SERIKALI ya Tanzania kupitia Halmashauri ya Jiji la Dodoma imesema maiti 59 zilizozikwa na mamlaka hiyo ni ambazo hazijatambuliwa na ndugu ndani...
By Mwandishi WetuDecember 29, 2022MSIMU huu wa sikukuu, Blue Santa kutoka Benki ya NMB ameachia zawadi mbalimbali ambapo mpaka sasa ameshatoa zaidi ya Sh117 milioni kwa washindi...
By Gabriel MushiDecember 28, 2022CHAMA cha Wafanyakazi Mashambani na Kilimo Tanzania (TPAWU), kimesema Sh.40,000 iliyoongezwa kwenye kima cha chini cha mshahara wa mfanyakazi wa sekta ya kilimo...
By Seleman MsuyaDecember 28, 2022HATIMAYE Mkuu wa Wilaya ya Temeke, Jokate Mwegelo amejitokeza hadharani na kuachia picha ya mwanaye ikiwa zimepita wiki kadhaa tangu alipojifungua. Anaripoti...
By Mwandishi WetuDecember 28, 2022MWENYEKITI wa Jukwaa la Wahariri Tanzania (TEF), amewataka wanahabari kupigania mazingira bora ya utendaji kazi zao bila kusubiri malipo ya fedha, kwa...
By Regina MkondeDecember 28, 2022WAKATI serikli ikiwa mbioni kuwasilisha muswada wa mabadiliko ya sheria ya huduma za vyombo vya habari nchini, Chama cha ACT-Wazalendo kimetoa wito kwa...
By Gabriel MushiDecember 26, 2022SERIKALI ya Tanzania iko mbioni kuifanyia marekebisho Sera ya Habari na Utangazaji ya 2003 ili iendane na wakati pamoja na kuondoa mapungufu...
By Regina MkondeDecember 24, 2022KITUO cha Wanahabari Watetezi wa Rasilimali na Taarifa (MECIRA), kimemshukuru Rais Samia Suluhu Hassan, kwa kukazia maagizo ya Makamu wa Rais, Dk....
By Regina MkondeDecember 24, 2022JESHI la Polisi Kikosi cha Viwanja vya Ndege limesema kuwa Mtanzania, Ahmad Chonde, aliyekamatwa katika nchi ya Afrika kusini akiwa amebeba dawa...
By Mwandishi WetuDecember 24, 2022MTAMBO wenye uwezo wa kuzalisha Megawati 45 za umeme mali ya Kampuni ya uzalishaji na usambazaji umeme nchini – Aqua Power Tanzania Limited...
By Mwandishi WetuDecember 23, 2022JESHI la Polisi Kanda Maalum ya Dar es Salaam kwa kushirikiana na timu maalum ya kuzuia na kupambana na makosa ya mtandao...
By Mwandishi WetuDecember 23, 2022MCHAMBUZI wa masuala ya mifugo, Onesmo Olengurumwa, ameiomba Serikali iwachukulie hatua watu waliochoma vifaranga kutokana na kukosa soko, akisema ni kinyume cha...
By Mwandishi WetuDecember 23, 2022MAMLAKA ya Hali ya Hewa Tanzania (TMA), imekutana na wadau wa usafiri wa Anga wa jijini Dodoma katika ukumbi wa TAA, Dodoma...
By Mwandishi WetuDecember 23, 2022BENKI ya Exim Tanzania imeendelea kugawa zawadi mbalimbali ikiwemo fedha taslimu na simu janja (smartphones) kwa washindi wa kampeni yake “Chanja Kijanja, Kimasta...
By Mwandishi WetuDecember 22, 2022BENKI ya NMB imeingia makubaliano na Wizara ya Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi, yanayolenga kutanua wigo wa uhamasishaji na ulipaji wa Kodi...
By Mwandishi WetuDecember 22, 2022TAASISI inayojishughulisha na masuala ya kutoa elimu kwa jamii Zaina Foundation inajipanga kutoa mafunzo ya matumizi sahihi ya vifaa vya kidigitali kwa watu...
By Christina HauleDecember 21, 2022MAHAKAMA Kuu Kanda ya Dar es Salaam imeiamuru Kampuni ya Mabasi ya Kilimanjaro kulipa fidia ya Sh. 300 milioni baada ya moja...
