitia Chama cha ACT-Wazalendo, Mbarala Maharagande, ametaja vipaumbele saba ambavyo atavitekeleza pindi atakapochaguliwa na kuwa mbunge. Anaripoti Regina Mkonde, Dar es Salaam…(endelea). Maharagande ...

Read More »

Mbowe amwelezea Lissu anavyowachanganya CCM

FREEMAN Mbowe, Mwenyekiti wa Chama Kikuu cha Upinzani nchini Tanzania, Chadema amesema, mwitikio wa wananchi katika mikutano ya kampeni za Mgombea Urais wa Tanzania kupitia chama hicho, Tundu Lissu umewafanya ...

Read More »

Bwege: Nitashangaa mkimchagua Magufuli, amkumbuka Kikwete

SELEMAN Bungara maarufu ‘Bwege,’ Mgombea Ubunge Kilwa Kusini kupitia ACT-Wazalendo, amesema, kama Watanzania watamchagua tena Dk. John Magufuli kuwa Rais wa Tanzania katika Uchaguzi Mkuu wa tarehe 28 Oktoba 2020, ...

Read More »

Lissu aahidi neema wanafunzi elimu ya juu

MGOMBEA Urais wa Tanzania kupitia Chadema, Tundu Lissu amesema, akichaguliwa kuwa Rais wan chi hiyo ataondoa ubaguzi wa utoaji mikopo ya wanafunzi wa elimu ya juu na kupunguza riba wanayolipa ...

Read More »

Kubenea aanza safari ya kukabiliana na Tarimba

MGOMBEA ubunge katika jimbo la Kinondoni, kupitia chama cha ACT-Wazalendo, Saed Kubenea, amepanga kufungua kampeni zake za kuwani nafasi hiyo, kesho Jumapili, jijini Dar es Salaam. Anaripoti Regina Mkonde, Kinondoni ...

Read More »

Lissu anavyojitofautisha na Lowassa, Dk. Slaa

TUNDU Lissu, Mgombea Urais wa Tanzania kupitia Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), amesema katika Uchaguzi Mkuu wa tarehe 28 Oktoba 2020, chama hicho kina mikakati ya ushindi ya kutosha ...

Read More »

Kubenea amchongea Tarimba kwa wanakinondoni

SAED Kubenea, mgombea Ubunge Kinondoni jijini Dar es Salaam kupitia ACT-Wazalendo, amemchomgea Abbas Tarimba, mgombea ubunge jimbo hilo wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) kwa wananchi ili wasimchague. Anaripoti Mwandishi Wetu, ...

Read More »

Lissu: 28 Oktoba siku ya ukombozi, tutashinda kwa kimbunga

TUNDU Lissu, mgombea urais wa Tanzania kupitia Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) amewaomba Watanzania kujitokeza kwa wingi Jumatano tarehe 28 Oktoba 2020 kupiga kura za mafuriko ili kumwezesha kushinda ...

Read More »

Polepole: Vitambulisho vya machinga havitafutwa

HUMPHREY Polepole, Katibu wa Uenezi wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), nchini Tanzania amesema, Serikali ya chama hicho haitaviondoa vitambulisho vya mjasiriamali ‘machinga’ kwa kuwa vinatija kwa wananchi. Anaripoti Mwandishi Wetu, ...

Read More »

Majaliwa: Kiti cha urais siyo mchezo

MJUMBE wa Kamati Kuu ya Chama Cha Mapinduzi (CCM) Kassim Majaliwa amesema kiti cha urais siyo cha mchezo, kinahitaji mtu makini. Anaripoti Mwandishi Wetu, Kwimba … (endelea). “Uongozi wa nchi ...

Read More »

Vyama, wagombea waonywa kutofanya haya

TUME ya Taifa ya Uchaguzi (NEC) nchini Tanzania imebainisha mambo mbalimbali ambayo hayapaswi kufanywa na vyama vya siasa na wagombea katika kipindi cha Uchaguzi Mkuu utakaofanyika Jumatano tarehe 28 Oktoba ...

