KAMPUNI ya Geita Gold Mining Limited (GGML) imewaaga wahitimu 26 wa mafunzo tarajali waliokuwa wakifanya mafunzo katika kampuni hiyo kwa mwaka 2021/2022. Anaripoti...
By Gabriel MushiDecember 9, 2022JAMII imetakiwa kuamini na kutumia vyakula vinavyotokana na mazao ya kijenetiki (GMO) sababu hayaathiri chochote kwenye mwili wa binadamu ikiwemo kuwapa ugonjwa wa...
By Christina HauleDecember 9, 2022LILE Tamasha la Kuku choma litafanyika kesho Msasani Beach Club jijini Dar es Salaam. Anaripoti Mwandishi Wetu, Dar es Salaam … (endelea). Akizungumza...
By Mwandishi WetuDecember 9, 2022RAIS Samia Suluhu Hassan ametajwa na jarida la Forbes kwa mwaka wa pili mfululizo kuwa miongoni mwa wanawake 100 wenye ushawishi, nguvu...
By Mwandishi WetuDecember 9, 2022KUELEKEA siku 16 za kupinga ukatili wa kijinsia Serikali kwa kushirikiana na Shirika la kikristo la kuhudumia wakimbizi nchini (TCRS) wametoa mafunzo ya...
By Masalu ErastoDecember 8, 2022SHIRIKA la Umoja wa Mataifa la Kuhudumia Wakimbizi (UNHCR), limefanya maadhimisho ya miaka 30 ya Taasisi inayotoa ufadhili wa masomo kwa wakimbizi,...
By Mwandishi WetuDecember 8, 2022SHIRIKA linalosimamia haki za watetezi wa haki za binadamu Afrika (Defend Defenders), Kwa kushirikiana na Mtandao wa Watetezi wa Haki za Binadamu...
By Mwandishi WetuDecember 8, 2022SERIKALI ya Tanzania, imeombwa kuharakisha mchakato wa marekebisho dhidi ya vifungu vya sheria zinazokandamiza haki za binadamu, hususan uhuru wa kujieleza na...
By Regina MkondeDecember 8, 2022SERIKALI ya Tanzania, inajiandaa kuwasilisha bungeni jijini Dodoma, mabadiliko ya Sheria ya Huduma za Habari ya 2016, Ili kuondoa vifungu vinavyominya uhuru...
By Mwandishi WetuDecember 8, 2022MAMLAKA ya Kudhibiti na Kupambana na Dawa za Kulevya (DCEA) imekamata jumla ya kilo 16.643 za dawa ya kulevya zikijumuisha kilo 15.19...
By Mwandishi WetuDecember 7, 2022WAHITIMU wa elimu ya dini wa Chuo cha Jamiah Ahmadiyya kilichopo Kihonda Maghorofani katika manispaa ya Morogoro wametakiwa kuwa waadilifu na mfano...
By Mwandishi WetuDecember 6, 2022JESHI la Polisi Mkoa wa Songwe, limeanza uchunguzi wa madai ya Mkuu wa Wilaya ya Songwe, Simon Simalenga, kumshambulia kwa kumpiga ngumi...
By Mwandishi WetuDecember 6, 2022BENKI ya Taifa ya Biashara (NBC) imeendelea kugawa zawadi kwa washindi mbalimbali wa kampeni yake ya ‘Vuna zaidi na NBC Shambani’ msimu wa...
By Gabriel MushiDecember 5, 2022LICHA ya matokeo ya Sensa ya Watu na Makazi ya 2022 kuonyesha idadi ya wanawake ni kubwa kuliko wanaume, mambo matano yametajwa...
By Regina MkondeDecember 5, 2022KAMPUNI ya Infinix Tanzania ikishirikiana na Ubalozi wa Umoja wa Ulaya na Swideshi (UNCDF) wameandaa mdahalo wa FinTech ambao umelenga kuwakutanisha wadau...
By Mwandishi WetuDecember 5, 2022KANISA la Mlima wa Moto Mikocheni jijini Dar es Salaam, limezindua kongamano liitwalo SHILO kama sehemu ya kumuenzi mwanzilishi wa Kanisa hilo, Hayati...
