Saturday , 20 April 2024

Habari za Siasa

Habari za Siasa

Rais Samia aipa miezi minne tume kupitia mfumo haki jinai

  RAIS Samia Suluhu Hassan, ameitaka tume aliyoiunda kuangalia jinsi ya kuboresha taasisi za haki jinai nchini, kukamilisha kazi hiyo ndani ya miezi...

Habari za SiasaTangulizi

Dk. Bashiru aibuka na bei za vyakula, “Njaa inadhalilisha nchi”

MBUNGE wa kuteuliwa na Rais, Dk. Bashiru Ally, ameitaka Serikali kuja na mikakati ya kutatua changamoto ya mfumuko wa bei za vyakula huku...

Habari za Siasa

Kamati ya Bunge yataka kibano wadaiwa sugu kodi majengo ya serikali

  KAMATI ya Kudumu ya Bunge ya Miundombinu, imeutaka Wakala wa Majengo Tanzania (TBA), iwachukulie hatua za kisheria wapangaji wake wanaodaiwa malimbikizo ya...

Habari za Siasa

Bunge lataka TBC kuajiri wenye vipaji ili kuvutia watazamaji

KAMATI ya Kudumu ya Bunge ya Miundombinu, imelitaka Shirika la Utangazaji Tanzania (TBC), kuajiri watangazaji au wasanii wenye vipaji badala ya kuajiri wenye...

Habari za Siasa

Rais Mwinyi awaangukia wafanyabaishara mfumuko wa bei “ tusaidie wananchi”

RAIS wa Serikali ya Mapinduzi Zanzibar, Daktari Hussein Mwinyi, amewataka wafanyabiashara visiwani humo, kupunguza bei za bidhaa hususan vyakula, ili kuwasaidia wananchi wasiokuwa...

Habari za Siasa

Tanroads yatakiwa kuharakisha ujenzi wa barabara Kidatu-Kilombero

KATIBU mkuu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Daniel Chongolo ameisisitiza Wakala wa barabara Tanzania (TANROADS) kumsimamia kikamilifu mkandarasi anaye jenga kwa kiwango cha...

Habari za Siasa

Gambo avutana na Dk. Nchemba kuhusu mfumuko wa bei, Spika atoa agizo

  MBUNGE wa Arusha Mjini (CCM), Mrisho Gambo, amekataa kupokea taarifa ya Waziri wa Fedha na Mipango, Dk. Mwigulu Nchemba, iliyoeleza kwamba mfumuko...

Habari za SiasaTangulizi

Rais Samia ahoji fedha za Plea-Bargaining

  RAIS Samia Suluhu Hassan, ameitaka Tume ya kuangalia namna ya kuboresha taasisi za haki jinai, ikapitie mchakato kisheria wa makubaliano ya kukiri...

Habari za Siasa

Rais Samia: Naogopa mahakama, polisi

  RAIS Samia Suluhu Hassan, amesema hapo awali alikuwa anaogopa kuingia katika majengo ya mahakama na polisi, akieleza kuwa alihisi huenda akageuziwa kibao...

Habari za Siasa

Chongolo: Chama hakitaacha kuhoji, kufuatilia miradi

  KATIBU mkuu wa Chama cha Mapinduzi (CCM) Daniel Chongolo amesema Chama hicho hakiko tayari kuacha kuhoji na kufuatilia kwa Ukaribu Miradi mbalimbali...

Habari MchanganyikoHabari za Siasa

Bashe apewa siku saba kuhakikisha skimu za umwagiliaji zinafanya kazi

KATIBU Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Taifa Daniel Chongolo amempa siku 7 Waziri wa Kilimo Hussein Bashe kufika katika Kijiji Cha Mvumi...

Habari za Siasa

Babu Duni: Tutatumia mikutano ya hadhara kuikosoa Serikali sio kutukana

MWENYEKITI wa Chama cha ACT Wazalendo Taifa, Juma Duni Haji amesema chama chake kitaitumia mikutano yahadhara kuisema Serikali kuhusu yale wanayopaswa kuyafanya kwa...

