SHIRIKA la Bima Zanzibar (ZIC) limehitimisha maadhimisho ya miaka 53 tangu kuanzishwa kwake kwa kuzindua program ya online (Online App) ijulikanayo kama ZIC...
By Gabriel MushiJune 20, 2022BENKI ya NMB nchini Tanzania imesaini randama ya makubaliano kati yake na Ofisi ya Mrajisi wa Vyama vya Ushirika wa kujenga maghala kwenye...
By Gabriel MushiJune 20, 2022RAIS Samia Suluhu Hassan ametoa wito kwa wazazi na walezi kuwalea vizuri watoto wao kwani wasipolelewa ipasavyo watazalisha ‘panya road’ wengi, ambao wanaisumbua...
By Gabriel MushiJune 19, 2022WAZIRI wa Nchi Ofisi ya Rais, Fedha na Mipango, Saada Mkuya hii jana tarehe 18 Juni, 2022 amewaongoza maofisa waandamizi pamoja na wafanyakazi...
By Gabriel MushiJune 19, 2022CHAMA cha ACT-Wazalendo, kimeshauri maoni na mapendekezo yatakayotolewa na Kikosi Kazi kilichoundwa na Rais Samia kwa ajili ya kutafuta muarobaini wa changamoto za...
By Gabriel MushiJune 18, 2022KATIBU wa Chadema mkoani Ruvuma, Tasilo Bathlomew Milinga, leo Jumamosi, ametangaza kujiunga rasmi na Chama cha ACT-Wazalendo, huku akitaja sababu zilizopelekea kuchukua uamuzi...
By Gabriel MushiJune 18, 2022KIONGOZI wa chama cha Wiper nchini Kenya, Kalonzo Musyoka, amekutana na udhalilishaji akiwa jukwaani baada ya kundi kubwa la wananchi wanaomsikiliza kumzomea akifanya...
By Gabriel MushiJune 18, 2022MWANAUME mmoja raia wa Pakistani ameripotiwa kuchoma moto kaburi la mama mkwe wake aliyefariki miaka 25 iliyopita huko Layyah, jimbo la Punjab. BBC...
By Gabriel MushiJune 18, 2022WIZARA ya Elimu, Sayansi na Teknolojia kupitia mradi wa EASTRIP imekipatia Chuo cha Taifa cha Usafirishaji (NIT) zaidi ya Sh.49 bilioni kwa ajili...
By Gabriel MushiJune 18, 2022MAWAKILI wa upande wa utetezi katika kesi inayomkabili Mchungaji Diana Bundala, maarufu kama ‘Mfalme Zumaridi’ na wenzake wameiomba Mahakama ya Hakimu Mkazi Mwanza...
By Mwandishi WetuJune 17, 2022SERIKALI ya Tanzania imewapandisha kizimbani aliyekuwa Mkurugenzi wa Jiji la Arusha, Dk. John Pima na wenzake wanne kwa mashitaka kutenda makosa nane...
By Mwandishi WetuJune 17, 2022SERIKALI imesema jumla ya Sh66.86 bilioni zimekusanywa tangu kuanza kutoza tozo za kuvuka daraja la Kigamboni mwaka 2016. Anaripti Mwandishi Wetu, Dodoma...
By Mwandishi WetuJune 17, 2022MKUU wa Mkoa wa Dodoma (RC), Anthony Mtaka ameagiza Jiji la Dodoma kuharakisha sheria ndogondogo za mazingira ili kuweka hali ya usafi katikati...
By Gabriel MushiJune 16, 2022UNAWEZA kusema kwamba Mr Eazi, msanii wa muziki kutoka nchini Nigeria aliyepata umaarufu mkubwa kupitia wimbo wake wa Leg Over, amepiga ndege wawili...
By Gabriel MushiJune 16, 2022GODBLES Sawe, mkazi wa Kimara jijini Dar es Salaam, anatafutwa na Jeshi la Polisi Kanda Maalum ya Dar es Salaam, kwa tuhuma...
By Mwandishi WetuJune 16, 2022WANAFUNZI kutoka Chuo Kikuu cha Dodoma na Chuo Kikuu cha Dar es Salaam ni miongoni mwa washiriki wa fainali za Mashindano ya kimataifa...
