Friday , 19 April 2024

Habari za Siasa

Habari za Siasa

Rais Samia aagiza mikataba ujenzi wa miundombinu isainiwe hadharani

WAZIRI wa Ujenzi na Uchukuzi, Profesa Makame Mbarawa, amesema Rais Samia Suluhu Hassan ameagiza mikataba ya ujenzi wa miundombinu ya barabara iasainiwe hadahrani...

Habari za Siasa

Tulia: Tauche kuendekeza majungu tuchape kazi

  SPIKA wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ambaye pia ni Mbunge wa Mbeya Mjini, Dk. Tulia Ackson amewataka Wananchi kuacha...

Habari za Siasa

Wabunge Tabasamu, Manyanya wasema mradi wa JNHPP ni fursa

  WABUNGE wa Bunge la Tanzania wamesema Mradi wa Bwawa la Julius Nyerere (JNHPP) ukikamilika utakuwa fursa ya kiuchumi na kijamii kwa Watanzania....

Habari za Siasa

Mil.75 za mfuko wa Jimbo kujenga maabara za Sekondari Musoma Vijijini

FEDHA za mfuko wa Jimbo la Musoma Vijijini, mkoani Tarime, kiasi Cha Sh.75 milioni, zinatarajiwa kujenga maabara ya masomo ya sayansi katika shule...

Habari za SiasaTangulizi

Rais Samia: JNHPP ulipitia vikwazo vingi lakini hatukurudi nyuma

RAIS wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan amesema mradi wa Bwawa la Umeme la Julius Nyerere (JNHPP)ni ushahidi tosha kuwa Tanzania inaweza kufanya mambo...

Habari za Siasa

Dk Tulia: Rais Samia amefanya na zaidi

SPIKA wa Bunge, Dk Tulia Ackson amesema kasi ya utekelezaji wa miradi inayofanywa na Serikali ya Awamu ya Sita chini ya uongozi wa...

Habari za Siasa

Kinana:JNHPP ni utekelezaji wa Ilani ya CCM

MAKAMU Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Kanali mstaafu Abdulrahman Kinana amesema ujenzi wa Mradi wa Bwawa la Umeme la Julius Nyerere (JNHPP),...

Habari za Siasa

RC Pwani, Morogoro wajipanga kunufaika na Mradi wa JNHPP

WAKUU wa mikoa ya Pwani na Morogoro wamesema wamejipanga kuhakikisha umeme utakaozalishwa kupitia Mradi wa Bwawa la Julius Nyerere (JNHPP), unachochea shughuli za...

Habari za Siasa

Mbunge Ditopile akabidhi pikipiki kata zote Kondoa mjini

MBUNGE wa Viti Maalum Mkoa wa Dodoma, Mariam Ditopile (CCM) amekabidhi pikipiki nane kwenye Kata zote nane za Halmashauri ya Mji Kondoa Mkoani...

Habari za Siasa

Mhagama atangaza kiama kwa viongozi wababaishaji

  WAZIRI wa Nchi, Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora, Jenista Mhagama amesema Serikali haitosita kumchukulia hatua za...

Habari za Siasa

Serikali yaombwa kuongeza bajeti Mifugo, Uvuvi

  SERIKALI ya Tanzania imeombwa kuongeza bajeti ya Wizara ya Mifugo na Uvuvi, pamoja na Tume ya Mipango ya Matumizi ya Ardhi, ili...

Habari za Siasa

Wenyeviti CHADEMA waungana na Mbowe kuanza mikutano Januari

WAKATI kukiwa na hofu kuwa kauli ya Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), Freeman Mbowe kwamba ataendelea na mazungumzo ya maridhiano...

Habari za Siasa

Bunge la Chadema lapata viongozi wapya

SUSAN Lyimo amechaguliwa kuwa Spika wa Bunge la Wananchi wa Chama cha Chadema, huku Lumola Kahumbi, akichaguliwa kuwa Naibu Spika wake. Anaripoti Mwandishi...