Habari MchanganyikoHabari za Siasa

Chongolo asikitishwa na mradi wa Mil 900 kutoanza kutoa manufaa

KATIBU mkuu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Taifa Daniel Chongolo amesema ipo haja ya Waziri wa Kilimo Hussein Bashe kutembelea na kutatua mgogoro...

Habari za Siasa

NCCR-mageuzi yawaangukia Polisi kupotea kwa kada wake

JESHI la Polisi nchini limeombwa kufanya uchunguzi wa kina utakaosaidia kupatikana kwa Mwenyekiti wa Jumuiya ya Vijana wa Chama cha NCCR-Mageuzi, Jovine Clinton,...

Habari za Siasa

Uamuzi kesi ya kupinga Bodi ya Wadhamini NCCR-Mageuzi kutolewa Februari 6

  MAHAKAMA Kuu, Masjala Kuu ya Dar es Salaam, imepanga kutoa uamuzi wa kesi iliyofunguliwa na wajumbe wa zamani wa Bodi ya Wadhamini...

Habari za SiasaTangulizi

Lissu:Suluhu ya ugumu wa maisha ni Katiba Mpya

  MAKAMU mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo-Chadema Bara, Tundu Lissu, amesema amekuja na “dawa” ya kupanda kwa bei za vitu kulikosababisha...

Habari za Siasa

Lissu: Miaka 30 ya vyama vingi haikupambwa kwa marumaru

  MAKAMU Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo-Chadema, Tundu Lissu, amesema safari ya miaka 30 ya vyama vingi nchini Tanzania ilikuwa haikuwa...

Habari za SiasaTangulizi

Mamia wajitokeza kumlaki Lissu

MAKAMU Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) – Bara, Tundu Lissu amewasili rasmi nchini Tanzania leo Jumatano tarehe 25 Januari 2023...

Habari za SiasaTangulizi

Lissu arejea, kufungua ukurasa mpya wa kisiasa nchini

BAADA ya takribani miaka mitano nje ya nchi, hatimaye mwanasiasa wa upinzani, mbunge wa zamani wa Singida Mashariki na mwanasheria nguli, Makamu Mwenyekiti...

Habari za Siasa

Wakuu wa wilaya wapya walioteuliwa hawa hapa

RAIS Samia Suluhu Hassan ameteua wakuu wa wilaya wapya 37, kuwahamisha vituo vya kazi wakuu wa wilaya 48 na wengine 55 kubakia kwenye...

Habari za Siasa

Majina ya wakuu wa wilaya 48 waliohamishwa vituo vya kazi haya hapa

RAIS Samia Suluhu Hassan ameteua wakuu wa wilaya wapya 37, kuwahamisha vituo vya kazi wakuu wa wilaya 48 na wengine 55 kubakia kwenye...

Habari za Siasa

Majina wakuu wa wilaya 55 waliobaki kwenye vituo vya kazi haya hapa

RAIS Samia Suluhu Hassan ameteua wakuu wa wilaya wapya 37, kuwahamisha vituo vya kazi wakuu wa wilaya 48 na wengine 55 kubakia kwenye...

Habari za Siasa

Kina Mbatia waendelea kupambana mahakamani kupinga uongozi mpya NCCR-Mageuzi

  WAJUMBE wa zamani wa Bodi ya Wadhamini ya Chama cha NCCR-Mageuzi, wameendelea kupambana mahakamani kupinga uteuzi wa wajumbe wapya, wakidai ulifanyika kinyume...

Habari za Siasa

Chongolo awatahadharisha wana-CCM waliopewa dhamana na wananchi

  KATIBU Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Danieli Chongolo, amewatahadharisha wanachama wa chama hicho ambao walipata dhamana ya uongozi wa Serikali za...

Habari za Siasa

Chadema wajipanga kumpokea Lissu, kuunguruma Temeke

  MAKAMU Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) Tundu Lissu, anatarajia kurejea nchini kesho tarehe 25 Januari, 2023 saa saba na...

