MAHAKAMA Kuu, Masjala Kuu ya Dar es Salaam, imeahirisha kutoa uamuzi dhidi ya maombi yaliyofunguliwa na wabunge viti maalum 19, wakiongozwa na...
By Mwandishi WetuJuly 6, 2022MAHAKAMA Kuu ya Tanzania, Masjala Kuu ya Dar es Salaam, inatarajia kutoa uamuzi dhidi ya maombi yaliyofunguliwa na wabunge viti maalum 19,...
By Regina MkondeJuly 6, 2022CHAMA Cha Mapinduzi (CCM), kimekanusha madai ya kwamba chenyewe kinafanya mikutano ya hadhara huku vyama vya upinzani vikizuiwa, kikisema mkutano inayofanya na...
By Mwandishi WetuJuly 6, 2022KATIBU wa Itikadi na Uenezi wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Shaka Hamdu Shaka, amesema ndani ya chama hicho hakuna mpasuko, kama inavyovumishwa...
By Mwandishi WetuJuly 6, 2022MAHAKAMA Kuu, Masjala ya Dodoma, imeahirisha usikilizwaji wa kesi ya Chadema dhidi ya Jeshi la Polisi baada ya Mawakili wa Jamhuri kutofika...
By Mwandishi WetuJuly 5, 2022WAZIRI MKUU Kassim Majaliwa amesema Serikali imetoa Sh54 bilioni kwa ajili ya kugharamia mradi wa maji wa Chiuwe utakaohudumia wilaya za Ruangwa...
By Mwandishi WetuJuly 5, 2022SERIKALI ya Tanzania imeshauriwa kufikiria upya mpango wake wa kununua vifaa vya treni ya umeme vilivyotumika, maarufu kama mitumba, ili kujua kama...
By Mwandishi WetuJuly 5, 2022RAIS wa Zanzibar, Dk. Hussein Mwinyi, amegoma kumsamehe mwanasiasa mkongwe visiwani humo, Mzee Baraka Shamte, akisema hakuomba vizuri msamaha huo, kulingana na...
By Mwandishi WetuJuly 2, 2022WAZIRI Mkuu Kassim Majaliwa ametoa kiasi cha Sh milioni tano kwa Amina Mshana aliyekuwa mraibu wa dawa za kulevya kwa muda wa...
By Mwandishi WetuJuly 2, 2022MKURUGENZI wa Taasisi ya Mwalimu Nyerere, Mzee Joseph Butiku, ameishauri Serikali na jamii, kujikita katika mipango ya maendeleo ya wananchi, badala ya...
By Mwandishi WetuJuly 1, 2022MRATIBU wa uhamasishaji wa Baraza la Vijana la Chadema (Bavicha), Twaha Mwaipaya, anadaiwa kukamatwa na Jeshi la Polisi mkoani Morogoro, kwa tuhuma...
By Mwandishi WetuJuly 1, 2022MAKAMU wa Pili wa Rais wa Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar, Hemed Suleiman Abdulla, amesema Tanzania itafanya sensa ya aina yake na...
By Mwandishi WetuJuly 1, 2022WASIMAMIZI na makarani wote wa sensa yam waka 2022 nchini Tanzania, wametakiwa kutanguliza uzalendo mbele kabla ya mambo mengine. Anaripoti Mwandishi Wetu,...
By Mwandishi WetuJuly 1, 2022WAZIRI wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu, Sera, Bunge na Uratibu, George Simbachawene, amesema zoezi la uwekezaji anuani za makazi limefikia asilimia...
By Mwandishi WetuJuly 1, 2022LEO Tanzania inatimiza miaka 30 tangu turejee rasmi katika siasa za mfumo wa vyama vingi. Katika kipindi hicho, taifa letu limepitia katika kipindi...
By Gabriel MushiJuly 1, 2022WAZIRI Mkuu Kassim Majaliwa ameiagiza Wizara ya Maliasili na Utalii kutoanza kazi ya upandishaji hadhi mapori tengefu ikiwemo Loliondo hadi pale itakapokutana...
By Mwandishi WetuJune 30, 2022SERIKALI nchini Tanzania imesema inakusudia kupima utendaji wa Wakurugenzi na Wakuu wa Idara kwa kutumia viashiria muhimu hususan usimamizi wa mapato na...
