Thursday , 28 March 2024

Habari Mchanganyiko

Habari Mchanganyiko

CHAKUA yazuiwa stendi ya Magufuli, Meneja afunguka

  CHAMA cha Kutetea Haki za Abiria nchini Tanzania (CHAKUA), kimemlalamikia Meneja wa Kituo cha mabasi cha Magufuli, Mbezi jijini Dar es Salaam,...

Habari Mchanganyiko

Mtuhumiwa mauaji ya mkewe Dar, akamatwa Kagera

  JESHI la Polisi, Kanda Maalum ya Dar es Salaam nchini Tanzania, linamshikilia Isaya Mzava (59), Mkazi wa Bunju Beach, Kinondoni kwa tuhuma...

Habari Mchanganyiko

Washindi 100 wa NMB MastaBata wanyakua milioni 10

  WATEJA 100 wa kwanza wa kampeni ya NMB MastaBata-Kivyako Vyako wamepatikana na kujinyakulia Sh.100,000 kila mmoja. Anaripoti Mwandishi Wetu, Dar es Salaam...

Habari MchanganyikoTangulizi

Tanesco yatanagza bei mpya kuunganisha umeme

  SHIRIKA la Umeme Tanzania (Tanesco), limetangaza bei mpya ya kuunganisha umeme mijini na vijijini kuanzia leo Jumatano tarehe 5 Januari 2022. Anaripoti...

Habari Mchanganyiko

Rais Samia amtembelea Mufti Zubeir Muhimbili

  RAIS wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan, amemjulia hali Sheikh Mkuu wa Tanzania, Mufti Abubakar Bin Zubeir anayepatiwa matibabu katika Hospitali ya Taifa...

Habari Mchanganyiko

JK apata pigo, msaidizi wake afariki dunia

  OFISI Binafsi ya Rais Mstaafu wa Awamu ya Nne, Dk. Jakaya Mrisho Kikwete imethibitisha kutokea kwa kifo cha Katibu wake, Adam Issara...

Habari Mchanganyiko

Rais Samia awalilia 14 waliofariki ajalini, 22 kujeruhiwa

  WATU 14 wamefariki katika ajali ya barabarani iliyotolea saa 2:15 usiku wa jana Jumapili, tarehe 2 Januari 2022, katika Kijiji cha Lidumbe,...

Habari Mchanganyiko

CRDB yawatangazia neema wananchi, watumishi wa serikali

  BENKI ya CRDB nchini Tanzania, imewatangazia neema watumishi wa umma kwamba wanaweza kuchukua sehemu ya mshahara kabla ya mwezi kufika ili kuwasaidia...

Habari Mchanganyiko

32 wahitimisha promosheni Bonge la Mpango ya NMB

  KAMPENI ya Benki ya NMB ya kuwahamasisha wateja wake kuweka akiba ya Bonge la Mpango awamu ya pili imeimehitimishwa kwa washindi 32...

Habari Mchanganyiko

Tanroads, Polisi wapewa rungu kudhibitini uhalifu Kimara, Kibaha

  NAIBU Waziri wa Ujenzi na Uchukuzi nchini Tanzania, Mhandisi Godfrey Kasekenya, ameitaka Wakala ya Barabara Tanzania (Tanroads), mkoa wa Dar es Salaam...

Habari Mchanganyiko

Apigwa risasi akiamulia ugomvi wa mke na mume

  JESHI la Polisi Mkoa wa Kilimanjaro, linamshikilia mfanyabiashara Issack Ngowi (29), kwa tuhuma za kumjeruhi kwa risasi Bakari Stambuli (40), aliyekuwa anaamua...

Habari Mchanganyiko

Uhamiaji Tanzania watangaza ajira 470

  KAMISHNA Jenerali wa Jeshi la Uhamiaji Tanzania, Dk. Anna Makakala ametangaza nafasi za ajira 470 za Konstebo. Anaripoti Mwandishi Wetu, Dar es...

