Thursday , 25 April 2024

Habari Mchanganyiko

Habari Mchanganyiko

Benki ya NBC yatoa gawio la Shilingi bilioni 4.5 kwa serikali

WAZIRI wa Fedha na Mipango Dk. Mwigulu Nchemba amepokea gawio la shilingi bilioni 4.5 linalotokana na uwekezaji wa Serikali ndani ya Benki ya...

Habari Mchanganyiko

Askofu Mwaikali ashindwa, mrithi wake KKKT Konde kusikimikwa J2

  MAHAKAMA Kuu, Kanda ya Mbeya nchini Tanzania imeyatupitilia mbali maombi yote mawili ya aliyekuwa Askofu wa KKKT Dayosisi ya Konde, Edward Mwaikali...

Habari MchanganyikoTangulizi

‘Tattoo’ zazua mtafaruku sh Dar

  HOFU imetanda kwa wanafunzi wa Shule ya Msingi Mtongani, kata ya Kunduchi, Kinondoni, Dar es Salaam nchini Tanzania baada ya wanafunzi wake...

Habari MchanganyikoTangulizi

Uamuzi Askofu mteule KKKT Konde kusimikwa kujulikana leo

  MAHAKAMA Kuu ya Tanzania Kanda ya Mbeya leo Ijumaa tarehe 3 Juni 2022, inatarajia kutoa uamuzi wa kupinga Askofu mteule, Geofrey Mwakihaba...

Habari Mchanganyiko

Serikali yatilia mkazo Sekta ya Madini

KATIBU Mtendaji wa Tume ya Madini, Mhandisi Yahya Samamba amesema kuwa, Serikali ya Awamu ya Sita inayoongozwa na Rais Samia Suluhu Hassan imetilia...

Habari Mchanganyiko

Mjadala sifa za waandishi wa habari waja

MWENYEKITI wa Jukwaa la Wahariri Tanzania (TEF), Deodatus Balile, amesema wanaanda mjadala wa kitaifa kwa ajili ya kupata maoni na mapendekezo ya wadau...

Habari Mchanganyiko

TEF yataka kibano kwa kampuni zisizolipa matangazo vyombo vya habari

MWENYEKITI wa Jukwaa la Wahariri Tanzania (TEF), Deudatus Balile, ameshauri Sheria ya Huduma ya Vyombo vya Habari ya 2016, irekebishwe ile iwe na...

Habari Mchanganyiko

Bioteknolojia inavyowaibua wabunifu USDM

WANAFUNZI wabunifu za bioteknolojia katika Chuo Kikuu cha Dar es Salaam (UDSM) Ndaki ya Sayansi ya Asili na Sayansi Tumizi wameomba Serikali kuwawezesha...

Habari Mchanganyiko

Ulega aipongeza NMB kutoa mikopo ya riba nafuu

NAIBU Waziri wa Mifugo na Uvuvi nchini Tanzania, Abdallah Ulega ameishukuru Benki ya NMB kwa kukubali kutoa mikopo yenye riba ndogo ya asilimia...

Habari Mchanganyiko

Mbunge ataka wananchi waunganishiwe umeme bure

  MBUNGE wa jimbo la Mlimba mkoani Morogoro nchini Tanzania, Godwin Kunambi, ameitaka Serikali kuja na mpango wa kuunganisha umeme bure na kisha...

Habari Mchanganyiko

Mjadala sifa za waandishi wa habari waja

  MWENYEKITI wa Jukwaa la Wahariri Tanzania (TEF), Deodatus Balile, amesema wanaanda mjadala wa kitaifa kwa ajili ya kupata maoni na mapendekezo ya...

Habari Mchanganyiko

Bunge la Tanzania laahirishwa ghafla

BUNGE la Tanzania limeahirishwa kwa dharura leo Alhamisi tarehe 2 Juni 2022 kwa muda wa nusu saa kuanzia saa 4:00 asubuhi. Anaripoti Mwandishi...

