KIBOKO dume ambaye kwa muda mrefu amekuwa akisumbua wananchi wa kata ya Mabilioni wilayani Same Mkoa wa Kilimanjaro na kukwamisha shughuli za maendeleo...
By Gabriel MushiJuly 30, 2022WAZIRI wa Nchi, Ofisi ya Makamu wa Rais Muungano na Mazingira, Selemani Jafo ameiagiza Ofisi ya Mkurugenzi wa Jiji la Dodoma kutenga...
By Danson KaijageJuly 30, 2022WAZIRI wa Maendeleo ya jamii, Dk. Doroth Gwajima amesema jumla ya watoto 11,499 wamefanyiwa ukatili mwaka jana. Kati yao 5,899 walibakwa na...
By Mwandishi WetuJuly 30, 2022BENKI ya NMB imeendeleza ufanisi wake kiutendaji katika kipindi cha nusu ya kwanza ya mwaka 2022. Anaripoti Mwandishi Wetu…(endelea). Faida kabla ya kodi...
By Gabriel MushiJuly 29, 2022WAKATI bara la Afrika likiwa kinara kwenye maambukizi ya ugonjwa wa homa ya ini duniani, Serikali ya Tanzania imetoa tahadhari juu ya maambukizi...
By Gabriel MushiJuly 28, 2022KATIBU Mtendaji wa Tume ya Madini, Mhandisi Yahya Samamba amesema katika kipindi cha mwezi Julai 2021 hadi Juni, 2022 wamekukusanya kiasi cha Sh...
By Gabriel MushiJuly 28, 2022WATANZANIA wanaotaka kupata utajiri wa haraka wametakiwa kufanya kazi kwa bidii kwa ajili ya kuwaingizia kipato badala ya kufanya matambiko yenye kafara za...
By Mwandishi WetuJuly 28, 2022SHIRIKISHO la Vyama vya Wafanyakazi nchini (TUCTA) limepeleka mapendekezo yake Serikalini ya kutoridhika na nyongeza ya mishahara kwa watumishi wa umma iliyoanza...
By Danson KaijageJuly 28, 2022WANANCHI mbalimbali katika Wilaya ya Nkasi mkoani Rukwa wameiomba Serikali kuwapatia nishati safi na salama ya kupikia ili waweze kufanya shughuli za kuwaingizia...
By Gabriel MushiJuly 27, 2022WIZARA ya Afya kupitia Baraza la Tiba asili na Tiba mbadala limeifungia dawa ya Hensha ambayo ni maarufu kwa jina la Mkongo yenye...
By Mwandishi WetuJuly 27, 2022KONGAMANO la Siku ya Walimu na Benki ‘NMB Teachers Day’ Mkoa wa Dar es Salaam, limefanyika na kuhudhuriwa na Mkuu wa Mkoa (RC),...
By Gabriel MushiJuly 27, 2022MAHAKAMA ya Hakimu Mkazi mkoa wa Dar es Salaam – Kisutu imefunga jalada la kesi mbili kati ya tatu za uhujumu uchumi...
By Mwandishi WetuJuly 27, 2022WAKAZI wa Jiji la Dodoma wapatao 40,000 wanatarajiwa kunufaika kwa kuunganishiwa maji kutokana na fedha za mkopo wa masharti nafuu za UVIKO...
By Danson KaijageJuly 27, 2022RAIS wa Shirikisho la Vyama vya Wafanyakazi nchini Tanzania (TUCTA), Tumaini Nyamhokya, amesema kitendo cha kumwongezea mtu Sh. 8,000 licha ya kutoongezewa mshahara...
By Mwandishi WetuJuly 26, 2022IFIKAPO mwisho wa mwezi Julai mwaka huu mabasi yote yaendayo mikoani na nchi jirani yatalazimika kuingia katika mfumo wa tiketi za kielekroniki vingenevyo...
By Danson KaijageJuly 26, 2022WATU 10 ikiwemo wanafunzi wanane, wamefariki dunia huku 17 wakijeruhiwa katika ajali ya gari iliyotokea maeneo ya Mji Mwema, mkoani Mtwara. Anaripoti...
By Mwandishi WetuJuly 26, 2022BENKI ya NMB imekabidhi msaada wa vifaa mbalimbali vyenye thamani ya Sh.39 milioni kwa shule tano za Temeke jijini Dar es Salaam huku...
