MUME anayedaiwa kumteka nyara mkewe na kumficha katika Kaunti ya Meru nchini Kenya, amefikishwa kortini. Inaripoti Mitandao ya Kimataifa …(endelea). Abdullahi Mohammed Gullei...
By Mwandishi WetuOctober 17, 2023KAMA ulidhani madadapoa hufurika mikoa ya Kanda ya Ziwa pekee pindi wakulima wanapovuna na kuuza pamba, umekosea kwani hali kama hiyo pia imetokea...
By Mwandishi WetuOctober 17, 2023WAZIRI MKUU Kassim Majaliwa amesema Shirika la Umoja wa Mataifa la Chakula na Kilimo (FAO) limeahidi kuunga mkono jitihada za Serikali ya Tanzania...
By Mwandishi WetuOctober 17, 2023RAIS Dk. Samia Suluhu Hassan, amewataka wananchi wachape kazi hususan katika sekta ya kilimo ili serikali ipate mapato ya kutosha akisema zama za...
By Mwandishi WetuOctober 16, 2023WAKATI Shirika la NIC Insurence likitimiza miaka 60 tangu kuanzishwa kwake limekusudia kufanya mageuzi makubwa kwenye kilimo kwa kutoa bima kwa wakulima na...
By Faki SosiOctober 16, 2023RAIS Dk. Samia Suluhu Hassan, amewataka viongozi wa miji mikubwa nchini, kuchukua jitihada za makusudi katika kuandaa mikakati ya kukabiliana athari za mvua...
By Mwandishi WetuOctober 14, 2023Jeshi la Polisi Tanzania limewataka watu wote wanaomiliki silaha pasipo kuwa na vibali, kutumia msamaha wa usalimishaji silaha kwa hiyari, kusamilisha silaha hizo...
By Mwandishi WetuOctober 14, 2023Mamlaka ya Mawasiliano Tanzania (TCRA) imewataka wananchi kwa ujumla na kampuni ambazo kwa asili ya majukumu na kazi zao, matumizi ya mtandao binafsi...
By Mwandishi WetuOctober 13, 2023KAMPUNI ya Serengeti Breweries Limited kupitia chapa yake ya Serengeti Premium Lager, inafurahi kutangaza ushirikiano wake na Polisi wa Trafiki wa Tanzania kwa...
By Mwandishi WetuOctober 13, 2023Meneja wa Wakala ya Barabara za Vijijini na Mijini (TARURA) mkoa wa Morogoro, Mhandisi Emmauel Ndyamkama amesema ataendelea kusimamia ubora wa kazi zinazofanyika...
By Gabriel MushiOctober 13, 2023UPATIKANAJI huduma ya maji safi na salama Wilaya ya Babati, mkoani Manyara, umeongezeka kutoka asilimia 72 iliyokuwa kabla ya 2021 na kufikia 92%,...
By Mwandishi WetuOctober 13, 2023Mamlaka ya Kukuza Uwekezaji Zanzibar (ZIPA) imempa jukumu la kuwa mshauri wa masuala ya habari na uhusiano mtangazaji wa zamani wa BBC Salim...
By Faki SosiOctober 13, 2023Tanzania na Zambia zimekubaliana kutatua changamoto nane kati ya 24 za kibiashara na 16 zilizobaki zimewekewa utaratibu wa kuzitatua ifikapo tarehe 31 Disemba...
By Gabriel MushiOctober 13, 2023JENGO la Dakhalia la Skuli ya Sekondari ya Hasnuu Makame ilioko Kibuteni Wilaya ya Kusini Unguja, limeungua moto sehemu ya juu, imeripotiwa....
By Mwandishi WetuOctober 12, 2023Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan amemteua Richard Rwanyakaato Kiza kuwa Kamishna wa Uhifadhi, Mamlaka ya Hifadhi Eneo la...
By Mwandishi WetuOctober 12, 2023ALIYEKUWA Rais wa Chama cha Wanasheria Tanganyika, Dk. Rugemeleza Nshala leo Alhamisi amehojiwa na katika Kituo cha Polisi Kanda Maalumu Dar Es Salaam...
By Mwandishi WetuOctober 12, 2023HESHIMA ya Tanzania katika medani za kimataifa, imereja kutokana na kazi kubwa inayofanywa na Rais Dk. Samia Suluhu Hassan, kuimarisha mahusiano na mataifa...
