Gazeti

Categorizing posts based on type of post

Askofu Bagonza awazungumzia Mdee na wenzake, aishauri Chadema 

SAKATA la wanachama 19 wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), kwenda kinyume na msimamo wa chama hicho kwa kukubali uteuzi wa wabunge viti maalumu limesababishwa na mmomonyoko wa maadili. ...

Read More »

Halima Mdee, wenzake hawachomoki

HALIMA James Mdee, mwenyekiti wa Baraza la Wanawake la Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Bawacha), “amenasa kwenye ndoana.” Hawezi tena kuchomoka. Anaripoti Mwandishi Maalum…(endelea). Pamoja na kelele za tarumbeta zilizopigwa kumjulisha ...

Read More »

Bavicha yataka Mdee, wenzake wafukuzwe 

BARAZA la Vijana la Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Bavicha), limeishauri Kamati Kuu ya Chadema kuwafukuza uanachama, wanachama 19 waliokwenda kinyume na msimamo wa chama hicho, kwa kukubali uteuzi wa ...

Read More »

Maswali 6 tata kuapishwa Mdee na wenzake

HATUA ya wanachama 19 wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), nchini Tanzania, kuapishwa kuwa wabunge wa Viti Maalum katika Bunge la Jamhuri ya Muuungano, kulikofanyika jana Jumanne jijini Dodoma, ...

Read More »

Viti Maalum Chadema: NEC yabebeshwa mzigo

CHAMA cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), kimeitaka Tume ya Taifa ya Uchaguzi (NEC) nchini Tanzania, kueleza Watanzania ilipopata majina 19 ya wanachama walioteuliwa kuwa wabunge wa Viti Maalum kupitia chama ...

Read More »

Chadema yawapa rungu Watanzania kuwamaliza Mdee na wenzake

CHAMA cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), kimefungua milango kwa wanachama wake na Watanzania kwa ujumla kupendekeza adhabu kwa wanachama wake 19 waliokiuka maagizo ya chama hicho ya kwenda kuapishwa kuwa ...

Read More »

Siku za Mdee na wenzake Chadema zahesabika, waitwa kujieleza

CHAMA cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), kimewaita wabunge wake 19 wa viti maalumu kujieleza kwa nini walikiuka maagizo ya chama hicho kutokubali uteuzi wa nafasi hizo. Anaripoti Regina Mkonde, Dar ...

Read More »

RC Mghwira: Tutengeneze condom zetu

MKUU wa Mkoa wa Kilimanjaro (RC), Anna Mghwira ameishauri Tume ya Kudhibiti Ukimwi Tanzania (TACAIDS), kuangalia uwezekano wa kuweka mikakati ya kutengeneza kondom wenyewe ili kuacha utegemezi wa bidhaa hiyo ...

Read More »

Chadema yawakana Mdee na wenzake

CHAMA cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) nchini Tanzania, kimekana kutambua wabunge wake 19 wa viti maalum walioapishwa jijini Dodoma. Anaripoti Kelvin Mwaipungu…(endelea). Wabunge hao 19 wakiongozwa na Halima Mdee, wameapishwa ...

Read More »

Walichosema Mdee, Matiko baada ya kuapishwa

HALIMA James Mdee, Mbunge wa Viti Maalum kupitia Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) amesema, chama hicho kime wapa dhamana na watakitumikia kwa moyo mkunjufu. Anaripoti Mwandishi Wetu, Dodoma…(endelea). Mdee ...

Read More »

Wabunge 19 Chadema  waapishwa Dodoma

SPIKA wa Bunge la Tanzania, Job Ndugai  amewapisha wabunge 19 wa viti maalum          kupitia  Chama cha Demokraisa (Chadema). Anaripoti Mwandishi Wetu, Dodoma … (endelea). Spika Ndugai amewaapisha leo Jumanne tarehe ...

Read More »

Museveni achekwa na kamanda wake

JENERALI Mugisha Muntu, Kamanda wa zamani wa Jeshi la Uganda na aliyeshiriki kumweka madarakani Rais Yoweri Museveni mwaka 1986, sasa anamcheka. Unaripoti mtandao wa Daily Monitor…(endelea). Amesema, Rais Museveni na ...

Read More »

Magufuli ampa kazi Dk. Shein, Mwakyembe

RAIS wa Tanzania, John Pombe Magufuli amefanya uteuzi wa viongozi watatu. Anaripoti Mwandishi Wetu…(endelea). Taarifa ya Mkurugenzi wa Mawasiliano ya Rais Ikulu ya Tanzania, Gerson Msigwa imemnukuu, Katibu Mkuu Kiongozi, ...