Habari za SiasaTangulizi

Mgogoro wa NCCR-Mageuzi: Wajumbe Bodi ya Wadhamini wavutana mahakamani

  UPANDE wa wajibu maombi katika kesi Na. 570/2023, iliyofunguliwa na wajumbe wa zamani wa Bodi ya Wadhamini ya Chama cha NCCR- Mageuzi,...

Habari za SiasaTangulizi

Mbowe aomba radhi wanawake kwa kuwaita ‘mademu’

  MWENYEKITI wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), Freeman Mbowe, amewaomba radhi wanawake kwa kuwaita mademu wakati anahutubia mkutano wa hadhara uliofanyika...

Habari za Siasa

Chadema yaikaba Serikali mapato ya madini, yataka ripoti ya miaka 20

  CHAMA cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), kimeitaka Serikali itoe ripoti ya mapato na matumizi ya fedha zilizotokana na madini yaliyochimbwa katika kipindi...

Habari za Siasa

Heche: Polisi wameona madhara ya kukosa wapinzani bungeni

  ALIYEKUWA Mbunge wa Tarime Mjini kupitia Chama cha Chadema, John Heche, amesema Askari Polisi wameona madhara ya kukosekana wabunge wa upinzani bungeni...

Habari za SiasaTangulizi

Kesi ya kina Mbatia, Selasini kuanza kusikilizwa kesho

MAHAKAMA Kuu ya Tanzania, Masjala Kuu ya Dar es Salaam, kesho Jumanne, tarehe 24 Januari 2023, itaanza kusikiliza kesi Na. 570/2022, iliyofunguliwa na...

Habari za Siasa

Mbunge kutumia milioni 480 kujenga ofisi za CCM

  MBUNGE wa Igunga mkoani Tabora, Nicholas Ngassa (CCM), anatarajia kutumia kiasi cha Sh milioni 480 kwa ajili ujenzi wa ofisi za kata...

Habari za Siasa

Chadema: CCM wanatuogopa kufa, dhambi lazima waibebe

MWENYEKITI wa Chadema, Freeman Mbowe amesema uamuzi wa kuzuia mikutano ya hadhara kwa kipindi cha miaka saba cha uongozi wa Rais Dk. John...

Habari za Siasa

Sugu ataka Rais asiwe msimamizi ardhi yote “raia wamiliki ardhi”

ALIYEWAHI kuwa Mbunge wa Mbeya Mjini, Joseph Mbilinyi maarufu Sugu, amesema umefika wakati kila raia amiliki ardhi yake badala ya Rais kupewa mamlaka...

Habari za Siasa

ACT Wazalendo yahoji lini mchakato Katiba Mpya, Tume huru utaanza

KAMATI Kuu ya Chama cha ACT Wazalendo imeitaka Seriakali kutoa ratiba ya mchakato wa upatikanaji wa Katiba Mpya na ule wa kupata Tume...

Habari za Siasa

Mbowe: Najivika mabomu kumpongeza Samia “angeendeleza kiburi cha mtangulizi wake”

  MWENYEKITI wa Chadema, Freeman Mbowe amesema anatambua kuwa ni vigumu kuwaeleza Watanzania na dunia kwamba anampongeza Rais Samia Suluhu Hassan kwa kukubali...

Habari za SiasaTangulizi

Kashfa ya kununuliwa CCM yamtesa Mbowe, ‘mwenye ushahidi ajitokeze’,

  MWENYEKITI wa Chadema, Freeman Mbowe leo Jumamosi amesema kashfa ya kutuhumiwa kuwa amekula rushwa au amelamba asali ili kushiriki maridhiano ya kitaifa...

AfyaHabari za Siasa

Heche amvaa Ummy Mwalimu kisa bima ya afya

  MJUMBE wa Kamati Kuu ya Chadema, John Heche amemtaka Waziri wa Afya, Ummy Mwalimu kuacha kulazimisha watu kujiunga na mpango wa bima...