Habari Mchanganyiko

Polisi Tanzania: Tunaendelea kuchunguza tuhuma za Nabii Mwingira

  JESHI la Polisi Tanzania limesema, Kiongozi wa Kanisa la Efatha, Mtume na Nabii Josephat Mwingira alikwisha kufika na kuandika maelezo juu ya...

Habari MchanganyikoTangulizi

RPC Dar: Suala la Askofu Mwingira linashughulikiwa makao makuu

  SAKATA la kuhojiwa Askofu wa Kanisa la Efatha, Josephat Mwingira, juu ya madai yake ya kwamba alinusurika kuuawa na watu wa Serikali,...

Habari MchanganyikoTangulizi

Watanzania walivyoonja machungu ya 2021

  MWAKA wa 2021, unaofika tamati leo Ijumaa ya tarehe 31 Desemba, umeacha machungu katika maisha ya Watanzania. Anaripoti Regina Mkonde, Dar es...

Habari MchanganyikoTangulizi

Sakata la Nabii Mwingira pasua kichwa, Polisi yasema…

  SAKATA la Kiongozi wa Kanisa la Efatha nchini Tanzania, Mtume na Nabii Josephat Mwingira limechukua sura mpya baada ya Jeshi la Polisi...

Habari Mchanganyiko

Dk. Biteko: Msitishwe na wapiga dili migodini

  WAZIRI wa Madini, Dk. Dotto Biteko amewataka wachimbaji wadogo wa dhahabu wasitishwe na vyeo vya watu wanaofika katika maeneo yao ya migodi...

Habari Mchanganyiko

Bodi ya DIT-ICB yazinduliwa, wahadhiri wanaotaka kustaafu…

  MWENYEKITI wa Baraza la Taasisi ya Teknolojia Dar es Salaam (DIT), Mhandisi Richard Masika ameruhusu wakufunzi waliofikia umri wa kustaafu kuendelea kufanya...

Habari Mchanganyiko

RC Dar awashukia watumishi Tanroads wanaoficha taarifa za miradi

  MKUU wa Mkoa wa Dar es Salaam, Amos Makalla, amewataka watumishi wa Wakala wa Barabara nchini (Tanroads), kuacha tabia ya kuficha taarifa...

Habari Mchanganyiko

Jeshi la Uhamiaji: Tumejipanga kuelekea 2022

  JESHI la Uhamiaji nchini Tanzania, limesema limejipanga kutoa huduma bora kwa wananchi, pamoja na kudhibiti matukio ya uhamiaji kinyume cha sheria, katika...

Habari MchanganyikoTangulizi

TRC yazungumzia gharama ujenzi reli ya kisasa

  SHIRIKA la Reli Tanzania (TRC), limesema gharama inayotumika kujenga reli ya kisasa (SGR), ni ndogo ikilinganishwa na za nchi nyingine. Anaripoti Regina...

Habari MchanganyikoTangulizi

Rais Samia: Tutaendelea kukopa, tumalize miradi yote

  RAIS wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan amesema, Serikali anayoingoza itaendelea kukopa mikopo ya masharti nafuu ili kuendeleza na kuanzisha miradi mingine mipya...

Habari MchanganyikoTangulizi

Askofu Mwingira kikaangoni, apewa saa 24

  JESHI la Polisi, Kanda Maalum ya Dar es Salaam, limeagiza Askofu wa Kanisa la Efatha, Josephat Mwingira, ahojiwe ndani ya saa 24...

Habari Mchanganyiko

Huawei’s multi-prong approach to cybersecurity

  In prioritising the safety of its customers, Huawei takes several approaches to keeping customers protected from cybersecurity threats – including AI, tech...

Habari Mchanganyiko

Training to enhance awareness and skills for cybersecurity

  While cybersecurity certainly requires sophisticated technology interventions, staff training is equally important in protecting client information. Conscious of this, Huawei conducts regular...

