Habari za Siasa

Makamba amtumia ujumbe Rais Magufuli

JANUARY Makamba, aliyekuwa Waziri wa Nchi, Ofisi ya Makamu wa Rais (Muungano na Mazingira), amemtumia jumbe Rais JohnMagufuli. Anaripoti Mwandishi Wetu … (endelea). Muda mfupi baada ya Rais Magufuli kumwapisha George ...

Read More »

Kilichomkera JPM kwa Makamba hiki hapa

MIONGONI mwa sababu za January Makamba, aliyekuwa Waziri wa Nchi, Ofisi ya Makamu wa Rais, Muungano na Mazingira kung’olewa kwenye nafasi hiyo, zimetajwa. Anaandika Regina Mkonde … (endelea). Akizungumza kwenye ...

Read More »

Dk. Bashiru ashutumiwa vikali

CHAMA cha ACT-Wazalendo kimemtuhumu Katibu Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Dk. Bashiru Ali kwamba anapotosha ukweli kuhusu kusinyaa kwa uchumi wa nchi.  Anaripoti Faki Sosi …(endelea). Dorothy Semu, katibu ...

Read More »

Rais Magufuli amtimua uwaziri January Makamba

RAIS John Magufuli ametengua uteuzi wa Waziri wa Nchi, Ofisi ya Makamu wa Rais, Muungano na Mazingira, January Makamba. Anaripoti Regina Mkonde … (endelea). Taarifa ya mabadiliko hayo imetolewa leo ...

Read More »

Siri za Serikali ya JPM na Acacia zafichuka 

KAMPUNI ya madini ya ACACIA Mining (PLC), imeuzwa rasmi kwa kampuni ya Barrick Gold Corporation zote kutoka nchini Canada. Mauzo hayo yamefanyika, huku serikali ya Tanzania, “ikiangukia pua kweye madai ...

Read More »

SAKATA LA WARAKA: Lusinde amgwaya Membe 

MBUNGE wa Mtera (CCM), Livingstone Lusinde, maarufu kwa jina la Kibajaji, “ameshindwa” kufanya kazi aliyotumwa. Anadaiwa alipangwa kumshambulia kwa njia ya kumvunjia heshima, aliyekuwa waziri wa mambo ya nchi za ...

Read More »

Sakata la usaliti; Nape awatahadharisha CCM

NAPE Nnauye, Mbunge wa Mtama amewataka watu wanaojadili sauti iliyosambaa mitandaoni inayodaiwa kuwa ni yake na Abdulrahman Kinana, Katibu Mkuu Mstaafu wa CCM, waweke akiba ya maneno. Anaripoti Regina Mkonde ...

Read More »

Chadema yaivuruga UVCCM Bahi

BAADA ya Katibu Mstaafu wa Chadema wilaya ya Bahi Mkoani Dodoma, Melickzedeck Lesaka kutangaza kuuburuza mahakamani uongozi wa UVCCM wilaya ya Bahi kwa kumtangaza kuwa amejiunga na CCM sasa uongozi ...

Read More »

Kinana, Makamba watakiwa kufukuzwa CCM 

JOSEPH Msukuma, mbunge wa Geita Vijijini, amewatuhumu makatibu wakuu wawili wastaafu wa chama Chama Cha Mapinuduzi, Kanal Abdulrahaman Kinana na Luteni Yusuf Makamba, kuwa wanataka kukivuruga chama chao. Anaripoti Mwandishi ...

Read More »

Kesi ya Lissu dhidi ya Ndugai, sasa yaiva

MKAKATI wa Tundu Antipas Lissu, kumburuza mahakamani Spika wa Bunge la Jamhuri, Job Ndugai, kufuatia uamuzi wake wa “kumvua ubunge wa Singida Mashariki kiholela,” sasa umekamilika. Anaripoti Mwandishi Wetu …(endelea).  ...

Read More »

Zitto ajitosa sakata la Kinana, Makamba 

MBUNGE wa Kigoma Mjini na Kiongozi Mkuu wa chama cha ACT-Wazalendo, Zitto Zuberi Kabwe, amedai kuwa kilichoelezwa kwenye waraka uliyotolewa na viongozi wakuu wawili wastaafu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), ...

Read More »

Magufuli amtaka Ndugai 2020

RAIS John Magufuli ameonesha dhamira ya kutaka Job Ndugai, Mbunge wa Kongwa kuchaguliwa tena kwenye kiti hicho wakati wa uchaguzi mkuu unaotarajiwa kufanyika Oktoba 2020. Anaripoti Mwandishi Wetu…(endelea). Akizungumza kwenye ziara ...

