SERIKALI imeamriwa kuwalipa kiasi cha Sh. 169.2 milioni, baadhi ya wakazi wa Loliondo mkoani Arusha, kama fidia ya kutaifisha mifugo yao kinyume cha...
By Regina MkondeFebruary 14, 2024BARAZA la Maaskofu Katoliki Tanzania (TEC), limetoa waraka wa kipindi cha Kwaresma, huku likihimiza mifumo ya uongozi ya kifamilia na kisiasa iimarishwe ili...
By Mwandishi WetuFebruary 14, 2024Wito umetolewa kwa jamii ya Watanzania kutokwepa wajibu wa kuwahudumia watu wanaoishi na ulemavu sambamba na kuhakikisha kuwa kundi hilo linapata mahitaji mbalimbali...
By Mwandishi WetuFebruary 13, 2024KAMPUNI ya gesi ya Orxy imetekeleza maombi ya Rais wa Serikali ya Mapinduzi Zanzibar, Dk. Hussein Ali Mwinyi kwa kupeleka mitungi ya gesi...
By Mwandishi WetuFebruary 12, 2024NAIBU Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu (Sera, Bunge na Uratibu), Ummy Nderiananga amewataka wajumbe wa Bodi ya Saba ya Baraza la...
By Mwandishi WetuFebruary 11, 2024KIWANDA kipya cha Sukari cha Mkulazi kilichopo wilayani Kilosa, Morogoro kimeingiza rasmi sheheza za bidhaa ya sukari kwa matumizi ya majumbani kwa...
By Mwandishi WetuFebruary 9, 2024JITIHADA za Kampuni ya Geita Gold Mining Limited (GGML) kuanza kutumia umeme wa gridi ya Taifa kutoka Shirika la Umeme Tanzania (Tanesco), zimezidi...
By Mwandishi WetuFebruary 9, 2024Utekelezaji wa mradi wa ujenzi wa bwawa la maji Kidunda mkoani Morogoro, unaotekelezwa na Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kupitia Wizara...
By Mwandishi WetuFebruary 8, 2024MKURUGENZI wa Halmashauri ya Wilaya ya Babati Anna Mbogo amewahamasisha viongozi wa vikundi 10 vilivyomo katika eneo la Jumuiya ya Hifadhi ya Wanyamapori...
By Mwandishi WetuFebruary 8, 2024KATIBU wa Baraza Kuu la Waislamu Tanzania (BAKWATA), Wilaya ya Bukoba Mjini, Hamza Zacharia Abdallah, amenusurika kifo baada ya kucharangwa mapanga yaliyomsababishia kupoteza...
By Mwandishi WetuFebruary 6, 2024Jeshi la Polisi mkoani Mtwara limetangaza kuendelea kufanya uchunguzl wa tuklo la mauaji ya Mkuu wa kituo kidogo cha Polisi Chiungutwa Wilaya ya...
By Mwandishi WetuFebruary 4, 2024KATIKA kuadhimisha wiki ya sheria nchini, Mahakama ya Wilaya Ulanga imetoa elimu ya sheria kwa wadau mbalimbali kwa lengo la kuwaelimisha kuhusu masuala...
By Mwandishi WetuFebruary 1, 2024WAZIRI wa Fedha na Mipango, Dk. Mwigulu Nchemba amesema mahusiano mazuri yaliyopo kati ya Serikali na Kampuni ya Geita Gold Mining Limited (GGML)...
By Mwandishi WetuFebruary 1, 2024JESHI la polisi mkoani Songwe linamshikilia Mwalimu Baraka Mwashihuya mkazi wa kitongoji cha Tazara – Mamlaka ya mji mdogo wa Mlowo wilayani Mbozi...
By Mwandishi WetuFebruary 1, 2024Hospitali ya Taifa Muhimbili kwa mara nyingine imeandika historia kwa kufanya upasuaji mkubwa wa kuwatengenisha watoto mapacha waliokuwa wameungana sehemu ya tumbo na...
By Gabriel MushiJanuary 30, 2024BENKI ya NMB imeweka rekodi mpya ya ufanisi kiutendaji kwa kutengeza faida kabla ya kodi ya TZS bilioni 775 na kupata mafanikio mengine...
By Mwandishi WetuJanuary 30, 2024KAMPUNI ya Oryx Gas Tanzania kwa kushirikiana na Waziri wa Nchi, Ofisi ya Makamu wa Rais, Muungano na Mazingira Dk. Selemani Jafo wamekabidhi ...