By Regina MkondeOctober 12, 2023WAZIRI wa Ujenzi, Innocent Bashungwa amesema ujenzi wa daraja la John Pombe Magufuli (Kigongo – Busisi) lenye urefu wa kilomita tatu na Barabara...
By Danson KaijageOctober 12, 2023JUKWAA la Wahariri Tanzania (TEF), limesema Rais Dk. Samia Suluhu Hassan, amefanikiwa kuondoa maisha ya hofu kwa watanzania kwa kuwapa uhuru wa kuzungumza...
By Regina MkondeOctober 12, 2023SERIKALI ya Tanzania na Norway imesaini makubaliano ya kufanya utafiti utakaosaidia kupunguza athari za mabadiliko ya tabianchi. Anaripoti Faki Sosi …(endelea). Makubaliano hayo...
By Faki SosiOctober 11, 2023Serikali kupitia Wizara ya Madini imetatua rasmi mgogoro wa wachimbaji wadogo wa madini uliodumu kwa mwaka mmoja katika Kitongoji cha Mafurungu – Wilaya...
By Mwandishi WetuOctober 11, 2023BENKI ya NMB kupitia Klabu za Biashara ‘NMB Business Club’ imeandaa mafunzo ya kifedha kwa wafanyabiashara jijini Dar es Salaam ikiwa ni utekelezaji...
By Mwandishi WetuOctober 11, 2023KATIKA harakati za kuondokana na msongamao wa magari barabarani Serikali inatarajia kutenga Sh 81 bilioni kwa ajili ya ujenzi wa mizani ya kupima...
By Danson KaijageOctober 11, 2023WAZIRI wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu, Sera, Bunge na Uratibu, Jenista Mhagama amewataka vijana kuchangamkia fursa ya mkopo wa Mshikofasta inayotolewa na...
By Mwandishi WetuOctober 11, 2023SERIKALI ya Rais Dk. Samia Suluhu Hassan, imeendelea kutekeleza ahadi yake ya kumuenzi Baba wa Taifa, Hayati Mwalimu Julius Nyrere, kwa kufufua...
By Mwandishi WetuOctober 10, 2023WAKULIMA katika mabonde ya Bugwema na Suguti, katika Wilaya ya Musoma mkoani Mara, wameiomba Serikali kuharakisha ujenzi wa miundombinu ya umwagiliaji ili...
By Mwandishi WetuOctober 9, 2023KAMISHNA Msaidizi wa Jeshi la Polisi ACP Theopista Malya leo Oktoba 07, 2023 amegawa vyeti kwa wamiliki wa silaha za kiraia tukio...
By Mwandishi WetuOctober 8, 2023MADEREVA wa magari makubwa ya mazigo (Malori) wanaovuka mpaka wa Tunduma kwenda nchi za kusini mwa afrika (SADC) wameiomba halmashauri ya wilaya...
By Mwandishi WetuOctober 8, 2023KATIBU Mtendaji wa Baraza la Taifa la Biashara (TNBC), Dk Godwill Wanga ametoa rai kwa wadau wa uhifadhi misitu, akiwemo serikali, sekta...
By Mwandishi WetuOctober 7, 2023NAIBU Waziri wa Ujenzi, Mhandisi Godfrey Kasekenya amewataka wakuu wa wilaya nchini kutoka elimu kwa wananchi ngazi ya vijiji,kataka na, Tarafa ikiwemo...
By Mwandishi WetuOctober 6, 2023CHAMA Cha Mapinduzi (CCM) Mkoa wa Songwe kimeitaka Wizara ya Ujenzi kufanya juu chini kwa kutekeleza ujenzi wa barabara za maeneo matatu...
By Mwandishi WetuOctober 6, 2023BENKI ya Taifa ya Biashara (NBC) imezindua msimu wa tatuwa kampeni yake maalum kwa wakulima wa zao la korosho katika mikoa ya Mtwara na Lindi...
By Mwandishi WetuOctober 6, 2023WAKALA wa Bararabara Tanzania (TANROADS) mkoani Songwe umewahakikishia wananchi kuwa umejipanga kukabiliana na mvua za El-nino kwa kukamilisha kwa wakati ujenzi wa...