Habari Mchanganyiko

Mgogoro KKKT Konde: Jaji atoa ushauri, uamuzi Juni 3

  MAHAKAMA Kuu ya Tanzania Kanda ya Mbeya imeshauri pande zinazokidhana ndani ya Kanisa la Kiinjili la Kilutheni Tanzania (KKKT) Dayosisi ya Konde...

Habari MchanganyikoTangulizi

Mashtaka mapya 7 ya Sabaya na wezake, mvutano waibuka

  ALIYEKUWA Mkuu wa Wilaya ya Hai, Mkoa wa Kilimanjaro nchini Tanzania, Lengai Ole Sabaya na wenzake wanne wamefikishwa Mahakama ya Hakimu Mkazi...

Habari Mchanganyiko

Wadau wajadili changamoto Sheria ya Habari

WADAU wa habari nchini, wameishauri serikali kuhakikisha sheria zinazokandamiza tasnia ya habari nchini, zinapatiwa ufumbuzi. Anaandika Mwandishi Wetu…(endelea). Katika mkutano wa mtandaoni uliofanyika...

Habari Mchanganyiko

Wasomi Marekani watua nchini kujifunza mabadiliko tabianchi

Wasomi Marekani watua nchini kujifunza mabadiliko tabianchi WASOMI kutoka chuo cha Northeastern kilichopo katika mji wa Boston nchini Marekani wametua nchini kupitia Tume...

Habari MchanganyikoTangulizi

Rais Samia akemea magari ya Serikali kubeba mikaa, ‘sombasomba’

  RAIS Samia ameuagiza Mfuko wa Maendeleo ya Jamii (TASAF) kushirikiana na TAMISEMI kuhakikisha magari 123 yaliyogawiwa kwa mfuko huo na Halmashauri, hayatumiki...

Habari Mchanganyiko

NMB yawapa ‘laptop’ madereva, wamiliki pikipiki Dar

BENKI ya NMB Tanzania imekabidhi kompyuta mpakato ‘laptop’ kwa Chama cha Madereva na Wamiliki wa Pikipiki Mkoa wa Dar es Salaam (CMPD) ili...

Habari MchanganyikoTangulizi

Sabaya apandishwa tena kortini

  ALIYEKUWA Mkuu wa Wilaya ya Hai, Mkoa wa Kilimanjaro nchini Tanzania, Lengai Ole Sabaya leo Jumatano tarehe 1 Juni 2022, amepandishwa katika...

Habari Mchanganyiko

Tanzania, Zambia kujenga bomba mafuta safi Dar-Ndola

SERIKALI imetenga Sh. 500 milioni katika mwaka wa fedha 2022/23 kwaajili ya kuanza utekelezaji wa mradi wa ujenzi wa bomba la kusafirisha mafuta...

Habari Mchanganyiko

Ukusanyaji mapato: Majaliwa atoa maagizo vigogo Tamisemi

  WAZIRI Mkuu wa Tanzania, Kassim Majaliwa amemuagiza Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais- Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (Tamisemi), Innocent...

Habari Mchanganyiko

TBL, Vodacom wazindua mfumo wa malipo kwa wakulima ‘BanQu’

KAMPUNI ya Bia ya Tanzania (TBL) kwa kushirikiana na Kampuni ya Mawasiliano ya simu za mikononi ya Vodacom Tanzania amezindua mfumo wa malipo...

Habari Mchanganyiko

Mwalimu anayetuhumiwa ubakaji, ulawiti wanafunzi apandishwa kortini

  MWALIMU wa Shule ya Msingi Global International School iliyipo Vijana Wilaya ya Kinondoni jijini Dar es Salaam, Daniel Chacha Magere (26) amefikishwa...

Habari Mchanganyiko

Rais Samia: Niombeeni nikidhi matamanio ya Watanzania

  RAIS Samia Suluhu Hassan, amewaomba viongozi wa dini waendelee kuiombea Serikali ili aendelee kuongoza kwa uadilifu, haki pamoja na kukidhi matamanio ya...

Habari Mchanganyiko

Askofu Shoo alilia amani, upendo Tanzania

  MKUU wa Kanisa la Kiinjili la Kilutheri Tanzania (KKKT), Askofu Fredrick Shoo, ametoa mwito kwa Watanzania kuwa na imani thabiti badala ya...