Read More »

Magufuli apeleka neema Ukerewe

RAIS wa Tanzania, John Magufuli amepandisha hadhi kituo cha afya cha Bwisya kilichoko Ukara wilayani Ukerewe jijini Mwanza kiwe na hadhi ya hospitali ya wilaya. Anaripoti Mwandishi Wetu, Ukerewe … ...

Read More »

Lowassa amchokonoa Lissu

KITENDO cha Tundu Lissu, mgombea urais wa Tanzania, kupitia Chadema, kuonekana kwenye televisheni na kuzunguka majimboni wakati wa kampeni zake, kimebezwa na Edward Lowassa, aliyekuwa mgombea urais wa chama hicho ...

Read More »

Lissu: Wataiba kura zangu

TUNDU Lissu, mgombea urais wa Tanzania kupitia Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), amedai ushindi wake ukiwa mwembamba, ‘utapinduliwa.’ Anaripoti Mwandishi Wetu, Muleba … (endelea). Amesema, kukabiliana na hilo, amewataka ...

Read More »

Wanachama, viongozi 28 ACT-Wazalendo  Z’bar mbaroni

VIONGOZI na wanachama 28 wa Chama cha ACT-Wazalendo Mkoa wa Kaskazini Pemba, Zanzibar wanashikiliwa na Jeshi la Polisi kwa tuhuma za kujeruhi na kuwafanyia fujo wanachama wa Chama Cha Mapinduzi ...

Read More »

Fatma Karume ang’olewa TLS, asema…

KAMATI ya Maadili ya Mawakili Tanganyika imemkuta na hatia, Fatma Karume ya kukiuka maadili ya uwakili hivyo kuamlu jina lake (namba 848) kuondolewa katika orodha ya mawakili wa Chama cha ...

Read More »

Lissu: Nitabadili mfumo

TUNDU Lissu, mgombea urais wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) Tanzania Bara, ameahidi kubadili mfumo wa kibiashara ili kuwaneemesha wananchi waliopo mipakani kiuchumi na kibiashara. Anaripoti Mwandishi Wetu, Karagwe ...

Read More »

Lissu, Membe mambo magumu

USHIRIKIANO kati ya Tundu Lissu, mgombea urais wa Tanzania Bara kupitia Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) na Bernard Membe wa Chama cha ACT-Wazalendo, upo njia panda. Anaripoti Regina Mkonde, ...

Read More »

Maalim Seif amwita Lissu ampe mbinu za ushindi

MAALIM Seif Sharif Hamad, Mgombea Urais wa Zanzibar kupitia ACT-Wazalendo anataka kukutana na Tundu Lissu, Mgombea Urais wa Tanzania kupitia Chadema ili ampe mikakati ya ushindi katika Uchaguzi Mkuu wa ...

Read More »

Majaliwa: 28 Oktoba siyo siku ya mzaha

MJUMBE wa Kamati Kuu ya Chama Cha Mapinduzi (CCM), Kassim Majaliwa amemaliza ziara yake mkoa wa Mara na kuwaeleza wananchi Jumatano tarehe 28 Oktoba, 2020 siyo siku ya mzaha. Anaripoti ...

Read More »

Kumwachia Lissu: Zitto amaliza utata

KAULI aliyoitoa Zitto Kabwe, Kiongozi wa Chama cha ACT-Wazalendo leo tarehe 22 Septemba 2020, imemaliza utata kwamba, chama hicho hakina jinsi ispokuwa kuungana na kuwa na mgombea mmoja wa urais. ...

Read More »

Chanzo ajali ya Chadema hiki hapa

GARI lililowabeba baadhi ya maofisa wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) na kupata ajali katika eneo la Msoka, Kata ya Ngogwa iliyopo kwenye Jimbo la Masalala, Shinyanga ni kupasuka ...

Read More »

Lissu amharibia Magufuli Kagera 

TUNDU Lissu, mgombea urais wa Tanzania kupitia Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), amemchongea Rais John Magufuli kwa wananchi wa Mkoa wa Kagera, kwamba alibadilisha matumizi ya fedha za tetemeko ...