Read More »

Machozi yenu yataniumiza – Rais Magufuli

RAIS John Magufuli amesema hawezi kuongoza nchi iliyotawaliwa na machozi pamoja na watu wanaosikitika kwa unyonge. Anaripoti Mwandishi Wetu … (endelea). Rais Magufuli ametoa kauli hiyo wakati akizungumza na wananchi wa ...

Read More »

Spika Ndugai ampigia kampeni Rais Magufuli

JOB Ndugai, Spika wa Bunge ameanza kumwombea kura Dk. John Magufuli, Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania. Anaripoti Regina Mkonde … (endelea). Akiwa ...

Read More »

Kumekucha CCM: Barua ya Kinana, Makamba, siri nzito

CHAMA Cha Mapinduzi (CCM), kimeanza kupata ufa mwingine, kufuatia waliopata kuwa makatibu wakuu wake, Abdulrahaman Kinana na Yusuf Makamba, kumtuhumu Rais John Magufuli, kunyamazia njama za kuwachafua.” Anaripoti Mwandishi Wetu ...

Read More »

Rushwa, vitisho vyatawala malipo ya korosho 

MALALAMIKO ya rushwa na vitisho kwa wakulima na wafanyabiashara wa korosho, vimetawala kwenye madai ya malipo ya biashara hiyo, mkoani Mtwara. Anaripoti Regina Mkonde … (endelea). Bodi ya Nafaka na Mazao ...

Read More »

Waliojitokeza kumrithi Lissu hawa hapa

WAGOMBEA kutoka vyama 12 vya siasa nchini, wamejitokeza kuchukua fomu ya kuwania ubunge katika Jimbo la Singida Mashariki. Anaripoti Mwandishi Wetu … (endelea). Ni baada ya Tume ya Taifa ya Uchaguzi ...

Read More »

JPM aipa Wizara ya Fedha, Ujenzi siku 5

RAIS John Magufuli ametoa siku tano kwa Wizara ya Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano pamoja na Wizara ya Fedha na Mipango, kuhakikisha vifaa vya ujenzi wa chelezo ya kujengea meli vilivyokwama ...

Read More »

Tuhuma nzito ziara ya Rais Magufuli

ZIARA ya Rais John Magufuli katika gereza kuu la Butimba jijini Mwanza, imeibua tuhuma nzito. Anaripoti Mwandishi Wetu…(endelea). Kalikenya Nyamboge, mfungwa anayetumikia kifungo cha miaka 30 kwenye gereza hilo, mbele ya ...

Read More »

Rais Magufuli awapa zawadi wafungwa

RAIS John Magufuli leo tarehe 16 Julai 2019, ametoa zawadi ya magunia 15 ya mchele pamoja na ng’ombe watatu kwa wafungwa na mahabusu waliopo kwenye gereza kuu la Butimba, jijini ...

Read More »

Juma Duni Haji aikosoa SMZ

CHAMA cha ACT-Wazalendo kimedai kuwa Serikali ya Mapinduzi Zanzibar (SMZ), ina tabia ya kutenga bajeti isiyokidhi mahitaji pia kukopa kwa masharti magumu na riba kubwa. Anaripoti Mwandishi Wetu … (endelea). Akizungumza ...

Read More »

Makamba, Kinana watinga Ikulu

YUSUF Makamba na Abdulrahman Kinana, makatibu wakuu wastaafu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), wamebisha hodi kwa Rais John Magufuli. Anatipoti Mwandishi Wetu … (endelea). Viongozi hao wakongwe, wamewandikia barua Dk. ...

Read More »

Kesho Arusha, Kilimanjaro kuanza rasmi BVR

UBORESHAJI wa Daftari la Wapiga Kura kwa njia ya Kielektroniki (BVR), katika Mikoa ya Kilimanjaro na Arusha unatarajia kuanza rasmi tarehe 18 Julai 2019. Anaripoti Mwandishi Wetu … (endelea). Hayo amesema ...

Read More »

Mdee atoka mahabusu

JESHI la Polisi mkoani Kagera, limemwacha kwa dhamana Mwenyekiti wa Baraza la Wanawake la Chadema (Bawacha), Halima Mdee. Anaripoti Hamis Mguta … (endelea). Jeshi hilo lilimshikilia Mdee ambaye pia ni Mbunge ...

Read More »

Hatuogopi uchaguzi Singida, tunakataa uharamu – Chadema  

CHAMA cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), kimesema, “kushiriki uchaguzi mdogo katika jimbo la Singida Mashariki, ni sawa na kutenda uovu.” Anaripoti Hamis Mguta…(endelea). Uchaguzi mdogo katika jimbo la Singida Mashariki, lililokuwa ...

