BUNGE la Tanzania, limeridhia Itifaki ya Biashara ya Huduma ya Jumuiya ya Maendeleo Kusini mwa Afrika (SADC) ya 2012, yenye lengo la kufungua...
By Regina MkondeAugust 31, 2023MAKAMU Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Bara, Abdulrahman Kinana, amesema vyama vya siasa vinampongeza Rais Dk. Samia Suluhu Hassan, kwa namna anavyoongoza...
By Mwandishi WetuAugust 31, 2023RAIS Dk. Samia Suluhu Hassan, amewataka wananchi washiriki katika zoezi la kutoa maoni kwa ajili ya maandalizi ya Dira ya Maendeleo ya Taifa...
By Mwandishi WetuAugust 31, 2023MAKAMU wa Kwanza wa Rais wa Zanzibar, Othman Masoud Othman yeye pamoja na Serikali ya Mapinduzi Zanzibar wako tayari kushirikiana na wawekezaji, Serikali...
By Mwandishi WetuAugust 31, 2023MBUNGE wa Kisesa, ameihoji Serikali sababu za Dola za Marekani kuadimika nchini, wakati ikijinasibu kwamba kuna ongezeko la uwekezaji, utalii na mauzo ya...
By Mwandishi WetuAugust 31, 2023RAIS Samia Suluhu Hassan amefanya uhamisho na uteuzi wa viongozi mbalimbali ikiwamo Naibu Waziri David Silinde ambaye amehamishwa kutoka Wizara ya Mifugo...
By Mwandishi WetuAugust 30, 2023CHAMA cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), kimeitaka Serikali kutumia mbinu za kisayansi kudhibiti uvamizi wa wanyamapori katika maeneo wanaoyoishi wananchi. Anaripoti Mwandishi Wetu,...
By Mwandishi WetuAugust 30, 2023BUNGE la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, limepitisha azimio la kuridhia mapendekezo ya Katiba ya Tume ya Usafiri wa Anga ya Afrika ya...
By Regina MkondeAugust 30, 2023MABADILIKO madogo ya Baraza la Mawaziri, yaliyofanywa na Rais Dk. Samia Suluhu Hassan, yamegusa kwa namna tofauti baadhi ya mawaziri, ambapo wapo...
By Regina MkondeAugust 30, 2023RAIS Dk. Samia Suluhu Hassan, amefanya mabadiliko madogo ya Baraza la Mawaziri, kwa kuanzisha nafasi mpya ya Naibu Waziri Mkuu, kuunda wizara...
By Regina MkondeAugust 30, 2023SERIKALI imewaonya watu wanaosambaza mitandaoni picha na video za wahanga wa vitendo vya ukatili wa kijinsia, ikisema itawashtaki kama hawataacha mara moja. Anaripoti...
By Mwandishi WetuAugust 30, 2023CHAMA cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), kimepinga uamuzi wa Spika wa Bunge, Dk. Tulia Ackson, kuzuia wabunge kujadili bungeni sakata la mkataba wa...
By Mwandishi WetuAugust 29, 2023BUNGE limegoma kufanyia kazi muswada uliowasilishwa na Serikali kwa ajili ya kurekebisha sheria zinazosimamia rasilimali na maliasili za nchi, uliolenga kuwezesha uwekezaji bandarini,...
By Mwandishi WetuAugust 29, 2023WABUNGE leo Jumanne wameitaka Serikali kupeleka bungeni muswada wa marekebisho ya Sheria hifadhi ya jamii ya mwaka 2017 ili iruhusu wastaafu kulipwa kwa...
By Mwandishi WetuAugust 29, 2023HATIMAYE Naibu Waziri Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (TAMISEMI) Dkt. Festo Dugange leo Jumanne amerejea bungeni na kuendelea...
By Mwandishi WetuAugust 29, 2023RAIS Samia Suluhu Hassan ameendelea kupangua Idara ya Usalama wa Taifa baada ya leo Jumatatu kumteua Balozi Ali ldi Siwa kuwa Mkurugenzi Mkuu...
By Mwandishi WetuAugust 28, 2023CHAMA cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), kimeendelea kutumia mikutano yake ya hadhara kuwataka wananchi kutumia Uchaguzi wa Serikali za Mitaa wa 2024, kung’oa...
