MKUTANO Mkuu wa dharura ulioitishwa na kiongozi Mkuu wa kanisa la Kiinjiri la Kilutheri Tanzania (KKKT), Dk. Fredrick Shoo umemuondoa kwenye nafasi yake...
By Gabriel MushiMarch 23, 2022MAMLAKA ya Udhibiti wa Nishati na Maji (EWURA), imetaja Mamlaka za Majisafi na Usafi wa Mazingira, zisizofanya vizuri katika utekelezaji majukumu yake, hasa...
By Gabriel MushiMarch 23, 2022MAMLAKA ya Udhibiti wa Huduma za Nishati na Maji (EWURA), imezindua miongozo ya utendaji kazi wa mamlaka za maji safi na usafi wa...
By Gabriel MushiMarch 23, 2022WANAFUNZI wa Kitanzania wa TEHAMA kutoka Chuo Kikuu cha Dar es Salaam na Chuo Kikuu cha Dodoma waliibuka miongoni mwa wanafunzi bora zaidi...
By Gabriel MushiMarch 23, 2022KAMISHNA wa Uhifadhi wa Shirika la Hifadhi za Taifa Tanzania (TANAPA) William Mwakilema leo Jumatano tarehe 23 Machi 2022 amewavisha vyeo Makamishna...
By Mwandishi WetuMarch 23, 2022KAMATI ya Kudumu ya Bunge ya Hesabu za Serikali (PAC) nchini Tanzania, imesema uwekezaji wa zaidi ya Sh.1 trilioni uliofanywa na Mamlaka...
By Mwandishi WetuMarch 23, 2022BAADA ya kushindwa kufanya kazi kwa takribani miaka kumi kutokana na sababu mbalimbali, hatimaye Serikali ya Tanzania kupitia Ofisi ya Msajili wa...
By Mwandishi WetuMarch 23, 2022WAZIRI Mkuu wa zamani wa Tanzania, Edward Lowasa, ametunukiwa Tuzo ya Baraza la Mawaziri wa Maji Afrika (AMCOW). Anaripoti Mwandishi Wetu, Senegal...
By Mwandishi WetuMarch 22, 2022WANACHAMA wa Klabu ya Wafanyabiashara wanaohudumiwa na Benki ya NMB, Wilaya ya Temeke (NMB Business Club) jijini Dar es Salaam, kutumia fursa...
By Mwandishi WetuMarch 22, 2022UMOJA wa Ulaya (EU) umetoa tamko la kuendelea kulaani kitendo cha Urusi kuivamia Ukraine na kushawishi mataifa mbalimbali zikiwemo nchi za Afrika...
By Masalu ErastoMarch 22, 2022SERIKALI ya Tanzania imeombwa kufanya upya uchunguzi upya ili kubaini chanzo cha kuchafuka kwa maji ya Mto Mara na kufa kwa samaki mtoni...
By Gabriel MushiMarch 22, 2022WAKATI mjadala wa upatikanaji katiba mpya ukiendelea kushika kasi nchini, Mtandao wa Watetezi wa Haki za Binadamu Tanzania (THRDC), umetaka usiendeshwe kisiasa kwani...
By Gabriel MushiMarch 22, 2022BAADA ya kushindwa kufanya kazi kwa takribani miaka 10 kutokana na sababu mbalimbali, hatimaye Serikali kupitia Ofisi ya Msajili wa Hazina imekabidhi Kiwanda...
By Gabriel MushiMarch 22, 2022MAHAKAMA ya Rufaa ya Tanzania, Kanda ya Iringa, kesho Jumatano, tarehe 23 Machi 2022, inatarajia kusikiliza rufaa ya Mkurugenzi wa Mashtaka nchini (DPP)...
By Gabriel MushiMarch 22, 2022WAZIRI Mkuu Kassim Majaliwa amekutana na kufanya mazungumzo na Waziri Mkuu wa Qatar, Sheikh Khalid bin Khalifa bin Abdulaziz Al Thani ambapo wamekubaliana...
By Gabriel MushiMarch 22, 2022TUME ya Taifa ya Sayansi na Teknolojia (COSTECH) imetoa fursa kwa wanafunzi wabunifu kujiunga na Kumbi mama ya bunifu Buni Hub ambayo inaendesha...
By Gabriel MushiMarch 22, 2022RAIS Samia Suluhu Hassan ameonesha kufurahishwa na utendaji kazi wa balozi wa maji nchini ambaye ni msaani maarufu wa mziki wa kughani...
