MWANDISHI wa habari wa ITV na Redio One, Mkoa wa Songwe, nchini Tanzania, Gabriel Kandonga amefariki dunia. Anaripoti Mwandishi Wetu, Songwe …...
By Mwandishi WetuSeptember 24, 2021MHANDISI Mohamed Mtambo, aliyekuwa mgombea Ubunge wa Mkuranga (ACT-Wazalendo) mkoani Pwani ametoa Sh.500,000 kuchangia ujenzi wa Zahanati ya Kijiji cha Dondo. Anaripoti...
By Mwandishi WetuSeptember 23, 2021CHANGAMOTO ya huduma za kifedha iliyokuwa ikiwakabili wakulima wa korosho mikoa ya Mtwara na Lindi ikiwemo kutopata mikopo kwa wakati na makato...
By Masalu ErastoSeptember 23, 2021WAZIRI Mkuu Kassim Majaliwa ameipongeza Kampuni ya Uchimbaji Dhahabu Geita (GGML) kwa kutoa ajira zaidi ya 5000 kwa Watanzania huku asilimia zaidi ya...
By Masalu ErastoSeptember 22, 2021KESI ya jinai Namb. 208/2016 iliyohusu mashitaka ya uchochezi dhidi ya Makamu Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) Bara, Tundu...
By Regina MkondeSeptember 22, 2021ASKARI saba wa Jeshi la Polisi Tanzania wamefukuzwa kazi baada ya kuvuka mpaka na kuingia nchini Malawi kinyume cha utaratibu wa jeshi....
By Mwandishi WetuSeptember 21, 2021KAMPUNI ya Huawei Tanzania kwa kushirikiana na Tume ya Tehama imetoa mafunzo kwa wataalamu 19 wa Tehama kutoka katika sekta ya umma...
By Mwandishi WetuSeptember 21, 2021SHEIKH wa Mkoa wa Dar es Salaam nchini Tanzania, Alhad Mussa Salum amebainisha mambo mawili ambayo dini za Kiislamu na Kikristu zinatofautiana...
By Masalu ErastoSeptember 21, 2021MAPADRE Stephano Msomba na Henry Mchamungu wamewekwa wakfu wa kuwa maaskofu wasaidizi wa Jimbo Kuu Katoliki la Dar es Salaam nchini Tanzania....
By Masalu ErastoSeptember 21, 2021Wafanyakazi wa Benki ya Exim Tanzania wakiongozwa na Mkuu wa Kitengo cha mikopo wa benki hiyo, Zainab Nungu (katikati) wakishiriki zoezi la usafi...
By Mwandishi WetuSeptember 20, 2021SERIKALI ya Tanzania imeongeza vituo vya utoaji huduma ya chanjo ya ugonjwa wa Corona (UVIKO-19), kutoka 550 hadi 6,784 nchi nzima. Anaripoti...
By Regina MkondeSeptember 20, 2021SEPTEMBA 18, 2021: Benki ya Taifa ya Biashara (NBC) imezindua kampeni maalum kwa wakulima wa zao la korosho katika mikoa ya Mtwara...
By Mwandishi WetuSeptember 20, 2021ALIYEKUWA Jaji Mkuu wa Tanzania, Othuman Chande, ameteuliwa na Mwendesha Mashitaka Mkuu wa Mahakama ya Kimataifa ya Jinai, inayojihusisha na uhalifu dhidi...
By Masalu ErastoSeptember 18, 2021ALIYEKUWA Makamu Mkuu wa Chuo Kikuu cha Dar es Salaam (UDSM) nchini Tanzania, kati ya mwaka 1991-2006, Profesa Matthew Luhanga (73), amefariki...
By Masalu ErastoSeptember 17, 2021WAZIRI wa Maji nchini Tanzania, Jumaa Aweso ameiagiza Bodi ya Wakurugenzi wa Mamlaka ya Majisafi na Usafi wa Mazingira Dar es Salaam...
By Mwandishi WetuSeptember 17, 2021MEYA wa Manispaa ya Kinondoni, Songoro Mnyonge amesema zaidi ya wafanyabiashara 45,000 waliokuwa kwenye mfumo rasmi mkoani Dar es Salaam wamegeukia umachinga...
By Masalu ErastoSeptember 17, 2021MKUU wa mkoa wa Dar es salaam, Amos Makalla ametoa muda wa mwezi mmoja kwa madawati ya uwezesha wananchi kiuchumi yaliyopo katika...