By Mwandishi WetuAugust 28, 2023MWENYEKITI wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) Taifa, Freeman Mbowe amekitaka Chama Cha Mapinduzi (CCM), kiikabidhi Chadema Serikali kama kimeshindwa kusimamia rasilimali...
By Mwandishi WetuAugust 28, 2023SERIKALI imevunja ukimya kuhusu utekelezaji mchakato wa marekebisho ya katiba, ikisema kwa sasa imeweka kipaumbele katika kutoa elimu kwa wananchi kuhusu suala hilo,...
By Regina MkondeAugust 28, 2023CHAMA cha ACT-Wazalendo, imeitaka Serikali kutoa ratiba ya utekelezaji wa mageuzi ya kisiasa nchini. Anaripoti Matilda Peter, Dar es Salaam…(endelea). Wito huo umetolewa...
By Mwandishi WetuAugust 28, 2023Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Dk. Stergomena Tax amewapa Wakuu wa Mikoa mbinu mbalimbali za kutekeleza Diplomasia ya...
By Mwandishi WetuAugust 27, 2023RAIS Samia Suluhu Hassan leo jumapili amemtumbua Mkuu wa Wilaya ya Mtwara, Hanafi Msabaha kutokana na madai ya kusababisha baadhi ya wananchi wa...
By Mwandishi WetuAugust 27, 2023RAIS Samia Suluhu Hassan leo jumapili amewaonya viongozi wa umma kuacha ‘kujidogosha’ kwa kutekeleza majukumu yao kwa kusubiri maelekezo kutoka juu badala yake...
By Mwandishi WetuAugust 27, 2023Msajili wa Vyama vya Siasa, Jaji Francis Mutungi leo Alhamisi amekutana kwa mazungumzo na Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), Freeman...
By Mwandishi WetuAugust 24, 2023NAIBU Spika wa Bunge la Tanzania, Mussa Zungu, anarajiwa kufungua kongamano la kimataifa la kusherekea miaka 10 ya ushirikiano baina ya nchini za...
By Seleman MsuyaAugust 24, 2023RAIS wa Zanzibar, Dk. Hussein Ali Mwinyi, ameteua wajumbe wa Tume ya Uchaguzi Zanzibar (ZEC) na kuingiza damu changa kutoka Chama cha ADA-...
By Mwandishi WetuAugust 24, 2023WATU 10 wamefariki dunia leo Jumatano baada ya ndege binafsi iliyokuwa ikitokea katika jiji la Moscow kwenda St. Petersburg kuanguka huko nchini Urusi....
By Mwandishi WetuAugust 23, 2023HATIMAYE Mbunge wa Ngorongoro, Emmanuel Ole Shangai (CCM) ambaye alidaiwa kushikiliwa na polisi tangu tarehe 21 Agosti 2023 ameachiwa huru leo huku akisisitiza...
By Mwandishi WetuAugust 23, 2023Tanzania na Cuba zimekubaliana kushirikiana na kuimarisha misingi ya kisiasa, ujengaji wa uwezo kwa wanasiasa vijana, sekta za elimu, afya, utalii, biashara na...
By Mwandishi WetuAugust 23, 2023NAIBU Msajili wa Vyama vya Siasa nchini, Sisty Nyahoza, amevitaka vyama vya siasa kurekebisha dosari za ndani zinazoleta changamoto katika chaguzi, badala ya...
By Mwandishi WetuAugust 23, 2023TUME ya Taifa ya Uchaguzi, imeteua wagombea 58 kugombea ubunge wa Mbarali mkoani Mbeya pamoja na udiwani katika kata mbalimbali nchini kwenye uchaguzi...
By Mwandishi WetuAugust 22, 2023CHAMA Cha Mapinduzi (CCM), kimesema marekebisho madogo ya katiba yatafanyika ili kuondoa vipengele vinavyokwamisha upatikanaji wa uchaguzi huru na wa haki.Anaripoti Mwandishi Wetu,...
By Mwandishi WetuAugust 22, 2023RAIS wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan ameridhia uamuzi wa Serikali ya Indonesia wa kufufua shughuli za Kituo cha Mafunzo...
By Mwandishi WetuAugust 22, 2023MCHUNGAJI wa Kanisa la Maombezi jijini Dar es Salaam (GRC), Antony Lusekelo ameukosoa waraka wa Baraza la Maaskofu Katokili Tanzania (TEC) na kudai...
