Thursday , 25 April 2024

Habari za Siasa

Habari za SiasaTangulizi

Dk. Kikwete: Bora nimestaafu

ALIYEKUWA Rais wa Awamu ya Nne, Dk. Jakaya Kikwete, amesema bora amestaafu kuongoza Tanzania katika kipindi ambacho idadi ya watu ilikuwa ndogo, akisema...

Habari za Siasa

Padre Kitima awashukia viongozi dini wanaofumbia macho dhambi za uchaguzi

KATIBU Mkuu wa Baraza la Maaskofu Tanzania (TEC), Padre Charles Kitima amewataka viongozi wa dini kukemea dhambi zinazojitokeza katika chaguzi, ili kuhakikisha zinakuwa...

Habari za Siasa

Rais wa Romania awasili rasmi nchini

Rais wa Romania, Klaus Iohannis, amewasili nchini kwa ziara ya kitaifa kuanzia leo tarehe 16 hadi 19 Novemba 2023 kufuatia mwaliko wa Rais...

Habari za SiasaTangulizi

Dk. Biteko: Marufuku kununua vifaa vya umeme nje ya nchi

Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati, Dk. Doto Biteko ametoa katazo kwa kampuni zinazosimamia na kutekeleza miradi ya umeme nchini, kutonunua nje...

Habari za SiasaTangulizi

Majaliwa aagiza wizara, taasisi kulipa madeni ya vyombo vya habari

WAZIRI MKUU Kassim Majaliwa ameiagiza Wizara ya Habari, Mawasiliano na Teknolojia ya Habari ifanye uratibu wa madai ya vyombo vya habari, sambamba na...

Habari za Siasa

Dk. Biteko akagua visima, mitambo ya kuchakata gesi asilia Songosongo

Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati, Dk. Doto Biteko amefanya ziara ya kikazi katika Kisiwa cha Songosongo mkoani Lindi kwa lengo la...

Habari za Siasa

Dk. Biteko aagiza watumishi kufanya kazi zenye matokeo chanya

Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati, Dk. Doto Biteko amewasisitiza Watumishi wa Ofisi ya Waziri Mkuu kufanya kazi kwa ushirikiano ili kazi...

Habari za Siasa

ACT Wazalendo kuichambua miswada ya uchaguzi

Chama cha ACT Wazalendo kimeielekeza Ofisi ya Mwanasheria Mkuu wa Chama hicho kuichambua Miswada ya Sheria kuhusu Uchaguzi, Tume ya Uchaguzi na Vyama...

Habari za Siasa

Kikwete amuwakilisha Samia mazishi ya Rais Finland

Rais Mstaafu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dk. Jakaya Kikwete amemwakilisha Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dk. Samia Suluhu Hassan...

Habari za Siasa

Muswada sheria ya tume uchaguzi, msajili wa vyama yatinga bungeni

MUSWADA wa Sheria ya Tume ya Taifa ya Uchaguzi, pamoja na Muswada wa Marekebisho ya Sheria ya Vyama vya Siasa, imesomwa kwa mara...

Habari za Siasa

Wabunge wakomalia mgawo wa majimbo, kata

BAADHI ya wabunge wameitaka Serikali ikamilishe mchakato wa kugawa majimbo, kata na tarafa zenye maeneo makubwa, ili kusogeza karibu na wananchi huduma za...

BiasharaHabari za Siasa

Upungufu wa umeme wabaki 218 MW kutoka 421 MW

Serikali imesema hali ya upatikani umeme nchini imeimarika na sasa upungufu wa umeme umebakia 218 MW. Anaripoti Mwandishi Wetu …(endelea). Hayo yameelezwa na...

Habari za Siasa

Tanzania, Uganda zasaini mkataba mahsusi ujenzi bomba la gesi

Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Serikali ya Jamhuri ya Uganda zimetia saini mkataba mahsusi utakaowezesha kuanza kwa kazi ya upembuzi...

