CHAMA cha Wanahabari Wanawake Tanzania (TAMWA), kimeshauri wadau wa masuala ya ukatili wa kijinsia, kukaa pamoja na kupanga mikakati mipya na madhubuti...
By Mwandishi WetuNovember 24, 2021MGOGORO umeibuka katika Kanisa la Kiinjili la Kilutheri Tanzania (KKKT), Dayosisi ya Konde mkoani Mbeya wakimshutumu Mkuu wa Kanisa hilo, Askofu Fredrick...
By Mwandishi WetuNovember 24, 2021RAIS Samia ameliagiza Jeshi la Polisi nchini kutoa kipaumbele cha elimu ya usalama barabarani kwa madereva wa pikipiki maarufu kama bodaboda kwa...
By Mwandishi WetuNovember 23, 2021RAIS Samia Suluhu Hassan amesema kila anapozungumza kuhusu neno ‘tozo’ huwa linamgusa ndani ya moyo wake kwa sababu sasa mitandaoni wanamuita ‘Bi...
By Mwandishi WetuNovember 23, 2021RAIS Samia Suluhu amemuagiza Mkuu wa Jeshi la Polisi nchini IGP Simon Sirro kufuatilia na kumpa majibu kuhusu sababu za askari wengi...
By Mwandishi WetuNovember 23, 2021CHAMA Cha Mapinduzi (CCM) kimeagiza uongozi wa Wizara ya Nchi Ofisi ya Makamu wa Rais – Mazingira, Wizara ya Maliasili na Utalii...
By Masalu ErastoNovember 22, 2021WAZIRI Mkuu wa Tanzania, Kassim Majaliwa amesema Rais Samia Suluhu Hassan ametoa fedha nyingi kwa ajili ya ujenzi wa miradi mbalimbali ya...
By Mwandishi WetuNovember 22, 2021MKUU wa Wilaya ya Lindi, Shaibu Ndemanga amewashauri wakulima wa zao la korosho katika mikoa ya Lindi na Mtwara kujiwekea akiba sambamba...
By Mwandishi WetuNovember 22, 2021SERIKALI ya Tanzania, imepanga kutumia zaidi ya Sh.390 bilioni kujenga bwawa la kuhifadhia maji katika Kijiji cha Kidunda wilayani Morogoro vijijini mkoani...
By Danson KaijageNovember 22, 2021JUMLA ya watumishi waandamizi 18 wa kampuni ya Geita Gold Mining Limited (GGML) wamehitimu Shahada ya Uzamili ya Usimamizi wa Biashara kutoka...
By Mwandishi WetuNovember 22, 2021MACHUNGU ya mgawo wa maji kwa wakazi wa Jiji la Dar es Salaam nchini Tanzania yaliyodumu kwa takribani wiki tatu, yanaanza kupungua...
By Mwandishi WetuNovember 22, 2021WANAWAKE vijana walioko kwenye taasisi za elimu ya juu nchini Tanzania, wametakiwa kumiliki na kutumia vyema mitandao ya kijamii kwa ajili ya...
By Mwandishi WetuNovember 21, 2021SHIRIKA la LEAD Foundation linalojihusisha na utunzaji wa mazingira mkoani Dodoma limetangazwa miongoni mwa mashirika 20, yanayoongoza katika miradi ya ustawishaji miti...
By Danson KaijageNovember 21, 2021WIZARA ya Nyumba na Maendeleo ya Makazi imenunua ndege isiyokuwa na rubani (drone) maalum kwa ajili ya upigaji picha za anga zinazowezesha...
By Danson KaijageNovember 21, 2021ALIYEKUWA Mbunge wa Kilwa Kusini mkoani Lindi, Said Bungara ‘Bwege’, amelazwa katika wodi ya Sewahaji, Hospitali ya Taifa Muhimbili (MNH), akiugua kwa...
By Mwandishi WetuNovember 21, 2021WAZIRI wa Ujenzi na Uchukuzi, Profesa Makame Mbarawa, amewataka wasimamizi na wafanyakazi wa mizani nchini kujitafakari kuhusu mienendo yao ya utendaji kazi...
By Mwandishi WetuNovember 20, 2021KATIKA kipindi cha miaka 60 ya Uhuru, Tanzania imefanikiwa kuchimba visima 96 vya mafuta na gesi ambapo visima 44 vimegundulika kuwa na...