By Mwandishi WetuMarch 22, 2022KITUO cha Sheria na Haki za Binadamu (LHRC), kimesema kinaunga mkono mapendekezo ya Kikosi Kazi cha Kuratibu Maoni ya Wadau wa Demokrasia...
By Regina MkondeMarch 22, 2022AFISA Mtendaji Mkuu wa Mamlaka ya Maji Safi na Usafi wa Mazingira Dar es Salaam, Mhandisi Cyprian Luhemeja amesema eneo linalohudmiwa na...
By Mwandishi WetuMarch 22, 2022SHEKHE wa Mkoa wa Dodoma, Mustapha Rajabu amewataka wafanyabiashara kutougeuza mwezi Mtukufu wa Ramadhani kuwa wa kujitajirisha kwa kupandisha bei za bidhaa...
By Danson KaijageMarch 22, 2022Serikali ya Tanzania imekutana na Umoja wa Ulaya (EU) kujadili masuala mbalimbali yanayohusu Mkataba wa Ushirikiano wa Kiuchumi (EPA) kati ya Umoja huo...
By Gabriel MushiMarch 21, 2022SHIRIKA la Hifadhi za Taifa (Tanapa), leo Jumatatu tarehe 21 Machi 2022 limetangaza kifo cha Faru Rajabu mwenye umri wa miaka 43....
By Mwandishi WetuMarch 21, 2022MAMLAKA ya Uzalishaji wa Vitambulisho vya Taifa (Nida) nchini Tanzania, imeanza kushughulikia tatizo la kupunguza utitiri wa vitambulisho kwa kuongeza thamani ya...
By Mwandishi WetuMarch 21, 2022UTAWALA wa mwaka mmoja wa Rais wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan umeelezwa kuchangia kuimarika kwa sekta za kibenki kwani imekuwa imara, salama,...
By Mwandishi WetuMarch 20, 2022MGOGORO wa Ngorongoro umechukua sura mpya baada ya mashirika 20 ya kutetea wafugaji wa asili kutoa tamko wakilaani udhalilishwaji unaofanywa na watu wenye...
By Gabriel MushiMarch 19, 2022SPIKA wa Bunge la Tanzania, Dk. Tulia Ackson, amesema Serikali inayoongozwa na Rais Samia Suluhu Hassan imetoa asilimia 60.5 ya fedha zilizotengwa katika...
By Gabriel MushiMarch 19, 2022MARAFIKI wa Mshehereshaji (MC) Mwangata Fomma wametoa msaada kwa kuwalipia kadi za bima ya afya kwa watoto nane wa Kituo cha kulelea watoto...
By Gabriel MushiMarch 19, 2022NAIBU Waziri Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wanawake na Makundi Maalum, Mwanaidi Ali Khamis ameitaka jamii kuwaepusha watoto dhidi ya madhara ya matumizi mabaya...
By Gabriel MushiMarch 19, 2022KAMATI ya Bunge ya Miundombinu imempongeza Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Samia Suluhu kwa kuendelea kutoa fedha kwa ajili ya kuendeleza...
By Gabriel MushiMarch 19, 2022WAZIRI wa Ujenzi na Uchukuzi, Profesa Makame Mbarawa ameipa maelekezo matano Bodi mpya ya Wakurugenzi wa Mamlaka ya Bandari Tanzania (TPA), huku akisisitiza...
By Gabriel MushiMarch 19, 2022WAFANYAKAZI 105 wa Shirika la Ndege ya Fastjet Tanzania wamemuomba Rais Samia Suluhu Hassan kuzuia ndege aina ya Embraer 190 (5H-FJH) ya shirika...
By Gabriel MushiMarch 19, 2022WATU 22 wamefariki dunia huku zaidi ya 30 wakijeruhiwa katika ajali ya barabarani ikihusisha basi lenye namba za usajili T 732 ATH...
By Mwandishi WetuMarch 18, 2022MAMA Janeth, Mjane wa aliyekuwa Rais wa wa Tanzania, John Pombe Magufuli amesema, ataendeleza utamaduni waliyojiwekea yeye na marehemu mume wake wa...
By Mwandishi WetuMarch 18, 2022MASHIRIKA yasiyo ya Kiserikali (NGO’s), yanayojishughulisha na masuala ya utetezi wa haki za binadamu, yameomba msaada wa kifedha kwa ajili ya kutekeleza...
