Blog Page

HakiElimu yapiga yowe bajeti ya elimu

HATUA ya Bajeti ya Elimu kupungua siku hadi siku, imelalamikiwa na wadau wa elimu nchini. Anaripoti Faki Sosi…(endelea). Akizungumza na waandishi wa habari Prof. John Kalage, Mkurugenzi Mtendaji wa Hakielimu ...

Read More »

Kibatala amhenyesha ‘mbaya wa Zitto’  

MAHAKAMA ya Hakimu Mkazi Kisutu, jijini Dar es Salaam, imeanza kusikiliza ushahidi kwenye kesi ya uchochezi inayomkabili Zitto Kabwe, Kiongozi Mkuu wa Chama cha ACT-Wazalendo. Anaripoti Faki Sosi …(endelea). Leo tarehe ...

Read More »

Serikali yatoa Bil 688 mradi wa umeme Rufiji

SERIKALI imetoa kiasi cha Shilingi 688.6 bilioni, kwa ajili ya ujenzi wa mradi wa umeme katika maporomoko ya Mto Rufiji. Anaripoti Regina Mkonde … (endelea). Dotto James, Katibu Mkuu Wizara ya ...

Read More »

Madaktari Muhimbili wahaha kumuokoa Mariam

MARIAM Rajab Mimbe (25), anayesumbuliwa na kidonda kikubwa kwenye mgongo, upande wake wa kulia, anaendelea vizuri na sasa yuko njiani kuelekea katika hospitali ya Ocean Road, jijini Dar es Salaam. ...

Read More »

Man United: Duniani hakukaliki, Akhera hakuendeki

MCHEZO wa leo saa 4:00 usiku wa Ligi Kuu ya England kati ya Manchester United na Manchester City (Manchester Debby) kwenye uwanja wa Old Trafford, unawaweka njia panda mashabiki wa ...

Read More »

Rais Magufuli, Mama Janeth ziarani Malawi

RAIS John Magufuli leo tarehe 24 Aprili 2019, anatarajia kuanza ziara ya kikazi ya siku mbili nchini Malawi. Anaripoti Kelvin Mwaipungu … (endelea). Kwa mujibu wa taarifa iliyotolewa na Mkurugenzi ...

Read More »

Rais Magufuli ateua mwenyekiti mpya TASAC

MKUU wa Chuo cha Usimamizi wa Fedha (IFM) Profesa Tadeo Andrew Satta, ameteuliwa na Rais John Magufuli kuwa Mwenyekiti wa Bodi ya Wakurugenzi ya Shirika la Wakala wa Meli Tanzania ...

Read More »

Raia wa Nigeria, Lativia wadakwa na dawa za kulevya

JESHI la Polisi, Kitengo cha Kuzuia Kupambana na Dawa za Kulevya, limewatia mbaroni raia wawili wa Nigeria na Raia wawili wa Walativia wakiwa na kilogram 20 za dawa za kulevya aina ya ...

Read More »

Dk. Mwakyembe atonesha vidonda vya Azory

WAZIRI wa Habari, Sanaa, Utamaduni na Michezo, Dk. Harrison Mwakyembe, amepuuza kilicho cha muda mrefu cha wadau wa habari nchini cha kutaka kuelezwa mahali aliko, mwandishi wa gazeti la Mwananchi, ...

Read More »

Vituo vya ukaguzi mabasi ya umma vyaandaliwa

SERIKALI kupitia Jeshi la Polisi, Kikosi cha Usalama Barabarani limeandaa utaratibu wa kuwa na vituo maalum vya ukaguzi vya mabasi ya umma. Anaripoti Danson Kaijage, Dodoma … (endelea). Kauli hiyo imetolewa ...

Read More »

Ripoti ya IMF: Serikali yajaribu kujitakasa

WAZIRI wa Fedha na Mipango, Dk. Philip Mpango, amekana madai kuwa serikali imeliomba Shirika la Fedha la Kimataifa (IMF), kutochapisha taarifa yake ya uchambuzi wa hali ya uchumi nchini kwa ...

Read More »

Chuo cha Diplomasia kimenufaisha 3,421

JUMLA ya wanachuo 3,421 wamehitimu masomo yao katika Chuo cha Diplomasia tangu kuanzishwa kwake mwaka 1978. Anaripoti Danson Kaijage, Dodoma … (endelea). Taarifa hiyo imetolewa leo tarehe 23 Aprili 2019 na ...

Read More »

Serikali kuajiri walimu wa sayansi 4,500

SERIKALI imesema iko katika taratibu za mwisho za kuwaajiri walimu 4,500 wa masomo ya sayansi kwa ajili ya kuwapeleka katika shule za sekondari ambazo zina uhaba wa walimu. Anaripoti Danson ...