By Mwandishi WetuOctober 6, 2023KAMPUNI ya Geita Gold Mining Limited imenyakua tuzo nne ikiwamo mshindi wa jumla katika maonesho ya teknolojia ya madini yaliyofanyika kwa muda wa...
By Gabriel MushiOctober 5, 2023WAZIRI wa Katiba na Sheria, Balozi Dk Pindi Chana amefurahishwa na mafanikio ya utekelezaji wa mpango wa Serikali wa kusajili watoto wote chini...
By Mwandishi WetuOctober 4, 2023JESHI la Polisi mkoani Songwe limewakamata watu wawili kwa tuhuza za kukutwa wakitengeneza noti bandia za nchini Zambia. Anaripoti Ibrahim Yassin, Songwe…(endelea). Akizungumza...
By Mwandishi WetuOctober 3, 2023Shirika la afya la Duniani (WHO) limeridhia chanjo ya pili ya ugonjwa wa malaria kwa watoto ambayo inaweza kuokoa maisha ya maelfu ya...
By Mwandishi WetuOctober 3, 2023HOSPITALI ya Benjamini Mkapa kwa kushirikiana na madaktari Bingwa kutoka nchi Japan kupitia taasisi ya Tokushikai Medical group ya Japan wanatarajia kuanzisha huduma...
By Mwandishi WetuOctober 3, 2023WANANCHI wa Kijiji cha Kwikerege, kilichopo katika Jimbo la Musoma Vijijini, mkoani Mara, wameamua kujenga zahanati yao ili kuepuka aza ya kutembea umbali...
By Mwandishi WetuOctober 3, 2023KUELEKEA Kumbukumbu ya kumuenzi baba wa taifa la Tanzania, Mwalimu Julius Kambarage Nyerere ambaye alifariki Oktoba 14, 1999, msafara wa waendesha baiskeli unaojulikana...
By Mwandishi WetuOctober 2, 2023RAIS Dk. Samia Suluhu Hassan, amemteua aliyekuwa Mkuu wa Wilaya ya Temeke, Mobhare Matinyi, kuwa Mkurugenzi wa Idara ya Habari Maelezo na...
By Regina MkondeOctober 2, 2023WANANCHI wametakiwa kuwaripoti askari polisi wanaowaomba fedha za mafuta ya gari kwa ajili ya kufika maeneo ya matukio, ili wachukuliwe hatua za kisheria....
By Mwandishi WetuSeptember 30, 2023WIMBI la wanawake wanaotelekeza watoto wao kwa kina baba na kuwabambikia kesi, linadaiwa kuongezeka siku za hivi karibuni, huku chanzo kikitajwa kuwa ni...
By Regina MkondeSeptember 30, 2023Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar, Hemed Suleiman leo Jumamosi ametembelea banda la Kampuni ya Geita Gold Mining Limited (GGML) katika maonesho...
By Mwandishi WetuSeptember 30, 2023MAONESHO ya Sita ya Teknolojia ya Madini Geita yameendelea kuwanufaisha wakazi wa Geita na viunga vyake baada ya wananchi na wafanyakazi kutoka taasisi...
By Mwandishi WetuSeptember 30, 2023Basi Jeshi la Magereza lenye namba MT 0040 limegonga treni ya abiria namba YD16 yenye injini namba 9015 iliyokuwa ikitokea mikoa ya Bara...
By Mwandishi WetuSeptember 29, 2023KAMISHNA wa Polisi Utawala Menejimenti ya rasilimali watu, CP Suzan Kaganda amewataka askari Polisi wanawake kuchangamkia fursa za elimu ili kuongeza ujuzi...
By Mwandishi WetuSeptember 29, 2023Katibu Tawala wa Mkoa wa Dodoma, Ally Senga Gugu kwa niaba ya Mkuu wa Mkoa wa Dodoma, Rosemary Senyamule amepokea Mwenge wa Uhuru...
By Mwandishi WetuSeptember 29, 2023PROGRAMU ya “Learning for Life” imetimiza dhamira ya Serengeti Breweries Limited (SBL) ya kuwawezesha zaidi ya vijana 400 Hanang kupitia stadi muhimu na...
By Mwandishi WetuSeptember 29, 2023SHIRIKA la Madini la Taifa (STAMICO) limemwaga neema kwa watu wenye ulemavu nchini kupitia fursa ya uwakala na uuzaji wa mkaa mbadala wa...
By Danson KaijageSeptember 29, 2023