WAZIRI wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi, Jerry Silaa amesimamisha matumizi ya Kituo cha Mafuta cha Barrel Petrol Energy cha Mikocheni...
By Mwandishi WetuDecember 23, 2023MWANAHARAKATI huru, Bihimba Mpaya, ametoa msaada wa fedha kwa Taasisi ya Jamiiyatul Akhlaaqul Islaam (JAI), kwa ajili ya kuhudumia chakula wagonjwa wanaohitaji msaada...
By Regina MkondeDecember 23, 2023Benki ya Taifa ya Biashara (NBC) leo Ijumaa imewapokea wafanyakazi wake na wadau mbalimbali wa utalii wakiwemo waandishi wa habari mkoani Kilimanjaro ambao...
By Mwandishi WetuDecember 22, 2023Waumini wa makanisa, mtaa wa Sanare kata ya Daraja mbili Jijini Arusha, wameungana na kufanya maombi ya pamoja kulaani vibaka wanaosumbua mtaani hapo...
By Mwandishi WetuDecember 20, 2023MFUKO wa Maendeleo ya Jamii (TASAF) Mkoa wa Njombe umesemaimetumia Sh. 29 bilioni kwa ajili ya kusaidia kaya maskini kupata mahitaji muhimu...
By Masalu ErastoDecember 20, 2023JESHI la Polisi Kanda Maalum ya Dar es Salaam, linawashikilia watu wawili wanaotuhumiwa kuwapa dawa za kulevya wanawake bila kujijua kisha kuwapiga picha...
By Mwandishi WetuDecember 19, 2023MKUU wa Mkoa wa Dodoma, Rossemary Senyamule ametangaza kiama kwa waendesha magari yaendayo mikoani ambao watatupa takataka pembezoni mwa barabara zote zilizopo katika...
By Danson KaijageDecember 19, 2023Rais Samia Suluhu Hassan amekabidhi tuzo ya heshima kwa benki ya Taifa ya Biashara (NBC) ikiwa ni ishara ya kutambua mchango wa benki...
By Mwandishi WetuDecember 18, 2023SHIRIKA la Usawa wa Kijinsia Tanzania (SUKITA), limeamua kutumia michezo kama mbinu ya kufikisha elimu ya kupambana na ukatili wa kijinsia kwa jamii....
By Regina MkondeDecember 18, 2023RAIS Samia Suluhu Hassan, amelipongeza Shirikisho la Wenye Viwanda nchini (CTI) kwa namna namna linavyokuwa mwaka hadi mwaka na kuboresha tuzo za wenye...
By Mwandishi WetuDecember 18, 2023Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania imepongezwa kwa kuendelea kuwa mstari wa mbele kurejesha amani katika Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo na...
By Mwandishi WetuDecember 15, 2023SERIKALI imesema imewarejesha kwa ndugu zao waathirika 460 kati ya 500, wa maporomoko ya udongo yaliyotokea hivi karibuni kwenye Mji Mdogo wa Katesh,...
By Regina MkondeDecember 15, 2023KAMPUNI ya Huduma za Meli (MSCL) imesema kuwa ipo katika mipango ya kukarabati Meli 13 na Kujenga Meli mpya tisa (9) ifikapo...
By Mwandishi WetuDecember 15, 2023Naibu Waziri wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi, Geophrey Pinda amekutana na kuzungumza na watumishi wa Wizara hiyo pamoja na watumishi wa...
By Mwandishi WetuDecember 14, 2023Wahitimu wa Chuo cha Taifa cha Utalii (NCT) wametakiwa kuleta mageuzi katika utoaji huduma bora kwa watalii na wageni wanaotembelea hifadhi na vivutio...
By Mwandishi WetuDecember 12, 2023KESI ya mauaji inayowakabili maofisa uhamiaji watatu wilayani Kakonko waliofikishwa kizimbani kwa tuhuma za kumuua Enos Elias itatajwa tarehe 28 Desemba mwaka huu....
By Faki SosiDecember 12, 2023Historia imeandikwa katika Masoko ya Mitaji Afrika Mashariki, baada ya Hati Fungani ya NMB Jamii kukusanya Sh 400 bilioni ikiwa ni zaidi ya...