Read More »

ACT-Wazalendo kuanza na mambo 10 Ikulu

CHAMA cha ACT-Wazalendo kimetaja hatua 10 itakazochukua kuimarisha sekta binafsi na uwekezaji, endapo kitafanikiwa kushika dola. Anaripoti Mwandishi Wetu, Tabora … (endelea).   Hatua hizo zimetajwa leo tarehe 22 Septemba ...

Read More »

Maalim Seif amuunga mkono Lissu, Membe na Zitto wasema…

CHAMA cha ACT-Wazalendo kimetangaza kumuunga mkono Tundu Lissu, Mgombea Urais wa Tanzania kupitia Chadema katika Uchaguzi Mkuu utakaofanyika Jumatano tarehe 28 Oktoba 2020. Anaripoti Regina Mkonde, Dar es Salaam … ...

Read More »

Mgombea Chadema Dodoma Mjini ahidi afya, elimu, maji

AISHA Madoga, mgombea ubunge katika Jimbo la Dodoma mjini kupitia chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), ameahidi kuboresha sekta ya elimu, afya na maji. Anaripoti Danson Kaijage, Dodoma … (endelea). ...

Read More »

Mgombea udiwani aahidi ujenzi Daraja la Nzuguni

ALOYCE Luhega, mgombea udiwani wa Kata ya Nzuguni, jijini Dodoma kupitia Chama Cha Mapinduzi (CCM), ameahidi kusimamia ujenzi wa daraja linalounganisha Nzuguni C na B ambalo endapo atachaguliwa. Anaripoti Danson ...

Read More »

JPM ampinga Lissu, asema ‘tusijaribu’

MGOMBEA urais kupitia Chama Cha Mapinduzi (CCM), Dk. John Magufuli, amewataka Watanzania kutomchagua mgombea anayehubiri Serikali za Majimbo. Anaripoti Mwandishi Wetu, Tabora … (endelea). Akizungumza katika mkutano wa kampeni za ...

Read More »

Kasubi ataja vipaumbele akichaguliwa Mzimuni

BAKAR Kasubi, mgombea Udiwani wa Mzimuni Kinondoni, jijini Dar es  Salaam amawaeleza wananchi wa kata hiyo endapo watamchagua atahakikisha wananchi wanapata asilimia 10 ya mapato ya eneo hilo kama sehemu ...

Read More »

Lissu apata kigugumizi Kigoma Mjini, kisa Zitto

TUNDU Lissu, mgombea urais kupitia Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), amewaacha njia panda wanachama wa chama hicho Jimbo la Kigoma Mjini. Anaripoti Mwandishi Wetu, Kigoma … (endelea). Tofauti na ...

Read More »

Bashange ampigia chapuo Kubenea Kinondoni

JORAN Bashange, Naibu Katibu Mkuu Bara wa Chama cha ACT-Wazalendo, amewataka wananchi wa jimbo la Kinondoni jijini Dar es Salaam pamoja na Kata ya Mzimuni kumpigia kura Saed Kubenea Mgombea ...

Read More »

ZEC yawaengua wagombea 15 Uwakilishi, 11 wa ACT-Wazalendo

TUME ya Uchaguzi Zanzibar (ZEC) imewaengua wagombea 15 wa uwakilishi na saba wa udiwani, kutokana na sababu mbalimbali ikiwemo kukiuka masharti ya ujazaji fomu za uteuzi. Anaripoti Regina Mkonde…(endelea). Wagombea ...

Read More »

NEC yazungumzia Magufuli, Lissu kukutana Kigoma

TUME ya Taifa ya Uchaguzi (NEC) nchini Tanzania imesema, kugongana kwa Tundu Lissu, Mgombea Urais wa Tanzania kupitia Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) na Rais John Magufuli mkoani Kigoma, ...

Read More »

Lissu, Magufuli kukutana Kigoma

TUNDU Lissu, mgombea urais wa Tanzania kupitia chama kikuu cha upinzani nchini humo Chadema watakuwa Mkoa mmoja wa Kigoma na Rais John Magufuli. Anaripoti Mwandishi Wetu, Kigoma … (endelea). Wawili ...

