Habari za Siasa

Kubenea kuanzisha benki, kiwanda cha taka Kinondoni

SAED Kubenea, Mgombea Ubunge wa Kinondoni kupitia ACT-Wazalendo amesema, ana mpango wa kuanzisha benki kwa ajili ya wananchi wa jimbo hilo. Anaripoti Hamis Mguta, Dar es Salaam…(endelea). Kubenea ameyasema hayo ...

Read More »

Stori ya Enock iliyomuumiza Lissu Singida

STORI ya kushambuliwa kwa Wilfred Enock, mwanachama wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), imemuumiza Tundu Lissu, mgombea urais wa Tanzania kupitia chama hicho. Anaripoti Mwandishi Wetu, Singida … (endelea). ...

Read More »

Mgombea Chadema amwangushia jumba bovu mgombea CCM

CONCHESTA Rwamlaza, mgombea ubunge katika Jimbo la Bukoba vijinini kupitia Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), amemtuhumu Jason Rweikiza, mgombea mwenzake kupitia Chama Cha Mapinduzi (CCM) kwamba ‘hafai’ kwani amewapuuza ...

Read More »

‘Mchawi’ wa Mbowe Hai achunguzwa

OFISA wa Jeshi la Polisi katika Jimbo la Hai, Mkoani Kilimanjaro, anachunguzwa na jeshi hilo kwa madai ya kumtabiria Freeman Mbowe, mgombea ubunge wa jimbo hilo kung’olewa kwenye uchaguzi mkuu ...

Read More »

Gambo apanga kummaliza Lema

MRISHO Gambo, mgombea ubunge Jimbo la Arusha mjini kupitia Chama Cha Mapinduzi(CCM), ameamua kubadili mtindo wa kummaliza Godbless Lemba, mgombea ubunge wa jimbo hilo anayetetea nafasi yake kwenye uchaguzi mkuu ...

Read More »

Maalim Seif akwepa kitanzi cha NEC

MAALIM Seif Sharif Hamad, mgombea urais wa Zanzibar kupitia Chama cha ACT-Wazalendo, ameshindwa kumnadi kwa jina Tundu Lissu, mgombea urais wa Tanzania kupitia Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema). Anaripoti ...

Read More »

NEC yaweka masharti matumizi ya simu vituoni Oktoba 28

TUME ya Taifa ya Uchaguzi (NEC) nchini Tanzania imeweka masharti ya matumizi ya simu katika vituo vya kuhesabu, kupigia na kujumulishia kura katika Uchaguzi Mkuu utakaofanyika Jumatano tarehe 28 Oktoba ...

Read More »

Zitto atoka hospitalini ‘narudi kwenye kampeni’

KIONGOZI wa chama cha ACT-Wazalendo, Zitto Zuberi Kabwe ameruhusiwa kutoka Hospitali ya Aga Khani jijini Dar es Salaam alipokuwa amelazwa kwa matibabu baada ya kupata ajali ya gari. Anaripoti Mwandishi ...

Read More »

Chadema yaihoji NEC ‘karatasi za kura, mfumo wa kujumlisha matokeo

TUME ya Taifa ya Uchaguzi (NEC) nchini Tanzania, imetakiwa kuweka wazi mambo mbalimbali yahusuyo Uchaguzi Mkuu wa tarehe 28 Oktoba 2020 ikiwemo kampuni itakayotumika kuchapisha karatasi za kura na mfumo ...

Read More »

IGP Sirro awaonya polisi kutoingilia NEC

INSPEKTA Jenerali wa Polisi (IGP) nchini Tanzania, Simon Sirro amesema, Polisi hawahusiki kutangaza mshindi wa Uchaguzi Mkuu utakaofanyika Jumatano tarehe 28 Oktoba 2020 bali kazi hiyo inafanywa na Tume ya ...

Read More »

Lissu kurejea jukwaani leo

TUNDU Antiphas Lissu, mgombea urais wa Tanzania kupitia Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) leo Jumamosi tarehe 10 Oktoba 2020 ataanza tena kampeni za kuwania urais wa nchi hiyo. Anaripoti ...

Read More »

IGP Sirro atoa onyo Z’bar ‘tusikubali kutumiwa’

INSPEKTA Jenerali wa Polisi (IGP) nchini Tanzania, Simon Sirro, amewataka Wazanzibar kufuata taratibu za upigaji kura zilizowekwa na Tume ya Uchaguzi Zanzibar (ZEC) ili kuepusha kuingia matatani. Anaripoti Mwandishi Wetu, ...

