Habari za Siasa

Lipumba asimulia mwaka 1995 alivyoitwa Profesa uchwara

MWAKA 1995, niliitwa Profesa uchwara, zile sera za Chama cha Wananchi (CUF), sasa wanazitekeleza lakini wanashindwa kutekelza kwa ufasaha wake kwa kuwa sio zao. Anaripoti Faki Sosi, Dar es Salaam…(endelea). ...

Read More »

Prof. Lipumba: CCM bila dola haipo

PROFESA Ibrahim Lipumba, Mwenyekiti wa Chama cha Wananchi (CUF) amesema, Watanzania wamechoshwa na maisha ya umasikini, na sasa uhai wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) kubaki madarakani unategemea hisani ya dola. ...

Read More »

Lissu atua Tanzania, shangwe zatawala

TUNDU Antiphas Lissu, Makamu Mwenyekiti wa Chama Kikuu cha Upinzani nchini Tanzania cha Chadema- Bara amewasilia nchii hum oleo Jumatatu tarehe 27 Julai 2020. Anaripoti Regina Mkonde, Dar es Salaam ...

Read More »

Lissu kupokelewa kwa maandamano

WANACHAMA na wafuasi wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), watamsindikiza Tundu Lissu kwa maandamano kutokea Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Julius Nyerere hadi Makao Makuu ya chama hicho, ...

Read More »

Wamiminika kumpokea Lissu

BAADHI ya wanachama na viongozi wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), wamejitokeza Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Julius Nyerere jijini Dar es Salaam kumpokea Tundu Lissu. Anaripoti Regina ...

Read More »

Lissu kutua Tanzania leo, maandalizi yakamilika

TUNDU Antiphas Lissu, Makamu Mwenyekiti wa Chama Kikuu cha Upinzani nchini Tanzania cha Chadema- Bara ameanza safari ya kutoka Ubelgiji kurejea nchini mwake Tanzania. Anaripoti Mwandishi Wetu, Dar es Salaam…(endelea). ...

Read More »

Mwili wa Mkapa warejeshwa hospitali ya Lugalo

MWILI wa Hayati Rais wa awamu ya tatu wa Tanzania, Benjamin William Mkapa umerejeshwa Hospitali Kuu ya Jeshi Lugalo kutoka Uwanja wa Uhuru jijini Dar es Salaam. Anaripoti Mwandishi Wetu…(endelea). ...

Read More »

Lissu: Nilivyo si kama nilivyokuwa awali

TUNDU Lissu, Makamu Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) amesema, anarejea nyumbani kwao Tanzania lakini alivyo sasa si kama alivyokuwa miaka mitatu iliyopita. Anaripoti Mwandishi Wetu, Dar es ...

Read More »

Mbunge akumbuka wema wa Mkapa

MBUNGE aliyemaliza muda wake wa Itilima Mkoa wa Simiyu kupitia Chama Cha Mapinduzi (CCM), Njalu Daudi amesema, wananchi wa jimbo hilo watamkumbika Hayati Rais mstaafu wa Tanzania, Benjamini William Mkapa ...

Read More »

Mbowe apigiwa kura za ndio Hai, wawili wamkataa

FREEMAN Mbowe, Mwenyekiti wa Chama Kikuu cha Upinzani Tanzania Chadema ameshinda kura za maoni za kuwani Ubunge wa Hai Mkoa wa Kilimanjaro katika Uchaguzi Mkuu wa tarehe 28 Oktoba 2020. ...

Read More »

Ibada kuaga mwili wa Mkapa Dar, Rais Magufuli ashiriki

MAMIA ya wananchi wamejitokeza kwa wingi Uwanja wa Uhuru jijini Dar es Salaam, kuuaga mwili wa Hayati Rais mstaafu wa awamu ya tatu wa Tanzania, Benjamin William Mkapa. Anaripoti Regina ...

Read More »

Uchaguzi Mkuu 2020: Rais Magufuli atangaza mapumziko Oktoba 28

RAIS wa Tanzania, John Pombe Magufuli ametangaza Oktoba 28, 2020 siku ya Uchaguzi Mkuu kuwa mapumziko. Anaripoti Mwandishi Wetu, Dar es Salaam … (endelea). Uamuzi huo wa Rais Magufuli kuitangaza ...

Read More »

Uchaguzi Mkuu 2020: SAU yapata wagombea urais Tanzania, Z’bar

CHAMA cha Sauti ya Umma (Sau) nchini Tanzania, kimewapitisha wagombea wa urais wa Tanzania na Zanzibar katika Uchaguzi Mkuu wa tarehe 28 Oktoba 2020. Anaripoti Mwandishi Wetu, Dar es Salaam ...