Read More »

RC Mwanri: Naomba radhi

AGREY Mwanri, Mkuu wa Mkoa wa Tabora ameomba radhi kufuatia kauli yake aliyoitoa mwanzoni mwa mwezi Aprili 2019 kwamba, Mungu amshukuru Rais John Magufuli kutokana na kazi anazofanya za kuliletea ...

Read More »

Mbunge Kabati: Mchungaji Msigwa ana bahati

RITA Kabati, Mbunge wa Viti Maalum (CCM) mkoani Iringa amesema, mambo mengi anayozungumza Peter Msigwa, Mbunge wa Iringa Mjini, yanatekelezwa na serikali. Anaripoti Hamis Mguta…(endelea). Akizungumza na MwanaHALISI Online kuhusu ...

Read More »

Waliouawa kanisani Sri Lanka wafika 290

MIILI ya watu waliopoteza maisha katika shambulio la kigaidi kwenye makanisa matatu na hoteli za kifahari nchini Sri Lanka, imefikia 290. Inaripoti Mitandao ya Kimataifa … (endelea). Shambulizi la mabomu ...

Read More »

Maaskofu waicharukia serikali

MKUU wa Kanisa la Kiinjili la Kilutheri Tanzania (KKKT), Dk. Frederick Shoo, amesema ya kuwa kuna watu duniani leo wanaotumia nguvu kuuficha ukweli, bila kujua kuwa ukweli unaasili ya kutofichika. ...

Read More »

Mchungaji amvaa Spika Ndugai

MWANGALIZI wa Makanisa ya Baptist mkoani Dodoma, Antony Mlyashimba, amemtaka Spika wa Bunge, Job Ndugai kutubu na kisha kukaa meza moja na Mkaguzi na Mdhibiti Mkuu wa Hesabu za Serikali ...

Read More »

Prof. Assad agoma kujiuzulu

MKAGUZI na Mdhibiti Mkuu wa Hesabu za Serikali (CAG), Prof. Mussa Assad, amegoma kujiuzulu kutoka kwenye wadhifa wake. Anaripoti Saed Kubenea … (endelea). Taarifa kutoka kwa watu waliokaribu na kiongozi ...

Read More »

Rushwa bado tatizo nchini-Mchungaji

ASKOFU wa kanisa la Anglikana Dayosisi ya Kati, Dk. Dikson Chilongani amesema kuwa licha ya kuwa serikali inapambana na rushwa lakini hali hiyo bado ipo na kwa kiwango cha juu. ...

Read More »

Mbunge wa upinzani amtabiria anguko Rais Magufuli 

JOHN Heche, mbunge wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), katika jimbo la Tarime Vijijini, amedai kuwa hatua ya Rais John Magufuli, kuzuia mikutano ya hadhara kwa vyama vya siasa, ...

Read More »

CAG vs Spika Ndugai: LHRC yamwandikia barua Waziri Mkuu

KITUO cha Sheria na Haki za Binadamu Tanzania (LHRC) kimetoa wito kwa Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa kuingilia kati mvutano uliopo kati ya Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali ...

Read More »

Askofu Bagonza awataka waumini kuwa makini

DK. Benson Bagonza, Askofu wa Kanisa la Kiinjili la Kilutheri Tanzania (KKKT), Dayosisi ya Karagwe, mkoani Kagera, amewataka waumini na wananchi kuwa makini na wanaojinadi kuwatetea. Anaripoti Regina Mkonde … ...

Read More »

UBA: Tunajivunia mafanikio Tanzania

BENKI ya UBA nchini imeeleza kuwa, kwa sasa wanakwenda kwa wananchi baada ya mafanikio makubwa ya kufanya kazi na serikali. Anaripoti Faki Sosi … (endelea). Benki hiyo iliyofikisha miaka 10 tangu ...

Read More »

DC Katambi awachimba mkwara wapinzani kuhoji ulinzi wa Rais

PATROBAS Katambi, Mkuu wa Wilaya ya Dodoma amesema, watu wanaohoji ulinzi wa rais hawana nia njema. Anaripoti Hamis Mguta… (endelea). Na kwamba, watu hao kama wangehoji ulinzi alionao Rais John ...

Read More »

Kuwaweka raia mahabusu; DC, Waziri wavutana

AGIZO la kuzuia kuwaweka watu mahabusu lililotolewa na George Mkuchika, Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais, Utumishi wa Umma na Utawala Bora limepata upinzani. Anaandika Regina Mkonde … (endelea). Gift Msuya, ...

Read More »

Tapeli wa ‘Tuma kwenye namba hizi’ matatani

MAMLAKA ya  Mawasiliano Tanzania ( TCRA) kwa kushirikiana na Jeshi la Polisi limemfikisha kwenye Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu, Fadhili Mahenge anayedaiwa kumiliki kadi za simu (Line) 626  alizokuwa akitumiwa ...