By Mwandishi WetuSeptember 17, 2021MWENYEKITI wa Chama cha Tanzania Labour Party (TLP), Augustino Mrema amepatwa na msiba wa mkewe Rose Mrema. Anaripoti Mwandishi Wetu, Dar es...
By Mwandishi WetuSeptember 17, 2021SERIKALI ya awamu ya sita nchini Tanzania inayoongozwa na Rais Samia Suluhu Hassan imedhamiria kundeleza kilimo cha mazao ya chakula na biashara....
By Masalu ErastoSeptember 16, 2021JESHI la Polisi Kanda Maalum ya Dar es Salaam limewatia mbaroni watuhumiwa zaidi ya 150 wa makosa ya jinai, 17 makosa ya...
By Masalu ErastoSeptember 16, 2021BENKI ya Taifa ya Biashara (NBC) kwa kushirikiana na Halmashauri ya Manispaa ya Ilala, jijini Dar es Salaam leo tarehe 16 Septemba...
By Mwandishi WetuSeptember 16, 2021MFANYABIASHARA James Rugemalira leo tarehe 16 Septemba, 2021 ameachiwa huru Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu baada ya Mkurugenzi wa Mashtaka Nchini (DPP)...
By Mwandishi WetuSeptember 16, 2021Kaimu Mkurugenzi Idara ya Fedha Benki ya Exim Bw Issa Rajabu (kushoto) akikabidhi msaada wa fedha taslimu kwa Muhasibu wa Taasisi ya...
By Mwandishi WetuSeptember 16, 2021WAZIRI wa Maji nchini, Jumaa Aweso amejionea hali ya mradi wa maji wa Kemondo-Maruku wilayani Bukoba Mkoa wa Kagera huku akitoa maagizo...
By Danson KaijageSeptember 14, 2021WAZIRI wa Habari, Mawasiliano na Teknolojia ya Habari nchini Tanzania, Dk. Ashatu Kijaji ameitaka menejimenti na watumishi wa wizara hiyo kufanya kazi...
By Mwandishi WetuSeptember 14, 2021KAMPUNI ya uchimbaji wa Madini ya Dhahabu mkoani Geita (GGML) kwa kushirikiana na Ofisiya Mkuu wa Mkoa huo, imetoa mafunzo kwa waandishi wa...
By Faki SosiSeptember 13, 2021WAKATI filamu ya ‘Royal Tour’ ikiwa katika maandalizi kabambe kutangaza vivutio vya utalii Tanzania, Kampuni ya kimataifa inayojihusisha na masuala ya utalii...
By Masalu ErastoSeptember 13, 2021RIPOTI ya uchunguzi wa ajali ya moto katika Soko la kimataifa la Kariakoo jijini Dar es Salaam, inatarajiwa kuwasilisha kwa Rais wa...
By Gabriel MushiSeptember 12, 2021INSPEKTA Jenerali wa Polisi Tanzania , IGP Sirro, amesema wanazifanyia kazi taarifa za uwepo wa watuhumiwa wa vitendo vya ugaidi waliokimbilia nchini, ...
By Mwandishi WetuSeptember 11, 2021WAFANYABIASHARA wadogo maarufu kama ‘wamachinga’ wameiomba Serikali kupitia upya uamuzi wake wa kutaka kuwaondoa katika maeneo ya pembezoni mwa barabara katika soko...
By Masalu ErastoSeptember 10, 2021SERIKLI imesema hadi kufikia tarehe 1 Septemba, 2021 jumla ya watumishi wa umma 174,222 wamepandishwa vyeo na kubadilishiwa mishahara yao. Pia imesema...
By Masalu ErastoSeptember 10, 2021WAZIRI wa Maji, Jumaa Aweso ametangazia vita kwa wakandarasi na wahandisi ambao watakwamisha miradi ya maji inayotekelezwa serikali. Anaripoti Danson Kaijage, Dodoma...
By Danson KaijageSeptember 10, 2021STORI za mapacha kushare au kuvaliana nguo, kusomea taaluma moja, kufanya kazi ya aina moja, kufunga harusi siku moja na wakati mwingine...
By Mwandishi WetuSeptember 10, 2021SERIKALI ya Tanzania imeunda kamati ya Taifa ya kusimamia utatuzi wa matumizi mabaya ya huduma na bidhaa za mawasiliano. Anaripoti Noela Shila,...