Read More »

Polisi wamng’ang’ania Mdee

JESHI la Polisi mkoani Kagera, bado linamshikilia Halima Mdee, Mwenyekiti wa Baraza la Wanawake la Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Bawacha), tangu jana tarehe 14 Julai 2019. Anaripoti Faki Sosi … ...

Read More »

Rais Magufuli aonya wanasiasa

RAIS John Magufuli, Amiri Jeshi Mkuu wa Nchi, ameonya wanasiasa wanaodhalilisha vyombo vya ulinzi na usalama nchini. Anaripoti Mwandishi Wetu … (endelea). Akizungumza katika hafla ya uzinduzi wa nyumba za ...

Read More »

CCM yamtamani Katibu Chadema

KATIBU Mstaafu wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), wilayani Bahi jijini Dodoma, Melickzedeck Lesaka ametoa siku saba kwa Umoja wa Vijana wa Chama cha Mapinduzi (UVCCM) Wilaya ya Bahi ...

Read More »

Mtetezi wa JPM awavuruga Kinana, Makamba

KIGUGUMIZI cha Serikali ya Awamu ya Tano kumchukulia hatua Cyprian Musiba, anayejitambulisha kuwa mwanaharakati na mtetezi wa Rais John Magufuli, sasa kinahojiwa. Anaripoti Mwandishi Wetu … (endelea). Abdurahman Kinana, Yusuf ...

Read More »

Zitto aja na mikakati ya kuiteka Dar

ZITTO Kabwe, Kiongozi Mkuu wa Chama cha ACT-Wazalendo amewapa mbinu za ushindi viongozi wa majimbo wa chama hicho mkoa wa Dar es Salaam, kuelekea uchaguzi wa Serikali za Mitaa wa ...

Read More »

Prof. Kabudi azidi kung’ang’aniwa

KAMPUNI ya Hali Halisi Publishers Limited (HHPL), wachapishaji wa magazeti ya MwanaHALISI, MSETO na MAWIO, imemshukia Prof. Palamagamba Kabudi, kufuatia kauli yake, kwamba “serikali ya Rais John Pombe Magufuli, haibani ...

Read More »

Nape, Dk. Bashiru waungana kukemea wanasiasa kushughulikiwa na Polisi

HATUA ya Dk. Bashiru Ally, Katibu Mkuu wa CCM  kukosoa vitendo vya baadhi ya Polisi kutumia nguvu katika kuwashughulikia wanasiasa, imemuibua Nape Nnauye, Mbunge wa Jimbo la Mtama. Anaripoti Mwandishi ...

Read More »

Lissu mbioni kumshitaki Ndugai

TUNDU Lissu, aliyetangazwa na Spika wa Bunge la Jamhuri, Job Ndugai, kuvuliwa wadhifa wake wa ubunge katika jimbo la Singida Mashariki, yuko mbioni kufungua shauri mahakamani. Anaripoti Kelvin Mwaipungu … ...

Read More »

Dk. Bashiru: Kamateni hao CCM

KATIBU Mkuu wa Chama cha Mapinduzi (CCM), Dk. Bashiru Ally amesema, mgombea yeyote wa chama hicho atakayejihusisha na vitendo vya rushwa, Taasisi ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa (Takukuru) wamkamate. ...

Read More »

Rais Museveni kumfuata Rais Magufuli kesho

YOWERI Museveni, Rais wa Uganda anatarajiwa kutua kwenye ardhi ya Tanzania kesho 13 Julai 2019, kwa ziara ya siku moja. Anaripoti Faki Sosi … (endelea). Taarifa ya Kurugenzi ya Ikulu iliyotolewa ...

Read More »

Rais Magufuli ‘amweka ndani’ mtoza ushuru kwa dakika 5 

MTOZA ushuru aliyetambulika kwa jina moja la Pesha, jana tarehe 11 Julai 2019, alijikuta matatani baada ya Rais John Magufuli kuagiza akamatwe na kuwekwa ndani. Anaripoti Mwandishi Wetu … (endelea). ...

Read More »

ACT-Wazalendo kuwa ‘Kanani ya Siasa’ 2020?

CHAMA cha ACT-Wazalendo kinaweza kuwa nchi ya Kanani kwa wanasiasa kutoka kwa vyama mbalimbali vya nchini Tanzania kuelekea Uchaguzi Mkuu wa 2020. Anaandika Faki Sosi … (endelea). Kuna uwezekano mkubwa ...

Read More »

Afisa Usalama (feki) aliyetaka kumtapeli DC Jokate mbaroni

TAASISI ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa Tanzania (Takukuru) inamshikilia Omary Chuma (55) Mkazi wa Chamazi, Temeke Dar es Salaam, aliyejifanya kuwa ni Afisa wa Serikali wa Usalama Taifa na ...

