Saturday , 20 April 2024

Habari za Siasa

Habari za Siasa

Shaka: Rais Samia aungwe mkono bila kujali itikadi za kisiasa

  KATIBU wa Halmashauri Kuu ya Taifa (NEC) ya CCM Itikadi na Uenezi, Shaka Hamdu Shaka, amesema ni jukumu la Watanzania wote kumuunga...

Habari za SiasaTangulizi

Rais Samia aanika idadi ya majengo, yapo ya shule na afya

  NCHI ya Tanzania, ina majengo 14,348,372 (milioni 14.3), ambapo Bara kuna majengo 13,907,951 na Zanzibar 440,421. Anaripoti Regina Mkonde, Dar es Salaam...

Habari za Siasa

 Takwimu za sensa zitaondoa masharti magumu ya mikopo

  MKURUGENZI wa Ofisi ya Taifa ya Takwimu (NBS), Daktari Albina Chuwa, amesema takwimu za sensa ya watu na makazi za 2022, zitasaidia...

Habari za Siasa

Makinda: Matokeo ya sensa yataendelea kutolewa

  KAMISAA wa Sensa ya Watu na Makazi ya 2022, Anna Makinda, amesema matokeo ya zoezi hilo yataendelea kutolewa baada ya Rais Samia...

Habari za SiasaTangulizi

Zitto: Nilimwombea mama asife hadi aone naapishwa kuwa Rais

  KIONGOZI wa ACT-Wazalendo, Zitto Kabwe, ameoneshwa shahuku na ndoto aliyonayo ya kuwa Rais wa Tanzania, baada kusimulia alivyokuwa akimfariji mama yake kuwa...

Habari za SiasaTangulizi

Chadema wahudhuria uzinduzi makao makuu ya ACT-Wazalendo

CHAMA Cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) kimehudhuria uzinduzi wa jengo jipya la makao makuu ya Chama cha ACT-Wazalendo lililopewa jina la Maalim Seif...

Habari za Siasa

Haya hapa majina 10 madiwani viti maalumu walioteuliwa na NEC

TUME ya Taifa ya Uchaguzo leo tarehe 30 Oktoba, 2022 imetangaza majina 10 ya madiwani wanawake wa viti maalumu walioteuliwa kujaza nafasi 10...

Habari za Siasa

DP yaja na ‘Mlete Mzalendo Twende Pamoja’

CHAMA cha Democratic (DP) kimekuja na ‘Kampeni ya Mlete Mzalendo Twende Pamoja’ yenye lengo la kujenga chama na kuhakikisha kinafanya vizuri katika uchaguzi...

Habari za Siasa

Majaliwa awafunda Watanzania ughaibuni

WAZIRI Mkuu Kassim Majaliwa amewasihi Watanzania wanaoishi ughaibuni kuwa mabalozi wazuri kwa kuzingatia sheria, kanuni na taratibu za nchi wanazoishi ili kujenga taswira...

Habari za SiasaTangulizi

Zitto aeleza tume huru uchaguzi ilivyogonga mwamba kikosi kazi cha Rais

KIONGOZI wa Chama cha ACT-Wazalendo, Zitto Kabwe, amesema baadhi ya mapendekezo yaliyotolewa na wanasiasa wa vyama vya upinzani katika Kikosi Kazi cha Rais...

Habari za SiasaTangulizi

Mbatia amburuza Selasini kortini, amdai fidia ya Bil. 3

ALIYEKUWA Mwenyekiti wa Chama cha NCCR-Mageuzi, James Mbatia, amemfungulia kesi Mwenyekiti wa Baraza la Wadhamini la chama hicho, Joseph Selasini, katika Mahakama Kuu,...

Habari za SiasaTangulizi

Mbunge CCM ashauri kuondoshwa Tozo kwenye Korosho

  MBUNGE wa Ndanda Cecil Mwambe ameishauri Serikali kufuta tozo zilizokuwepo kwenye utaratibu za maozo ya kurosho ghafi ili kunusuru bei ya korosho...