By Mwandishi WetuDecember 5, 2022RAIS Dk. Samia Suluhu Hassan, ameagiza fedha kiasi cha Sh. 960 milioni, zilizotengwa kwa ajili ya maadhimisho ya miaka 61 ya uhuru...
By Mwandishi WetuDecember 5, 2022MBUNGE wa Nzega Vijijini Dk. Hamis Kigwangalla (CCM) amedai kuna ubadhirifu katika ununuzi wa mabehewa ya treni ya reli ya kisasa (SGR),...
By Mwandishi WetuDecember 5, 2022BENKI ya NMB imetangazwa kuwa Mwajiri bora wa mwaka 2022 katika hafla ya chakula cha jioni iliyoandaliwa na Chama cha Waajiri Tanzania (ATE)...
By Gabriel MushiDecember 4, 2022WAZIRI wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu Kazi, Vijana, Ajira na wenye ulemavu, Prof. Joyce Ndalichako kupitia tangazo la Serikali namba 697 la...
By Gabriel MushiDecember 4, 2022MKUU wa Wilaya wa Dodoma, Jabiri Shekimweli ametoa wito kwa viongozi wa dini nchini kuhubiri upendo, amani na utulivu pamoja na kupinga ukatili...
By Gabriel MushiDecember 4, 2022UINGIZAJI holela vifaranga kutoka nje ya nchi na kupanda kwa bei ya chakula zimetajwa kukwamisha wazalishaji na wafugaji wa kuku wazawa, hivyo kusitisha...
By Gabriel MushiDecember 4, 2022WAKAZI wa Mtaa wa CCT mkoani Morogoro wameangua vilio baada ya serikali wilayani Mvomero kutumia jeshi la polisi, magereza pamoja na jeshi la...
By Gabriel MushiDecember 4, 2022BENKI ya Exim Tanzania imeendelea kutamba kwenye tuzo za mwajiri bora mwaka 2022 (EYA 2022) baada ya kuibuka kinara kwenye kipengele cha Mwajiri...
By Gabriel MushiDecember 4, 2022MTENDAJI Mkuu wa Wakala wa Barabara za Vijijini na Mijini (TARURA), Mhandisi Victor Seif ameziomba Mamlaka za Serikali za Mitaa mkoani Tabora kuendelea...
By Gabriel MushiDecember 4, 2022MAHAKAMA Kuu kanda ya Dar es Salaam leo tarehe 2 Disemba, 2022 imewahukumu adhabu ya kunyongwa hadi kufa watu 11 waliokutwa na...
By Mwandishi WetuDecember 3, 2022WANANCHI wa vijiji vya Chitare na Makojo vilivyoko katika Jimbo la Musoma Vijijini wameanza kupata huduma ya maji safi na salama, baada...
By Mwandishi WetuDecember 2, 2022ZAIDI ya makazi 1214 ya watu waliovamia Msitu wa Morogoro uliopo chini ya Wakala wa Huduma za Misitu maarufu msitu wa kuni,...
By Mwandishi WetuDecember 2, 2022WAKALA wa Hifadhi ya Misitu Tanzania (TFS) imeanza zoezi la kuweka mpaka katika Msitu wa Morogoro maarufu Msitu wa Kuni uliopo Wilayani...
By Jonas MushiDecember 2, 2022SERIKALI kwa kushirikiana na wadau mbalimbali wa maendeleo nchini imekuwa mstari wa mbele kuunganisha nguvu katika kutokomeza ukatili wa kijinsia pamoja na...
By Mwandishi WetuDecember 2, 2022RAIS Dk. Samia Suluhu Hassan akimkabidhi Meneja Mwandamizi wa Afya, Usalama, Mazingira na Mafunzo wa Kampuni ya Geita Gold Mining Limited (GGML),...
By Mwandishi WetuDecember 1, 2022TAASISI ya Mwalimu Nyerere (MNF), imeshauriwa kuendeleza Program ya Ufadhili wa Umajumui wa Mwalimu Nyerere kwa Viongozi Vijana Afrika (Mwalimu Nyerere Pan-Africa...
By Seleman MsuyaDecember 1, 2022MSIMU wa nne wa promosheni ya NMB MastaBata kwa ajili ya kuchagiza matumizi ya kadi za malipo za kidijitali umezidi kunoga baada ya...