Read More »

Rais Magufuli aifariji familia ya Mkapa

RAIS wa Tanzania, John Pombe Magufuli amefika nyumbani kwa Hayati Rais wa awamu ya tatu wa nchi hiyo, Benjamini William Mkapa, Masaki jijini Dar es Salaam. Anaripoti Mwandishi Wetu, Dar ...

Read More »

Hoja ya Uchaguzi Mkuu 2020 yaibuka msiba wa Mkapa

VIONGOZI mbalimbali wa ndani na nje ya Tanzania, wameendelea kujitokeza nyumbani kwa Rais mstaafu wa awamu ya tatu wa nchi hiyo, Benjamini William Mkapa, Masaki jijini Dar es Salaam. Anaripoti ...

Read More »

Mchungaji Msigwa: Sioni wa kunishinda Iringa Mjini

MBUNGE anayemaliza muda wake wa Iringa Mjini kupitia Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), Mchungaji Peter Msigwa ameshinda kura za maoni kutetea nafasi hiyo. Anaripoti Mwandishi Wetu, Iringa…(endelea) Mkutano wa ...

Read More »

Membe akwama kupokelewa Lindi

BERNARD Kamilius Membe, mwanachama mpya wa Chama cha ACT-Wazalendo nchini Tanzania, amekwama kupokewa Lindi leo Jumamosi tarehe 25 Julai 2020. Anaripoti Mwandishi Wetu, Lindi … (endelea). Sababu za kutopokewa na ...

Read More »

Polisi Tanzania yazuia mikusanyiko isiyo halali

JESHI la Polisi Tanzania limetoa onyo la mikusanyiko ya aina yoyote katika kipindi hiki cha maombolezo ya kifo cha Rais mstaafu wa awamu ya tatu, Benjamin William Mkapa. Anaripoti Mwandishi ...

Read More »

Prof. Lipumba- Mwaka 2001 Tulijitenga na Mkapa

PROFESA Ibrahim Lipumba, Mwenyekiti wa Chama cha Wananchi (CUF), amesema baada ya mauaji ya Zanzibar mwaka 2001, walijitenga na Rais mstaafu Benjamin William Mkapa. Anaripoti Kelvin Mwaipungu, Dar es Salaam ...

Read More »

Mama Samia: Akisimama Mkapa, shughuli imeisha

MAMA Samia Suluhu Hassam, Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, ameeleza kufadhaishwa na kifo cha Benjamin Mkapa, Rais wa awamu ya tatu. Anaripoti Yusuph Katimba, Dar es ...

Read More »

Dk. Bashiru: Viongozi wastaafu wajifunze kwa Mkapa

CHAMA tawala nchini Tanzania Cha Mapinduzi (CCM) kimesema, kitamkumbuka Rais wa awamu ya tatu, Hayati Benjamin William Mkapa jinsi alivyokijenga chama hicho na kuperusha vyema bendare ya CCM. Anaripoti Regina ...

Read More »

Butiku: Ukiondoka madarakani, usiwachagulie Watanzania kiongozi

JOSEPH Butiku, Kaimu Mkurugenzi Mtendaji wa Taasisi ya Mwalimu Nyerere (MNF), amesema, Chama Cha Mapinduzi (CCM), hakina tabia ya kuwachaguliwa Watanzania rais na huo ulikuwa msimamo wa Hayati Benjamin William ...

Read More »

Dk. Shein: Tujifunze utawala bora kwa Mkapa

RAIS wa Zanzibar, Dk. Ali Shein, Rais wa Zanzibar amewataka viongozi wa sasa kujifunza utawala bora kutoka kwa Hayati Benjamin Mkapa, Rais Mstaafu wa Awamu ya Tatu. Anaripoti Regina Mkonde, Dar ...

Read More »

Kifo cha Mkapa, Chadema yaahirisha mikutano kuwapata wagombea urais

CHAMA Kikuu cha Upinzani nchini Tanzania, Chadema kimetangaza kuahirisha mikutano yake iliyokuwa ianze tarehe 27 hadi 29 Julai 2020 ili kupisha maombolezo ya kifo cha Rais mstaafu wa awamu ya ...

Read More »

Chadema yawaita Watanzania kumpokea Lissu

CHAMA cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) nchini Tanzania, kimewakaribisha wanachama, vongozi wa chama hicho na Watanzania kwa ujumla kujitokeza kwa wingi kumpokea Tundu Lissu, makamu mwenyekiti wa chama hicho. Anaripoti ...