By Mwandishi WetuJanuary 28, 2024MWANAHARAKATI huru, Bihimba Mpaya ametoa msaada wa mifuko ya saruji kwa ajili ya ujenzi wa madrasa iliyopo katika msikiti wa Aisha, Kivule jijini...
By Regina MkondeJanuary 27, 2024Kamishna wa Uhifadhi wa Mamlaka ya Hifadhi ya Ngorongoro (NCAA), Richard Kiiza amesema kazi kubwa iliyofanywa na Rais Samia Suluhu Hassan imeongeza kasi...
By Mwandishi WetuJanuary 27, 2024KAMATI ya Kudumu ya Bunge ya Hesabu za Serikali (PAC) imeishauri serikali kuutumia Wakala wa Usalama na Afya Mahali pa Kazi (OSHA) kuainisha...
By Mwandishi WetuJanuary 27, 2024BENKI ya NMB imeingia makubaliano na Wizara ya Habari, Mawasiliano na Teknolojia ya Habari kushirikiana katika uundaji na uboreshaji wa mifumo ya Tehama...
By Mwandishi WetuJanuary 27, 2024NMB Foundation imesaini makubaliano ya kushirikiana na asasi mbili kubwa za kiraia nchini yenye lengo la kuendeleza ustawi wa jamii na kutekeleza mipango...
By Mwandishi WetuJanuary 26, 2024KAMPUNI ya Uwindaji wa Kitalii ya EBN Hunting Safari Ltd ambayo inafanya shughuli zake katika kitalu cha uwindaji cha Hifadhi ya Jamii ya...
By Mwandishi WetuJanuary 25, 2024BARAZA la Mitihani la Tanzania (NECTA), limetangaza matokeo ya mtihani wa kidato cha nne uliofanyika Novemba 2023, ambapo watahiniwa 484,823 (87.65%) wamefaulu. Anaripoti...
By Regina MkondeJanuary 25, 2024Mamlaka ya Majisafi na Usafi wa Mazingira Dar es salaam (DAWASA) imekamilisha ujenzi wa vituo 30 vya huduma kwa jamii (Public Sanitary Service...
By Mwandishi WetuJanuary 24, 2024KAMPUNI ya Geita Gold Mining Limited (GGML) imewaaga na kuwapatia vyeti wanafunzi 50 kutoka vyuo vikuu waliokuwa wanafanya kazi katika mgodi huo kupitia...
By Mwandishi WetuJanuary 24, 2024Mtoto mwingine ametolewa Skrubu (Screw) kwenye mapafu yake kwa kutumia kifaa chenye kamera kilichokwenda kuinasa na kisha kuitoa. Mtoto huyo anadaiwa alikua akiichezea...
By Mwandishi WetuJanuary 23, 2024BENKI ya NMB imekabidhi madawati yenye thamani ya zaidi ya Sh 25 milioni kwa shule sita mkoani Ruvuma ikiwa ni utekelezaji wa dhamira...
By Mwandishi WetuJanuary 23, 2024Kaimu Afisa Mtendaji Mkuu wa Mamlaka ya Majisafi na Usafi wa Mazingira Dar es salaam (DAWASA), Kiula Kingu ametembelea na kukagua miundombinu ya...
By Mwandishi WetuJanuary 23, 2024Watalaam wa Magonjwa ya Mfumo wa Mapafu na Upumuaji wa Hospitali ya Taifa Muhimbili, leo Jumatatu wamemtoa mama mwenye umri wa miaka 53,...
By Mwandishi WetuJanuary 22, 2024MAMLAKA ya Hali ya Hewa Tanzania (TMA) inapenda kutoa taarifa ya vipindi vya mvua kubwa vilivyojitokeza katika baadhi ya maeneo nchini. Anaripoti Mwandishi...
By Mwandishi WetuJanuary 20, 2024Shirika la Hifadhi za Taifa Tanzania (TANAPA) limefunga kipande cha njia cha ‘ARROW GLACIER” ambacho hutumika na baadhi ya wageni wanaopanda mlima Kilimanjaro...
By Mwandishi WetuJanuary 20, 2024Kiongozi wa kanisa katoliki duniani Papa Francis amesema kwamba furaha ya tendo la ndoa ni zawadi kutoka kwa Mungu ambayo inapaswa kutendwa kwa...
