RAIS wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan amesema miaka ya nyuma chama cha Sheria Tanganyika (TLS) kilikuwa si chama cha wanasheria bali wanaharakati...
By Mwandishi WetuNovember 24, 2022RAIS Samia Suluhu Hassan amesema kuwa mafanikio ya kiuchumi yanayotokana na mbinu zinakiuka misingi ya haki na utawala bora hayawezi kuwa endelevu....
By Mwandishi WetuNovember 24, 2022MWENYEKITI wa Chama cha Wananchi (CUF), Profesa Ibrahim Lipumba, ametengua uteuzi wa Mkurugenzi wa Mambo ya Nje, Bunge na Sera wa chama...
By Regina MkondeNovember 24, 2022RAIS wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan amewataka wanasiasa kuacha kuchochea migogoro ya ardhi kwa kutetea wavamizi wa ardhi kwa malengo ya kisiasa....
By Mwandishi WetuNovember 23, 2022RAIS wa Tanzania Samia Suluhu Hassan amewahimiza wananchi kuendeleza juhudi katika kilimo kwani Seerikali imechukua hatua za kukuza kilimo nchini. Anaripoti Mwandishi...
By Mwandishi WetuNovember 23, 2022WAZIRI wa Kilimo, Hussein Bashe amewataka Watanzania wasidhani kwamba matokeo ya jitihada za Serikali kuboresha sekta ya kilimo yanatokea siku moja bali...
By Mwandishi WetuNovember 22, 2022RAIS Samia Suluhu Hassan ametoa wito kwa Watanzania kujipinda kufanya kazi ili mapato yapatikane kusukuma gurudumu la maendeleo ya Taifa hasa ikizingatiwa...
By Mwandishi WetuNovember 22, 2022KAMPUNI za mawasiliano ya simu nchini zimetakiwa kutobadilisha bei za vifurushi hadi pale matokeo ya tathmini kuhusu gharama za utoaji huduma hiyo...
By Regina MkondeNovember 21, 2022CHAMA Cha Mapinduzi (CCM), kimesimamisha chaguzi tatu kupisha uchunguzi wa tuhuma mbalimbali ikiwemo za rushwa zilizoibuliwa, ili kuchukua hatua kwa ajili ya...
By Regina MkondeNovember 21, 2022Dk. Rose Rwakatare ameibuka na ushindi wa kishindo kwenye nafasi ya Mwenyekiti wa Jumuiya ya Wazazi ya CCM Mkoa wa Morogoro. Anaripoti Mwandishi...
By Gabriel MushiNovember 20, 2022RAIS Samia Suluhu Hassan amewataka mabalozi wanaoiwakilisha Tanzania nje ya nchi kuangalia vipaumbele vya Taifa ikiwemo kufanya mapitio ya sera ya mambo...
By Mwandishi WetuNovember 19, 2022Waziri wa Ujenzi na Uchukuzi Prof. Makame Mbarawa, ameishauri Wizara ya Ujenzi, Mawasiliano na Uchukuzi na Wizara ya Ardhi, Maendeleo na Makazi...
By Mwandishi WetuNovember 17, 2022MISS Tanzania 2018 – Queenelizabeth Makune ameteuliwa na Halmashauri Kuu ya CCM Taifa kugombea nafasi ya Ujumbe wa Halmashauri Kuu ya CCM...
By Mwandishi WetuNovember 16, 2022RAIS wa Zanzibar, Dk. Hussein Mwinyi, leo Jumatano, tarehe 16 Novemba 2022, amefanya uteuzi wa viongozi wawili, akiwemo Dk. Sharifa Omar Salim,...
By Mwandishi WetuNovember 16, 2022KAMATI maalum ya Kamati Kuu ya ACT-Wazalendo upande wa Zanzibar, imeagiza Sekretarieti ya chama hicho kuratibu vikao vya viongozi na wanachama kwa...
By Mwandishi WetuNovember 16, 2022MBUNGE wa Same Mashariki, Anne Kilango (CCM) ameazisha miradi ya viti vya kukodisha kwa ajili ya biashara kwenye kata 14 katika jimbo...
By Mwandishi WetuNovember 15, 2022BARAZA la Mawaziri nchini Tanzania limeelekeza vitengo vyote vinavyohusika na kukabiliana na majanga viimarishwe ili kuongeza uwezo wa kukabiliana na majanga. Anaripoti Mwandishi...