By Gabriel MushiJune 16, 2022SHIRIKA la Mpango wa Chakula Duniani (WFP) linararajia kununua tani 43,000 za mahindi, maharage na mtama kwa wakulima kutoka mikoa mbalimbali. Anaripoti Mwandishi...
By Mwandishi WetuJune 16, 2022KATIBU Mkuu Wizara ya Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Balozi Joseph Sokoine leo tarehe 15 Juni, 2022 amekutana na kufanya...
By Gabriel MushiJune 15, 2022WAZIRI wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Balozi Liberata Mulamula jana tarehe 14 Juni, 2022 amewasili nchini Finland kwa ziara...
By Gabriel MushiJune 15, 2022BENKI ya NMB nchini Tanzania wamekabidhi Sh30.7 bilioni kwa Serikali huku Makamu wa Rais, Dk Philip Mpango akisema benki hiyo imefanya siku yake...
By Gabriel MushiJune 15, 2022WAZIRI wa Mambo ya Ndani ya Nchi Hamad Yusufu Masauni ameitaka Idara ya Uhamiaji nchini kusimamia uingiaji na utokaji wa wageni katika...
By Mwandishi WetuJune 15, 2022MAKAMU wa Rais wa Tanzania, Dk. Philip Mpango, ameagiza mashirka yote yanayotakiwa kutoa gawio kwa Serikali kufanya hivyo mara moja. Anaripoti Mwandishi Wetu,...
By Mwandishi WetuJune 15, 2022MKUU wa Mkoa wa Mwanza Mhandisi Robert Gabriel hivi karibuni aliungana maofisa waandamizi wa Benki ya Taifa ya Biashara (NBC) kuwafunda wafanyabiashara wakubwa...
By Gabriel MushiJune 15, 2022MSIMU wa tatu wa Kampeni ya Weka Akiba na Ushinde iitwayo NMB Bonge la Mpango, inayoendeshwa na Benki ya NMB nchini Tanzania, umezinduliwa...
By Gabriel MushiJune 15, 2022BODI ya Wakurugenzi wa Baraza la Taifa la Usimamizi wa Mazingira (NEMC), imefanya ziara katika mradi wa reli ya kisasa (SGR) na...
By Mwandishi WetuJune 14, 2022BEI za nywele bandia maarufu kama mawigi, zinatarajiwa kupanda ifikapo Julai Mosi mwaka huu, baada ya Nchi wanachama wa Jumuiya ya Afrika...
By Mwandishi WetuJune 14, 2022MAHAKAMA ya Wilaya ya Kinondoni imeahirisha kutoa uamuzi juu ya maombi ya familia ya marehemu Stella Moses (30) aliyedaiwa kujinyonga kwenye kituo...
By Faki SosiJune 14, 2022CHAMA cha ACT-Wazalendo, kimeishauri Serikali kuchukua hatua za haraka kupunguza changamoto ya uhaba wa walimu nchini. Anaripoti Mwandishi Wetu, Ruvuma…(endelea). Ushauri huo umetolewa...
By Gabriel MushiJune 13, 2022PROMOSHENI ya teleza kidigitali ya Benki ya NMB nchini Tanzania imeendelea kusambaa nchini humo kwa kufika Wilaya ya Kahama, Mkoa wa Shinyanga. Anaripoti...
By Gabriel MushiJune 13, 2022KUELEKEA maadhimisho ya miaka 53 tangu kuanzishwa kwake, Shirika la Bima Zanzibar (ZIC), limeandaa matukio kadhaa ikiwemo kutoa msaada wa vifaa tiba katika...
By Gabriel MushiJune 13, 2022JAJI Eliezer Feleshi, Mwanasheria Mkuu wa Serikali (AG) nchini Tanzania, amesema wanahabari wanapaswa kuwa na bodi watayoisimamia wenyewe kulinda maadili ya habari....
By Mwandishi WetuJune 13, 2022WAKALA wa Usajili wa Biashara na Leseni (BRELA), umefungua zoezi la usikilizaji kampuni zenye migogoro na changamoto mbalimbali, kwa ajili ya kutafuta...
By Regina MkondeJune 13, 2022SERIKALI imesema katika kuboresha sekta ya kilimo ikiwemo kuongeza mnyororo wa thamani imeongeza bajeti yake mara mbili zaidi kutoka Sh bilioni 228...