Habari za Siasa

Mbowe asema 2023 mwaka wa kazi, atangaza operesheni maalum

MWENYEKITI wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), Freeman Mbowe amesema 2023 utakuwa mwaka wa kazi ndani ya chama chake, huku akitangaza kufanya...

Habari za SiasaTangulizi

ACT Wazalendo: Tutazuia hujuma yoyote itakayolenga kuvuruga uchaguzi jimbo la Amani

CHAMA cha ACT Wazalendo kimehitimisha kampeni ya mgombea wake jimbo la Amani leo kwa kuonya kuwa kitazuia hujuma yoyote ya kuvuruga uchaguzi mdogo...

Habari za Siasa

Rais Samia apangua, ateua makatibu wakuu

RAIS Samia Suluhu Hassan leo tarehe 14 Disemba, 2022 ameteua makatibu wakuu wa wizara ya uwekezaji, biashara na viwanda pamoja na wizara ya...

Habari za Siasa

Bodi NCCR Mageuzi yakwaa kisiki mahakamani

MAHAKAMA Kuu, Masjala Kuu ya Dar es Salaam, imeyaondoa maombi Na. 459/2022 yaliyofunguliwa na wanaodai kuwa wajumbe wapya wa Bodi ya Wadhamini ya...

Habari za SiasaTangulizi

Sabaya aweka pingamizi rufaa ya Jamhuri

MAHAKAMA Kuu Kanda ya Arusha kesho tarehe 14 Disemba, 2022 inatarajiwa kutoa uamuzi mdogo juu ya mapingamizi mawili yaliyowasilishwa na mawakili wa aliyekuwa...

Habari za SiasaTangulizi

Mbowe: Chadema haitafuti vyeo mazungumzo na Samia

MWENYEKITI wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), Freeman Mbowe amesema mazungumzo ambayo chama hicho inafanya na Serikali ni ya wazi na wala...

Habari MchanganyikoHabari za Siasa

Miaka 61 ya uhuru: Walilia maendeleo, uhuru na haki

WAKATI Tanzania Bara ikitimiza miaka 61 ya uhuru, Serikali imetakiwa kuhakikisha maendeleo, uhuru na haki za Watanzania zinaimarika. Anaripoti Mwandishi Wetu, Dar es...

Habari za SiasaTangulizi

Kikwete amtaka Samia kuwa mkali ‘usivumilie upuuzi’

RAIS mstaafu Dk. Jakaya Kikwete ameushauri uongozi mpya wa CCM unaongozwa na Mwenyekiti Dk Samia Suluhu Hassan kuwa wakali na kutovumilia maneno yanayokigawa...

Habari za Siasa

Wasaidizi wa Samia matumbo joto, kupanguliwa wakati wowote

RAIS wa Tanzania Dk. Samia Suluhu Hassan amesema amekusudia kufanya mabadiliko ya baadhi ya viongozi wa Serikali ili kuachana na viongozi ambao wanashindwa...

Habari za Siasa

Makundi CCM yamchefua Dk. Samia

MWENYEKITI wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Taifa Rais Samia Suluhu Hassan amewataka wanachama wa chama hicho kuacha kujenga nyufa ndani ya chama baada...

Habari za SiasaTangulizi

Dk. Samia aomba radhi kauli ya Mzee Makamba ‘wazuri hawafi’

  RAIS Dk. Samia Suluhu Hassan ambaye pia ni mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), amesema Katibu Mkuu mstaafu wa chama hicho, Yusuph...

Habari za Siasa

Mzee Makamba aibua mjadala majibu yake kuhusu mgawo wa maji, umeme

  KATIBU Mkuu mstaafu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Mzee Yusuph Makamba, ameibua mjadala kufuatia kauli yake iliyowataka watu wanaohoji uhaba wa umeme...