Read More »

Rais Trump akubali kung’oka

DONALD Trump, Rais wa Marekani amesalimu amri mbele ya Joe Biden na sasa anajiandaa kung’oka madarakani. Inaripoti mitandao ya kimataifa…(endelea). Ameelekeza taasisi husika inayohusika kufanya mabadiliko ya kiuwongazi, kuanza mchakato ...

Read More »

DPP awafutia mashtaka viongozi Bavicha waliosota rumande siku 170

KATIBU Mkuu wa Baraza la Vijana la Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Bavicha), Nusrat Hanje, Mratibu wa Uhamasishaji wa baraza hilo, Twaha Mwaipaya na wenzao sita wameachiwa huru baada ya ...

Read More »

TMA yatangaza mvua kubwa Dar

MAMLAKA ya Hali ya Hewa Tanzania (TMA) imetangaza kunyesha mvua kubwa kesho Jumanne tarehe 24 Novemba 2020 baadhi ya maeneo ya mikoa ya Dar es Salaam, Lindi na Pwani. Anaripoti ...

Read More »

WiLDAF: Madawati ya jinsia yaanzishwe vyuoni kukali ngono

VYUO Vikuu nchini Tanzania, vimeshauri kuanzisha madawati ya jinsia ili kutokomeza vitendo hivyo vinavyojitokeza na kuathiri wanafunzi wawapo masomoni. Anaripoti Mwandishi Wetu, Dar es Salaam…(endelea). Wito huo umetolewa leo Jumatatu ...

Read More »

Zitto amweka njia panda Dk. Mwinyi

ZITTO Kabwe, Kiongozi wa Chama cha  ACT-Wazalendo amesema, hadi sasa chama hicho hakijafanya uamuzi kuhusu ushiriki wake katika uundwaji wa Serikali ya Umoja wa Kitaifa Zanzibar (SUK). Anaripoti Regina Mkonde, ...

Read More »

Lissu atoa masharti matatu kurejea, amjibu IGP Sirro

TUNDU Lissu, aliyekuwa mgombea urais kupitia Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), ametoa masharti matatu ili arejee nchini. Anaripoti Regina Mkonde, Dar es Salaam…(endelea). Akijibu swali lililomtaka kueleza ni lini atarejea ...

Read More »

Dk. Tulia akwepa ofisi ya Sugu

MBUNGE wa Mbeya Mjini, Dk. Ackson Tulia ameamua kutumia sehemu ya jengo la Mkuu wa Wilaya ya Mbeya kufanya majukumu yake ya kibunge badala ya ofisi ya mbunge. Anaripoti Mwandishi Wetu, ...

Read More »

Dawa ya REGEN- COV2 iliyomtibu Trump yapitishwa

DAWA ya virusi vya corona aina ya REGEN- COV2, iliyotumika kumtibu Rais wa Marekani, Donald Trump imeidhinishwa na Mdhibiti wa Dawa Marekani kwa ajili ya watu ambao hawajawa katika hali ...

Read More »

Sakata la saruji, Majaliwa atoa maagizo kwa Ma RC ‘wakamateni’

WAZURI Mkuu wa Tanzania, Kassim Majaliwa amewaagiza wakuu wa mikoa (RC) yote kufanya ukaguzi kwenye viwanda vya kuzalisha saruji, mawakala, wauzaji wa kati na wadogo pamoja na kuwakamata wanaorundika bidhaa ...

Read More »

Shule kumi bora, 10 za mwisho darasa la 7

BARAZA la Mitihani la Tanzania (Necta), limetangaza matokeo ya kumaliza elimu ya msingi uliofanyika tarehe 7 na 8 Oktoba 2020. Anaripoti Mwandishi Wetu, Dar es Salaam. Katika matokeo hayo yaliyotangazwa ...

Read More »

Jaji Warioba avinyooshea kidole vyombo vya habari  

WAZIRI Mkuu Mstaafu wa Tanzania, Joseph Warioba, amekosoa utendaji wa vyombo vya habari nchini humo akisema vinasuasua kutoa habari zinazohusu masuala ya wananchi na kujikita kutoa habari zinazohusu uongozi. Anaripoti ...

Read More »

Matokeo Darasa la saba 2020 haya hapa  

BARAZA la Mitihani la Taifa (Necta) Jumamosi tarehe 21 Novemba 2020, limetangaza matokeo ya mtihani wa darasa la saba 2020. Anaripoti Mwandishi Wetu, Dar es Salaam … (endelea). Kuangalia matokeo ...