By Mwandishi WetuJune 30, 2022HATIMAYE Rais Samia Suluhu Hassan amemteua Mkuu wa Majeshi ya Ulinzi nchini Tanzania mstaafu Jenerali Venance Mabeyo kuwa Mwenyekiti wa Bodi ya...
By Mwandishi WetuJune 30, 2022MAWAKILI wa pande mbili (waleta maombi na wajibu maombi) katika kesi ya Halima Mdee na wenzake 18 wameibua mvutano Mahakamani ikiwa kama...
By Regina MkondeJune 30, 2022RAIS wa Tanzania Samia Suluhu Hassan amesema bado ataendelea kumpa majukumu Mkuu wa Majeshi Mstaafu Jenerali Venance Mabeyo kwakuwa bado ana nguvu....
By Mwandishi WetuJune 30, 2022MBUNGE wa jimbo la Kisesa nchini Tanzania, Luhaga Mpina amesema Waziri wa Kilimo Hussein Bashe alilidanganya bunge kwa kutoa takwimu mbili tofaui...
By Mwandishi WetuJune 30, 2022WAZIRI Mkuu, Kassim Majaliwa ameagiza Wizara zote, Sekretarieti za mikoa na Serikali za mitaa kuhakikisha zoezi la utoaji anwani za makazi linakuwa...
By Mwandishi WetuJune 30, 2022NAIBU Waziri wa Nchi,Ofisi ya Rais (TAMISEMI) Davidi Silinde,amesema kwa uzembe wowote utakaofanyika kwa na kukwamisha mradi wa kuboresha Elimu ya Sekondari...
By Danson KaijageJune 30, 2022WAZIRI Mkuu Kassim Majaliwa ameagiza kuanzia sasa fomu za kujiunga na sghule za umma sharti zipitiwe na makatibu Tawala wa Mikoa na...
By Mwandishi WetuJune 30, 2022MAOMBI ya kuomba kibali cha kufungua kesi ya madai kupinga kuvuliwa uanachama wa Chadema, yaliyofunguliwa na wabunge viti maalum 19, wakiongozwa na...
By Regina MkondeJune 30, 2022RAIS Samia Suluhu Hassan amempandisha cheo Meja Jenerali Jacob Mkunda kuwa Jenerali na kumteua kuwa Mkuu wa Majeshi ya Ulinzi(CDF). Anaripoti Mwandishi Wetu,...
By Mwandishi WetuJune 29, 2022HATIMA ya endapo Halima Mdee na wenzake 18 wataendelea kusalia kuwa wabunge itajulikana ndani ya siku 14 za usikilizaji wa shauri namba...
By Faki SosiJune 29, 2022SPIKA wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dk. Tulia Ackson, amewataka watanzania kuachana na kauli za baadhi ya watu ambao...
By Mwandishi WetuJune 29, 2022MAHAKAMA Kuu Kanda ya Dar es Salaam imekubali ombi la Wakili wa Chadema, Peter Kibatala, la kuondoa mapingamizi yao dhidi ya kesi...
By Faki SosiJune 29, 2022SERIKALI ya Tanzania imesema inafanya tathimini ya kuangalia uwezekano wa kutoa mikopo ya Halmashauri kwa mtu mmoja mmoja. Anaripoti Mwandishi Wetu, Dodoma...
By Mwandishi WetuJune 29, 2022SERIKALI imesema mara baada ya kukamilisha mifumo mipya ya kupima utendaji kazi wa watumishi wa umma, itapeleka bungeni Muswada wa Sheria uweze...
By Mwandishi WetuJune 29, 2022MAHAKAMA Kuu Kanda ya Dar es Salaam imetoa zuio la muda la kutofanyika chocholate kwenye ubunge wa Halima Mdee na wenzake 18 mpaka...
By Mwandishi WetuJune 27, 2022RAIS Samia Suluhu Hassan amesema Mwenyekiti wa Mfuko wa Fursa Sawa kwa Wote (EOTF), Mama Anna Mkapa ndiye aliyemjengea uwezo na kumshika...