Read More »

Mgombea ubunge Ubungo abadili mbinu za kampeni

KABENDERA Eugene, Mgombea wa Ubunge wa Ubungo kupitia Chama cha Ukombozi wa Umma (Chaumma), amefanya kampeni ya aina yake kupitia mkutano na waandishi wa habari akiwa ofisini kwake. Anaripoti Hamis ...

Read More »

Kubenea atikisa kambi ya Tarimba

MGOMBEA Ubunge wa Kinondoni kupitia ACT-Wazalendo, Saed Kubenea, amefanya kampeni ya nyumba kwa nyumba katika Kata ya Hananasif, Wilaya Kinondoni jijini Dar es Salaam. Anaripoti Regina Mkonde, Dar es Salaam…(endelea). ...

Read More »

Ma RC, DC wapigwa ‘stop’ vituo kuhesabu, kutangaza matokeo  

WAKUU wa Mikoa (RC) na Wilaya (DC) nchini Tanzania, ni miongoni mwa watendaji wa Serikali ambao hawatakiwi kuingia katika vituo vya kupiga, kuhesabu au kujumlishia kura. Anaripoti Mwandishi Wetu, Dar ...

Read More »

Lissu atinga Mlimani City

TUNDU Lissu, mgombea urais wa Tanzania kupitia Chadema ametembelea Mlimani City jijini Dar es Salaam na kufanya manunuzi mbalimbali katika moja ya maduka. Anaripoti Mwandishi Wetu, Dar es Salaam … ...

Read More »

Salum Mwalimu ampigia kampeni Ado wa ACT-Wazalendo

USHIRIKIANO kati ya Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) na ACT-Wazalendo katika Uchaguzi Mkuu utakaofanyika tarehe 28 Oktoba 2020 umeanza kushika kasi. Anaripoti Mwandishi Wetu…(endelea). Viongozi wa vyama hivyo katika ...

Read More »

Magufuli awageuzia kibao wakandarasi, RC Dar ‘badilika’

RAIS wa Tanzania, John Pombe Magufulki ameagiza kampuni iliyopewa zabuni ya kujenga Kituo Kikuu cha Mabasi ya Mikoani Mbezi-Luis jijini Dar es Salaam, kukatwa fedha kama adhabu ya kuchelewa kukamilisha ...

Read More »

Kubenea akumbusha ya Kikwete, Mkapa

SAED Kubenea, mgombea ubunge wa Kinondoni, jijini Dar es Salaam kupitia ACT-Wazalendo amewataka wananachi kuchagua viongozi wenye uchungu na taifa lao. Anaandika Yusuph Katimba, Dar es Salaam…(endelea). Amesema, wabunge wanaotokana na ...

Read More »

Majaliwa aipa siku tatu wizara ya kilimo

WAZIRI Mkuu wa Tanzania, Kassim Majaliwa ametoa siku tatu kwa Wizara ya Kilimo kukutana na menejenti ya kampuni ya utengenezaji na usambazaji wa mbolea ya YARA ili kuhakiki na kupata ...

Read More »

Magufuli, Dk. Chakwera wazungumzia uchaguzi mkuu

MARAIS John Magufuli wa Tanzania na Dk. Lazarus Chakwera wa Malawi wamezungumzia Uchaguzi Mkuu wa Tanzania utakaofanyika Jumatano tarehe 28 Oktoba 2020. Anaripoti Mwandishi Wetu, Dar es Salaam…(endelea). Viongozi hao ...

Read More »

Lissu atinga Kariakoo kwa mwendokasi

TUNDU Lissu, Mgombea Urais wa Tanzania kupitia Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), ameahidi kuliboresha Jiji la Dar es Salaam, endapo atashinda Uchaguzi Mkuu utakaofanyika Jumatano tarehe 28 Oktoba 2020. ...

Read More »

Mbowe kufikishwa kwa msajili

VYAMA nane vya siasa nchini Tanzania, vimelaani kauli iliyotolewa na Freeman Mbowe, Mwenyekiti wa Chadema kuvituhumu kwamba vinatumika kurudisha nyuma mapambano ya kupigania haki na demokrasia nchini humo. Anaripoti Mwandishi, ...

Read More »

TLS yajitosa kumtetea Fatma Karume

CHAMA cha Wanasheria Tanganyika (TLS) kimejitosa kumtetea Fatma Amani Karume aliyehukumiwa na kamati ya Maadili ya Mawakili kuondolewa jina lake (namba 848) kwenye orodha ya mawakili wa TLS. Anaripoti Mwandishi ...

