JESHI la Uhamiaji nchini Tanzania, limesema limejipanga kutoa huduma bora kwa wananchi, pamoja na kudhibiti matukio ya uhamiaji kinyume cha sheria, katika...
By Regina MkondeDecember 29, 2021SHIRIKA la Reli Tanzania (TRC), limesema gharama inayotumika kujenga reli ya kisasa (SGR), ni ndogo ikilinganishwa na za nchi nyingine. Anaripoti Regina...
By Regina MkondeDecember 28, 2021RAIS wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan amesema, Serikali anayoingoza itaendelea kukopa mikopo ya masharti nafuu ili kuendeleza na kuanzisha miradi mingine mipya...
By Mwandishi WetuDecember 28, 2021JESHI la Polisi, Kanda Maalum ya Dar es Salaam, limeagiza Askofu wa Kanisa la Efatha, Josephat Mwingira, ahojiwe ndani ya saa 24...
By Regina MkondeDecember 27, 2021In prioritising the safety of its customers, Huawei takes several approaches to keeping customers protected from cybersecurity threats – including AI, tech...
By Mwandishi MaalumDecember 27, 2021While cybersecurity certainly requires sophisticated technology interventions, staff training is equally important in protecting client information. Conscious of this, Huawei conducts regular...
By Mwandishi MaalumDecember 27, 2021RAIS wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan, ametoa msamaha kwa wafungwa 5,704, katika kuadhimisha miaka 60 ya Uhuru wa Tanzania Bara. Anaripoti Regina...
By Regina MkondeDecember 27, 2021WAZIRI wa Mambo ya Ndani nchini Tanzania, George Simbachawene ameliagiza Jeshi la Polisi Kanda Maalum ya Dar es Salaam, kumtafuta na kumhoji...
By Regina MkondeDecember 27, 2021RAIS wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan ametoa salamu za pole kufutia kifo cha Askofu Mkuu mstaafu wa Tanzania Assemblies of God (TAG),...
By Masalu ErastoDecember 26, 2021MWENYEKITI wa kamati ya Dorcas iliyopo katika Kanisa la Upendo Revival Christian Center TAG, jijini Dodoma, Annie Maugo, amesema matatizo makubwa ya...
By Danson KaijageDecember 26, 2021MAKAMU Askofu Mkuu wa Kanisa la Anglikana Tanzania, Dk. Dickson Chilongani amewataka viongozi wa ngazi mbalimbali kushuka chini kwa wananchi kujua matatizo...
By Danson KaijageDecember 25, 2021WATOTO 34 wamezaliwa mkesha wa kuamkia Sikukuu ya Krismasi katika Hospitali ya Mkoa wa Dodoma, leo Jumamosi tarehe 25 Desemba 2021. Anaripoti...
By Mwandishi WetuDecember 25, 2021RAIS wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan, ametoa salamu za Krismasi na Mwaka Mpya 2022 huku akiwataka wananchi kufanya kazi kwa weledi na...
By Masalu ErastoDecember 25, 2021CHAMA cha siasa cha upinzani ACT-Wazalendo, kimeitaka Serikali ya Tanzania ianzishe skimu ya hifadhi ya jamii kwa wakulima, ili kudhibiti changamoto ya...
By Mwandishi WetuDecember 24, 2021AKINA mama wajasiriamali wametakiwa kuchangamkia fursa zinazojitokeza badala ya kukaa nyumbani na kuwategemea waume zao kwa kila jambo. Anaripoti Danson Kaijage, Dodoma...
By Danson KaijageDecember 23, 2021CHAMA cha siasa cha upinzani nchini Tanzania cha ACT-Wazalendo, kimeitaka Serikali ya nchi hiyo kuingilia haraka na kudhibiti kupanda kwa kasi isiyo...
By Masalu ErastoDecember 23, 2021SERIKALI imesema haitafunga mipaka kuwazuia wakulima na wafanyabiashara wanaotaka kuuza mahindi yao nje ya nchi. Anaripoti Danson Kaijage, Dodoma … (endelea). Hayo...
By Danson KaijageDecember 23, 2021MATUKIO ya ukosefu wa maadili mkoani Dodoma yamezidi kuutikisa mkoa huo baada ya Jeshi la Polisi mkoani humo kumnasa kijana mmoja mwenye...