By Faki SosiDecember 21, 2022KUFUATIA ongezeko la migogoro ya wafugaji nchini, Serikali imeshauriwa kufumua Sheria na sera zinazosimamia sekta ya mifugo, ili ziendane na wakati kwa...
By Mwandishi WetuDecember 21, 2022KIWANGO cha uandishi unaochagiza uwajibikaji nchini Tanzania kinapanda taratibu mno huku magazeti yakijitutumua kwenye eneo la kuwapa haki ya kusema wale wanaotuhumiwa....
By Jabir IdrissaDecember 20, 2022WABUNGE wa Bunge la Tano la Jumuiya ya Afrika Mashariki (EALA) jana tarehe 18 Disemba, 2022 wameapa rasmi kuanza shughuli za Bunge hilo...
By Mwandishi WetuDecember 20, 2022KWA mara nyingine tena, Benki ya NMB imedhihirisha umahiri na ukubwa wake kiutendaji na kiundeshaji nchini baada yakufanikiwa kunyakuwa tuzo ya mwajiri bora...
By Mwandishi WetuDecember 19, 2022SERIKALI ya India imeahidi kushirikiana na Tanzania katika uendelezaji wa teknolojia za uongezaji thamani madini nchini kupitia Kituo cha Jemolojia Tanzania (TGC). Hayo...
By Mwandishi WetuDecember 19, 2022WAZIRI wa Nishati, January Makamba amewaeleza watanzania kuwa zoezi la kuanza kujaza maji katika Bwawa la kufua Umeme la Julius Nyerere (JHPP) litaanza...
By Gabriel MushiDecember 19, 2022BENKI ya NMB imekabidhi vifaa vya kusaidia maendeleo ya elimu wilayani Kibaha vyenye thamani ya zaidi ya Sh37 milioni kama sehemu ya kuchangia...
By Gabriel MushiDecember 19, 2022TUME ya Taifa ya Sayansi na Teknlojia (Costech) imetoa Sh milioni 50 kwa wabunifu wa wanawake watano walioshinda shindano la Buni Divaz. Anaripoti...
By Gabriel MushiDecember 19, 2022Serikali imewahakikishia wahitimu wa kozi mbalimbali za usafirishaji kuwa itaendelea kuwekeza kwenye miundombinu ya usafiri na usafirishaji pamoja na kuzingatia ongezeko la wataalam...
By Gabriel MushiDecember 19, 2022NAIBU Waziri wa Wizara ya Miundo Mbinu na Uchukuzi, Atupele Mwakibete ametoa wito kwa jamii kuongeza juhudi katika kusoma vitabu ili kukuza maarifa....
By Gabriel MushiDecember 17, 2022WATANZANIA sita waishio nje ya nchi (DIASPORA), wamefungua kesi ya kikatiba Na. 18/2022 katika Mahakama Kuu, Masjala Kuu, ya Dar es Salaam, kupinga...
By Gabriel MushiDecember 16, 2022MASHIRIKA yasiyo ya kiserikali (NGO’s) 263 yanayotetea haki za binadamu, yamemuomba Rais Samia Suluhu Hassan, airejeshe tena Tanzania katika Mpango wa Ubia wa...
By Gabriel MushiDecember 16, 2022MKAZI wa Kizota jijini Dodoma, Salum Jumanne Rajabu jana Alhamisi Desemba 15, 2022 alikabidhiwa pikipiki yake baada ya kushinda katika shindano la MastaBata...
By Mwandishi WetuDecember 16, 2022VIJANA zaidi ya 30,000 wanatarajia kukutana tarehe 17 Disemba, 2022 kwa ajili ya kuliombea taifa wakiongozwa na Askofu Mkuu wa Jimbo Kuu la...
By Mwandishi WetuDecember 15, 2022SELEMANI Maziku, amepandishwa katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu, jijini Dar es Salaam, kwa tuhuma za kujipatia Sh. 140 milioni, baada ya kughushi...
By Mwandishi WetuDecember 15, 2022IDARA ya Uhamiaji nchini Tanzania, imewataka Watanzania kuwa makini dhidi ya vitendo vya utapeli vilivyoibua katika mchakato wa maombi ya nafasi za...
By Regina MkondeDecember 15, 2022MAMLAKA ya Mawasiliano Tanzania (TCRA), imewasihi watumiaji wa huduma za mawasiliano kutumia msimu huu wa sikukuu za mwisho wa mwaka kuhakiki laini zao...