By Gabriel MushiJuly 25, 2022WAKATI Serikali ikipambana kupunguza vifo vitokanavyo na ajali barabarani Taasisi ya Tanzania Road Safety Initiatives (TARSI) imeunga mkono jitihada hizo kwa kutoa...
By Mwandishi WetuJuly 25, 2022BAADHI ya maafisa wa Jeshi la Polisi na waendesha mashtaka, kutoka mikoa ya Kanda ya Kusini, wamepewa mafunzo juu ya namna ya...
By Mwandishi WetuJuly 25, 2022HALMASHAURI ya jiji la Mbeya imeagizwa ndani ya miezi mitatu iwe imekamilisha ujenzi wa mnara wenye hadhi na uandikwe majina yote ya...
By Mwandishi WetuJuly 25, 2022KAMPUNI ya Geita Gold Mining Limited (GGML) kwa kushirikiana na Tume ya Kudhibiti Ukimwi nchini (TACAIDS), imeendelea kuweka rekodi utoaji wa huduma za...
By Gabriel MushiJuly 25, 2022BENKI ya Exim Tanzania imeelezea adhma yake ya kukuza na kuchochea ukuaji wa kiuchumi katika mikoa ya Lindi na Mtwara kwa kukuunga mkono...
By Gabriel MushiJuly 25, 2022RAIS Samia Suluhu Hassan amesisitiza kuwa Serikali imedhamiria kwa dhati kuendeleza maono ya shujaa Hayati Mwalimu Julius Nyerere kwamba makao makuu ya...
By Danson KaijageJuly 25, 2022KATIKA kuhakikisha inaunga mkono juhudi za serikali za kuboresha huduma za jamii kwa wananchi wake, Benki ya NMB imetoa vifaa mbalimbali kwenye shule...
By Gabriel MushiJuly 25, 2022MAKAMU Mwenyekiti wa Chama cha ACT- Wazalendo Zanzibar Othman Masoud Othman, amesema wanafanya kazi kubwa, ili Zanzibar iwe na mazingira bora ya uchaguzi...
By Gabriel MushiJuly 24, 2022MWENYEKITI wa Kamati ya Kitaifa ya Maaskofu na Mashehe ya Maadili, Amani na Haki za Binadamu kwa jamii ya Madhehebu nchini Askofu William...
By Gabriel MushiJuly 24, 2022RAIS wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan, amewataka wasafirishaji wanaotumia pikipiki maarufu kama bodaboda nchini humo kuachana na vitendo vya wizi wa ukwapuaji na...
By Mwandishi WetuJuly 24, 2022SERIKALI inatarajia kukutana na viongozi wa Shirikisho la Vyama vya Wafanyakazi (TUCTA) kwa lengo la kuwasikiliza na kutoa ufafanuzi kuhusu nyongeza ya mishahara...
By Mwandishi WetuJuly 24, 2022CHAMA cha ACT-Wazalendo, kimeitaka Serikali ichukue hatua za haraka kuimarisha uchumi wa Mkoa wa Tanga, ili irejee katika hadhi yake ya kiuchumi iliyokuwa...
By Gabriel MushiJuly 23, 2022RAIS wa Uganda, Yoweri Museveni pamoja na Rais wa Burundi, Evariste Ndayishimiye leo tarehe 23 Julai, 2022 kwa nyakati tofauti wameondoka katika uwanja...
By Gabriel MushiJuly 23, 2022JESHI la Polisi Kanda Maalum ya Dar es Salaam, limeanza uchunguzi wa vifo vya vijana mapacha waliofahamika kwa jina la Khalifu na Khalifa,...
By Gabriel MushiJuly 23, 2022MKUU wa wilaya ya Dodoma, Jabir Shekimweri amewataka wakazi wa jiji la Dodoma kujenga tabia ya kufanya usafi kila siku badala ya kusubiri...
By Gabriel MushiJuly 23, 2022KAMANDA wa Polisi wa Kanda Maalum ya Dar es Salaam, ACP Jumanne Muliro, amesema watu sita kati ya tisa wanaotuhumiwa kwa ujambazi,...
By Mwandishi WetuJuly 22, 2022WAZIRI wa Maji, Jumaa Aweso, amekutana na kufanya mazungumzo na Waziri wa Maji wa Jamhuri ya Watu wa India, Gajendra Singh Shekhawat,...