Habari MchanganyikoTangulizi

Hukumu ya Sabaya yapigwa kalenda, sababu yatajwa

  MAHAKAMA ya Hakimu Mkazi Arusha nchini Tanzania imeahirisha kutoa hukumu ya kesi inayomkabili aliyekuwa Mkuu wa Wilaya ya Hai, Mkoa wa Kilimanjaro,...

Habari Mchanganyiko

NMB yawaita wafanyabiashara kuchangamkia fursa miradi ya kimkakati

BENKI ya NMB nchini Tanzania imesema ipo tayari kutoa fedha kuwezesha wafanyabisahara wakubwa, wakati na wadogo kuchangamkia fursa kwenye miradi mbalimbali ya kimkakati...

Habari Mchanganyiko

Vibanda 453 vyateketekea kwa moto Soko la Vetenari

SOKO la Vetenari, lililoko wilayani Temeke, Mkoa wa Dar es Salaam, limeteketea kwa moto usiku wa kuamkia leo Jumatatu, huku taarifa za awali...

Habari Mchanganyiko

Mbarawa akagua barabara VETA-Uhasibu, atoa darasa kwa madereva

WAZIRI wa Ujenzi na Uchukuzi, Profesa Makame Mbarawa amewataka madereva kutumia barabara ya juu ya Veta Chang’ombe na Uhasibu kwa kufuata sheria za...

Habari MchanganyikoTangulizi

Hii hapa mikoa mitano kinara kwa ukeketaji

SERIKALI ya Tanzania, imesema inaendelea kutoa afua za kutokomeza ukeketaji katika mikoa mitano yenye takwimu za juu, ikiongozwa na Manyara yenye asilimia 58...

Habari Mchanganyiko

Dk. Gwajima alia na uhaba wa maafisa ustawi wa jamii

WAZIRI wa Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wanawake na Makundi Maalum, Dk. Dorothy Gwajima, amesema wizara yake ina uhaba wa maafisa maendeleo ya jamii...

Habari Mchanganyiko

Ekari 140 zatengwa ujenzi soko la kimataifa mpakani mwa Tanzania, Kenya

SERIKALI kupitia Halmashauri ya Wilaya ya Moshi imetenga eneo lenye ukubwa wa ekari 140 katika eneo la Lokolova kwa ajili ya ujenzi wa...

Habari Mchanganyiko

Flaviana Matata Foundation, Marie Stopes yaamsha ari matumizi ya taulo za kike kipindi cha hedhi

MWANAMITINDO maarufu nchini Tanzania, Flaviana Matata kwa kushirikiana na Taasisi MarieStopes Tanzania wameitaka jamii kuamini hedhi iwe kama moja ya maisha ya kawaida...

Habari Mchanganyiko

Mfumo kuchakata majitaka wa DUWASA wamkosha katibu mkuu

KATIBU Mkuu Ofisi ya Makamu wa Rais nchini Tanzania, Mary Maganga ameipongeza Mamlaka ya Majisafi na Usafi wa Mazingira Dodoma (DUWASA) kwa kuwa...

HabariHabari Mchanganyiko

Pollicy wazindua mtaala wa ‘Vote Women’ kuwapiga msasa madiwani wanawake kukabili ukatili mitandaoni

KATIKA kuwajengea uwezo wanasiasa wanawake kuhusu matumizi sahihi ya majukwaa ya mitandaoni, Shirika la Pollicy limezindua mtaala unaofahamika kwa jina la ‘Vote Women’...

Habari Mchanganyiko

Bosi NMB ashinda tuzo ya Mkurugenzi Mtendaji Bora wa Kibenki Afrika 2022

AFISA Mtendaji Mkuu wa Benki ya NMB, Ruth Zaipuna ametangazwa kuwa mshindi wa kipengele cha Afisa Mtendaji Mkuu Bora Africa kwa Mwaka 2022...