By Mwandishi WetuDecember 12, 2023Benki ya Taifa ya Biashara (NBC) sambamba na wafanyakazi wa benki hiyo leo wamekabidhi msaada wa fedha taslimu kiasi cha Sh milioni 10,...
By Mwandishi WetuDecember 11, 2023Jeshi la polisi mkoani Kilimanjaro limekamata shehena ya dawa za kulevya aina ya mirungi ndani ya basi la Extra Luxury lenye namba za...
By Mwandishi WetuDecember 11, 2023KAMPUNI ya Oryx Gas Tanzania imeungana na Watanzania kutoa pole kwa wananchi wa Hanang waliofikwa na maafa ya mafuriko yaliyosababisha vifo na majeruhi...
By Mwandishi WetuDecember 11, 2023KAMPUNI ya Amsons Group kupitia kampuni zake za Camel Oil na Camel Cement zimekabidhi hundi ya Sh.milioni 100 kwa Serikali kwa ajili ya...
By Mwandishi WetuDecember 11, 2023MAHAKAMA ya Hakimu Mkazi Kinondoni, Dar es Salaam inatarajia kuendelea kusikiliza kesi ya tuhuma za shambulio la mwili Jumatatu inayomkabili mfanyakazi wa...
By Mwandishi WetuDecember 9, 2023MAWASILIANO ya barabara ya Mkoa wa Pwani na Dar es Salaam, kupitia Bagamoyo, yaliyokuwa yamefungwa baada ya sehemu ya Daraja la Mto Mpiji...
By Regina MkondeDecember 9, 2023Shirika la Umeme Tanzania (TANESCO) limedai kuwa hitilafu iliyojitokeza katika Gridi Taifa leo tarehe 8 Disemba 2023 majira ya saa 04:14 asubuhi, ndiyo...
By Mwandishi WetuDecember 8, 2023Kampuni ya utalii ya Zara tours ya mjini Moshi mkoani Kilimanjaro kwa mara nyingine imeingia katika historia mpya kupandisha wageni wengi katika mlima...
By Mwandishi WetuDecember 8, 2023Benki ya NBC kwa kushirikiana na taasisi ya Benjamin Mkapa Foundation wamezidua rasmi utekelezaji wa mpango wa ufadhili wa masomo ya ukunga kwa...
By Mwandishi WetuDecember 7, 2023WADAU wa maliasili wamekutana kujadili namna ya kudhibiti mianya ya upitishaji miamala ya fedha kwa njia mitindao na benki inayolenga kufadhili biashara ya...
By Mwandishi WetuDecember 7, 2023BARAZA la Usuluhishi wa Migogoro ya Ardhi Kata ya Bahi mkoani Dodoma limeahirisha kesi ya malalamiko ya ardhi iliyofunguliwa na Askofu mkuu wa...
By Danson KaijageDecember 7, 2023UONGOZI wa wazee wa mila mkoani Songwe wamejitokeza kumuunga mkono Kamanda wa polisi mkoa huo, Theopista Mallya katika harakati za kuendeleza mapambano dhidi...
By Mwandishi WetuDecember 7, 2023MTANDAO wa Asasi za Kiraia za Sekta ya Maji na Usafi wa Mazingira (TAWASANET) umetoa wito kwa serikali na wadau wengine kudumisha ushirikiano...
By Seleman MsuyaDecember 7, 2023CHAMA cha Mawakili Vijana kutoka Chama cha Mawakili wa Tanganyika (TLS), kimepanga kufanya matembezi ya amani ili kupinga tabia ya wanataaluma hao kufungiwa...
By Mwandishi WetuDecember 7, 2023WAKALA wa Usalama na Afya Mahala pa Kazi (OSHA), umesema kwa kipindi cha miaka mitatu ya uongozi wa Rais Samia Suluhu wamepata mafanikio...
By Mwandishi WetuDecember 7, 2023Jumla ya miradi 20 inayohusu masuala ya afya, usafi wa mazingira, maji, ujasiriamali na ubunifu imechaguliwa katika awamu ya pili ya kampeni ya...