By Mwandishi WetuDecember 22, 2021MKUU wa Mkoa (RC) wa Dodoma nchini Tanzania, Antony Mtaka ameuagiza uongozi wa ofisi ya mkurugenzi wa jiji na afisa elimu kuhakikisa...
By Danson KaijageDecember 22, 2021KAMATI ya Maudhui ya Mamlaka ya Mawasiliano Tanzania (TCRA), imeipa adhabu Kampuni ya Wasafi Televisheni Limited (Wasafi TV) ya kuomba radhi mara...
By Regina MkondeDecember 22, 2021ASKOFU wa Kanisa la Kiinjili la Kulutheri Tanzania (KKKT), Dayosisi ya Karagwe, mkoani Kagera, Dk. Benson Bagonza amesema, mwaka 2021 unaomalizika ,...
By Mwandishi WetuDecember 22, 2021MFUKO wa Maendeleo ya Jamii (TASAF) kupitia mpango wake wa kusaidia kaya maskini umejenga nyumba ya Mganga wa kijiji cha Kagongo kilichopo...
By Mwandishi WetuDecember 21, 2021SAFARI ya siku 365 za mwaka 2021, zitahitimishwa siku kumi zijazo huku wananchi wakiwa na kumbukumbu ya tukio kubwa na la kwanza...
By Mwandishi WetuDecember 21, 2021KAMANDA wa Jeshi la Polisi mkoani Simiyu, ACP Blasius Chatanda, amesema mwanaume mmoja ambaye hakumtaja jina, amenusurika kifo baada ya kushambuliwa kwa...
By Mwandishi WetuDecember 18, 2021MMILIKI wa shamba lenye machimbo ya madini ya dhahabu, Iddrisa Hussein pamoja na wachimbaji wadogo wa eneo la Mahagi Kijiji cha Izunya...
By Mwandishi WetuDecember 18, 2021HUMPHREY Polepole, Mbunge wa Kuteuliwa wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) ametoa ujumbe kuzungumzia adhabu ya kusimamishwa kwa kipindi chake cha Shule ya...
By Mwandishi WetuDecember 18, 2021Benki ya Taifa ya Biashara (NBC) imekabidhi zawadi mbalimbali ikiwemo baiskeli, pikipiki, guta na trekta kwa washindi wa droo ya sita ya kampeni...
By Gabriel MushiDecember 16, 2021WAZIRI wa Nishati nchini Tanzania, January Makamba amesema, Serikali itaendelea kutumia vifaa mbalimbali vya umeme vinavyozalishwa nchini hivyo, wazalishaji wanapaswa kuzingatia ubora...
By Mwandishi WetuDecember 15, 2021IMEELEZWA kuwa Wilaya za Karagwe na Misenyi zilizopo mkoani Kagera ni kati ya wilaya ambazo zimefanya vizuri katika usafi wa mazingira. Anaripoti...
By Danson KaijageDecember 14, 2021FAMILIA za Masheikh 186 walioko katika mahabusu ya Gereza la Ukonga, jijini Dar es Salaam, kwa zaidi ya miaka saba, wakituhumiwa kwa...
By Regina MkondeDecember 13, 2021BENKI ya NMB katika kipindi cha wiki tisa, imetumia Sh.117 milioni katika kampeni ya weka akiba na ushinde inayoitwa ‘NMB Bonge la...
By Mwandishi WetuDecember 9, 2021SERIKALI ya Tanzania, imesema imeshindwa kusaini Mkataba wa Umoja wa Afrika (AU) unaohusu masuala ya uchaguzi, demokrasia na utawala bora (ACDEC), kwa...
By Mwandishi WetuDecember 9, 2021MILIPUKO salama ya fataki inalipuliwa leo Jumatano tarehe 8 Desemba 2021, kuanzia saa 5 usiku, katika maeneo ya Uwanja wa Taifa, Daraja...
By Mwandishi WetuDecember 8, 2021SERIKALI ya Tanzania, imesema mwezi huu wa Desemba 2021, huenda ukawa wa neema, kwa vyombo vya habari vilivyofungiwa. Anaripoti Regina Mkonde, Dar...
