Mwili wa Thomas Mashali ukizikwa katika makaburi ya Kinondoni

‘Buriani Thomas Mashali’

THOMAS Mashali, aliyekuwa bondia mashuhuri nchini Tanzania, amezikwa leo kwenye makaburi ya Kinondoni, jijini Dar es Salaam, anaandika Faki Sosi.

Mashabiki, wapenzi wa ndondi, wananchi na wanafamilia kwa pamoja leo wauaga mwili wa Mashali katika Ukumbi wa Diamon Jubilee kabla ya kwenda kuuzika Kinondoni.

Awali Mashali alitarajiwa kuzikwa jana lakini baadaye familia yake iliahirisha maziko hayo na kufanyika leo.

THOMAS Mashali, aliyekuwa bondia mashuhuri nchini Tanzania, amezikwa leo kwenye makaburi ya Kinondoni, jijini Dar es Salaam, anaandika Faki Sosi. Mashabiki, wapenzi wa ndondi, wananchi na wanafamilia kwa pamoja leo wauaga mwili wa Mashali katika Ukumbi wa Diamon Jubilee kabla ya kwenda kuuzika Kinondoni. Awali Mashali alitarajiwa kuzikwa jana lakini baadaye familia yake iliahirisha maziko hayo na kufanyika leo.

Review Overview

User Rating: Be the first one !

About Faki Sosi

Visit Us On FacebookVisit Us On TwitterVisit Us On Youtube