Habari za Siasa

Wazee 272 waliopigana vita Kagera waendelea kulipwa pensheni

SERIKALI imesema inaendelea kuwalipa pensheni ya ulemavu wazee 272, waliopigana vita ya Kagera 1979. Anaripoti Jemimah Samwel, Dar es Salaam…(endelea). Hayo yamesemwa leo...

Habari za Siasa

Muhongo ataka Serikali ibuni miradi kufuta umaskini

MBUNGE wa Musoma Vijijini, Prof. Sospeter Muhongo, ameshauri mipango mbalimbali inayowekwa na Serikali, ijielekeze katika utekelezaji miradi ya kufuta umasikini nchini. Anaripoti Regina...

Habari za Siasa

Serikali yadai kumaliza mgogoro wa ardhi Handeni, Kilindi

SERIKALI imemaliza mgogoro wa ardhi kati ya Halmashauri ya Handeni na Kilindi, kwenye eneo la Bondo, uliodumu kwa miaka kadhaa. Anaripoti Jemimah Samwel,...

Habari za Siasa

Spika aipa maagizo Serikali sakata la wafugaji Ngorongoro

SPIKA wa Bunge, Dk. Tulia Ackson ameitaka Serikali kushughulikia sakata la wafugaji wilayani Ngorongoro kuuziwa mifugo yao zaidi ya 1,000 kinyume cha sheria,...

Habari za SiasaTangulizi

Wabunge waazimia kumchangia fedha, kumfariji Prof J

WABUNGE wamepitisha azimio la kumchangia fedha aliyekuwa Mbunge wa Mikumi (Chadema), Joseph Haule, ili kumfariji kutokana na matatizo ya kiafya aliyoyapata. Anaripoti Regina...

Habari za Siasa

Mbunge ataka udhibiti utitiri wa makanisha yenye mafundisho mabovu

MBUNGE wa Kigoma Mjini, Kilumbe Ng’enda (CCM) ameiomba  Serikali iweke mkazo katika usajili wa makanisa na taasisi za dini za madhehebu mbalimbali, ili...

Habari za SiasaTangulizi

Mbunge aichongea Efatha Ministry bungeni kisa mauaji ya wananchi

MBUNGE wa Kwela, Deus Sangu, amewasilisha hoja ya dharura bungeni jijini Dodoma, akitaka kikao cha Bunge kiahirishwe kwa muda ili kujadili mgogoro sugu...

Habari za Siasa

Zitto: 2025 tutakuwa na uchaguzi mbaya

KIONGOZI wa ACT-Wazalendo, Zitto Kabwe, amedai kama dosari zinazoendelea kujitokeza katika chaguzi ndogo visiwani Zanzibar, hazitatokomezwa, Uchaguzi Mkuu wa 2025 utakuwa mbaya zaidi...

Habari za Siasa

Serikali yapanga kukusanya Sh trilioni 47

WAZIRI wa Fedha, Dk. Mwigulu Nchemba amewasilisha  mwongozo wa maandalizi ya mpango na bajeti ya 2024/25, bungeni jijini Dodoma, akisema Serikali imepanga kukusanya...

Habari za Siasa

Sakata la Ufisadi: CUF yataka uchunguzi dhidi ya utajiri wa mawaziri

CHAMA cha Wananchi (CUF), kimemtaka Rais Dk. Samia Suluhu Hassan, kuunda tume maalum kwa ajili ya kuchunguza mali na utajiri wa mawaziri wake,...

Habari za Siasa

Spika Tulia aingilia kati sakata wakuu wa shule waliosimamishwa kazi kisa Zuchu

SPIKA wa Bunge, Dk. Tulia Ackson, ameagiza wakuu wa shule zilizoko wilayani Tunduma, Mkoa wa Songwe, waliosimamishwa kazi kwa tuhuma za kuwachezesha wanafunzi...

Habari za SiasaTangulizi

Spika Tulia ampa maagizo Prof. Mkumbo

SPIKA wa Bunge, Dk.Tulia Ackson, amemuagiza Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais, Mipango na Uwekezaji, Prof. Kitila Mkumbo, kufanya tathimini ili kujua wilaya...