Read More »

Benki wapewa dhamana ya kuondoa umaskini wa Watanzania

SERIKALI imesema kuwa bado watanzania wanakabiliwa na hali ya umasikini hivyo kuna kila sababu ya taasisi za kifedha kutoa elemu. Anaripoti Danson Kaijage, Dodoma … (endelea). Hayo yameelezwa leo  tarehe ...

Read More »

NEC kuzindua uandikishaji wapiga kura Julai 18

TUME ya Taifa ya Uchaguzi (NEC), inatarajia kuzindua Uboreshaji wa Daftari la Kudumu la Wapiga Kura tarehe 18 Julai 2019 mkoani Kilimanjaro. Anaripoti Mwandishi Wetu … (endelea). Kwa mujibu wa taarifa ...

Read More »

Utekaji watikisa, hofu yapanda

MATUKIO ya utekaji, utesaji na hata kupotezwa yamekuwa yakitikisa nchi kwa sasa huku wananchi wakipiga yowe, yakomeshwe. Anaripoti Faki Sosi…(endelea). Hali hiyo imewaibua wazee wa Chama cha ACT- Wazalendo, wakiitaka serikali ...

Read More »

Wazee ACT-Wazalendo watoa neno maandalizi uchaguzi 2019

CHAMA cha ACT-Wazalendo kupitia ngome yake ya wazee, kimetoa msimamo kuhusu ushiriki wake katika uchaguzi wa serikali za mitaa unaotarajiwa kufanyika mwezi Oktoba mwaka huu. Anaripoti Mwandishi Wetu … (endelea). ...

Read More »

NEC yapuliza kipenga jimboni kwa Tundu Lissu

TUME ya Taifa ya Uchaguzi (NEC) imeeleza kuwa, uchaguzi mdogo katika Jimbo la Singida Mashariki utafanyika tarehe 28 Julai 28 mwaka huu. Anaripoti Mwandishi Wetu … (endelea). Jimbo hilo lipo wazi ...

Read More »

Wazee Chadema ‘wabisha hodi’ kwa Spika Ndugai, Rais Magufuli

BARAZA la Wazee la Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), wameeleza wasiwasi kuhusu gharama za matibabu ya Job Ndugai, Spika wa Bunge nchini India na mkataba wa mradi wa ujenzi ...

Read More »

Sekta ya Utalii yachangia 17.6% katika pato la Taifa

WAZIRI wa Maliasili na Utalii, Dk. Khamisi Kigwangala ameweka wazi kuwa sekta ya utalii ni moja kati ya sekta muhimu nchini katika ukuaji wa uchumi wa Taifa kutokana na sekta ...

Read More »

Wakili wa Mbowe, Jamhuri watoana jasho

UPANDE wa Jamhuri umewasilisha hoja zao katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu, juu pingamizi la upande wa utetezi kuhusu kupokelewa kwa kielelezo cha kamera na tape mbili za video, kwenye ...

Read More »

Kibatala apinga ushahidi wa kamera Mahakamani kesi ya Mbowe

WAKILI upande wa utetezi Peter Kibatala amepinga kupokelewa kwa kielelezo cha kamera na tape mbili za kurekodia video (Min-Dv) zilizotolewa kwenye ushahidi kwa upande wa Jamhuri mahakamani Kisutu  katika kesi ...

Read More »

Sakata la Lissu: Membe amshangaa Spika Ndugai

BERNARD Membe, aliyekuwa Waziri wa Mambo ya Nje katika Serikali ya Awamu ya Nne, ameshangazwa na hatua ya Job Ndugai, Spika wa Bunge kumvua ubunge Tundu Lissu. Anaripoti Mwandishi Wetu ...

Read More »

Mbowe Vs Jamhuri: Neno kwa neno

SHAHIDI wa tano kwenye kesi namba 112 ya mwaka 2018 ya uchochezi inayowakabili viongozi wa Chadema, ameieleza Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu kuwa, hajui kilichomfanya askari mlenga shabaha (Koplo Rahimu) azimie. Anaripoti ...

Read More »

Kesi ya Mbowe, wenzake:Shahidi aibua mapya

MAHAKAMA ya Hakimu Mkazi Kisutu imeendelea kusikiliza kesi namba 112 ya mwaka 2018 ya viongozi wa Chadema leo tarehe 1 Julai 2019.Anaripoti Faki Sosi …(endelea). Shahidi wa tano wa Jamhuri, daktari ...

Read More »
error: Content is protected !!
Visit Us On FacebookVisit Us On TwitterVisit Us On YoutubeVisit Us On Instagram