Read More »

Rais Magufuli amfariji Zitto

RAIS John Magufuli amempa pole Kiongozi wa Chama cha ACT-Wazalendo, Zitto Kabwe aliyepata ajali ya gari jana tarehe 6 Oktoba 2020. Anaripoti Regina Mkonde, Dar es Salaam … (endelea). Zitto ...

Read More »

Watumishi wa Bunge watakiwa kuwa na uelewa mpana

WATUMISHI wa Ofisi ya Bunge na Waziri Mkuu wameshauriwa kuwa na uelewa mpana kuhusu nafasi yao katika mchakato na mipango mbalimbali ili sera na sheria zitakazotungwa ziakisi  na kujibu changamoto ...

Read More »

Lissu abadilishiwa majukumu, NEC kufikishwa kortini

CHAMA cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) kimesema, kitambadilishia majukumu Tundu Lissu, Mgombea wake wa Urais wa Tanzania wakati akiitumikia adhabu ya kutofanya kampeni kwa muda wa siku saba kuanzia jana ...

Read More »

Chadema yamuunga mkono Maalim Seif, kuachiana majimbo na kata

CHAMA cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) kimetangaza kumuunga mkono Mgombea Urais wa Zanzibar kupitia Chama cha ACT-Wazalendo, Maalim Seif Sharif Hamad, pamoja na kuachiana majimbo na kata na chama hicho ...

Read More »

Kubenea ataja kinachoitesa CCM

SAED Kubenea, Mgombea Ubunge kinondoni kupitia Chama cha ACT-Wazalendo ametaja masuala yanayokitesa Chama Cha Mapinduzi (CCM) kwenye kampeni za Uchaguzi Mkuu utakaofanyika Jumatano tarehe 28 Oktoba 2020. Anaripoti Regina Mkonde, ...

Read More »

Kambaya kujenga kituo cha biashara, mabasi mbagala

MGOMBEA Ubunge wa Mbagala jijini Dar es Salaam kupitia Chama Cha Wananchi (CUF), Abdul Kambaya amewaomba wananchi wa jimbo hilo kumpa fursa awatumikie ili kutumia ukuwaji wa makazi na idadi ...

Read More »

NEC yamuonya Lissu

KAMATI ya Maadili ya Kitaifa ya Tume ya Taifa ya Uchaguzi (NEC) nchini Tanzania imemuonya Tundu Lissu, mgombea urais kupitia Chadema kutekeleza adhabu aliyopewa ya kutofanya kampeni siku saba kuanzia ...

Read More »

Maalim Seif: Lissu atakuwa Rais wa Tanzania

MAALIM Seif Sharif Hamad, mgombea urais wa Zanizbar kupitia ACT-Wazalendo amesema, ana matumaini Tundu Lissu ataibuka mshindi wa urais wa Tanzania kupitia Chadema katika Uchaguzi Mkuu utakaofanyika Jumatano tarehe 28 ...

Read More »

lMajaliwa: Hatuwezi kuwaacha wasanii

MJUMBE wa Kamati Kuu ya Chama Cha Mapinduzi (CCM), Kassim Majaliwa amesema, Serikali ijayo ya chama hicho itaendelea kuwaunga mkono na kuwaendeleza wajasiriamali wakiwemo wasanii. Anaripoti Mwandishi Wetu…(endelea) “Serikali ya ...

Read More »

Lissu atoa msimamo, kamati kuu Chadema yaitwa

TUNDU Antiphas Lissu, mgombea urais wa Tanzania kupitia Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) amesema, uamuzi uliofanywa na Kamati ya Maadili ya Tume ya Taifa ya Uchaguzi (NEC) wa kumsimamisha ...

Read More »

NEC yamshusha Lissu jukwaani siku 7

TUME ya Taifa ya Uchaguzi (NEC) imemsimamisha Tundu Lissu, mgombea urais kupitia Chadema kufanya kampeni kwa siku saba kuanzia kesho Jumamosi hadi 9 Oktoba 2020 kutokana na kukiuka maadili ya ...

Read More »

Polisi ‘waitikia’ msimamo wa Lissu

HATUA ya Jeshi la Polisi kufuta wito uliomtaka Tundu Lissu, mgombea urais wa Tanzania kupitia Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), kujipeleka katika Kituo cha Polisi Moshi, Kilimanjaro unakwenda sambamba ...

Read More »

Magufuli: Mkiniletea wale, hampati maji

MGOMBEA urais wa Tanzania kupitia Chama Cha Mapinduzi (CCM), Dk. John Magufuli amesema, wananchi wa Tunduma, Mkoa wa Songwe wakichagua mgombea nje ya chama hicho, hatopeleka maji. Anaripoti Mwandishi Wetu, ...