Habari za Siasa

Mbunge ataka fedha za mfuko wa jimbo ziongezwe

MBUNGE wa Wingwi, Omary Issa Kombo (CCM), ameitaka Serikali iongeze fedha za mfuko wa jimbo katika majimbo yenye uhitaji mkubwa, ikiwemo jimbo lake....

Habari za SiasaTangulizi

Rais Samia amliza mjane wa Magufuli

MANENO ya Rais Dk. Samia Suluhu Hassan, juu ya aliyekuwa Rais wa Awamu ya Tano, Hayati Dk. John Magufuli imemliza  mjane wake, Janeth...

Habari za SiasaTangulizi

Msukuma aibua sakata la IPTL bungeni

MBUNGE wa Geita Vijiji, Joseph Kasheku maarufu kama Msukuma, amehoji kwa ajili sakata la Tegeta Escrow haliishi baada ya Kampuni ya IPTL inayohusishwa...

Habari za SiasaTangulizi

Mpina anyukana bungeni na Mwigulu, ataka ashtakiwe kwa uhujumu uchumi

MBUNGE wa Kisesa, Luhaga Mpina, ametaka Waziri wa Fedha, Dk. Mwigulu Nchemba, Waziri wa Uchukuzi, Prof. Makame Mbarawa na Mkurugenzi Mtendaji wa TRC,...

Habari za Siasa

Bulaya ataka Balozi Sirro ahojiwe bungeni upotevu mabilioni fedha mfuko wa Polisi

MBUNGE wa Viti Maalum, Ester Bulaya, ametaka aliyekuwa Mkuu wa Jeshi la Polisi nchini (IGP), Simon Sirro, apelekwe bungeni jijini Dodoma, kwa ajili...

Habari za SiasaTangulizi

Mbunge akerwa mawaziri “kuchati” bungeni, aomba mwongozo

MBUNGE wa Songwe, Philipo Mulugo, ameomba mwongozo bungeni jijini Dodoma, juu ya tabia ya baadhi ya mawaziri wanaodaiwa kutumia simu (kuchati na kuongea...

Habari za Siasa

Dk. Biteko: Tumsaidie Rais Samia kujenga nchi

Ujumbe wa Marafiki waliosoma na Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati, Dk. Doto Biteko ukiongozwa na Mbunge wa Hai, Saashisha Mafuwe umetoa...

Habari za Siasa

Wabunge waibana serikali matibabu watoto wachanga, watumishi wa afya kikaangoni

SERIKALI imeagiza watumishi wa afya kuzingatia maelekezo ya wizara ya afya kwamba watoto wote wachanga wapatiwe matibabu kupitia bima ya afya iliyokatwa na...

Habari za SiasaTangulizi

Ufisadi watikisa Bunge, wabunge wataka sheria kuwanyonga wezi

KITENDO cha baadhi ya wezi wa fedha za umma kutochukuliwa hatua za kisheria, kimewachefua baadhi ya wabunge ambao wametaka sheria mahususi itungwe itakayoweka...

Habari za Siasa

Rais Mwinyi aanza kujisafishia njia Pemba

RAIS wa Zanzibar, Dk. Hussein Mwinyi  amesema Serikali yake haijakitenga Kisiwa cha Pemba na kwamba inachukua hatua kuhakikisha maendeleo kati yake na Unguja...

Habari za Siasa

Ujerumani kushirikiana na Tanzania kuboresha makumbusho ya Majimaji

  Serikali ya Ujerumani imeahidi kushirikiana na Serikali ya Tanzania kuboresha Makumbusho ya Majimaji ili  kuhifadhi kumbukumbu sahihi kwa ajili ya wakati huu...

Habari za SiasaTangulizi

Makonda ampa miezi sita Majaliwa, awarushia dongo kina Mbowe

KATIBU wa Itikadi na Uenezi wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), amempa miezi sita Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa, atatue migogoro ya ardhi inayowakabili wananchi.Anaripoti...

Habari za SiasaTangulizi

Serikali yamng’ang’ania Sabaya, yamrudisha mahakamani

ALIYEKUWA Mkuu wa Wilaya ya Hai mkoani Kilimanjaro, Lengai Ole Sabaya amefika mbele ya Mahakama ya Rufani jijini Arusha, kusikiliza rufaa iliyofunguliwa na...