By Mwandishi WetuJune 27, 2022MWENYEKITI wa Mfuko wa Fursa sawa kwa Wote (EOTF), Mama Anna Mkapa ambaye pia ni mke wa Hayati Rais Benjamin Mkapa amesema...
By Mwandishi WetuJune 27, 2022WABUNGE wa viti maalum nchini Tanzania, Halima Mdee na wenzake 18 wasio na chama bungeni, leo Jumatatu tarehe 27 Juni 2022 wameendelea...
By Mwandishi WetuJune 27, 2022CHAMA cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) leo Jumapili kimemtaka Spika wa Bunge, Dk. Tulia Ackson ajiuzulu nafasi hiyo kwa kushindwa kuwatimua bungeni wabunge...
By Gabriel MushiJune 26, 2022BAADHI ya waliokuwa viongozi na wanachama wa Umoja wa Wanafunzi wa Vyuo Vikuu na Vyuo vya Kati wa Chadema (CHASO), wametaja sababu...
By Mwandishi WetuJune 25, 2022KITUO cha Sheria na Haki za Binadamu (LHRC), kimetoa mapendekezo manne juu ya namna bora ya ufufuaji mchakato wa upatikanaji katiba mpya...
By Mwandishi WetuJune 25, 2022BAADHI ya wabunge wa viti maalum wasio na chama katika Bunge la Tanzania, Halima Mdee na wenzake 18 wameshindwa kuamua juu ya...
By Mwandishi WetuJune 24, 2022SERIKALI ya Tanzania, imetoa ufafanuzi kuhusu pendekezo lake la kuwakopesha magari watumishi wa umma, pamoja na kusitisha mishahara ya wanaovuliwa nyadhifa zao...
By Mwandishi WetuJune 24, 2022SERIKALI ya Tanzania, imesema ongezeko la deni la taifa linatokana na hatua yake ya kukopa fedha, kwa ajili ya kutekeleza miradi ya...
By Mwandishi WetuJune 24, 2022SERIKALI ya Tanzania, imesema haitarudisha kikokotoo cha zamani cha mafao ya wastaafu cha asilimia 50, kwa kuwa hakileti usawa katika ugawaji wa...
By Mwandishi WetuJune 24, 2022SIKU mbili kupita tangu Mahakama Kuu ya Tanzania Kanda ya Dar es Salaam kuyaondoa maombi Halima Mdee na wenzake 18 ya kuomba...
By Mwandishi WetuJune 24, 2022CHAMA cha ACT Wazalendo kimepokea taarifa iliyotolewa na Chama Cha Mapinduzi CCM baada ya Kumalizika Kikao Cha Halmashauri Kuu kilichofanyika jana Dodoma,...
By Mwandishi WetuJune 23, 2022CHAMA cha Chadema, kimemwandikia barua Spika wa Bunge, Dk. Tulia Ackson, kumkumbusha kuhusu utekelezaji wa barua yake ya tarehe 12 Mei 2022,...
By Masalu ErastoJune 23, 2022SPIKA wa Bunge la Tanzania, Dk. Tulia Akson, ameitaka Serikali kutoa majibu hoja ya suala la Serikali kushindwa kuagiza magari moja kwa...
By Mwandishi WetuJune 23, 2022WAZIRI Mkuu wa Tanzania, Kassim Majaliwa amewahakikishia wakazi wanaohama kwa hiari yao kutoka katika eneo la hifadhi ya Ngorongoro kwenda Kijiji cha...
By Mwandishi WetuJune 23, 2022SPIKA wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dk. Tulia Akson ameagiza maneno ya Waziri wa Ardhi Nyumba na Maendeleo ya...
By Mwandishi WetuJune 23, 2022LICHA ya Mahakama Kuu ya Tanzania Kanda ya Dar es Salaam kuyaondoa maombi Halima Mdee na wenzake 18 ya kuomba kufungua kesi...
By Mwandishi WetuJune 23, 2022KIKAO cha Halmashauri Kuu ya chama tawala nchini Tanzania- Chama Cha Mapinduzi (CCM) kimeishauri Serikali kuona namna bora ya kufufua, kukwamua na...
By Danson KaijageJune 22, 2022