Read More »

Rais wa Burundi atua Kigoma, JPM ampokea

EVARISTE Ndayishimiye, Rais wa Burundi amewasili mkoani Kigoma nchini Tanzania katika ziara ya kiserikali ya siku moja. Anaripoti Mwandishi Wetu, Kigoma … (endelea). Rais Ndayishimiye amewasili mkoani humo leo Jumamosi ...

Read More »

NEC yaamua rufaa 616, CCM yakusanya majimbo 20

TUME ya Taifa ya Uchaguzi (NEC) nchini Tanzania, imetoa mchanganuo wa rufaa 616 za Ubunge, Udiwani na malalamiko jinsi walivyozishughulikia huku wagombea ubunge 20 wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) wakipita ...

Read More »

Jacob ajinadi Ubungo, agusia ushirikiano Chadema na ACT-Wazalendo

BONIFACE Jacob, Mgombea Ubunge wa Ubungo kupitia Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) amesema, wako tayari kuachiana maeneo ya uchaguzi, kama watapata maelekezo ya viongozi wa chama chake kuhusu ushirikiano ...

Read More »

Chadema: Hatumchukii Magufuli, ila…

CHAMA cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), nchini Tanzania, kimeeleza hakina tatizo na Rais John Magufuli, mgombea urais wa nchi hiyo kupitia Chama Cha Mapinduzi (CCM) bali sera zake. Anaripoti Regina ...

Read More »

Maalim Seif: Hakuweza Nyerere, itakuwa Polepole?

MAALIM Seif Sharif Hamad, mgombea urais visiwani Zanzibar kupitia Chama cha ACT-Wazalendo amesema, Humphrey Polepole, Katibu wa Itikadi na Uenezi wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), hana ubavu wa kumfanya chochote. ...

Read More »

Magufuli alia na CCM Kigoma

JOHN Pombe Magufuli, Mgombea Urais wa Tanzania kupitia Chama Cha Mapinduzi (CCM) katika Uchaguzi Mkuu utakaofanyika Jumatano tarehe 28 Oktoba 2020 amesema, kinachoimaliza chama hicho Mkoa wa Kigoma kiko ndani ...

Read More »

Magufuli awashangaa wanaompinga Dk. Mpango jimboni

MGOMBEA urais wa Tanzania kupitia Chama Cha Mapinduzi (CCM), RAIS John Pombe Magufuli amewashangaa watu wanaompinga Dk. Phillip Mpango katika Jimbo la Buhigwe mkoani Kigoma katika Uchaguzi Mkuu utakaofanyika Jumatano ...

Read More »

Zitto, Kubenea wamwaga sumu Mafia

ZITTO Zuberi Kabwe, Kiongozi wa Chama cha ACT-Wazalendo na Saed Kubenea, mgombea ubunge wa Kinondoni, jijini Dar es Salaam, wameongoza mashambulizi dhidi ya utawala wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) katika ...

Read More »

Zitto: Akifika kwetu, anaonesha ubaguzi

AKIFIKA kwenye majimbo yanaoongozwa na wapinzani, anasema “mmechelewa kwa sababu mlichagua wapinzani.” Anaripoti Mwandishi Wetu, Mafia … (endelea). Ni kauli ya Zitto Kabwe, kiongozi wa Chama cha ACT-Wazalendo akizungumza kwenye ...

Read More »

EP4R yanufaisha shule 28 Bariadi

SHULE 28 za wilaya ya Bariadi Mkoa wa Simiyu zikiwemo 11 za msingi na 17 za sekondari zimenufaika na mfumo wa uboreshaji wa miundombinu ya shule wa Lipa Kutokana na ...

Read More »

Maalim Seif agusa mtima wa Wazanzibari

UHURU wa kiuchumi kwa Wazanzibari kupitia zao la Karafuu, sasa utapatiwa ufumbuzi kwa wakulima kuuza kokote watakapo. Anaripoti Mwandishi Wetu, Zamzibar … (endelea). Ni kauli ya Maalim Seif Sharif Hamad, ...

Read More »
error: Content is protected !!