Habari MchanganyikoTangulizi

Rais Samia asamehe wafungwa 5,704

  RAIS wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan, ametoa msamaha kwa wafungwa 5,704, katika kuadhimisha miaka 60 ya Uhuru wa Tanzania Bara. Anaripoti Regina...

Habari MchanganyikoTangulizi

RPC Dar apewa rungu kumsaka, kumhoji Askofu Mwingira

  WAZIRI wa Mambo ya Ndani nchini Tanzania, George Simbachawene ameliagiza Jeshi la Polisi Kanda Maalum ya Dar es Salaam, kumtafuta na kumhoji...

Habari Mchanganyiko

Rais Samia amlilia Askofu Mwenisongole, kuzikwa Desemba 30

  RAIS wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan ametoa salamu za pole kufutia kifo cha Askofu Mkuu mstaafu wa Tanzania Assemblies of God (TAG),...

Habari Mchanganyiko

Vurugu za familia chanzo watoto wa mitaani, Tunu Pinda atoa neno

  MWENYEKITI wa kamati ya Dorcas iliyopo katika Kanisa la Upendo Revival Christian Center TAG, jijini Dodoma, Annie Maugo, amesema matatizo makubwa ya...

Habari Mchanganyiko

Askofu awapa somo viongozi, agusia suala la machinga

  MAKAMU Askofu Mkuu wa Kanisa la Anglikana Tanzania, Dk. Dickson Chilongani amewataka viongozi wa ngazi mbalimbali kushuka chini kwa wananchi kujua matatizo...

Habari Mchanganyiko

34 wazaliwa mkesha Krismasi Dodoma

  WATOTO 34 wamezaliwa mkesha wa kuamkia Sikukuu ya Krismasi katika Hospitali ya Mkoa wa Dodoma, leo Jumamosi tarehe 25 Desemba 2021. Anaripoti...

Habari MchanganyikoHabari za SiasaTangulizi

Rais Samia atoa salamu za Krismasi, Mwaka Mpya

  RAIS wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan, ametoa salamu za Krismasi na Mwaka Mpya 2022 huku akiwataka wananchi kufanya kazi kwa weledi na...

Habari Mchanganyiko

ACT-Wazalendo yataka hifadhi ya jamii kwa wakulima

  CHAMA cha siasa cha upinzani ACT-Wazalendo, kimeitaka Serikali ya Tanzania ianzishe skimu ya hifadhi ya jamii kwa wakulima, ili kudhibiti changamoto ya...

Habari Mchanganyiko

Akina mama wajasiriamali watakiwa kuchangamkia mikopo

  AKINA mama wajasiriamali wametakiwa kuchangamkia fursa zinazojitokeza badala ya kukaa nyumbani na kuwategemea waume zao kwa kila jambo. Anaripoti Danson Kaijage, Dodoma...

Habari Mchanganyiko

ACT- Wazalendo yaitaka Serikali kuingilia kati bei ya mbolea

  CHAMA cha siasa cha upinzani nchini Tanzania cha ACT-Wazalendo, kimeitaka Serikali ya nchi hiyo kuingilia haraka na kudhibiti kupanda kwa kasi isiyo...

Habari Mchanganyiko

Wanaotaka kuuza mahindi nje ruksa

  SERIKALI imesema haitafunga mipaka kuwazuia wakulima na wafanyabiashara wanaotaka kuuza mahindi yao nje ya nchi. Anaripoti Danson Kaijage, Dodoma … (endelea). Hayo...

Habari Mchanganyiko

Kijana mbaroni kwa kumbaka mama yake mzazi

  MATUKIO ya ukosefu wa maadili mkoani Dodoma yamezidi kuutikisa mkoa huo baada ya Jeshi la Polisi mkoani humo kumnasa kijana mmoja mwenye...

Habari Mchanganyiko

RC Mtaka ataka walimu kutawanya Dodoma, kila mwanafunzi apate mti

  MKUU wa Mkoa (RC) wa Dodoma nchini Tanzania, Antony Mtaka ameuagiza uongozi wa ofisi ya mkurugenzi wa jiji na afisa elimu kuhakikisa...

