WAZIRI wa Fedha na Mipango, Dk. Mwigulu Nchemba, ametoa wito kwa watendaji wa Serikali kuhakikisha wanawasaidia wale wanaotaka kuanzisha uwekezaji kwani hao...
By Jonas MushiJanuary 11, 2023ZIKIWA zimebaki siku 12 kuelekea siku ya maadhimisho wa wiki ya sheria, Mahakama nchini Tanzania imesema itaendelea kutoa haki kwa wakati na...
By Faki SosiJanuary 10, 2023ZIKIWA zimebaki siku 12 kuelekea siku ya maadhimisho wa wiki ya sheria, Mahakama nchini imesema itaendelea kutoa haki kwa wakati na kwa...
By Faki SosiJanuary 10, 2023ZAIDI ya Sh bilioni 60 zinatarajiwa kujenga kilometa 35 za lami katika Kijiji cha Amanimakoro hadi Kijiji cha Ruanda – wilayani Mbinga...
By Mwandishi WetuJanuary 10, 2023WAZIRI wa Habari, Mawasiliano na Teknolojia ya Habari, Nape Nauye amewataka Watanzania kutumia vizuri mawasiliano kujiajiri na kujiletea maendeleo badala ya kutapeli...
By Mwandishi WetuJanuary 10, 2023MTANZANIA aishiye Ujerumani, Lucy Koble aliyeomba msaada kwa Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan, amezidi kuomba msaada kwa kiongozi huyo mkuu wa nchi kwani...
By Mwandishi WetuJanuary 10, 2023MAKAMU wa Rais Dk. Philip Mpango anatarajiwa kuwaongoza wananchi wa Jiji la Dodoma kupanda miti ikiwa ni sehemu ya Maadhimisho ya miaka...
By Mwandishi WetuJanuary 9, 2023SERIKALI imekanusha taarifa za uwepo wa ndege iliyoingia hifadhini na kusafirisha wanyama na rasilimali ambapo imedai kuwa taarifa zilizosambazwa mitandaoni “ni uzushi...
By Jonas MushiJanuary 9, 2023WAZIRI wa Habari, Mawasiliano, Teknolojia ya Habari na Mawasiliano, Nape Nnauye, amewataka waandishi wa habari kufuata maadili ya kitaaluma wakati wanaripoti mikutano...
By Regina MkondeJanuary 9, 2023UONGOZI wa Mgodi wa CANUCK uliopo Wilaya ya Msalala kata ya Mwakanta kijiji cha Magung’humwa mkoani Shinyanga umeiomba Serikali kupitia Wizara ya Madini...
By Mwandishi WetuJanuary 9, 2023MWENYEKITI wa Tanzania Mzalendo foundation Khamis Mgeja amevitaka vyama vya siasa nchini kutumia ruhusa ya Mikutano ya hadhara iliyotolewa na Rais Samia Suluhu...
By Mwandishi WetuJanuary 8, 2023NAIBU Waziri wa Habari, Mawasiliano na Teknolojia ya Habari, Mhandisi Kundo Mathew amesema Serikali kupitia Mfuko wa Mawasiliano kwa Wote (UCSAF) inatarajia kutumia...
By Gabriel MushiJanuary 8, 2023MGANGA mmoja wa kienyeji amepoteza fahamu na kufariki wakati akidaiwa kurushana roho na mke wa mchungaji katika hoteli moja huko Ikere, jimbo la...
By Gabriel MushiJanuary 8, 2023MKULIMA Frank Kigomba, amehukumiwa na Mahakama ya Wilaya ya Kilolo,mkoani Iringa, kifungo cha miaka 30 jela pamoja na kulipa fidia ya Sh....
By Mwandishi WetuJanuary 7, 2023ZAIDI ya wananchi elfu tano wa Kijiji cha Msimba wilayani Kilosa Mkoani Morogoro wanatarajiwa kunufaika na huduma ya maji safi na salama baada...
By Christina HauleJanuary 7, 2023RAIS Samia Suluhu Hassan amefanya uteuzi wa viongozi mbalimbali akiwamo Emanuel Mpawe Tutuba kuwa Gavana wa Benki Kuu Tanzania (BoT). Anaripoti Mwandishi Wetu...