Read More »

Tanzania, Msumbiji mguu sawa kudhibiti ugaidi

JESHI la Polisi Tanzania na Msumbiji,  yametangaza operesheni ya kusaka kundi linalofanya uhalifu katika mpaka wa mataifa hayo mawili. Anaripoti Mwandishi Wetu, Mtwara … (endelea). Hayo yamesemwa jana  Ijumaa tarehe ...

Read More »

NEEC, GGML yawajengea uwezo wajasiriamali 500 Geita

WAJASIRIAMALI 500 Mkoa wa Geita ili wawe na fursa bora ya kufanya biashara na taasisi mbalimbali nchini Tanzania. Anaripoti Mwandishi Wetu…(endelea). Mafunzo hayo yametolewa jana Alhamisi tarehe 19 Novemba 2020 ...

Read More »

Wananchi waombwa kushiriki miradi ya maji, afya na mazingira

MKUU wa Wilaya ya Mufindi mkoani Iringa, Jamhuri William ametoa wito kwa wadau waliopo mkoani humo na halmashauri ya wilaya ya Mufindi kuendelea kushirikiana katika miradi ya maji, afya na ...

Read More »

Majaliwa atoa siku 15 hospitali ya Uhuru ikamilike

WAZIRI Mkuu wa Tanzania, Kassim Majaliwa, ametoa siku 15 kwa uongozi ya Wilaya ya Chamwino, Wakala wa Majengo Tanzania (TBA) na Suma JKT wahakikishe ujenzi wa hospitali ya Uhuru Wilaya ...

Read More »

Sakata la Tz Ulaya: Balozi amvaa Zitto

SERIKALI ya Tanzania imesema, haijawekewa vikwazo na kunyimwa misaada na Jumuiya ya Umoja wa Ulaya (EU), kama inavyodaiwa na baadhi ya wanasiasa na wanaharakati nchini humo. Anaripoti Mwandishi Wetu, Dar ...

Read More »

Lissu, Zitto ‘kumwaga mboga’ Ulaya

TUNDU Lissu, Makamu Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) na Zitto Kabwe, Kiongozi wa Chama cha ACT-Wazalendo wamepanga kuieleza dunia hali ya kisiasa ilivyo Tanzania. Anaripoti Mwandishi Wetu, ...

Read More »

Umeya, Uenyekiti: La mgambo limelia CCM

HALMASHAURI Kuu ya Chama Cha Mapinduzi (NEC-CCM), imefanya uteuzi wa wagombea nafasi za Meya wa Jiji, wenyeviti wa Halmashauri za Wilaya na Miji. Anaripoti Mwandishi Wetu, Dar es Salaam … ...

Read More »

Ugaidi: IGP Sirro kukutana na IGP wa Msumbiji

MKUU wa Jeshi la Polisi nchini Tanzania, IGP Simon Sirro anatarajiwa kufanya mazungumzo na Kamanda Mkuu wa Jeshi la Polisi Msumbiji, Bernadino Rafael kuhusu hali ya usalama wa mataifa hayo ...

Read More »

Maalim Seif amjibu Dk. Mwinyi

MAALIM Seif Shariff Hamad, aliyekuwa mgombea urais visiwani Zanzibar kupitia Chama cha ACT – Wazalendo, amesema ‘chama hakijaamua’ kuingia kwenye Serikali ya Umoja wa Kitaifa (SUK). Anaripoti Mwandishi Wetu, Zanzibar ...

Read More »

Vigogo kampuni ya vinywaji kortini tuhuma za utakatishaji Bil.1.6

TAASISI ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa (Takukuru) nchini Tanzania, imewafikisha Mahakama ya Kisutu jijini Dar es Salaam watuhumiwa watatu kati ya wanne waajiriwa wa Kampuni ya BEVCO LTD kwa ...

Read More »

Mauaji Z’bar: IGP Sirro, Zitto wavutana

TAKWIMU za Jeshi la Polisi na Chama cha ACT – Wazalendo kuhusu mauaji yaliyotokea Zanzibar wakati wa uchaguzi mkuu wa tarehe 28 Oktoba 2020, zinakinzana. Anaripoti Hamis  Mguta, Dar es ...

Read More »

IGP Sirro: Walipanga nchi isitawalike

MKUU wa Jeshi la Polisi nchini, IGP Simon Sirro ameeleza kuwa, kuna watu walipanga wakati wa Uchaguzi Mkuu, nchi isitawalike. Anaripoti Regina Mkonde, Dar es Salaam … (endelea).   Bila ...