Habari Mchanganyiko

Bashungwa aagiza nafasi za kukaimu zijazwe

WAZIRI wa Nchi Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa, Innocent Bashungwa amewaelekeza Katibu Mkuu, Utumishi na TAMISEMI kufanya maamuzi...

Habari Mchanganyiko

Benki ya Exim Yakabidhi Msaada wa Madawati 100 Shinyanga

BENKI ya Exim Tanzania imekabidhi msaada wa madawati 100 yenye thamani ya Sh milioni 20 kwa Mkuu wa Mkoa wa Shinyanga,  Sophia Mjema...

Habari MchanganyikoHabari za Siasa

Chongolo awapa ujumbe wa matumiani wakumila tumbaku

  KATIBU Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Daniel Chongolo amewataka wananchi wa Mkoa wa Shinyanga na maeneo mengine kuchangamkia kilimo cha tumbaku...

Habari Mchanganyiko

Chongolo atoa siku 60 kwa MSD kupeleka vifaatiba hospitali Ushetu

  KATIBU wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Daniel Chongolo ameitaka Serikali ichukue hatua za haraka na ndani ya miezi miwili ya Bohari ya...

Habari Mchanganyiko

NMB yafadhili wiki ya unywaji maziwa Katavi

  BENKI ya NMB nchini Tanzania imekabidhi tisheti 300 kwa uongozi wa Mkoa wa Katavi zitakazotumika katika maadhimisho ya wiki ya unywaji maziwa...

Habari MchanganyikoTangulizi

#LIVE: Tuzo za EJAT2021, Majaliwa atoa ujumbe kwa MCT

  WAZIRI Mkuu wa Tanzania, Kassim Majaliwa amelitaka Baraza la Habari Tanzania (MCT), kusimamia vyema vyombo vya habari ili vitekeleze majukumu yake kwa...

Habari Mchanganyiko

Wananchi wataka chombo huru usimamizi Hifadhi ya Ngorongoro

  KAMATI ya kutafuta suluhu za mgogoro wa ardhi katika Hifadhi ya Ngorongoro nchini Tanzania imeshauri kiundwe chombo maalumu kitakachosimamia, ratibu na kudhibiti...

Habari Mchanganyiko

Serikali yatoa viwanda 10 viendelezwe, yawapa siku 21

  SERIKALI ya Tanzania kupitia Ofisi ya Msajili wa Hazina imekabidhi kwa taasisi nne viwanda 10 ambavyo wawekezaji wake walishindwa kuviendeleza kulingana na...

Habari Mchanganyiko

Uchaguzi TLS: Mtobesya atoa ujumbe

  SAA chache kupita tangu Profesa Edward Hoseah kutangzwa mshindi wa urais wa Chama cha Wanasheria Tanganyika (TLS), Jeremiah Mtobesya ametoa ujumbe wa...

Habari Mchanganyiko

Waziri Mkuu apokea maoni ya wakazi wa Ngorongoro

WAZIRI MKUU Kassim Majaliwa jana tarehe 25 Mei, 2022 amepokea mapendekezo kutoka kwa wananchi wa Tarafa za Loliondo, Ngorongoro na Sale kuhusu namna...

Habari MchanganyikoTangulizi

Ni Profesa Hoseah tena TLS

  PROFESA Edward Hoseah kwa mara nyingine amechaguliwa kuwa Rais wa Chama cha Wanasheria Tanganyika (TLS). Anaripoti Mwandishi Wetu, Arusha … (endelea) Ni...

Habari Mchanganyiko

BRELA watangaza operesheni maalum, kufuta kampuni 5,000

  WAKALA wa Usajili wa Biashara na Leseni nchini (BRELA), imetangaza kusudio la kufanya operesheni endelevu ya kuzifuta kampuni zinazokiuka sheria, ambapo zaidi...

Habari Mchanganyiko

NMB yapiga tafu milioni 20 kinara wa ubunifu UDSM

BENKI ya NMB nchini Tanzania, imekabidhi mfano wa hundi ya Sh.20   milioni kwa kinara wa ubunifu wa Chuo Kikuu cha Dar es Salaam...

error: Content is protected !!