MUFTI wa Tanzania, Sheikh Abubakar Zubeir, amesema sensa ni msingi mkubwa wa maenndeleo ya mtu na hivyo kutoa wito kwa waislamu wote kushiriki...
By Gabriel MushiJuly 10, 2022SHIRIKA la Ndege Tanzania (ATCL) imerejesha safari za kutoka Dar es Salaam kwenda Guangzhou China kuanzia tarehe 17 Julai, 2022. Anaripoti Mwandishi Wetu…(endelea)....
By Gabriel MushiJuly 10, 2022WAZIRI MKUU Kassim Majaliwa amewasihi waislam nchini waendelee kudumisha amani, upendo, umoja, mshikamano, kuhurumiana, utulivu sambamba na kujiepusha na vitendo vinavyoashiria vurugu, uonevu...
By Gabriel MushiJuly 10, 2022SHEIKH wa Mkoa wa Dodoma Alhaji Shaban Rajabu amewahimiza waumini wa dini ya Kiislam kuhakikisha wanashiriki katika sensa ya watu na makazi inayotarajiwa...
By Gabriel MushiJuly 10, 2022WANAFUNZI wa ngazi mbalimbali za elimu wametakiwa kutembelea vivutio vya utalii vilivyopo hapa nchini kwa kuwa kufanya hivyo kunawapa fursa ya kutambua uzuri...
By Gabriel MushiJuly 10, 2022WATUMISHI wa Mamlaka ya Viwanja vya Ndege Tanzania (TAA) wamehimizwa kufanya kazi kwa kutumia TEHAMA, ili kufanikisha malengo ya serikali ya kutoa huduma...
By Gabriel MushiJuly 10, 2022WANAFUNZI na wadau mbalimbali wametakiwa kuchangamkia fursa ya ajira katika Mamlaka ya Udhibiti Mkondo wa Juu wa Petroli (PURA) kwani taasisi hiyo...
By Mwandishi WetuJuly 10, 2022RAIS Samia Suluhu Hassan amesema amepokea kwa huzuni taarifa ya kifo cha muigizaji mkongwe Chuma Selemani (Bi Hindu). Anaripoti Mwandishi Wetu, Dar...
By Mwandishi WetuJuly 10, 2022WAZIRI MKUU Kassim Majaliwa amezitaka Halmashauri za Wilaya nchini kuweka mipango ya kuibua fursa za utalii ili zinufaike na idadi kubwa ya...
By Mwandishi WetuJuly 9, 2022WAFANYABIASHARA sita wakazi wa Kariakoo jijini Dar es Salaam, wamefikishwa katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu wakikabiliwa na mashitaka ya ukwepaji kodi...
By Mwandishi WetuJuly 9, 2022SHEIKH wa Mkoa wa Dodoma, Alhaji Mustafa Rajabu amekemea vikali vitendo vya kikatili na unyanyasaji ambavyo vinafanywa na baadhi ya watu na...
By Danson KaijageJuly 8, 2022SHEIKH wa Mkoa wa Dodoma, Alhaji Mustafa Rajabu amekemea vikali vitendo vya kikatili na unyanyasaji ambavyo vinafanywa na baadhi ya watu na kueleza...
By Gabriel MushiJuly 8, 2022BENKI ya NMB imekabidhi Sh.10 milioni kwa Chama Cha Netiboli Tanzania (CHANETA) ikiwa na udamini wa Club Bingwa wa Netiboli Ligi Daraja la...
By Gabriel MushiJuly 8, 2022MAHAKAMA Kuu ya Tanzania, Masjala Kuu ya Dar es Salaam, inatarajia kutoa uamuzi dhidi ya maombi yaliyofunguliwa na wabunge viti maalum 19, wakiongozwa...
By Gabriel MushiJuly 8, 2022POLISI katika mji mkuu wa Kenya, Nairobi, wamemkamata mwanafunzi wa udaktari anayedaiwa kughushi utekaji nyara wake mwenyewe ili kudai kikombozi kutoka kwa wazazi...
By Gabriel MushiJuly 8, 2022WAZIRI Mkuu wa zamani wa Japan Shinzo Abe (67) amefariki dunia, kwa mujibu wa vyombo vya habari vya kimataifa. Anaripoti Mwandishi Wetu kwa...