By Mwandishi WetuJanuary 19, 2024SERIKALI imesema inaendelea na utekelezaji wa miradi ya kipaumbele ya umeme itokanayo na nishati jadidifu ya jotoardhi katika maeneo mbalimbali nchini kupitia Kampuni...
By Mwandishi WetuJanuary 18, 2024JUKWAA la Wahariri Tanzania (TEF) leo Alhamisi limekabidhi msaada wa kiutu kwa waathirika wa mafuriko wilayani Kilosa mkoani Morogoro yaliyotokea hivi karibuni. Anaripoti...
By Mwandishi WetuJanuary 18, 2024MWIMBAJI maarufu wa kwaya kwenye kanisa moja la kiroho kijiji cha Ikulu kata ya Ipinda wilayani Kyela mkoani Mbeya, Aliko Mwakalibule (38) aliyekuwa...
By Mwandishi WetuJanuary 18, 2024KESI inayowakabili mkazi wa Dar es Salaam, Bharat Nathwani (57), maarufu kwa jina la Chiku na mke wake Sangita Bharat Nathwani (54) inatarajiwa...
By Mwandishi WetuJanuary 18, 2024Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati, Dk. Doto Biteko ameeleza kuwa Serikali imeamua kuwekeza katika miradi ya nishati ili kuhakikisha upatikanaji umeme...
By Mwandishi WetuJanuary 18, 2024Kundi lenye kaya 72 za wananchi 515 na mifugo 2,206 limeagwa leo Alhamisi baada ya kujiandikisha na kuamua kuhama kwa hiyari kutoka katika...
By Mwandishi WetuJanuary 18, 2024Shirika la Reli Tanzania-TRC limesitisha kwa muda huduma ya safari za treni kutoka Dar es Salaam kuelekea mikoa ya Morogoro, Dodoma, Singida, Tabora,...
By Mwandishi WetuJanuary 18, 2024Visima 27 vya maji kati ya 34 vilivyopimwa katika wilaya za Kahama na Kishapu mkoani Shinyanga vimebainika kuwa na vimelea vya ugonjwa wa...
By Mwandishi WetuJanuary 17, 2024CHAMA cha ACT Wazalendo kimeitaka Serikali kulivunja Baraza la Ushauri la Watumiaji wa Huduma za Usafiri Ardhini (Latra CCC) kwa kushindwa kusimamia vema...
By Faki SosiJanuary 17, 2024MKUU wa mkoa wa Songwe, Dk. Fransisi Michael amemuagiza Mkurugenzi mtendaji wa Halmashauri ya wilaya ya Mbozi, Abdallah Nandonde kumhamisha kituo cha kazi...
By Mwandishi WetuJanuary 16, 2024MATUMIZI ya Nishati jadidifu yatajwa kuwa chanzo kipya cha ajira kwa vijana nchini. Anaripoti Mwandishi Wetu, Dar es Salaam … (endelea). Licha...
By Mwandishi WetuJanuary 16, 2024Mamlaka ya anga nchini Kenya imeiruhusu kampuni ya ndege nchini Tanzania Air Tanzania kusafirisha mizigo yake kutoka Kenya hadi mataifa mengine kuanzia...
By Mwandishi WetuJanuary 16, 2024Wizara ya Afya imefuta matokeo yote ya mtihani wa usajili na leseni wa wauguzi na wakunga kwa watahiniwa 1,330 wa Stashahada baada ya...
By Mwandishi WetuJanuary 16, 2024Wazazi wameaswa kufuatilia michezo ya watoto kwa karibu zaidi na kuwazuia kuweka vitu mdomoni, puani pamoja na maskioni ili kuwaepusha na madhara mbalimbali...
By Mwandishi WetuJanuary 16, 2024CHUO cha Elimu ya Biashara (CBE), kimeanza kutoa mafunzo kwa wahudumu wa kwenye mabasi ya abiria ili kuifanya kazi hiyo kuheshimika kama zilivyo...
By Kelvin MwaipunguJanuary 16, 2024KUTOKANA na mazingira mazuri ya uwekezaji yanayoendelea kuboreshwa na Serikali inayoongozwa na Rais Samia Suluhu Hassan, Kampuni AngloGold Ashanti imetangaza kuanzisha shughuli za...
By Mwandishi WetuJanuary 15, 2024WAKALA wa Usajili, Ufilisi na Udhamini (Rita) umewataka wananchi wapuuze taarifa zilizozagaa katika baadhi ya vyombo vya habari na mitandao ya kijamii zinazowataka...
By Mwandishi WetuJanuary 14, 2024