Read More »

Dk. Mwinyi amsubiri Maalim Seif Ikulu

RAIS wa Zanzibar, Dk. Hussein Ali Mwinyi amesema, anasuburi uamuzi wa Maalim Seif Sharif Hamad na chama chake cha ACT – Wazalendo katika kuunda Serikali ya Umoja wa Kitaifa visiwani ...

Read More »

Baraza la Mawaziri la Dk. Mwinyi hili hapa

DAKTARI Hussein Ali Mwinyi, Rais wa Zanzibar ametangaza Baraza la Mawaziri huku wizara mbili na nafasi ya manaibu waziri akiziweka kiporo. Anaripoti Mwandishi Wetu, Zanzibar … (endelea). Akitangaza baraza lake ...

Read More »

IGP Sirro awaita Lissu, Lema

INSPEKTA Jenerali wa Polisi (IGP) nchini Tanzania, Simon Sirro amewataka wanasiasa waliokimbia nje ya nchi kwa madai ya kutishiwa usalama wa maisha yao kurejea nchini humo kwani kuna amani na ...

Read More »

Majaliwa azindua uchepushaji maji mto Rufiji, Misri yatangaza fursa

WAZIRI Mkuu wa Tanzania, Kassim Majaliwa amezindua kazi ya uchepushaji maji ya mto Rufiji kwenda handaki ili kupisha ujenzi wa tuta kuu la bwawa la kufua umeme. Anaripoti Mwandishi Wetu…(endelea). ...

Read More »

Rais Mwinyi awatumbua vigogo 2 Z’bar

RAIS wa Zanzibar, Dk. Hussein Ali Mwinyi ametengua uteuzi wa Mkurugenzi Mkuu wa Afya wa Wizara ya Afya, Dk. Jamala Adam Taib na Mkurugenzi Mtendaji wa Hospitali ya Rufaa ya ...

Read More »

Milioni 39 wapona corona duniani

MAAMBUKIZO ya virusi vya corona (COVID-19) duniani yamefikia milioni 56.1, waliopona milioni 39.1 na waliofariki kutokana na ugonjwa huo wakiwa milioni 1.3. Anaripoti Mwandishi Wetu…(endelea). Mtandao wa worldometer hadi leo ...

Read More »

Wahamiaji 36 wa Ethiopia, Somalia wadakwa Dar

WAHAMIAJI haramu 36 raia wa Ethiopia na Somalia walioingia nchini Tanzania kinyume na taratibu, wamekamatwa. Anaripoti Mwandishi Wetu Wahamiaji hoa wamekamatwa na vyombo vya ulinzi na usalama Mkoa wa Dar ...

Read More »

Rais Mwinyi kutangza mawaziri kesho

RAIS wa Zanzibar, Dk. Hussein Ali Mwinyi kesho Alhamisi tarehe 19 Novemba 2020, ataweka wazi sura ya baraza lake jipya la mawaziri. Anaripoti Mwandishi Wetu…(endelea). Dk. Mwinyi ambaye pia ni ...

Read More »

Klabu ya Udasa yafungwa

JUKWAA la wakufunzi wa Chuo Kikuu cha Dar es Salaam (Udasa) nchini Tanzania, limekana madai kuwa limefunga shughuli zake. Anaripoti Mwandishi Wetu, Dar es Salaam … (endelea). Akizungumza na MwanaHALISI ...

Read More »

CCM yapata msiba Z’bar

KADA maarufu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Visiwani Zanzibar, Zawadi Salehe Makame, amefariki dunia. Anaripoti Mwandishi Wetu, Zanzibar … (endelea). Kwa mujibu wa taarifa iliyotolewa na Radio ya Serikali ya ...

Read More »

CCM yalia kuibiwa kura

ZAIDI ya wanachama 1,100 wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Kata ya Mwakizega, Uvinza mkoani Kigoma, wamerejesha kadi za chama hicho wakidai, mgombea wa chama cha DP aliiba kura za mgombea ...

Read More »

Polisi Z’bar wamwachia Mazrui

JESHI la Polisi Visiwani Zanzibar leo Jumanne tarehe 17 Novemba 2020, limemwachia kwa dhamana Naibu Katibu Mkuu wa Chama cha ACT-Wazalendo, Nassor Ahmed Mazrui pamoja na mwanachama wa chama hicho, ...

Read More »

Kigogo wa Polisi afariki dunia

DHAHIR Kidavashari (56), Aliyekuwa kaimu Kamishna wa fedha na lojistiki wa Jeshi la Polisi Tanzania amefariki dunia usiku wa kuamkia leo tarehe 17 Novemba 2020. Anaripoti Mwandishi Wetu, Dodoma … ...

Read More »
error: Content is protected !!