Habari za SiasaTangulizi

Sugu: Nampongeza Samia kwa ujasiri, hoja tunazo

  ALIYEKUWA kuwa Mbunge wa Mbeya mjini kwa tiketi ya Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), Joseph Mbilinyi ‘Sugu’ amempongeza Rais Samia Suluhu...

Habari za Siasa

Mwenezi mpya CCM aanza na vishikwambi kwa walimu

  KATIBU wa Itikadi na Uenezi wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Dk. Sophia Mjema, ametoa wiki moja kwa Wizara ya Elimu, Sayansi na...

Habari za SiasaTangulizi

Mamilioni yakusanywa kugharamia mapokezi ya Lissu

  MWITIKIO wa wanachama na Watanzania wanaojitokeza kuchangia gharama za mapokezi ya Makamu Mwenyekiti wa Chadema Bara, Tundu Lissu, umezidi kuongezeka ambapo hadi...

Habari MchanganyikoHabari za Siasa

Dk. Mpango aweka jiwe la msingi mradi wa maji Ziwa Victoria

  MAKAMU wa Rais Dk. Philip Mpango amezitaka Mamlaka za Maji pamoja na wadau wengine wa sekta hiyo kuongeza weledi katika usimamizi wa...

Habari za Siasa

Simbachawene acharuka ufanyaji kazi wa mazoea

  WAZIRI wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu Sera, Bunge na Uratibu, George Simbachawene amewataka watumishi wa ofisi yake kufanya kazi zenye ufanisi...

Habari za Siasa

CUF: Hakutakuwa na ACT-Wazalendo Zanzibar uchaguzi 2025

  CHAMA cha Wananchi (CUF), kimeeleza kuwa kimejipanga kurejesha heshima yake visiwani Zanzibar, ifikapo 2025 kwa kuunda Serikali au kushiriki Serikali ya Umoja...

Habari za SiasaTangulizi

Chadema:Tutakuwa wajinga kukataa ruzuku kwa mazingira ya sasa

  CHAMA cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), kimesema kiko tayari kuchukua fedha za ruzuku kutoka Serikalini, kutokana na maridhiano yanayofanywa na Rais Samia...

Habari za SiasaTangulizi

Lissu ampa kibarua Rais Samia, aanika atakachoanza nacho akiwasili

  MAKAMU Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) Bara, Tundu Lissu, amesema usalama wake pindi atakaporejea Tanzania akitokea nchini Ubelgiji, utakuwa...

Habari za Siasa

Chadema wamvaa Waziri Mkuu Majaliwa, Waziri Bashe

  CHAMA cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), kimedai kuwa uhaba wa mbolea nchini umesababishwa na Serikali kushindwa kulipa deni la Sh. 325 bililioni,...

Habari MchanganyikoHabari za SiasaTangulizi

Wizara ya Fedha yaeleza hali ya uchumi na mwarobaini wake

SERIKALI ya Tanzania kupitia Wizara ya Fedha na Mipango imejipanga kuchukua hatua stahiki katika kuhakikisha uchumi unaendelea kukukua kwa kusimamia urekebishwaji wa baadhi...

HabariHabari za SiasaTangulizi

ACT Wazalendo: CUF imekwisha

  CHAMA cha ACT Wazalendo kimesema Chama cha Wananchi – CUF sio kwamba ushawishi wake kwa Watanzania umeshuka bali sasa umekwisha baada ya...

HabariHabari za Siasa

Chadema yaahidi kupigania marekebisho sheria ya habari

  CHAMA cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), kimesema kitapigania marekebisho ya Sheria ya Huduma za Habari ya 2016 ili vifungu vinavyodhoofisha uhuru wa...

Habari za SiasaTangulizi

Chadema kuanza kuunguruma Mwanza, Mara

MWENYEKITI wa Chadema Taifa, Freeman Mbowe anatarajiwa kuongozi jopo la viongozi wa chama hicho katika uzinduzi rasmi wa mikutano ya hadhara itakayofanyika jijini...

error: Content is protected !!