Habari za Siasa

Wabunge wa Bunge la Afrika Mashariki, walia na mawaziri watoro bungeni

  BUNGE la Jumuiya ya Afrika Mashariki (EALA), limesikitishwa na mahudhulio duni ya mawaziri wa jumuiya hiyo, jambo ambalo linasababisha baadhi ya hoja...

Habari za Siasa

Rais Samia: Demokrasia ya Tanzania imewavuta wajerumani

RAIS wa Tanzania, Dk. Samia Suluhu Hassan,amesema kuimarika kwa demorasia, utawala wa sheria na haki za binadamu, kumewavutia wawekezaji kutoka Ujerumani kuja kuwekeza...

Habari za SiasaTangulizi

Ujerumani kuwalipa fidia wahanga wa ukoloni Tanzania, kurejesha mabaki

RAIS wa Shirikisho la Ujerumani, Dk. Frank Walter Steinmeier, ameahidi kufanya mazungumzo na watu walioathiriwa na ukoloni uliofanywa na taifa hilo, juu ya...

Habari za SiasaTangulizi

Zungu ataja siri Spika Tulia kushinda Urais wa IPU

NAIBU Spika wa Bunge, Azzan Zungu, amesema kilichofanya Spika wa Bunge, Dk. Tulia Ackson, achaguliwe kuwa Rais wa Umoja wa Mabunge Duniani (IPU)...

Habari za SiasaTangulizi

Serikali yamkabidhi majukumu Spika Tulia kuhusu IPU

SERIKALI imemtaka Rais wa Umoja wa Mabunge Duniani (IPU), Dk. Tulia Ackson, kutumia nafasi hiyo kuhakikisha analinda maslahi ya Tanzania katika jumuiya za...

Habari za Siasa

Watanzania kumiliki hisa uwekezaji bandari Dar

WAZAWA watapewa kipaumbele kushiriki katika uwekezaji kwenye Bandari ya Dar es Salaam, pindi Kampuni ya DP World na Mamlaka ya Bandari nchini (TPA),...

Habari za Siasa

Rais Ujerumani kutua nchini kesho kwa ziara ya kikazi siku 3

Rais wa Jamhuri ya Shirikisho la Ujerumani, Frank-Walter Steinmeier anatarajiwa kufanya ziara ya kikazi nchini kuanzia tarehe 30 Oktoba hadi 1 Novemba 2023. ...

Habari za SiasaTangulizi

ACT Wazalendo walinda kiti Mtambwe

  CHAMA cha ACT Wazalendo kimelinda kiti cha uwakilishi jimboni Mtambwe lakini kimelalamikia mbinu chafu za makada wa Chama Cha Mapinduzi zilizolenga kulazimisha...

Habari za Siasa

Biteko: Watanzania wanahita kupata mafuta kwa urahisi

Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati, Dk. Doto Biteko amesema kuwa, Watanzania wanahitaji wapate mafuta kwa urahisi ili shughuli za kiuchumi na...

Habari za Siasa

UWT yavimba na wabunge wa Viti Maalum

  JOKATE Mwegelo, katibu mkuu wa Umoja wa Wanawake wa Chama Cha Mapinduzi (UWT), amewataka wabunge wa viti maalumu kufanya mikutano ya hadhara,...

Habari za SiasaTangulizi

Makamu Othman: Hatutaki uongozi fisadi, wa uongo

  MAKAMU Mwenyekiti wa Chama cha ACT Wazalendo Zanzibar, Othman Masoud Othman amesema uchaguzi mdogo wa uwakilishi jimboni Mtambwe, unaooigwa kesho, ni alama...

Habari za SiasaTangulizi

Mwenyekiti CCM Arusha afariki dunia, Chongolo, Silaa wamlilia

Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Mkoa wa Arusha, Zelote Stephen amefariki dunia jijini Dar es Salaam alikokuwa akipatiwa matibabu. Anaripoti Mwandishi Wetu…(endelea)....

error: Content is protected !!