Habari za SiasaTangulizi

Dk. Samia, Kinana na Dk. Mwinyi wapenya CCM

  MSIMAMIZI wa uchaguzi wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Dk Ali Mohamed Shein ambaye ni Rais mstaafu wa Zanzibar leo tarehe 7 Disemba,...

Habari za SiasaTangulizi

CCM yaongeza wajumbe NEC kutoka 15-20

  NAFASI za idadi ya wajumbe wa Halmashauri Kuu (NEC), imeongezwa kutoka wajumbe 15 hadi 20 Tanzania Bara vivyo hivyo kwa upande wa...

Habari za SiasaTangulizi

Kesi ya Mdee, wenzake yapigwa kalenda hadi Machi 2023

  KESI ya kupinga kuvuliwa uanachama wa Chama cha Chadema, iliyofunguliwa na wabunge viti maalum 19 katika Mahakama Kuu, Masjala Kuu, jijini Dar...

Habari za SiasaTangulizi

Mahakama Kuu: Magufuli alivunja katiba kumuondoa ofisini Prof Assad kama CAG

MAHAKAMA Kuu Tanzania leo tarehe 5 Disemba, 2022 imetoa uamuzi kuwa Rais wa Awamu ya Tano, Dk. John Magufuli alivunja Katiba alipomwondoa Prof....

Habari za Siasa

Hali ya kisiasa Tanzania yampeleka Mbowe Marekani

MWENYEKITI wa Chama Cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) Taifa, Freeman Mbowe, anatarajia kufanya ziara ya kikazi ya siku sita nchini Marekani, ambapo atafanya...

Habari za Siasa

Kigogo ACT-Wazalendo aeleza panda, shuka safari ya mwanamke kwenye uongozi

  MAKAMU Mwenyekiti wa Chama cha siasa cha ACT-Wazalendo Bara, Dorothy Semu, amewataka wanawake kuwa wavumilivu kuelekea safari yao ya uongozi wa kisiasa...

AfyaHabari za Siasa

Dk. Samia ataka mikakati kutokomeza unyanyapaa kwa WAVIU

  RAIS Dk. Samia Suluhu Hassan ameiagiza Tume ya Kudhibiti Ukimwi (TACAIDS), wizara ya afya pamoja na wadau wengine kuweka mikakati ya kutokomeza...

Habari za Siasa

Wapinzani waibana Serikali mapendekezo kikosi kazi

  WAKATI viongozi wa vyama vya siasa vya upinzani wakiitaka Serikali itoe ratiba ya utekelezaji mapendekezo ya kuboresha mfumo wa demokrasia ya vyama...

Habari za Siasa

NCCR Mageuzi Kahama waitaka Serikali itangaze uchaguzi mdogo wa mtaa

  CHAMA cha NCCR Mageuzi Kata ya Malunga Manispaa ya Kahama mkoani Shinyanga kimeitaka serikali kuitisha uchaguzi wa marudio katika mtaa wa Igomelo...

Habari za Siasa

ACT-Wazalendo yataja mwarobaini ukali gharama za maisha

  CHAMA cha ACT-Wazalendo, kimeishauri Serikali iongeze shughuli za kiuchumi ili kukabiliana na changamoto za ongezeko la gharama za maisha, umasikini na ukosefu...

Habari za Siasa

Zitto: Mimi sio msaliti

  KIONGOZI wa Chama cha ACT-Wazalendo, Zitto Kabwe, amekanusha tuhuma za kwamba yeye ni msaliti wa kisiasa, akisema angekuwa msaliti asingechaguliwa kuwa mbunge...

Habari za SiasaTangulizi

Zitto Kabwe: Hatujafunga ndoa na CCM

  KIONGOZI wa Chama cha ACT-Wazalendo, Zitto Kabwe, ameeleza kuwa chama hicho ni tofauti na Chama Cha Mapinduzi (CCM), pamoja na vyama vingine...