By Gabriel MushiJuly 8, 2022JAJI Mkuu wa Tanzania, Profesa Ibrahim Juma, amewataka mawakili wapya na wale wa zamani ambao hawana ajira, kujikita katika masuala ya usuluhishi kwani...
By Gabriel MushiJuly 8, 2022RAIS wa Chama cha Wanasheria wa Tanganyika (TLS), Profesa Edward Hoseah, amewataka mawakili wapya, kuwasaidia wananchi katika kutatua migogoro inayowakabili.Anaripoti Regina Mkonde, Dar...
By Gabriel MushiJuly 8, 2022NAIBU Mwanasheria Mkuu wa Serikali, Dk. Evaristo Longopa, amewataka mawakili kutokuwa chanzo cha kukwamisha uendeshaji mashauri, ili haki itendeke kwa wakati. Anaripoti Regina...
By Gabriel MushiJuly 8, 2022MKURUGENZI Mkuu Mamlaka ya Udhibiti Mkondo wa Juu wa Petroli (PURA), Mhandisi Charles Sangweni amesema iwapo hakutakuwa na vikwazo, uzalishaji wa Mradi wa...
By Gabriel MushiJuly 7, 2022BENKI ya NMB nchini Tanzania imeendelea kujidhatiti kibiashara na kujiimarisha kulihudumia taifa kupitia mtandao wake wa matawi ambao sasa umefikia matawi 227. Anaripoti...
By Gabriel MushiJuly 7, 2022MAKAMU wa Rais Dk. Philip Mpango ametoa maelekezo saba kwa Wizara na taasisi mablimbali nchini katika kuhakikisha Kiswahili kinatumika ipasavyo katika shughuli...
By Jonas MushiJuly 7, 2022VIONGOZI, taasisi, wakulima na wadau mbalimbali wa zao la mwani wanatarajiwa kushiriki Kongano Bunifu la Mwani Zanzibar (Zasci) kuanzia tarehe 23 Julai...
By Mwandishi WetuJuly 7, 2022UONGOZI wa Soko la bonanza katika ya kata ya Chamwino umesema kuna uwezekano wa wafanyabiashara na wateja wa soko hilo kukumbwa na...
By Mwandishi WetuJuly 7, 2022MKURUGENZI Mkuu wa UNESCO duniani, Audrey Azoulay, ameungana na mataifa yote duniani kuadhimisha siku ya Kiswahili duniani kwa kutuma ujumbe unaosisitiza kutumia...
By Mwandishi WetuJuly 7, 2022WAZIRI wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu (Sera, Bunge na Uratibu), George Simbachawene anatarajiwa kuzindua harambee ya Kampeni ya GGM Kili Challenge kwa...
By Gabriel MushiJuly 7, 2022TAREHE 7 Julai kila mwaka sasa inatambulika kuwa ni siku ya Kiswahili duniani ambapo leo ndiyo mara ya kwanza siku hiyo kusheherekewa...
By Jonas MushiJuly 7, 2022CHAMA Cha Mapinduzi (CCM), kimeitaka Wizara ya Uwekezaji, Viwanda na Biashara na Mamlaka ya Maendeleo ya Biashara Tanzania (TanTrade) wametakiwa kuangalia upya...
By Seleman MsuyaJuly 7, 2022MKURUGENZI wa Mradi wa Usafirishaji wa Mabasi yaendayo Haraka Dar es Salaam (UDART), Robert Kisena na wenzake, wamesomewa mashtaka 25 ikiwemo ya utakatishaji...
By Mwandishi WetuJuly 6, 2022MAKAMU Mwenyekiti wa CCM Bara, Abdulrahman Kinana amesema kuna Ushahidi wa kila aina kuwa Kiswahili ndiyo lugha ya ukombozi Afrika. Anaripoti Mwandishi...
By Mwandishi WetuJuly 6, 2022MAMLAKA ya Udhibiti wa Huduma za Nishati na Maji (EWURA) imetangaza bei mpya za mafuta kwa mwezi Julai ambapo bei ya petroli...
By Mwandishi WetuJuly 5, 2022KATIBU Mkuu Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (TAMISEMI), Profesa Riziki Shemdoe amewasilisha maoni ya Wizara hiyo kwenye kikosi...
By Gabriel MushiJuly 5, 2022BENKI ya NMB nchini Tanzania imesisitiza dhamira yake ya kuendelea kuwawezesha wanawake wajasiriamali kote nchini ikiwa ni sehemu ya dhamira yake ya kuhakikisha...