Habari Mchanganyiko

TCRA yaishushia rungu Wasafi TV

  KAMATI ya Maudhui ya Mamlaka ya Mawasiliano Tanzania (TCRA), imeipa adhabu Kampuni ya Wasafi Televisheni Limited (Wasafi TV) ya kuomba radhi mara...

Habari MchanganyikoTangulizi

Askofu Bagonza atoa ujumbe wa Krismasi, akumbusha machungu 2021

  ASKOFU wa Kanisa la Kiinjili la Kulutheri Tanzania (KKKT), Dayosisi ya Karagwe, mkoani Kagera, Dk. Benson Bagonza amesema, mwaka 2021 unaomalizika ,...

Habari Mchanganyiko

TASAF yajenga nyumba ya Mganga wa kijiji cha Kagongo, Kigoma

  MFUKO wa Maendeleo ya Jamii (TASAF) kupitia mpango wake wa kusaidia kaya maskini umejenga nyumba ya Mganga wa kijiji cha Kagongo kilichopo...

Habari MchanganyikoTangulizi

2021: Ni mwaka wa kipekee

  SAFARI ya siku 365 za mwaka 2021, zitahitimishwa siku kumi zijazo huku wananchi wakiwa na kumbukumbu ya tukio kubwa na la kwanza...

Habari Mchanganyiko

Anusurika kifo kwa kushambuliwa na wanawake waliokuwa wanaondoa mikosi

  KAMANDA wa Jeshi la Polisi mkoani Simiyu, ACP Blasius Chatanda, amesema mwanaume mmoja ambaye hakumtaja jina, amenusurika kifo baada ya kushambuliwa kwa...

Habari Mchanganyiko

Wachimbaji Geita waiangukia Serikali ifungue mgodi wao

  MMILIKI wa shamba lenye machimbo ya madini ya dhahabu, Iddrisa Hussein pamoja na wachimbaji wadogo wa eneo la Mahagi Kijiji cha Izunya...

Habari MchanganyikoHabari za Siasa

Kisa Shule ya Uongozi, Polepole atoa ujumbe

  HUMPHREY Polepole, Mbunge wa Kuteuliwa wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) ametoa ujumbe kuzungumzia adhabu ya kusimamishwa kwa kipindi chake cha Shule ya...

BiasharaHabari Mchanganyiko

NBC yaendelea kutoa zawadi kwa washindi ‘Vuna zaidi na NBC shambani’,

Benki ya Taifa ya Biashara (NBC) imekabidhi zawadi mbalimbali ikiwemo baiskeli, pikipiki, guta na trekta kwa washindi wa droo ya sita ya   kampeni...

Habari Mchanganyiko

Makamba aeleza mikakati kusambaza umeme nchi nzima

  WAZIRI wa Nishati nchini Tanzania, January Makamba amesema, Serikali itaendelea kutumia vifaa mbalimbali vya umeme vinavyozalishwa nchini hivyo, wazalishaji wanapaswa kuzingatia ubora...

Habari Mchanganyiko

Karagwe, Misenyi kinara usafi wa mazingira

  IMEELEZWA kuwa Wilaya za Karagwe na Misenyi zilizopo mkoani Kagera ni kati ya wilaya ambazo zimefanya vizuri katika usafi wa mazingira. Anaripoti...

Habari Mchanganyiko

Familia za Masheikh 186 wanaosota rumande  kwa ugaidi zamuangukia Rais Samia 

  FAMILIA za Masheikh 186 walioko katika  mahabusu ya Gereza la Ukonga, jijini Dar es Salaam, kwa zaidi ya miaka saba, wakituhumiwa kwa...

Habari Mchanganyiko

NMB bonge la mpango yamwaga zawadi milioni 23

  BENKI ya NMB katika kipindi cha wiki tisa, imetumia Sh.117 milioni katika kampeni ya weka akiba na ushinde inayoitwa ‘NMB Bonge la...

error: Content is protected !!