By Mwandishi WetuJune 13, 2022MTANDAO wa Jinsia Tanzania (TGNP) umekutana na wadau pamoja na Wabunge wanawake vinara wa jinsia bungeni Dodoma na kuwapa mafunzo ya umuhimu wa ...
By Gabriel MushiJune 13, 2022IKIWA imebaki siku moja Serikali kuwasilisha Bajeti Kuu bungeni, Askofu wa Kanda ya kati wa makanisa la Baptist, Antony Mlyashimba ameitaka ametoa wito...
By Gabriel MushiJune 13, 2022AFISA Mtendaji Mkuu wa NMB nchini Tanzania, Ruth Zaipuna ameongoza ujumbe wa benki hiyo kumtembelea Katibu Mkuu Wizara ya Elimu, Sayansi na Teknolojia,...
By Gabriel MushiJune 13, 2022JAMII imetakiwa kuendelea kujitokeza kwa wingi kusaidia kundi la wasichana wenye ulemavu taulo za kike ili kuwawezesha kujistili kipindi wanapoingia mzunguko wa...
By Mwandishi WetuJune 13, 2022SERIKALI imesema hakuna kikosi cha askari waliokwenda kuua watu au kufukuza watu kutoka katika tarafa ya Loliondo na eneo la Kreta ya Ngorongoro...
By Gabriel MushiJune 12, 2022BARAZA la Maaskofu wa Kanisa la Kipentecost Tanzania (CPCT) limesema litawahamasisha waumini wake na kuwapatia elimu juu ya umuhimu wa kujitokeza wakati...
By Danson KaijageJune 11, 2022NAIBU Meya wa Jiji la Dodoma, Emmanuel Chibango amewaomba Watanzania kuitumia mitandao mbalimbali ya mawasiliano kwa lengo la kujiletea maendeleo na kusaidia...
By Danson KaijageJune 11, 2022MKUU wa mkoa wa Mwanza, Mhandisi Robert Gabriel amewataka wakazi wa mkoa huo kuipokea filamu ya Royal tour ambayo inatarajiwa kuonyeshwa tarehe 18...
By Gabriel MushiJune 11, 2022MKUU wa Mkoa wa Arusha, John Mongela leo tarehe 11 Juni, 2022 amethibisha kutokea kwa mapigano katika wilayani Ngorongoro tarafa ya Loliondo...
By Mwandishi WetuJune 11, 2022MKUU wa wilaya Tandahimba mkoani Mtwara, Kanali Patrick Sawala ametoa wito kwa vijana wakazi wa mikoa na wilaya za mpakani mwa nchi kutokubali...
By Gabriel MushiJune 10, 2022WAZIRI wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Balozi Liberata Mulamula amewasilisha ujumbe maalum wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa...
By Gabriel MushiJune 10, 2022BENKI ya NMB Tanzania jana Ijumaa tarehe 10 Juni 2022 kwa kushirikiana na Kampuni ya Bima ya Jubilee Health wamezindua kifurushi kipya cha...
By Gabriel MushiJune 10, 2022KUTOKANA na kuwepo mfululizo wa matukio ya mauaji miongoni mwa jamii nchini, Mufti wa Tanzania, Sheikh Dk. Abubakar Zubeir amesema chanzo ni...
By Mwandishi WetuJune 10, 2022KATIKA mwaka 2021 tani 22.74 za bangi zilikamatwa ikiwa ni ongezeko la asilimia 72 ya kiasi kilichokamatwa mwaka 2020. Anaripoti Danson Kaijage,...
By Mwandishi WetuJune 10, 2022RAIS wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan ameonesha kusikitishwa na mifarakano inayotokea katika nyumba za ibada baina ya viongozi wa dini. Anaripoti Mwandishi...
By Mwandishi WetuJune 10, 2022AFISA Mtendaji Mkuu wa Mamlaka ya Majisafi na Usafi wa Mazingira Dar es Salaam (DAWASA), Mhandisi Cyprian Luhemeja amesema Mamlaka hiyo imejipanga...
By Mwandishi WetuJune 10, 2022WADAU wa tasnia ya habari nchini Tanzania, wameshauri Sheria ya Makosa ya Mtandaoni ya mwaka 2015, ifutwe ili kutoa nafasi ya kutungwa...
By Regina MkondeJune 10, 2022