Habari za Siasa

Askofu Gwajima aibua gumzo akifanya uteuzi jimboni kwake

MBUNGE wa Kawe kupitia Chama Cha Mapinduzi, Askofu Josephat Gwajima, ameibua gumzo baada ya kutangaza kufanya uteuzi wa wasaidizi wake wawili katika masuala...

Habari za SiasaTangulizi

Kinana ataja kinachomkwamisha Samia kuleta maridhiano ya kisiasa

MAKAMU Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Bara, Abdulrahman Kinana, amesema kinachokwamisha dhamira ya Rais Samia Suluhu Hassan, kuleta maridhiano nchini ni mabishano...

Habari za Siasa

Rais Samia ateua wenyeviti wa bodi, Mganga Mkuu wa Serikali

RAIS Samia Suluhu Hassan leo Jumamosi amefanya uteuzi wa wenyeviti wa bodi wawili, wajumbe wa bodi hizo pamoja na watendaji watatu wa serikali...

Habari za SiasaTangulizi

Chadema wamuangukia Samia aharakishe mikutano ya hadhara

  CHAMA cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), kimemwomba Rais Samia Suluhu Hassan, aruhusu mikutano ya hadhara kabla ya marekebisho ya Sheria ya Vyama...

Habari za Siasa

Wana Musoma waipongeza Serikali kwa kuwapiga ‘jeki’ wavuvi

WAVUVI katika Ziwa Victoria upande wa  Halmashauri ya Wilayani Musoma, mkoani Mara, wamepongeza hatua ya Serikali kutoa mikopo isiyokuwa na riba kwa ajili...

Habari za Siasa

Rais Samia: Mapendekezo ya kikosi kazi si amri kwa Serikali

RAIS wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan amesema mapendekezo ya kikosi kazi cha kukusanya na kuchakata maoni ya wadau wa demokrasia ya vyama vingi ...

Habari za Siasa

Ugonjwa wa shahidi wakwamisha kesi ya kina Mdee, Chadema

MAHAKAMA Kuu, Masjala Kuu ya Dar es Salaam, imeahirisha usikilizwaji wa kesi iliyofunguliwa na wabunge viti maalum 19, kupinga kufukuzwa Chadema, kutokana na...

Habari za Siasa

Majaliwa atoa siku 15 mkandarasi kukamilisha barabara Ukerewe

  WAZIRI MKUU Kassim Majaliwa ametoa siku 15 kuanzia Oktoba 20, 2022 kwa kampuni ya Inter Country Contractors kuhakikisha inakamilisha ujenzi wa miradi...

Habari za Siasa

Wateule wa Rais wapendekezwa kuteua wajumbe Tume ya Taifa ya Uchaguzi

KIKOSI Kazi cha kukusanya maoni ya wadau wa demokrasia ya vyama vingi vya siasa nchini Tanzania, wamependekeza kuwepo kwa kamati maalumu itakayoteua wajumbe...

Habari za SiasaTangulizi

Kikosi Kazi chapendekeza hatua sita kupata Katiba Mpya

KIKOSI kazi cha kukusanya maoni ya wadau wa demokrasia ya vyama vingi nchini Tanzania,  kimependekeza hatua sita zitakazosaidia mchakato wa kupata Katiba mpya...

Habari za Siasa

Watanzania wamegawanyika kuhusu Katiba: Kikosi Kazi

TOFAUTI na masuala mengine yaliyofanyiwa kazi na Kikosi Kazi cha kukusanya maoni ya wadau wa demokrasia ya vyama vingi, suala la Katiba limetajwa...

Habari za SiasaTangulizi

Kikosi Kazi: Mikutano ya hadhara iruhusiwe, matokeo ya urais yahojiwe mahakamani

HATIMAYE Kikosi Kazi cha kukusanya maoni ya wadau wa demokrasia ya vyama vingi nchini Tanzania kilichoundwa na Rais Samia Suluhu Hassan kimeitimisha kazi...