By Gabriel MushiJanuary 7, 2023NMB imeanza mwaka kwa kusambaza upendo kupitia kampeni ya #MastaBataKoteKote kwa kumzawadia mshindi wa pikipiki mpya aina ya boxer wa droo ya sita,...
By Mwandishi WetuJanuary 7, 2023BENKI Kuu ya Tanzania (BoT) imebaini kuongezeka kwa udanganyifu wa fedha nchini unaohusisha mwananchi kupokea taarifa(hati au barua pepe) inayodai kuwa ni...
By Mwandishi WetuJanuary 6, 2023NDUGU wa marehemu Stella Moses, aliyedaiwa kufia katika mahabusu ya Kituo Cha Polisi Cha Mburahati, jijini Dar es Salaam, imepanga kukata rufaa...
By Mwandishi WetuJanuary 6, 2023MKUU wa Jeshi la Polisi nchini IGP Camillus Wambura, amefanya mabadiliko madogo ya Makamnda wa Polisi wa Mikoa ambapo wengine wamehamishiwa makao...
By Mwandishi WetuJanuary 6, 2023RAIS Dk. Samia Suluhu Hassan leo Alhamisi ameteua viongozi mbalimbali akiwamo David Kafulila kuwa Kamishna wa Ubia kati ya sekta ya umma na...
By Gabriel MushiJanuary 5, 2023WAZIRI wa Maji nchini Tanzania, Jumaa Aweso, amelazimika kutumia usafiri wa pikipiki maarufu kama bodaboda ili kuweza kufika kwenye mradi wa maji wa...
By Mwandishi WetuJanuary 5, 2023JESHI la Polisi wilayani Same, linapitia wakati mgumu baada ya kilichoelezwa kuwa ni mke wa askari ambaye ni raia kutumia vibaya madaraka ya...
By Gabriel MushiJanuary 5, 2023KAMPENI ya kuchagiza malipo ya kidijitali na matumizi ya kadi za NMB Mastercard na NMB Mastercard QR ya MastaBata Kote-Kote inaelekea kuhitimika baada...
By Gabriel MushiJanuary 5, 2023WADAU wa zao la Parachichi kutoka wilaya zote nne za mkoa wa Songwe wamekutana na kuzindua jukwaa na kujitambulisha kwa Serikali ili kutatua...
By Mwandishi WetuJanuary 5, 2023MMOJA wa askari anayetuhumiwa kuhusika na tukio la kuomba rushwa ya Sh milioni 100 kwa mfanyabiashara wa Usa River Jijini Arusha, Profesa Justine...
By Mwandishi WetuJanuary 5, 2023KAMPUNI ya Transworld Aviation Dubai, kutoka Falme za Kiarabu, imeomba Serikali ya Mapinduzi Zanzibar (SMZ), kuiondolea zuio la kufanya kazi katika Uwanja wa...
By Regina MkondeJanuary 5, 2023MWENYEKITI wa Umoja wa Vijana wa CCM (UVCCM) kata ya Kaselya Wilaya ya Iramba mkoani Singida, Ramadhani Hamisi (30) ameuawa kwa kuchomwa na...
By Mwandishi WetuJanuary 5, 2023JUKWAA la Wahariri Tanzania (TEF), limesema mwaka 2023 utakuwa mwaka wa mageuzi katika sekta ya habari kwa kuwa marekebisho ya Sheria ya...
By Mwandishi WetuJanuary 5, 2023BARAZA la Ardhi na Nyumba la Wilaya ya Kinondoni limetoa amri ya zuio ya ujenzi wa Kituo cha Afya eneo la Tegeta ‘A’...
By Faki SosiJanuary 4, 2023RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Dk.Hussein Ali Mwinyi leo Jumatano tarehe 4, Januari, 2023, ameshuhudia utiaji saini wa makubaliano...
By Gabriel MushiJanuary 4, 2023MAMLAKA ya Udhibiti wa Huduma za Nishati na Maji (EWURA), imetangaza bei kikomo za bidhaa za mafuta ya petroli hapa nchini huku mafuta...
By Gabriel MushiJanuary 4, 2023JUKWAA la Katiba Tanzania (JUKATA), limeiomba Serikali kutoa ratiba ya utekelezaji wa marekebisho ya Sheria na namna ya kukwamua mchakato wa upatikanaji katiba...