By Mwandishi WetuDecember 6, 2023SHURA ya Maimamu Tanzania, inakusudia kukata rufaa dhidi ya hukumu ya kwenda jela miaka saba, aliyohukumiwa Sheikh Dua Said Linyama, baada ya kukutwa...
By Mwandishi WetuDecember 6, 2023KATIBU Mkuu Wizara ya Uchukuzi, Prof. Godius Kahyarara ameiagiza Mamlaka ya Hali ya Hewa Tanzania (TMA) kutangaza mafanikio ya taasisi yanayopatikana kikanda,...
By Mwandishi WetuDecember 5, 2023Waathirika wa maporomoko ya tope Wilayani Hanang, mkoani Manyara, waliopoteza ndugu zao, makazi, pamoja na mali, wamepatiwa misaada ya kibinadamu na Benki ya...
By Mwandishi WetuDecember 5, 2023MTANDAO wa Polisi wanawake wa Arusha kuelekea siku 12 za kupinga ukatili umeendelea na kutoa elimu kwa makundi mbalimbali ambapo wametoa elimu...
By Mwandishi WetuDecember 5, 2023TAASISI ya Mwalimu Nyerere (MNF) imesaini mkataba wa miaka 10 wa dola za Marekani milioni tatu (Sh bilioni 7.4) na Kampuni ya Greyhorse...
By Seleman MsuyaDecember 5, 2023ASKARI wa kikosi cha usalama barabarani mkoani Songwe wametakiwa kuendelea kufanyakazi kwa kuzingatia haki, weledi na uadilifu hatua ambayo itachangia kudhibiti vitendo vya...
By Mwandishi WetuDecember 4, 2023Mahakama ya wilaya ya Songwe imemtia hatiani na kumhukumu kifungo cha maisha gerezani mshtakiwa Dickson Mbadame (32) – mchimbaji wa madini kwa kosa...
By Mwandishi WetuDecember 4, 2023KANISA la Mlima wa Moto Mikocheni jijini Dar es Salaam, limezindua kongamano liitwalo SHILO kama sehemu ya kumuenzi mwanzilishi wa Kanisa hilo, Hayati...
By Mwandishi WetuDecember 4, 2023MVUA za vuli zinazoendelea kunyesha maeneo mbalimbali nchini zimeleta madhara katika mkoa wa Manyara baada ya kuripotiwa vifo 20 vilivyosababishwa na mafuriko katika...
By Mwandishi WetuDecember 3, 2023Afisa Mtendaji Mkuu wa Benki ya NMB, Ruth Zaipuna, amewashauri vijana nchini Tanzania kunoa ujuzi wao wa karne ya 21 ili kufanikiwa katika...
By Mwandishi WetuDecember 3, 2023Wakala ya Barabara za Vijijini na Mijini (TARURA) imejipanga kujenga madaraja 189 kwa kutumia teknolojia ya mawe katika mikoa yote 26 nchi nzima...
By Mwandishi WetuDecember 2, 2023Waziri Mkuu Kassim Majaliwa ameipongeza Kampuni ya Geita Gold Mining Limited (GGML) pamoja na wadau wengine kwa kuiunga mkono Serikali kwa mchango wa...
By Mwandishi WetuDecember 2, 2023Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati, Dk. Doto Biteko amewataka wadau mbalimbali wanaohusika na mapambano dhidi ya UKIMWI nchini kwa kushirikiana na...
By Mwandishi WetuDecember 1, 2023MAHAKAMA ya Hakimu Mfawidhi, wilaya ya Igunga, mkoani Tabora imemhukumu kifungo cha miaka mitatu gerezani, Jesca Jones Yegera (60) baada ya kupatikana na...
By Mwandishi WetuDecember 1, 2023WAZIRI wa Ujenzi, Innocent Bashungwa ameiagiza Bodi ya Usajili wa Wahandisi (ERB) kushirikiana na Taasisi ya Wahandisi Tanzania (IET) kuweka utaratibu endelevu wa...
By Danson KaijageDecember 1, 2023MWENYEKITI wa Mawakili Vijana Tanzania kutoka Chama cha Mawakili wa Tanganyika (TLS), Edward Heche, amewataka wanachama wake kuchukua hatua pindi watakapoona sekta ya...
By Mwandishi WetuNovember 30, 2023