Habari za SiasaTangulizi

Ripoti kikosi kazi kutinga kwa Rais Samia kesho

  RAIS Samia Suluhu Hassan, amesema kesho Ijumaa, tarehe 21 Oktoba 2022, atapokea ripoti ya kikosi kazi alichokiunda kuratibu maoni ya wadau wa...

Habari za Siasa

Majaliwa: Serikali haitawatupa wakulima wa tumbaku

WAZIRI Mkuu Kassim Majaliwa amesema Serikali ya awamu ya sita haitawatupa wakulima wa tumbaku na amewataka waongeze uzalishaji kwani soko la uhakika lipo....

Habari za Siasa

Shaka: Rais Samia hana ‘mbambamba’ kwenye maendeleo

  KATIBU wa Halmashauri Kuu ya Taifa (NEC) ya CCM Itikadi na Uenezi, Shaka Hamdu Shaka amesema Mwenyekiti wa CCM na Rais Tanzania,...

Habari za Siasa

Rais Samia: Tunataka  Kigoma iwe kitovu cha biashara

  RAIS wa Tanzania Samia Suluhu Hassan, amesema Serikali yake inataka kuurejesha Mkoa wa Kigoma katika hadhi ya kitovu cha biashara kwa kufungua...

Habari za SiasaTangulizi

Samia: Shughuli za kuleta maendeleo ni hatua

RAIS Samia Suluhu Hassan amesema shughuli za kuleta maendeleo katika nchi ni hatua na kuwahakikishia wale ambao bado hawajafikiwa na huduma mbalimbali kuwa...

Habari za SiasaTangulizi

Nape aihofia Chadema, ataka CCM ijipime kwa mikutano ya hadhara

  WAZIRI wa Habari, Mawasiliano na Teknolojia ya Habari, Nape Nnauye amesema kitendo cha chama cha upinzani Chadema, kuanzisha mfumo wa usajili wanachama...

Habari za SiasaTangulizi

Mwenge warejesha Bil. 2.2/- za mfuko wa maendeleo ya vijana

MWENGE wa Uhuru wa mwaka 2022 imefanikiwa kurejesha Sh 2.2 bilioni za mfuko wa maendeleo ya vijana ambazo zilikuwa zimekusanywa na Halmashauri na...

Habari za Siasa

Halmashauri 43 zenye miradi yenye kasoro zaanikwa

WAZIRI wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu, Kazi, Vijana, Ajira na Watu Wenye Ulemavu, Prof. Joyce Ndalichako, ameziweka hadharani Halmashauri 43 ambazo zimekutwa...

Habari za SiasaTangulizi

Zitto atajwa kesi ya Mdee, wenzake

JINA la Kiongozi wa Chama Cha ACT-Wazalendo, Zitto Kabwe, limetajwa katika kesi iliyofunguliwa na wabunge viti maalum 19, katika Mahakama Kuu, Masjala Kuu,...

Habari za SiasaTangulizi

Makonda apewa siku 14 kujitetea shitaka la kukwapua Range Rover

MAHAKAMA ya Hakimu Mkazi Kisutu, imetoa siku 14 kwa aliyekuwa Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Paul Makonda kuwasilisha majibu yake dhidi...

Habari za Siasa

Tendega adai hakupewa nafasi ya kujitetea Chadema

MBUNGE Viti Maalum, Grace Tendega, amedai hakuomba msamaha mbele ya Baraza Kuu la Chadema, dhidi ya tuhuma zilizokuwa zinamkabili za kukiuka katiba ya...

Habari za SiasaTangulizi

Tanzia; Mbunge CCM afariki dunia

MBUNGE wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe Mussa Hassan Mussa Silima wa Jimbo la Amani Zanzibar (CCM) amefariki dunia leo...

Habari za SiasaTangulizi

Mwenzake Mdee amtaja kigogo Chadema aliyeshiriki uteuzi wabunge viti maalum

MBUNGE Viti Maalum, Grace Tendega, amedai Katibu Mkuu wa Chama cha Chadema, John Mnyika, alishiriki kikao cha Sekretarieti ya Baraza  la Wanawake la...