By Gabriel MushiJanuary 4, 2023IMEBAINISHWA kuwa wananchi wa Kata ya Tegetero wilayani Morogoro wanakabiliwa na changamoto ya uhaba wa maji unaodaiwa kusababishwa na wataalam pamoja na wahandisi...
By Gabriel MushiJanuary 4, 2023BENKI ya NMB imetoa msaada wa vifaa tiba mbalimbali vyenye thamani ya zaidi ya shilingi milioni tisa kwa Hospitali ya Wilaya ya Micheweni...
By Gabriel MushiJanuary 3, 2023SIKU chache baada ya Mamlaka ya Mawasiliano Tanzania (TCRA) kutoa wito kwa watumiaji wa huduma za Mawasiliano ya simu, kuhakiki laini zao...
By Mwandishi WetuJanuary 3, 2023MTENDAJI wa Kijiji cha Mbigili wilayani Kilosa, Briton Mshani, amefukuzwa kazi kwa tuhuma za kufanya mapenzi ofisini, pamoja na kumhonga mpenzi wake...
By Mwandishi WetuJanuary 3, 2023SERIKALI imepiga marufuku uuzaji wa viwanja visivyopangwa maarufu kama 20/20, kwa kuwa unakwenda kinyume cha sheria na kuzuia wananchi husika kupata huduma...
By Mwandishi WetuJanuary 3, 2023MGOGORO kati ya uongozi wa Halmashauri ya wilaya ya Ulanga, mkoani Morogoro na Serikali ya Kijiji cha Sali, umesababisha kuvurugika kwa shughuli...
By Mwandishi WetuJanuary 2, 2023MAMLAKA ya mapato Tanzania (TRA), imevunja rekodi ya makusanyo ya mapato Kwa mwezi baada ya kukusanya Sh. 2.77 trilioni kati ya lengo...
By Regina MkondeJanuary 2, 2023SPIKA wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Tulia Ackson ametoa wito kwa viongozi wa dini na waumini wote...
By Mwandishi WetuJanuary 1, 2023Ndugu Wananchi na Watanzania wenzangu; NAWASALIMU KWA JINA LA JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA! Nianze kwa kumshukuru Mwenyezi Mungu Mtukufu, Mwingi wa Rehema...
By Gabriel MushiJanuary 1, 2023KATIKA kuunga mkono juhudi za Serikali ya awamu ya sita kwenye kuhudumia wananchi, Wafanyakazi wa benki ya NMB kutoka matawi ya Chato na...
By Mwandishi WetuDecember 31, 2022RAIS Samia Suluhu Hassan ameeleza kusikitishwa na kifo cha Baba Mtakatifu Mstaafu Benedikto XVI aliyefariki dunia leoJumamosi saa 3: 34 Asubuhi tarehe 31...
By Gabriel MushiDecember 31, 2022MAZISHI ya Baba Mtakatifu Mstaafu Benedikto XVI aliyefariki dunia leoJumamosi saa 3: 34 Asubuhi tarehe 31 Desemba 2022 akiwa na umri wa miaka...
By Gabriel MushiDecember 31, 2022RAIS wa Serikali ya Mapinduzi Zanzibar (SMZ), Dk. Hussein Mwinyi, amesema 2022 hakutakuwa na sherehe za kitaifa za maadhimisho ya miaka 59 ya...
By Mwandishi WetuDecember 31, 2022BAADA msanii na mfanyabiashara Nasibu Abdul (Diamond Platnumz), kutoa malalamiko dhidi ya Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA), kwamba ina lengo la kuiua Kampuni...
By Regina MkondeDecember 31, 2022PAPA wa zamani Benedict XVI amefariki dunia katika makazi yake Vatican, akiwa na umri wa miaka 95, karibu muongo mmoja baada ya kujiuzulu...
By Gabriel MushiDecember 31, 2022MWENYEKITI wa Jukwaa la Wahariri Tanzania (TEF), Deodatus Balile, amesema Tanzania iko katika zama nzuri kutokana na kuwepo kwa uhuru wa habari...
By Mwandishi WetuDecember 30, 2022MAMLAKA ya Bandari ya Tanga imesema maboresho ya bandari hiyo yatawezesha kupokea zaidi ya tani milioni 3 za shehena za mizigo kwa mwaka,...
By Seleman MsuyaDecember 30, 2022