By Gabriel MushiDecember 1, 2022Ofisa Mtendaji Mkuu wa Benki ya Exim Tanzania, Jaffari Matundu (kulia) akipokea tuzo kwa niaba ya benki hiyo toka kwa Waziri wa Nchi...
By Mwandishi WetuDecember 1, 2022MJUMBE wa Kamati Tendaji ya Jukwaa la Wahariri Tanzania (TEF), Nevil Meena, amesema Serikali imepiga hatua kubwa katika mchakato wa marekebisho ya...
By Mwandishi WetuDecember 1, 2022WAKATI leo ikiwa ni kilele cha Maadhimisho ya Siku ya Ukimwi duniani, Kampuni ya Geita Gold Mining Limited (GGML), imesema itaendeleza mapambano dhidi...
By Mwandishi WetuDecember 1, 2022WAZIRI wa Katiba na Sheria, Dk. Damas Ndumbaro, ameweka jiwe la msingi kwenye jengo jumuishi la taasisi za kisheria linalojengwa eneo la...
By Mwandishi WetuNovember 30, 2022CHAMA cha Waandishi wa Habari Wanawake Tanzania (TAMWA) kimesema mabadiliko ya sheria ya vyombo vya habari yataakisi maendeleo ya tasnia hiyo pamoja...
By Mwandishi WetuNovember 29, 2022SERIKALI ya kaunti ya Vihiga nchini Kenya imezindua mradi ambao utasaidia kutengeneza mbolea ya bei nafuu inayotokana na kinyesi cha binadamu ili...
By Mwandishi WetuNovember 29, 2022BENKI ya NMB imetoa msaada wa vifaa vya elimu katika shule tano za halmashauri ya wilaya ya Kilosa na Mvomero vikiwa na...
By Mwandishi WetuNovember 28, 2022MWENYEKITI wa Jukwaa la Wahariri Tanzania (TEF), Deodatus Balile, amesema mchakato wa marekebisho ya Sheria ya Huduma za Habari ya 2016, unakwenda...
By Mwandishi WetuNovember 27, 2022WAZIRI wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Dk. Stergomena Tax amewaasa vijana kutumia vyema Taasisi ya Mwalimu Nyerere Foundation kujifunza,...
By Gabriel MushiNovember 26, 2022MJUMBE wa Kamati Kuu ya Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), John Heche, amewataka wananchi wajikite katika kuibadilisha nchi akidai mabadiliko na maendeleo...
By Gabriel MushiNovember 26, 2022RAIS wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan, amewatunuku kamisheni maafisa wanafunzi wa Jeshi la Wananchi wa Tanzania (JWTZ) 724 waliohitimu mafunzo mbalimbali ndani na...
By Gabriel MushiNovember 26, 2022SAKATA la watumishi wa halmashauri ya wilaya ya Liwale kutaka kumdhulumu mzabuni aliyepewa kazi ya kutoa vifaa vya ujenzi kukarabati hospitali ya wilaya...
By Gabriel MushiNovember 26, 2022CHAMA cha ACT-Wazalendo, kimeshauri wananchi wapewe fursa ya kushiriki katika mchakato wa marekebisho ya sheria zinazosimamia sekta ya habari, ili watoe mapendekezo yao...
By Gabriel MushiNovember 26, 2022MWANDISHI Mwandamizi wa Gazeti la Raia Mwema, Selemani Msuya amekomba tuzo za mwandishi bora wa mwaka 2022 zilizotolewa na Tume ya Taifa ya...
By Gabriel MushiNovember 25, 2022SERIKALI kupitia Shirika la Mafuta Tanzania (TPDC), imesaini mkataba wa uzalishaji na ugawaji mapato (PSA) kitalu cha Ruvuma-Mtwara utakaoiwezesha kupata zaidi mapato. Anaripoti...
By Gabriel MushiNovember 25, 2022ALIYEKUWA Mkurugenzi wa Chama cha Waandishi wa Habari Wanawake (TAMWA), Daktari Ananilea Nkya, amesema wadau wengi wanasubiri Muswada wa Marekebisho ya Sheria...
By Regina MkondeNovember 25, 2022