By Mwandishi WetuNovember 14, 2022JUMLA ya mabalozi 45 wanaoiwakilisha Tanzania katika nchi mbalimbali duniani wanatarajiwa kukutana na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Samia...
By Mwandishi WetuNovember 12, 2022WAZIRI wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Rais (Muungano na Mazingira), Dk. Selemani Jafo amesema mwaka huu Tanzania inatarajia kupokea mgawo wa Dola...
By Mwandishi WetuNovember 12, 2022KATIKA kuchangamkia fursa ya soko la mabondo ya samaki nchini China, Serikali imeongeza bajeti ya kiasi cha Sh bilioni 60 katika sekta ya...
By Mwandishi WetuNovember 12, 2022RAIS Samia Suluhu Hassan, amewataka wananchi wazoee tozo zinazotozwa katika baadhi ya huduma za usafirishaji, kwa kuwa barabara za kulipiwa zitajengwa nyingi...
By Mwandishi WetuNovember 11, 2022MAJALIWA Jackson, mvuvi aliyesaidia zoezi la kuwaokoa manusura wa ajali ya ndege ya Kampuni ya Precision Air mkoani Kagera, amechangiwa pesa kiasi...
By Mwandishi WetuNovember 11, 2022CHAMA cha ACT-Wazalendo kupitia Ofisi ya Katibu Mkuu Taifa, kimeinga uteuzi wa Mkurugenzi mpya wa Tume ya Uchaguzi Zanzibar (ZEC), Thabit Idarous...
By Mwandishi WetuNovember 11, 2022CHAMA cha Demokrasis na Maendelea (Chadema) kimewaagiza viongozi wake ngazi kanda, mikoa na majimbo kutoshiriki vikao vinavyotarajiwa kuanza kesho na kuratibwa na Tume...
By Mwandishi WetuNovember 10, 2022MAKAMU Mwenyekiti wa Chama Cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema)- Bara, Tundu Lissu amesema kutokana na ajali ya ndege ya Precision Air iliyotokea Novemba...
By Gabriel MushiNovember 10, 2022MBUNGE wa Musoma Vijijini, Profesa Sospeter Muhongo, amesema Tanzania haipo tena miongoni mwa nchi za uchumi wa kati kwa vigezo vilivyotolewa na Benki...
By Mwandishi WetuNovember 9, 2022MBUNGE Viti Maalum, Cecilia Pareso, amedai alishindwa kufika katika kikao cha Kamati Kuu ya Chadema, cha tarehe 27 Novemba 2020, kujibu tuhuma...
By Mwandishi WetuNovember 8, 2022BAADHI ya wabunge viti maalum wameendelea kudai katika Mahakama Kuu, Masjala Kuu jijini Dar es Salaam, kwamba Chama cha Chadema kiliwateua kushika...
By Regina MkondeNovember 8, 2022TAARIFA za mwananchi aliyedaiwa kupoteza maisha akiwa kwenye foleni ya mbolea wilayani Songea mkoani Ruvuma, zimeibua mvutano mkali bungeni baada ya Mbunge...
By Masalu ErastoNovember 5, 2022MALALAMIKO yaliyojaa mitaani yakihusu mfumo wa kukabiliana na kukua kwa kiwango cha uhalifu Zanzibar hayajamsukuma Rais wa Zanzibar, Dk. Hussein Ali Mwinyi...
By Jabir IdrissaNovember 5, 2022MBUNGE wa Buchosa, Eric Shigongo (CCM) amependekeza watumishi wa umma wasio waadilifu wachapwe viboko ili kukomesha ubadhirifu wa fedha za umma pamoja...
By Gabriel MushiNovember 5, 2022MBUNGE Viti Maalum, Nusrat Hanje, amedai Chama Cha Chadema, kiliwafanyia umafia katika mchakato wa kuwavua uanachama. Anaripoti Regina Mkonde, Dar es Salaam...
By Regina MkondeNovember 4, 2022MBUNGE Viti Maalum, Nusrat Hanje, ameshauri suala lao la kupinga kuvuliwa uanachama wa Chadema, lirudishwe ndani ya chama hicho, kwani kuendelea kuwepo...