By Gabriel MushiJuly 5, 2022KATIBU wa Itikadi na Uenezi wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), ametembelea ofisi za magazeti ya Raia Mwema na MwanaHALISI, ikiwa ni muendelezo...
By Regina MkondeJuly 5, 2022KAMPUNI ya Barrick nchini Tanzania imekuwa mmoja wa wadau wakuu waliofanikisha maadhimisho ya Siku ya Canada, ambapo baadhi ya wafanyakazi wake walishiriki...
By Mwandishi WetuJuly 4, 2022MAMLAKA ya Udhibiti Mkondo wa Juu wa Petroli nchini Tanzania (PURA), imeanzisha Kanzidata (CQS) ambayo itawezesha kampuni na mtu mmoja mmoja kujisajili...
By Masalu ErastoJuly 4, 2022BRANCH, kampuni inayoongoza duniani kwa utoaji mikopo kwa watu binafsi kwa njia ya simu za mikononi, imeelezea nia yake thabiti ya kuwafikishia huduma...
By Gabriel MushiJuly 4, 2022RAIS Samia Suluhu Hassan leo tarehe 4 Julai, 2022 ametengua uteuzi wa mkurugenzi Mkuu wa Mamlaka ya Usimamizi wa Bandari (TPA), Eric...
By Mwandishi WetuJuly 4, 2022CHAMA cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), kimewasilisha ombi kwa mahakama kuu, masjala ya Dodoma, kuomba itoe amri kwa Jeshi la Polisi mkoani humo,...
By Gabriel MushiJuly 4, 2022BENKI ya NMB nchini Tanzania imeendealea kuhamashisha wananchi na wafanyabiashara wa Kanda ya Ziwa kuchangamkia mikopo mbalimbali ikiwemo ya boti za uvuvi ili...
By Gabriel MushiJuly 4, 2022VIJANA wametakiwa kujiunga na kozi ya teknolojia ya uzalishaji wa miwa na sukari ili waongeze chachu ya uzalishaji wa sukari na kukidhi mahitaji...
By Gabriel MushiJuly 4, 2022RAIS Samia Suluhu Hassan, amesema haridhishwi na kasi ya utendaji wa bandari za Tanzania na kuwataka watendaji waache siasa na longolongo wakati wa...
By Gabriel MushiJuly 4, 2022RAIS Samia Suluhu Hassan, amemuagiza Mwanasheria Mkuu wa Serikali (AG), Jaji Eliezer Feleshi kufanya mchakato wa marekebisho ya Sheria ya Ubia kati ya...
By Gabriel MushiJuly 4, 2022RAIS Samia Suluhu Hassan amesema Serikali imetoa fedha kwa ajili ya ununuzi wa vifaa vya treni ya kisasa, huku akisema miongoni mwa vifaa...
By Gabriel MushiJuly 4, 2022WATU saba wamefariki dunia na wengine watano kujeruhiwa kwenye ajali iliyohusisha gari aina ya Toyota Landcruiser yenye namba za usajili STL 9534...
By Mwandishi WetuJuly 3, 2022RAIS Samia Suluhu Hassan, ameipongeza timu ya madaktari na wauguzi wa Hospitali ya Taifa ya Muhimbili, waliofanikisha upasuaji wa kuwatenganisha mapacha waliokuwa...
By Mwandishi WetuJuly 2, 2022WAZIRI Mkuu Kassim Majaliwa amemueleza Sheikh Mkuu wa mkoa wa Dar es Salaam, Alhad Mussa Salum kwamba dua aliyomuombea ili aoe mke...
By Mwandishi WetuJuly 2, 2022MAKUSANYO ya mapato ya Tanzania, kwa mwaka wa fedha ulioisha wa 2021/22, yameongezeka kwa kwa asilimia 22.77, kutoka Sh. 18.15 trilioni (2020/21)...
By Regina MkondeJuly 2, 2022WATU watano wamepoteza maisha mkoani Tabora, huku wengine 17 wakijeruhiwa katika ajali ya basi. Anaripoti Mwandishi Wetu, Tabora … (endelea). Akitoa taarifa...
By Mwandishi WetuJuly 2, 2022SHEIKH Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Alhad Mussa Salum amemuombea Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa aoe mke wa pili ilia pate...
By Mwandishi WetuJuly 2, 2022