By Kelvin MwaipunguSeptember 9, 2021MBUNGE wa Viti Maalum (CCM) nchini Tanzania, Fakharia Shomr Khamis ameitaka Serikali kueleza ni maslahi yapi askari polisi anayapata pindi anapopata madhira...
By Kelvin MwaipunguSeptember 9, 2021ALIYEKUWA Mkuu waWilaya ya Hai, mkoani Kilimanjaro, Lengai Ole Sabaya na wenzake sita, wamesomewa upya mashtaka matano katika Kesi ya Uhujumu Uchumi...
By Masalu ErastoSeptember 9, 2021SERIKALI ya Tanzania, imepanga kupunguza gharama za hereni maalum ya utambuzi wa mifugo nchini ili kumpunguzia gharama mfugaji. Kauli hiyo imetolewa leo...
By Mwandishi WetuSeptember 9, 2021Wiki chache baada ya wanamgambo wa Taliban kuchukua madarakani na kuunda Serikali yao huko nchini Afghanistan, aliyekuwa Rais wa nchi hiyo, Ashraf...
By Mwandishi WetuSeptember 9, 2021BEI ya bidhaa za vyakula kwa mwezi Agosti 2021, ilipungua huku ya bidhaa zisizo za vyakula ikiwemo mavazi, kodi ya pango na...
By Danson KaijageSeptember 9, 2021SERIKALI ya Tanzania na Rwanda, zimekubaliana kushirikiana katika kukabiliana na vitendo vya ugaidi. Anaripoti Mwandishi Wetu, Dar es Salaam … (endelea). Hayo...
By Mwandishi WetuSeptember 8, 2021RAIS Samia Suluhu Hassan ametangaza kuanzishwa kwa kombe la mashindano ya utamaduni nchini katika matamasha yajayo yatakayohusisha makabila yote nchni. Anaripoti Mwandishi...
By Mwandishi WetuSeptember 8, 2021WAZIRI Mkuu wa Tanzania, Kassim Majaliwa ameziagiza taasisi za Serikali ambazo hazijaanza kutoa huduma kupitia vituo vya huduma pamoja vya Shirika la...
By Mwandishi WetuSeptember 6, 2021MJADALA juu ya tozo mbalimbali zilizoanzishwa na serikali ya Tanzania inayoongozwa na Rais Samia Suluhu Hassan, kwa lengo la kupeleka maendeleo ya...
By Mwandishi WetuSeptember 6, 2021SERIKALI ya Tanzania imesitisha leseni ya Gazeti la Raia Mwema, kwa muda wa siku 30 kuanzia kesho tarehe 6 Septemba 2021. Anaripoti...
By Mwandishi WetuSeptember 5, 2021WAZIRI wa Maji nchini Tanzania, Jumaa Aweso amekagua mtambo mkubwa wa kuchuja maji chumvi katika eneo la Serengeti, Wilaya ya Gairo mkoani...
By Danson KaijageSeptember 4, 2021WIZARA ya Mawasiliano na Teknolojia ya Habari nchini Tanzania, imewataka vijana kutumia teknolojia ya habari na mawasiliano kwa maslahi mapana ya nchi...
By Masalu ErastoSeptember 4, 2021SERIKALI imeahidi kushirikiana na kuunga mkono jitihada za kampuni ya Mawasiliano ya Huawei katika kuweka mkazo zaidi na kuwaendeleza wanawake katika sekta ya...
By Mwandishi WetuSeptember 4, 2021MAMLAKA ya Mapato Tanzania (TRA), imesema ili kuhahakikisha inafikia lengo la kukusanya zaidi ya Sh.22.18 trilioni kwa mwaka wa fedha 2021/2022 watazingatia,...
By Mwandishi WetuSeptember 4, 2021RIPOTI ya awali ya uchunguzi wa tukio la mauaji ya maofisa watatu wa jeshi la Polisi nchini Tanzania, mlinzi mmoja wa kampuni...
By Kelvin MwaipunguSeptember 4, 2021JESHI la Polisi Mkoa wa Ilala, Kanda Maalum ya Dar es Salaam, linamshikilia Said Hassan Said (26) ambaye ni askari Magereza, Mkazi...
By Mwandishi WetuSeptember 3, 2021