Read More »

Marekani yamkana Lissu, JPM

LICHA ya Dk. John Magufuli, mgombea urais wa Tanzania kupitia CCM na Tundu Lissu, mgombea urais kupitia Chadema kutawala siasa ngazi ya urais, Marekani imeeleza kutounga mkono mgombea wala chama ...

Read More »

Lissu azuiwa Same

WANANCHI wa Hedaru, Same mkoani Kilimanjaro, wamezuia msafara wa Tundu Lissu, mgombea urasi wa Tanzania kupitia Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema). Anaripoti Mwandishi Wetu, Kilimanjaro…(endelea). Taarifa kutoka eneo hilo ...

Read More »

Kubenea: Wabunge CCM wanajali matumbo, chama chao

SAED Kubenea, mgombea ubunge wa Jimbo la Kinondoni kupitia Chama cha ACT-Wazalendo, amesema Abbas Tarimba, mgombea ubunge katika jimbo hilo kupitia CCM, ana tabia zile zile walizonazo wabunge wanaotokana na ...

Read More »

Wazee waja juu, wamkingia kifua Lissu

HATUA ya Jeshi la Polisi nchini Tanzania kumzuia Tundu Lissu, mgombea urais wa Tanzania kupitia Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) kuzungumza na wananchi akiwa njiani, imepingwa na Baraza la ...

Read More »

‘Lissu ndiye amiri jeshi mkuu ajaye’

SALUM Mwalimu, mgombea mwenza wa urais kupitia Chama Cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), Tundu Lissu ndiye amir jeshi mkuu ajaye. Anaripoti Christina Haule, Morogoro … (endelea).  Amesema, Lissu kwenye uchaguzi ...

Read More »

JPM ‘amchana’ Sugu kiaina

MGOMBEA urais kupitia Chama Cha Mapinduzi (CCM), Dk. John Magufuli amesema, Jimbo la Mbeya Mjini halikuwa na msemaji na ndio maana alimteua Dk. Ackson Tulia kuwa ‘mbunge wake’. Anaripoti Mwandishi ...

Read More »

Kuitwa NEC: Lissu aweka mgomo

TUNDU Lissu, mgombea urais wa Tanzania kupitia Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), ametoa hoja mbili za ‘kutojipeleka’ mbele ya Kamati ya Maadili ya Tume ya Taifa ya Uchaguzi (NEC). ...

Read More »

Lissu aijibu NEC ‘ngoma hii hawaiwezi’

TUNDU Lissu, mgombea urais wa Tanzania kupitia Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), ameeleza kupuuza kauli iliyotolewa na Dk. Wilson Mahera, Mkurugenzi wa Tume ya Taifa ya Uchaguzi (NEC). Anaripoti ...

Read More »

Rais Magufuli ateua bosi Tawiri

RAIS wa Tanzania, John Pombe Magufuli amemteua Dk. Eblate Ernest Mjingo kuwa Mkurugenzi Mkuu wa Taasisi ya Utafiti wa Wanyamapori (TAWIRI). Anaripoti Mwandishi Wetu, Dar es Salaam … (endelea). Taarifa ...

Read More »

Lissu aijia juu NEC, asema ‘siendi Dodoma’

TUNDU Lissu, mgombea urais wa Tanzania kupitia Chama cha Demokraisa na Maendeleo (Chadema) amesema, kesho Jumanne tarehe 29 Septemba 2020 hatokwenda mbele ya Kamati ya Maadili ya Tume ya Taifa ...

Read More »

Bosi NEC amvaa Lissu ‘Watanzania hawataki bla bla’

DAKTARI Wilson Mahera, Mkurugenzi wa Uchaguzi wa Tume ya Taifa Uchaguzi (NEC) nchini Tanzania, ameonesha kukasirishwa na kile alichoita wanasiasa kudanganya na kutoa tuhuma badala ya kunadi sera za elimu, ...

Read More »

Lissu aingia matatani, aitwa NEC

TUME ya Taifa ya Uchaguzi (NEC) nchini Tanzania imemuita Tundu Lissu, mgombea urais wa Tanzania kupitia Chadema katika kikao cha kamati ya kitaifa ya maadili tarehe 29 Septemba 2020. Anaripoti ...

Read More »

Lissu: …yaani hata sijui

TUNDU Lissu, mgombea urais wa Tanzania kupitia Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), amesema watu wanaofurika kwenye mikutano yake ya kampeni za urais, hajui kama ni wapiga kura. Anaripoti Mwandishi ...

Read More »
error: Content is protected !!