Habari za Siasa

Chadema yasema kikokotoo cha mafao hakina uhalisia wa umri wa kufanya kazi

  CHAMA cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) kimekosoa kikokotoo kipya cha mafao na kueleza kuwa kimekosa uhalisia wa umri wa mtu kuanza kazi...

Habari za Siasa

Samia awagomea UWT kusimama na mtu

  RAIS Samia Suluhu Hassan ambaye pia ni Mwenyekiti wa CCM ameutaka Umoja wa Wanawake Tanzania (UWT) kuacha kusimama na mtu badala yake...

Habari za Siasa

CUF yamtaka Rais Samia “atembee kwenye maneno yake kwa vitendo”

  CHAMA cha Wananchi (CUF), kimemuomba Rais Samia Suluhu Hassan, atimize ahadi yake ya kujenga maridhiano na kuimarisha demokrasia ya vyama vingi, kwa...

Habari za Siasa

Kinana: Wasio tutakia mema wanatutoa kwenye ajenda muhimu

  MAKAMU Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Abdulrahman Kinana, amesema wasiokitakia mema chama hicho wanawatoa kwenye ajenda muhimu na kujikuta wakijadili mambo...

Habari za SiasaTangulizi

Watunza kumbukumbu za umma sasa kula kiapo

  WATUNZA kumbukumbu na nyaraka za Serikali sasa watalazimika kula kiapo cha maadili ya kazi yao kutokana na kile kilichoelezwa ni unyeti wa...

Habari za Siasa

Rais Samia: Jenista ni jembe, kiraka

  RAIS wa Tanzania, Samia Sulkuhu Hssan amempongeza Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais Menejimenti ya Utumishi wa Umma, Jenister Mhagama kwa kuweza...

Habari za SiasaTangulizi

Askofu awavaa CCM

  MWENYEKITI wa Kamati ya Kitaifa ya Maaskofu na Mashekhe ya Maadili Amani na Haki za Binadamu kwa Jamii ya Madhehebu ya Dini...

Habari za Siasa

Chadema yataka Serikali za majimbo

  CHAMA cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), kimesema kitaendelea kupigania upatikanaji wa Serikali ya Majimbo, ili kushusha mamlaka kwa wananchi. Anaripoti Mwandishi Wetu,...

Habari za SiasaTangulizi

Chadema yatinga Ulaya kudai katiba mpya, tume huru 

  CHAMA cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), kinafanya ziara barani Ulaya kwa ajili ya kutafuta uungwaji mkono na Jumuiya za Kimataifa katika msuala...

Habari za Siasa

Spika Tulia: UVCCM msikae kimya

SPIKA wa Bunge la Tanzania, Dk. Tulia Ackson, ameutaka Umoja wa Vijana wa Chama Cha Mapinduzi (UVCCM), usikae kimya katika kuwaeleza wananchi maendeleo...

Habari za Siasa

BAVICHA kuongoza vijana wa vyama vya demokrasia Afrika

BARAZA la Vijana la Chama cha Chadema (BAVICHA), litaongoza Umoja wa Vijana wa Afrika kutoka vyama vya kidemokrasia (YDUA), katika kipindi cha mwaka...

Habari za SiasaTangulizi

Uchaguzi huru na haki ni msingi wa demokrasia: Dk. Jingu

  KATIBU Mkuu Ofisi ya Waziri Mkuu Sera, Bunge na Uratibu, Dk. John Jingu, amefunga warsha ya siku nne kwa makamishna na maafisa...

Habari za SiasaTangulizi

Waziri Mbarawa atoa ripoti ajali ya ndege hadharani, “mhudumu ndiye aliyefungua mlango”

  SERIKALI ya Tanzania, imetoa taarifa rasmi kuhusu ripoti ya awali ya uchunguzi wa ajali ya ndege ya Precision Air, ikisema ilitumbukia ziwani...

error: Content is protected !!