BREAKING NEWS: Reginald Mengi afariki dunia

REGINALD Mengi, Mwenyekiti wa Makampuni ya IPP na mfanyabiashara mkubwa nchini, amefariki dunia usiku wa kuamkia leo tarehe 2 Mei 2019. Anaripoti Bupe Mwakiteleko … (endelea).

Taarifa za awali zinaeleza kuwa, Mzee Mengi (75) amefariki dunia akiwa Dubai. Ameacha mke (Jacqueline Ntuabaliwe) na watoto watano ambao ni Regina, Rodnay, Abdiel, Jayde na Ryan.

Endelea kufuatilia, taarifa zaidi zitakujia.

REGINALD Mengi, Mwenyekiti wa Makampuni ya IPP na mfanyabiashara mkubwa nchini, amefariki dunia usiku wa kuamkia leo tarehe 2 Mei 2019. Anaripoti Bupe Mwakiteleko ... (endelea). Taarifa za awali zinaeleza kuwa, Mzee Mengi (75) amefariki dunia akiwa Dubai. Ameacha mke (Jacqueline Ntuabaliwe) na watoto watano ambao ni Regina, Rodnay, Abdiel, Jayde na Ryan. Endelea kufuatilia, taarifa zaidi zitakujia.

Review Overview

User Rating: Be the first one !

About Bupe Mwakiteleko

error: Content is protected !!
Visit Us On FacebookVisit Us On TwitterVisit Us On YoutubeVisit Us On Instagram