Read More »

Maalim Seif: Mkapa alisema Tanzania si mali ya mtu, kikundi cha watu

MAALIM Seif Sharif Hamadi, Mwenyekiti wa Chama cha siasa cha upinzani nchini Tanzania cha ACT-Wazalendo amesema, Hayati Benjamin Willium Mkapa alikuwa jasiri ingawa mengine hakuyapenda. Anaripoti Yusuph Katimba, Dar es ...

Read More »

Maisha ya Rais Mkapa 1938 – 2020

BABA yake (Benjamin Mkapa) Mzee William Matwani alikuwa mpishi msaidizi katika Mission Ndanda. Wamisionari wakambatiza, wakamfundisha kusoma, kuandika na kuhesabu na kumfanya Katekista. Alipelekwa Lupaso, ambapo alieneza dini na kufundisha ...

Read More »

Membe: Tumepoteza mshauri masuala ya uchaguzi

BERNARD Kamilius Membe, waziri wa zamani wa mambo ya nje wa Tanzania amesema, kifo cha Rais mstaafu, Benjamin William Mkapa ni pigo kubwa kwa Taifa kutokana na umuhimu wake hasa ...

Read More »

Mhariri MwanaHALISI apenya kura za maoni Z’bar

JABIR Idrissa, aliyekuwa Mhariri wa Gazeti la MwanaHALISI, ameshinda kura za maoni za ubunge kupitia Chama cha ACT-Wazalendo katika Jimbo la Pangawe, Wilaya ya Magharibi B, Mkoa wa Mjini Magharibi, ...

Read More »

Ratiba mazishi ya Mkapa hii hapa

SERIKALI imetangaza ratiba ya mazishi ya Rais Mstaafu wa Awamu ya Tatu, Benjamini Mkapa, aliyefariki dunia usiku wa jana tarehe 23 Julai jijini Dar es Salaam, atazikwa Jumatano tarehe 29 ...

Read More »

‘Serikali imuenzi Mkapa kwa utawala bora’

CHAMA cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), kimetoa wito kwa serikali kumuenzi Hayati Benjamin Mkapa katika dhana yake ya utawala bora. Anaripoti Kelvin Mwaipungu, Dar es Salaam … (endelea). Akizungumza na wanahabari ...

Read More »

Mkapa 1938 – 2020: Kikwete ‘jana tu nilizungumza naye’

RAIS Mstaafu, Jakaya Mrisho Kikwete amesema, jana tarehe 23 Julai 2020 alikwenda kumtembelea Mzee Benjamin Mkapa, Rais Mstaafu wa Awamu ya Tatu hospitali kabla ya kufa kwake. Anaripoti Regina Mkonde, Dar ...

Read More »

Rais mstaafu Mkapa alivyodai Tume huru ya uchaguzi

BENJAMIN William Mkapa, Rais mstaafu wa awamu ya tatu ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania amehitimisha safari yake ya miaka 81 dunia. Anaripoti Mwandishi Wetu, Dar es Salaam … (endelea). ...

Read More »

Rais mstaafu Benjamini Mkapa afariki dunia

RAIS wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, John Pombe Magufuli ametangaza kifo cha Rais Mstaafu wa Awamu ya Tatu, Benjamin William Mkapa kilichotokea usiku wa kuamkia leo Ijumaa tarehe 24 ...

Read More »

Lijuakali ajivunia kuijenga Chadema

PETER Lijuakali, mwanachama mpya wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), amesema Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) kilipaswa kumshukuru kwa kuwa ndiye aliyekijenga Kilombero, Morogoro. Anaripoti Mwandishi Wetu, Morogoro … (endelea). ...

Read More »

Prof. Lipumba: Nimeshawishika, nitagombea urais

PROFESA Ibrahim Lipumba, Mwenyekiti wa Chama cha Wananchi (CUF), amesema ameshawishika na atagombea urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kwenye uchaguzi mkuu wa mwaka huu. Anaripoti Regina Mkonde, Dar es ...

Read More »

Zitto: Mnazo sababu za kuing’oa CCM

ZITTO Kabwe, Kiongozi wa Chama cha ACT-Wazalendo amewaeleza wanachama wa chama hicho Tunduru, Mtwara kwamba wanayo sababu ya kuing’oa CCM madarakani. Anaripoti Faki Sosi, Tunduru … (endelea). Akizungumza kwenye mkutano wa ...

Read More »

Wanawake 252 wachuana Viti Maalum CCM Dar

WANAWAKE 252 wamejitokeza katika mchuano wa kuwania nafasi tano za ubunge Viti Maalum kupitia Chama Cha Mapinduzi (CCM), Mkoa wa Dar es Salaam. Anaripoti Regina Mkonde, Dar es Salaam … (endelea). ...