By Mwandishi WetuAugust 22, 2023KUNA njama zinasukwa za kutaka kuvuruga mkutano mkuu wa Kanisa Kiinjili la Kilutheri Tanzania (KKKT), kupitia kinachoitwa, “Kanisa Moja, Katiba Moja.” Anaripoti Mwandishi...
By Mwandishi WetuAugust 22, 2023ASKOFU Mkuu wa Kanisa la Kiinjili la Kilutheri Tanzania (KKKT), Dk Fredrick Shoo, amesema kuwa kanisa lake lina imani na namna ambavyo...
By Mwandishi WetuAugust 21, 2023KANISA la Kiinjili La Kilutheri Tanzania (KKKT), limemtaka Rais Samia Suluhu Hassan, kutumia busara katika kutafuta suluhu kuhusu sakata la uwekezaji bandarini,...
By Mwandishi WetuAugust 21, 2023CHAMA cha Wananchi (CUF), kimezindua sera mpya ya kipato cha msingi kwa wananchi wote (Universal Basic Income), inayolenga kupunguza makali ya ugumu...
By Regina MkondeAugust 21, 2023RAIS Mstaafu Jakaya Kikwete amewataka Watanzania kuwanyanyapaa viongozi wanaochanganya dini na siasa kwa kuwa ni jambo hatari kwa ustawi wa amani na utulivu...
By Mwandishi WetuAugust 20, 2023RAIS Samia Suluhu Hassan amewatoa hofu waajiriwa katika taasisi na mashirika ya umma yatakayofutwa kutokana na sababu mbalimbali kwamba watahamishiwa kwenye mashirika mengine...
By Mwandishi WetuAugust 19, 2023RAIS Samia Suluhu Hassan amesema anataka kuona taasisi na mashirika ya umma yakichangia mfuko mkuu wa serikali kutokana na kipato kinachozalishwa kwa kutekeleza...
By Mwandishi WetuAugust 19, 2023Rais Samia Suluhu Hassan leo Ijumaa ametengua uteuzi wa Katibu Mkuu Wizara ya Maji, Mhandisi Nadhifa Sadiki Kemikimba. Anaripoti Mwandishi Wetu …(endelea). Taarifa...
By Mwandishi WetuAugust 18, 2023HATIMAYE Wakili, Boniphace Mwabukusi na Kada wa Chasema, Mpaluka Saidi Nyangali maarufu kama ‘Mdude’ nao wameachiwa huru na Jeshi la Polisi mkoani...
By Mwandishi WetuAugust 18, 2023BALOZI Dk. Willibroad Slaa leo Ijumaa amesema kitendo cha polisi kumkamata kinguvu tarehe 13 Agosti 2023 kisha kutuhumiwa kwa uhaini, hakitamrejesha nyuma...
By Mwandishi WetuAugust 18, 2023BALOZI Dk. Willibroad Slaa amedai kuwa katika Mkutano wa 12 wa Bunge unaotarajiwa kuanza tarehe 29 Agosti 2023, iwapo marekebisho ya muswada...
By Mwandishi WetuAugust 18, 2023HATIMAYE Balozi Dk. Wilbroad Slaa leo Ijumaa mchana ameachiwa huru baada ya kutimiza masharti ya dhamana aliyoagizwa na Jeshi la Polisi Dar es...
By Mwandishi WetuAugust 18, 2023WAKILI Dickson Matata amethibitisha kuwa Balozi Dk. Wilbroad Slaa amerejeshwa Dar es Salaam na kutakiwa kuwa na wadhamini wawili wenye barua za utambulisho...
By Mwandishi WetuAugust 18, 2023KAMATI Kuu ya Halmashauri Kuu ya Chama Cha Mapinduzi (CCM) Taifa, ikiongozwa na Mwenyekiti wa CCM na Rais Samia Suluhu Hassan, imemteua wa...
By Mwandishi WetuAugust 17, 2023WAKILI Philip Mwakilima ambaye anasimamia kesi inayomkabili ya Wakili Boniphace Mwabukusi na wenzie leo Alhamisi amesema mteja wake anaumwa hivyo Jeshi la Polisi...
By Mwandishi WetuAugust 17, 2023MAWAKILI wa Dk. Willibord Slaa na wenzake watatu, wako mbioni kufungua shauri Mahakama Kuu, Kanda ya Mbeya, kuomba amri ya kuwataka jeshi la...
By Mwandishi WetuAugust 17, 2023