By Mwandishi WetuNovember 19, 2021WAZIRI Mkuu wa Tanzania, Kassim Majaliwa amemuagiza Waziri wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Rais, Muungano na Mazingira, Seleman Jafo kukamilisha andiko...
By Mwandishi WetuNovember 19, 2021BENKI ya Taifa ya Biashara (NBC) kwa kushirikiana na kampuni ya Bima ya Jubilee Insurance wamezindua huduma ya bima maalum ya kilimo...
By Mwandishi WetuNovember 19, 2021WAJUMBE wa Bodi, Menejimenti na Wafanyakazi wa Tume ya Utangazaji Zanzibar (TUZ) wametembelea Mamlaka ya Mawasiliano Tanzania (TCRA) jijini Dar es Salaam....
By Mwandishi WetuNovember 18, 2021BENKI ya NMB na Kampuni ya Selcom Tanzania wameanzisha ushirikiano wenye lengo la kusaidia kupunguza matumizi ya fedha taslimu nchini. Anaripoti Mwandishi...
By Mwandishi WetuNovember 18, 2021JOYCE Mbongo, aliyekuwa mkufunzi katika Chuo cha Uandishi wa Habari Dar es Salaam (DSJ) nchini Tanzania, amefariki dunia usiku wa kuamkia leo...
By Jonas MushiNovember 18, 2021SERIKALI imeikabidhi Halmashauri ya wilaya ya Hanang usimamizi na uangalizi wa muda wa mali zote zilizopo katika shamba la ngano la Basotu...
By Mwandishi WetuNovember 17, 2021MWANAMKE mmoja raia wa Kenya amepandishwa kizimbani kwa tuhuma za kuchoma moto nyumba ya mumewe waliyetengana naye na kusababisha hasara ya zaidi...
By Mwandishi WetuNovember 16, 2021SAMAKI ni kitoweo pendwa kwa watu wengi duniani, hususani wakazi wa maeneo ya pwani na kando ya mito na maziwa. Lakini kwa...
By Mwandishi WetuNovember 16, 2021WAZIRI wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Rais (Muungano na Mazingira), Selemani Jafo ameziagiza halmashauri zote kuhimiza uvunaji wa maji ya mvua...
By Danson KaijageNovember 16, 2021Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, George Simbachawene amesema Mpango wa Miaka mitano wa Shirika la Huduma za Msaada wa Kisheria (LSF)...
By Mwandishi WetuNovember 16, 2021WAZIRI Mkuu wa Tanzania, Kassim Majaliwa ametoa siku tatu (sawa na saa 72) kuanzia leo Jumatatu tarehe 15 Novemba 2021, kwa wasimamizi...
By Mwandishi WetuNovember 15, 2021MKUU wa Wilaya ya Mtwara, Dastan Kyobya ameiomba Benki ya Taifa ya Biashara (NBC) kuangalia uwezekano wa kuongeza zaidi matawi yake katika...
By Mwandishi WetuNovember 15, 2021MSHINDI wa Droo ya Nne ya Msimu wa Pili wa Kampeni ya Weka Akiba na Ushinde inayoendeshwa na Benki ya NMB ‘NMB...
By Mwandishi WetuNovember 15, 2021BENKI ya NMB imekuwa benki ya kwanza nchini kupata tuzo ya MasterCard kutokana na mafanikio makubwa waliyoyaonesha kwa wateja wao katika matumizi...
By Mwandishi WetuNovember 14, 2021WAZIRI Mkuu Kassim Majaliwa ameuagiza Mfuko wa Misitu Tanzania (TaFF) kuendelea kuwawezesha wajasiriamali wanaowekeza kwenye misitu kwa kuwapatia ruzuku itakayowezesha kunufaika na...
By Mwandishi WetuNovember 13, 2021WIZARA ya Habari Mawasiliano na Teknologia ya Habari imetoa mafunzo ya kuwajengea uwezo wakuu wa mikoa Tanzania juu ya umuhimu wa matumizi na...
By Danson KaijageNovember 13, 2021AJALI mbaya imetokea usiku wa kuamkia leo Jumamosi, tarehe 13 Novemba, 2021 katika maeneo ya Mbezi kwa Yusufu, Dar es Salaam baada...