By Regina MkondeDecember 8, 2021WAKATI Tanzania Bara kesho Alhamisi, tarehe 9 Desemba 2021, inatimiza miaka 60 ya Uhuru, Watanzania wametakiwa kutorudia kosa la kuwaachia viongozi jukumu...
By Regina MkondeDecember 8, 2021ASKOFU Mkuu mstaafu wa Kanisa la Kiinjili la Kilutheri Tanzania (KKKT), Dayosisi ya Kaskazini Mashariki, Dk Steven Munga, amewakingia kifua wachungaji sita....
By Kelvin MwaipunguDecember 7, 2021Balozi wa Tanzania nchini Marekani na Mexico, Elsie Kanza amekutana kwa mazungumzo na Meya wa mji wa Dallas, Meya Eric Johsnon pamoja na...
By Mwandishi WetuDecember 6, 2021WAZIRI Mkuu wa Tanzania, Kassim Majaliwa ameitaka sekta binafsi iweke kipaumbele na kuzingatia usawa wa kijinsia katika utoaji wa ajira hasa wanawake...
By Mwandishi WetuDecember 5, 2021Shirika la Taifa la Madini (STAMICO) limesaini mkataba wa makubaliano ya awali na Kampuni ya Suness Limited ya Italia kwa ajili ya...
By Mwandishi WetuDecember 4, 2021RAIS Samia amesema kuna makundi yaliyopo ndani ya serikali ambayo yanaendekeza ubadhirifu na kugeuka kusema kwamba ufisadi na mambo ya hovyo yamerudi...
By Mwandishi WetuDecember 4, 2021WADAU wa ukatili wa jinsia nchini Tanzania, wameshauri waajiri wote pamoja na Serikali kuchukua hatua madhubuti ya kukomesha vitendo vya ukatili vinavyorejesha...
By Mwandishi WetuDecember 3, 2021MAHAKAMA ya Afrika ya Haki za Binadamu na Watu (AfCHPR), imeamuru Serikali ya Tanzania, imlipe fidia ya zaidi ya Sh. 50 milioni,...
By Mwandishi WetuDecember 2, 2021MNUFAIKA wa mpango wa tatu wa Mfuko wa Maendeleo ya Jamii (TASAF), wa awamu ya kwanza Antusa Mchau (38), ameiomba serikali kupitia TASAF...
By Masalu ErastoDecember 2, 2021WAZIRI Mkuu wa zamani wa Lesotho, Thomas Thabane amefikishwa mahakamani anakoshitakiwa kwa mauaji ya mke wake, Lipolelo Thabane, yaliyotokea mwaka 2017. Anaripoti Mwandishi...
By Mwandishi WetuDecember 1, 2021MKUU wa Kanisa la Kiinjili la Kithuleri Tanzania (KKKT), Askofu Fredrick Shoo ametoa wito kwa wadau mbalimbali wakiwemo viongozi wa dini kuhakikisha...
By Mwandishi WetuNovember 30, 2021MAHAKAMA Kuu, Divisheni ya Makosa ya Rushwa na Uhumuku Uchumi, jijini Dar es Salaam nchini Tanzania, imetupilia mbali pingamizi la jamhuri la...
By Regina MkondeNovember 30, 2021Jeshi la Ulinzi la Wananchi wa Tanzania (JWTZ), limetoa ufafanuzi kuhusu vitendo vya rushwa, ulaghai na utapeli vinavyofanywa na baadhi ya watu wasio...
By Mwandishi WetuNovember 30, 2021Katika hafla ya hisani iliyofanyika jijini Mbeya chini ya uongozi wa Naibu Spika wa Bunge Mhe. Tulia Ackson kuelekea siku ya Ukimwi...
By Mwandishi WetuNovember 30, 2021MWENYEKITI wa Bodi ya Chuo cha Kumbukumbu ya Mwalimu Nyerere nchini Tanzania, Stephen Wasira amesema, shabaha ya chuo hicho ni kutoa elimu...
By Mwandishi WetuNovember 30, 2021RAIS Samia Suluhu Hassan amesema Serikali imeamua kuwarejesha shule watoto wote walioacha shule kwa sababu mbalimbali kama vile, utoro, sababu za kisheria...
By Kelvin MwaipunguNovember 29, 2021