By Mwandishi WetuMarch 18, 2022SERIKALI imesema itashirikiana na Kamati ya Kitaifa ya Udhibiti na Kuzuia Mauji ya Kimbari (TNCPG), ili kuhakikisha migogoro na matukio yoyote ambayo yanaweza...
By Gabriel MushiMarch 17, 2022ASKOFU wa Kanisa la Kiinjili la kilutheri Tanzania (KKKT) Dayosisi ya Karagwe Dk. Benson Bagonza ametaka tofauti zilizopo baina ya Askofu wa Doyosisi...
By Gabriel MushiMarch 17, 2022JANETH Magufuli, mjane wa aliyekuwa Rais wa Awamu ya Tano, Hayati John Magufuli, amesema Rais Samia Suluhu Hassan, amemheshimu kwa kukubali wito wake...
By Gabriel MushiMarch 17, 2022JESHI la Polisi, Kanda Maalumu ya Dar es Salaam, linamshikilia Mkurugenzi wa Mtandao wa U-Turn, Allen Samwel Mhina na wenzake 13, kwa...
By Regina MkondeMarch 17, 2022MADEREVA wa bajaji wenye ulemavu, wamefika katika Ofisi ya Mkuu wa Dar es Salaam, Amos Makalla, kufikisha kilio chao kinachodai wanafanyiwa vurugu na...
By Gabriel MushiMarch 17, 2022SERIKALI imesema ndani ya mwaka mmoja wa Rais Samia Suluhu jumla ya watumishi wa umma 190,781 wamepandishwa vyeo baada ya kusubiri kwa muda...
By Gabriel MushiMarch 17, 2022MAUAJI ya raia mmoja yaliyofanywa na askari wa jeshi la polisi nchini, pamoja na kujeruhiwa kwa raia wawili, katika uwanja wa michezo...
By Mwandishi WetuMarch 16, 2022CHAMA cha ACT-Wazalendo, kimeomba Serikali itoe ruzuku kwa ajili ya ununuzi wa mbolea ili kushusha bei yake iliyopanda maradufu hivi karibuni. Anaripoti Mwandishi...
By Gabriel MushiMarch 16, 2022WAZIRI wa Utamaduni, Sanaa na Michezo, Mohamed Mchengerwa, amewataka wasanii ambao bado hawajachukua fedha za mirabaha yao, wakamilishe taratibu katika Chama cha Hakimili...
By Gabriel MushiMarch 16, 2022WATANZANIA takribani 300, wamefanikiwa kuondoka salama nchini Ukraine, kufuatia vita iliyoibuka nchini humo baada ya kuvamiwa na Urusi, tarehe 24 Februari 2022....
By Regina MkondeMarch 16, 2022KIKUNDI cha Thelathini kwa Thelathini/ Gashatu Omu Gashatu wamejipanga kubadili maisha ya wananchi wa Kagera kwa kumwezesha kitaalam kuujua mparachichi. Anaripoti Mwandishi...
By Mwandishi WetuMarch 16, 2022MKUU wa Mkoa wa Arusha, John Mongella amewataka watu wanaodai kuna majina ya kughushi katika orodha ya wananchi waliokubali kuhama kwenye Hifadhi...
By Mwandishi WetuMarch 15, 2022JESHI la Polisi Mkoani wa Shinyanga nchini Tanzania, linachunguza ili kumkamata mwanamke anayetuhumiwa kujifungua watoto pacha kisha kuwatupa jalalani eneo la Kambarage mjini...
By Gabriel MushiMarch 15, 2022JESHI la Polisi Mkoa wa Kigoma, limesema linawashikilia watu wanne kwa tuhuma za kuanzisha vurugu zilizopelekea raia, Juma Ramadhani kupigwa risasi na Polisi...
By Gabriel MushiMarch 15, 2022NAIBU Waziri wa Nishati, Stephen Byabato amesema marekebisho ya kanuni za utengenezaji na uwekaji vituo vya mafuta katika maeneo ya vijijini, yanatarajiwa kukamilika...
By Gabriel MushiMarch 15, 2022MTANDAO wa Watetezi wa Haki za Binadamu Tanzania (THRDC), umewapa mafunzo ya namna kufuatilia na kuripoti matukio ya ukiukwaji wa haki za binadamu,...
By Gabriel MushiMarch 15, 2022