By Mwandishi WetuNovember 13, 2021WAZIRI Mkuu wa Tanzania, Kassim Majaliwa amesema Serikali imeendelea kuimarisha upatikanaji wa umeme hususan maeneo ya vijijini ambapo hadi sasa jumla ya...
By Mwandishi WetuNovember 12, 2021WAZIRI wa Ujenzi na Uchukuzi nchini Tanzania, Profesa Makame Mbarawa amemaliza utata uliodumu kwa zaidi ya miaka mitatu juu ya vichwa 11...
By Danson KaijageNovember 12, 2021KWA kile kinachoonekana si jambo la kawaida kutokea katika jamii, kampuni ya huduma za mazishi ya Goodmark imeanzisha huduma ya bima ya majeneza,...
By Mwandishi WetuNovember 12, 2021JESHI la Polisi Kanda Maalum ya Dar es Salaam nchini Tanzania, linamshikilia mtu mmoja mwenye umri wa miaka 16 kwa tuhuma za...
By Mwandishi WetuNovember 11, 2021MASHIRIKA yasiyo ya Kiserikali (NGO’s), yametoa mapendekezo manne ili kuiomba Serikali ya Tanzania, iyakubali mapendekezo yaliyotolewa na nchi wanachama wa Umoja wa...
By Mwandishi WetuNovember 11, 2021INSPEKTA Jenerali wa Polisi (IGP) wa Tanzania, Simon Sirro amefanya mabadiliko ya baadhi ya makamanda wa polisi nchini humo. Anaripoti Mwandishi Wetu,...
By Mwandishi WetuNovember 10, 2021TAASISI ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa (Takukuru) mkoani Songwe imemnasa Eliam Fiabo anayedaiwa kuwa mkandarasi kwa tuhuma za kukusanya fedha kwa...
By Mwandishi WetuNovember 10, 2021RAIS wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan kesho Jumatano tarehe 10 Novemba 2021, ataondoka nchini kwenda Cairo, nchini Misri kwa ziara ya kiserikali...
By Mwandishi WetuNovember 9, 2021WIZARA ya Nishati wakati Tanganyika (Tanzania Bara) inapata uhuru mwaka 1961 ni mikoa miwili pekee ndiyo iliyokuwa na nishati ya umeme ikilinganishwa...
By Danson KaijageNovember 9, 2021MAHAKAMA Kuu, Divisheni ya Rushwa na Uhujumu Uchumi nchini Tanzania, imekubali kupokea hati ya ukamataji mali wa washtakiwa Adam Kasekwa na Mohammed...
By Regina MkondeNovember 9, 2021MFUMKO wa Bei wa Taifa kwa mwaka ulioishia mwezi Oktoba, 2021 umebaki kuwa asilimia 4.0 kama ilivyokuwa kwa mwezi Septemba 2021. Anaripoti...
By Danson KaijageNovember 8, 2021KAMPUNI ya Geita Gold Mining Limited (GGML) kwa kushirikiana na Rafiki Surgical Mission ya Australia kwa mara nyingine mwaka huu imeendeleza udhamini...
By Mwandishi WetuNovember 8, 2021MAHAKAMA Kuu Kanda ya Arusha nchini Tanzania, imepokea maombi ya rufaa ya aliyekuwa Mkuu wa wilaya ya Hai, Mkoa wa Kilimanjaro, Lengai...
By Mwandishi WetuNovember 8, 2021SHIRIKA la Maendeleo la Kimataifa la Japani (JICA) kwa kushirikiana na Wizara ya Ujenzi na Uchukuzi na Shirika la Reli Tanzania (TRC)...
By Mwandishi WetuNovember 8, 2021WAZIRI wa Nchi, Ofisi ya Rais-TAMISEMI, Ummy Mwalimu, ameziagiza halmashauri kupanga miji upya, ikiwemo kuwaondoa wafanyabiashara wadogo ‘wamachinga’, katika maeneo yasiyo rasmi....
By Mwandishi WetuNovember 6, 2021TAASISI ya Young and Alive Initiative (YAI), imeanza kusaka Vijana, kwa ajili ya programu maalumu ya kuwajengea uwezo watu wa rika hilo...
By Regina MkondeNovember 6, 2021