By Regina MkondeNovember 4, 2022MBUNGE Viti Maalum, Nusrat Hanje, amedai alikosa nafasi ya kujitetea kwa mdomo katika Baraza Kuu la Chadema, Ili kueleza viongozi wake waliomteua...
By Regina MkondeNovember 4, 2022BUNGE la Tanzania limeitaka Serikali kutoa ufafanuzi wa kwanini mkataba wa Kampuni ya Uendeshaji wa Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Kilimanjaro...
By Mwandishi WetuNovember 3, 2022MWANASIASA mkongwe na mwanaharakati wa masuala ya wanawake, Balozi Getrude Mongella ametoa wito kwa wanawake kujikomboa kutoka kwenye matumizi ya nishati chafu...
By Mwandishi WetuNovember 3, 2022MVUTANO mkali umeibuka kati ya Wakili wa Chadema, Peter Kibatala na mleta maombi namba 11, Hawa Mwaifunga, kuhusu ajenda za kikao Cha...
By Regina MkondeNovember 3, 2022HAWA Mwaifunga, aliyekuwa Makamu Mwenyekiti wa Baraza la Wanawake la Chama Cha Chadema (BAWACHA), Leo Alhamisi, tarehe 3 Novemba 2022, anaendelea kuhojiwa...
By Regina MkondeNovember 3, 2022RAIS wa Zanzibar, Dk. Hussein Ali Mwinyi amesema jukumu muhimu la kuipatia nchi uchumi mzuri, halitafanikiwa iwapo hakuna amani na utulivu katika...
By Jabir IdrissaNovember 3, 2022SERIKALI ya Tanzania, imeshauriwa kuitisha mjadala wa kitaifa kuhusu takwimu za matokeo ya Sensa ya Watu na Makazi ya 2022, ili kubaini...
By Regina MkondeNovember 2, 2022KAMATI ya Kudumu ya Bunge ya Viwanda, Biashara na Mazingira, imependekeza kuwa Kituo cha Uwekezaji Tanzania (TIC) kipewe mamlaka kamili badala ya...
By Mwandishi WetuNovember 1, 2022SPIKA wa Bunge, Dk. Tulia Ackson, ameitaka Bodi ya Mikopo ya Wanafunzi wa Elimu ya Juu (HESLB), ifike mbele ya Kamati ya...
By Mwandishi WetuNovember 1, 2022RAIS Samia Suluhu Hassan ametoa muda wa mwaka mmoja (2023) kwa Waziri wa Nishati, Januari Makamba kuhakikisha taasisi zote kubwa nchini ikiwamo...
By Mwandishi WetuNovember 1, 2022CHAMA cha Wananchi (CUF), kimemuomba Rais Samia Suluhu Hassan, atembee katika maneno yake kuhusu upatikanaji wa maridhiano ya kitaifa Kwa kuhakikisha Tume Huru...
By Mwandishi WetuNovember 1, 2022MWENYEKITI wa Chama cha Wananchi (CUF), Profesa Ibrahim Lipumba, ameishauri Serikali ipunguze kasi ya ongezeko la idadi ya watu, ili kukabiliana na athari...
By Regina MkondeNovember 1, 2022RAIS wa Tanzania Samia Suluhu Hassan ametangaza kuwa idadi ya Watanzania imefikia milioni 61.7 kufikia tarehe 31 Oktoba 2022. Anaripoti Mwandishi Wetu,...
By Mwandishi WetuOctober 31, 2022KATIBU wa Halmashauri Kuu ya Taifa (NEC) ya CCM Itikadi na Uenezi, Shaka Hamdu Shaka, amesema ni jukumu la Watanzania wote kumuunga...
By Mwandishi WetuOctober 31, 2022NCHI ya Tanzania, ina majengo 14,348,372 (milioni 14.3), ambapo Bara kuna majengo 13,907,951 na Zanzibar 440,421. Anaripoti Regina Mkonde, Dar es Salaam...
By Regina MkondeOctober 31, 2022MKURUGENZI wa Ofisi ya Taifa ya Takwimu (NBS), Daktari Albina Chuwa, amesema takwimu za sensa ya watu na makazi za 2022, zitasaidia...
By Mwandishi WetuOctober 31, 2022KAMISAA wa Sensa ya Watu na Makazi ya 2022, Anna Makinda, amesema matokeo ya zoezi hilo yataendelea kutolewa baada ya Rais Samia...
By Regina MkondeOctober 31, 2022