Read More »

Uchaguzi Mkuu 2020: NEC yatoa ratiba fomu za urais, ubunge na udiwani

TUME ya Taifa ya Uchaguzi (NEC) nchini Tanzania imesema, fomu za uteuzi wa wagombea urais wa nchini humo katika Uchaguzi Mkuu wa tarehe 28 Oktoba 2020, zitaanza kutolewa kuanzia tarehe ...

Read More »

Prof. Lipumba kugombea urais, achukuliwa fomu

PROFESA Ibrahim Lipumba, Mwenyekiti wa Chama cha Wananchi (CUF), amechukuliwa fomu ya kugombea urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania. Anaripoti Ulwe Rajabu, Dar es Salaam … (endelea). Fomu hiyo amechukuliwa ...

Read More »

Watia nia wafutiwa mishahara

SERIKALI imeagiza kwamba, watumishi wa umma waliotia nia ya kugombea nafasi mbalimbali za kisiasa, wasilipwe mishahara yao. Anaripoti Mwandishi Wetu, Dar es Salaam … (endelea). Barua hiyo imetolewa na Ofisi ya ...

Read More »

Takukuru msimsubiri DPP, nendeni kortini – JPM

TAASISI ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa Tanzania (Takukuru), imetakiwa kutumia mamlaka yake, kuwafungulia kesi mahakamani watuhumiwa wa makosa ya rushwa, bila kusubiri kibali kutoka kwa Ofisi ya Mkurugenzi wa ...

Read More »

JPM: Hakuna cha bure

RAIS John Magufuli, ametoa siku 14 kwa taasisi za serikali na binafsi, zinazodaiwa na Jeshi la Kujenga Taifa (JKT), kulipa madeni yao. Anaripoti Mwandishi Wetu, Dodoma…(endelea). Ametoa agizo hilo leo Jumatano ...

Read More »

Baba Levo: Sababu ni Zitto kurudi Kigoma Mjini

UAMUZI wa Zitto Kabwe, Mwenyekiti wa Chama cha ACT-Wazalendo kugombea tena Jimbo la Kigoma Mjini, umenisukuma kugombea tena Kata ya Mwanga Kaskazini. Anaripoti Hamis Mguta, Dar es Salaam…(endelea). Ni kauli ya ...

Read More »

Wabunge 36 waanguka kura za maoni CCM

TAKRIBANI wabunge 36 wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), nchini Tanzania, wameanza vibaya safari yao ya kutetea nafasi zao, katika uchaguzi mkuu wa 28 Oktoba mwaka huu. Anaripoti Regina Mkonde …(endelea) ...

Read More »

Matokeo ya rais 2020 kutangazwa Dodoma

MATOKEO ya urais Tanzania Bara katika Uchaguzi Mkuu 2020, kwa mara ya kwanza yatatangazwa jijini Dodoma. Anaripoti Mwandishi Wetu, Dodoma … (endelea). Kauli hiyo imetolea leo tarehe 22 Julai 2020 na ...

Read More »

Maalim Seif ataja hasimu wake Uchaguzi Mkuu 2020

HASIMU wangu na wetu sisi Chama cha ACT-Wazalendo kwenye siasa si Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) wala Chama cha NCCR-Mageuzi pia vyama vingine vya upinzani, lah! Anaripoti Faki Sosi, Mtwara ...

Read More »

Mtemvu aongoza Kibamba, Vicky Kamata aanguka

ISSA Mtemvu, ameibuka mshindi kura za maoni za Chama Cha Mapinduzi (CCM), Jimbo la Kibamba, Dar es Salaam kwa kupata kura 83 kati ya 369. Anaripoti Regina Mkonde…(endelea). Mkutano wa ...

Read More »

Meneja wa Diamond ambwaga naibu waziri

HAMISI Taletale maarufu Babu Tale ameshinda kura za maoni za Chama Cha Mapinduzi (CCM) jimbo la Morogoro Kusini Mashariki kwa kupata kura 318 dhidi ya mbunge anayemaliza muda wake ambaye ...

Read More »

Rais Magufuli awashukuru wazee wa Nachingwea

RAIS wa Tanzania, John Pombe Magufuli amewashukuru wazee wa Nachingwea Mkoa wa Lindi kwa mchango wao wa Sh. 100,000 walioutoa ili umsaidie katika kipindi hiki cha uchaguzi mkuu. Anaripoti Mwandishi ...

Read More »
error: Content is protected !!