By Gabriel MushiDecember 15, 2022BENKI ya Exim tawi la Mwanza imekabidhi msaada wa majaketi yenye viakisi mwanga (Reflector Jackets) kwa madereva wa pikipiki maarufu kama bodaboda wa...
By Mwandishi WetuDecember 15, 2022BENKI ya Taifa ya Biashara (NBC) imetangaza kufunga mauzo ya hati fungani yake iliyofahamika kama NBC Twiga Bond kwa mafanikio makubwa baada ya...
By Mwandishi WetuDecember 15, 2022MASHAHIDI tisa na vielelezo kumi vitatumika katika kesi namba 407 ya 2022 ya kimtandao katika kundi la whassap inayokambili mwandishi wa habari za...
By Mwandishi WetuDecember 15, 2022ZAMA mpya ya huduma za kibenki imejiri nchini baada ya Benki ya NMB kuzindua suluhisho la kisasa ‘NMB Pesa Akaunti’ ambayo ni akaunti...
By Mwandishi WetuDecember 15, 2022WANANCHI zaidi ya 13,000 wa vijiji vinne vya Kata ya Nyatwali Wilaya ya Bunda mkoani Mara wameulalamikia uongozi wa wilaya hiyo kwa kile...
By Gabriel MushiDecember 14, 2022SHIRIKA la Hifadhi za Taifa Tanzania (TANAPA) limetoa ufafanuzi kuwa sababu ya kifo cha Joachim Kapembe (45) kilichotokea katika Mlima Kilimanjaro jana tarehe...
By Gabriel MushiDecember 14, 2022RAIS Samia Suluhu Hassan, ametajwa kuwa rafiki wa wanahabari, kufuatia dhamira yake aliyoionesha tangu alipoingia madarakani Machi 2021, ya kuifanyia maboresho sekta ya...
By Regina MkondeDecember 14, 2022RAIS wa Zanzibar, amefanya uteuzi wa viongozi nane katika taasisi mbalimbali za umma, ikiwemo Tume ya Mipango visiwani humo. Anaripoti Mwandishi Wetu, Zanzibar…(endelea)....
By Gabriel MushiDecember 14, 2022INSPEKTA Jenerali wa Jeshi la Polisi Tanzania (IGP), Camillus Wambura amesema katika kipindi cha kuanzia Januari hadi Oktoba 2022, matukio ya ukatili wa...
By Gabriel MushiDecember 14, 2022MWANDISHI wa habari na mpiga picha wa Shirika la Utangazaji Tanzania (TBC) mkoani Manyara Joachim Kapembe amefariki dunia alipokuwa akishuka kutoka katika kilele...
By Gabriel MushiDecember 14, 2022UTAFITI uliyofanywa na Mtandao wa Jinsia na Mabadiliko ya Tabianchi Tanzania (GCCTC), umebaini kuwa kila eneo katika nchi ya Tanzania limeathirika na mabadiliko...
By Gabriel MushiDecember 13, 2022JESHI la POLISI Mkoa wa Songwe linamshikilia Praxeda Msanganzila (28) Mkazi wa mtaa wa Ilolo, wilayani Mbozi kwa tuhuma za kuiba mtoto mdogo...
By Gabriel MushiDecember 13, 2022WANANCHI wa vijiji vinavyozunguka Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Kilimanjaro, (KIA), wamelalamikia serikali kwa kudai kuwanyang’anya ardhi bila kuzingatia sheria. Anaripoti Mwandishi...
By Mwandishi WetuDecember 13, 2022WADAU wanaojishughulisha na masuala ya utoaji msaada wa kisheria visiwani Zanzibar, wametakiwa kushirikiana na Serikali ili kuhakikisha wananchi wanapata haki na wanajua majukumu...
By Kelvin MwaipunguDecember 13, 2022Uongozi Wilayani Kilombero mkoani Morogoro umepiga marufuku mifugo mipya kuingia wilayani humo katika jitihada za kulinda bonde la Bonde la Kilombero. Anaripoti Mwandishi...
By Mwandishi WetuDecember 13, 2022MAMLAKA ya Dawa na Vifaa Tiba (TMDA) Kanda ya Kusini yakabidhi taarifa za ukaguzi wa dawa, vifaa tiba na vitendanishi katika Halmashauri ya...
By Gabriel MushiDecember 13, 2022