Zitto Kabwe, Kiongozi wa ACT-Wazalendo

BREAKING NEWS: Zitto ahukumiwa, apewa masharti magumu

Spread the love

Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu imemhukumu Zitto Kabwe Kiongozi wa Chama cha ACT-Wazalendo, kutotoa na kuandika maneno ya uchochezi kwa muda wa mwaka mmoja. Anaripoti Faki Sosi, Dar es Salaam … (endelea).

Hukumu hiyo imetolewa na Hakimu Mkazi Mkuu wa Mahakama ya Kisutu, Huruma Shaidi baada ya kumtia hatiani katika makosa yote matatu katika kesi ya uchochezi namba 327/2018.

Habari zaidi zitakujia kupitia hapa hapa MwanaHALISI ONLINE

Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu imemhukumu Zitto Kabwe Kiongozi wa Chama cha ACT-Wazalendo, kutotoa na kuandika maneno ya uchochezi kwa muda wa mwaka mmoja. Anaripoti Faki Sosi, Dar es Salaam ... (endelea). Hukumu hiyo imetolewa na Hakimu Mkazi Mkuu wa Mahakama ya Kisutu, Huruma Shaidi baada ya kumtia hatiani katika makosa yote matatu katika kesi ya uchochezi namba 327/2018. Habari zaidi zitakujia kupitia hapa hapa MwanaHALISI ONLINE

Review Overview

User Rating: Be the first one !

About Faki Sosi

Leave a Reply

Your email address will not be published.

error: Content is protected !!