By Mwandishi WetuJuly 22, 2022IDADI ya kaya za wananchi waliokubali kuhama kwa hiari katika Hifadhi ya Ngorongoro, imeongezeka kutoka 296 Juni 2022, hadi kufikia 757 Julai,...
By Mwandishi WetuJuly 22, 2022ZAIDI ya zaidi ya Sh.998 milioni zinatarajiwa kutumika kwa ajili ya kuendeleza maeneo ya wazi na upandaji miti 1,927 katika Manispaa ya...
By Seleman MsuyaJuly 22, 2022WAZIRI wa Ujenzi na Uchukuzi, Prof. Makame Mbarawa ameitaka Bodi Mpya ya Ushauri ya Wakala wa Majengo Tanzania (TBA), kuuwezesha Wakala huo...
By Mwandishi WetuJuly 21, 2022SERIKALI ya Tanzania imesaini mkataba wa zaidi ya Sh 2.1 bilioni na nchi ya Brazili kwa ajili ya uboreshaji wa sekta ya...
By Mwandishi WetuJuly 21, 2022RAIS wa Uganda, Yoweri Museveni, amesema maradhi ya Uviko-19 na Vita vya Ukraine na Urusi ni fursa kwa nchi za Afrika....
By Mwandishi WetuJuly 21, 2022RAIS wa Kenya, Uhuru Kenyatta, amesema nchi za Jumuiya ya Afrika Mashariki (EAC), zina uhuru wa kisiasa, lakini zinahitaji uhuru wa kiuchumi....
By Mwandishi WetuJuly 21, 2022WAZIRI wa Maji, Jumaa Aweso, amezikaribisha kampuni za India kuja kuwekeza katika kuboresha zaidi miundombinu ambayo itasaidia kukuza uchumi wa Tanzania hususani...
By Mwandishi WetuJuly 21, 2022CHUO Kikuu cha Sokoine cha Kilimo (SUA), kimeanza kufundisha panya namna ya kutambua watu waliofukiwa na kifusi cha majengo, machimbo ya migodi...
By Seleman MsuyaJuly 20, 2022KATIBU Mkuu wa Wizara Katiba na Sheria, Mary Makondo amewataka Wakala wa Usajili, Ufilisi na Udhamini (RITA) kukusanya maoni kwa wananchi ili kutambua...
By Gabriel MushiJuly 20, 2022RAIS wa Jamhuri, Samia Suluhu Hassan, amemteuwa Camillus Mongoso Wambura, kuwa mkuu mpya wa jeshi la polisi nchini (IGP). Anachukua nafasi ya...
By Mwandishi WetuJuly 20, 2022WAZIRI Mkuu Kassim Majaliwa amezitaka Taasisi ya Elimu ya Juu nchini kutoa elimu itakayowezesha wahitimu kukubalika kwenye soko la ajira, anaripoti Faki Sosi...
By Gabriel MushiJuly 19, 2022MKUU wa Mkoa wa Dodoma, Antony Mtaka, ametoa siku 65 kwa Meneja wa Wakala wa Maji na Usafi wa Mazingira Vijijini (Ruwasa) kukabidhi...
By Gabriel MushiJuly 19, 2022SERIKALI ya Tanzania imewataka walimu kutumia fursa zinazotolewa na Benki ya NMB kujiwekea malengo binafsi na kujiendeleza ilikuboresha Hali ya maisha yao na...
By Gabriel MushiJuly 19, 2022JESHI la Polisi Kanda Maalum ya Dar es Salaam, linamshikilia Selemani Malima, anayetuhumiwa kwa mauaji ya mke wake, Husna Mjaliwa, kwa sababu ya...
By Gabriel MushiJuly 19, 2022WAKALA wa Maji Safi na Usafi wa Mazingira Vijijini (RUWASA), umesema kufikia mwishoni mwa mwezi huu miradi maji 172 inayojengwa na fedha za...
By Gabriel MushiJuly 19, 2022SERIKALI ya Tanzania, imeshauriwa kufanya marekebisho ya sheria zinazosimamia tasnia ya habari, yatakayowezesha wadau wake hususan waandishi wa habari, kuwa huru kutekeleza majukumu...
By Gabriel MushiJuly 19, 2022