Habari za SiasaTangulizi

Mdee, wenzake waendelea kuhojiwa, Kibatala ambana Tendega

  KESI namba 36/2022 ya kupinga kuvuliwa uanachama wa Chama Cha Chadema, iliyofunguliwa na wabunge viti maalum 19 wakiongozwa na Halima Mdee, inaendelea...

Habari MchanganyikoHabari za Siasa

NBC yagawa madawati, saruji kuboresha elimu Mwanza

BENKI ya Taifa ya Biashara (NBC) tawi la Mwanza imetoa msaada wa mifuko ya saruji 200 kwa ajili ya ujenzi wa madarasa katika...

Habari za Siasa

Kinana awafunda viongozi “ongoza kwa ushawishi, sio amri”

  MAKAMU Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM)-Bara, Abdulrahman Kinana amewataka viongozi wa Serikali kutumia njia ya ushawishi badala ya amri, katika kuwaongoza...

Habari za SiasaKimataifaTangulizi

Samia, Ruto wakubaliana mambo 7, biashara yazidi kupaa

RAIS Samia Suluhu Hassan amesema wamekubaliana mambo saba kati yake na Rais wa Kenya, Dk. William Ruto na kusisitiza kuwa ziara kiongozi wa...

Habari za SiasaKimataifaTangulizi

Ruto awasili Tanzania, aanza ziara ya siku mbili

RAIS wa Kenya, Dk. William Ruto jana jioni tarehe 9 Oktoba, 2022 amewasili Tanzania kuanza ziara rasmi ya siku mbili. Ruto atakutana na...

Habari za SiasaTangulizi

ACT: Hatutaacha kuikosa Serikali

WAZIRI Mkuu Kivuli kutoka ACT-Wazalendo, Dorothy Semu amesema viongozi na wanachama wa chama hicho, hawataacha kuikosoa na kuishauri Serikali kwa kuhofia kukosa nafasi...

Habari za SiasaTangulizi

Kina Mdee waanza kuhojiwa, Tendega aomba mahakama imlinde akitoa siri

  MAWAKILI wa Chama cha Chadema, wameanza kuwahoji maswali ya dodoso wabunge  viti maalum nane kati ya 19, dhidi ya malalamiko waliyoweka katika...

Habari za Siasa

Mtutura: Wabunge wa CCM wameonewa

KATIBU wa chama cha ACT-Wazalendo mkoa wa kichama Selou, Abdallah Mtutura amesema kitendo cha CCM kupeleka wabunge wasioweza kuwasema wananchi wao ni kuwaonea...

Habari za SiasaTangulizi

Ndumbaro ataja mambo nane yakufanywa na asasi za kiraia

  JUKWAA la Asasi za Kiraia (RCSF) za Ukanda wa Nchi za Maziwa Makuu Afrika (ICGLR) limetakiwa kusimamia mambo nane ambayo yatagusa jamii...

Habari za Siasa

ACT-Wazalendo kuibana Serikali majimboni

  KATIBU Mkuu wa Chama cha ACT-Wazalendo, Ado Shaibu, amesema chama chake kitaanza kuisimamia Serikali katika majimbo yote nchini, ili kuhakikisha kero za...

Habari za SiasaTangulizi

ACT-Wazalendo yalaani mauji operesheni za jeshi la polisi

CHAMA cha ACT-Wazalendo kimeelaani  vikali kile kilichodai ni ukiukwaji wa haki za binadamu unaofanywa na Jeshi la Polisi nchini Tanzania katika operesheni zake...

Habari za Siasa

ACT-Wazalendo yalia na uvamizi wa tembo, migogoro ya wakulima

CHAMA cha ACT-Wazalendo, kimeomba Serikali ichukue hatua za haraka kutatua changamoto za uvamizi wa wanyama katika makazi  na mashamba ya wananchi wanaoishi karibu...

Habari za Siasa

Tanzania, Czech kuimarisha utalii, biashara na uwekezaji

SERIKALI ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania pamoja na Jamhuri ya Czech zimekubaliana kuongeza maeneo mapya ya ushirikiano hususan utalii, biashara na uwekezaji...

error: Content is protected !!