Read More »

Matapeli waliotumia jina la Mke wa Magufuli kizimbani, wakosa dhamana

WATU wanne wamefikishwa katika Mahakama Hakimu Mkazi Kisutu kwa tuhuma za kutumia jina la Mke wa Rais, John Magufuli, Janneth Magufuli kutapeli watu. Anaripoti  Faki Sosi … (endelea). Watu hao ...

Read More »

Uhuru vyombo vya habari wahojiwa bungeni

MALALAMIKO ya kuminywa kwa uhuru wa vyombo vya habari nchini, yameibuka tena leo tarehe 18 Aprili 2019 bungeni jijini Dodoma. Anaripoti Danson Kaijage, Dodoma … (endelea). Akichangia Bajeti ya Wizara ...

Read More »

Lissu: Niko njiani kurejea nyumbani

MBUNGE wa Singida Mashariki (Chadema), Tundu Lissu amesema, ataweza kurejea nyumbani muda wowote kutoka sasa, mara baada ya kushauriana na madaktari wake. Anaripoti Mwandishi Wetu … (endelea). Katika taarifa yake aliyoiweka ...

Read More »

Mbowe atikiswa tena Hai, wenyeviti 13 watimkia CCM

JIMBO la Hai linaloongozwa na Freeman Mbowe, Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), limetikiswa tena. Anaripoti Mwandishi Wetu … (endelea). Ni baada ya wenyeviti wa vitongozi 13 wa chama ...

Read More »

Familia ya Mzee Majuto, Kanumba zalamba mamilioni

KAMATI iliyoundwa na Wizara ya Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo kwa ajili ya kupitia mikataba ya wadau wa filamu, imetoa matokeo chanya kwa familia ya Marehemu Steven Kanumba na Amri ...

Read More »

Kifafa ugonjwa unaotaabisha wakazi Wilaya ya Ulanga

GODLUCK Mlinga, Mbunge wa Ulanga (CCM) amesema kuwa, Wilaya ya Ulanga inaongoza kwa kuwa na wagonjwa wa kifafa Tanzania na duniani. Anaripoti Danson Kaijage, Dodoma … (endelea). Mlinga ametoa kauli ...

Read More »

Mbunge CCM: Kwanini elimu ya Muungano isitolewe?

RITTA Kabati, Mbunge wa Viti Maalum (CCM), ametaka Wizara ya Nchi, Ofisi ya Makamu wa Rais (Muungano na Mazingira) kuona uwezekano wa kupeleka elimu ya muungano kwa ngazi ya kata ...

Read More »

Dk. Tulia ang’oa hotuba ya Sugu bungeni

SPIKA wa Bunge, Dk.Tulia Ackson ameamuru kuondolewa kwenye kumbukumbu za bunge Hotuba ya Wizara ya Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo kwa Mwaka wa Fedha 2019/20 baada ya kuvutana na waziri ...

Read More »

Kibano; Wakili Chadema Vs Shahidi Jamhuri

SHAHIDI  wa kwanza kwenye ya kesi uchochezi  inayowakabili viongozi wa Chadema, ameeleza kwamba hajui sababu za muuaji wa Akwelina Akwilini kutofikishwa mahakamani mpaka sasa. Anaripoti Faki Sosi … (endelea). Shahid ...

Read More »

Rais ajiua kwa risasi kukwepa kukamatwa na Jeshi

RAIS Mstaafu wa nchi ya Peru, Alan Garcia amejiua  kwa kujipiga risasi akikwepa kuingia mikononi mwa Jeshi la Polisi la nchi hiyo, kufuatia tuhuma zilizokuwa zina mkabili za kupokea rushwa. ...

Read More »

Kesi ya Mbowe, wenzake; Shahidi akiri kuruhusu matumizi ya risasi za moto

SHAHIHIDI wa kwanza kwenye kesi ya uchochezi inayowakabili viongozi wa Chadema, amekiri kuruhusu matumizi ya risasi za moto kwenye maandamano yaliyofanyika na chama hicho tarehe 16 Februari 2018. Anaripoti Faki Sosi…(endelea). Chadema walifanya maandamana ...

Read More »

Ubalozi Palestina waadhimisha ‘Siku ya Mateka wa Kipalestina’ 

BALOZI za Palestina duniani kote, leo tarehe 17 Aprili 2019 zinaadhimisha Siku ya Mateka wa Kiapestina wanaoendelea kushikiliwa na Jeshi la Israel kwenye magereza yao.Anaripoti Faki Sosi…(endelea). Taarifa iliyotolewa na ...

Read More »

Omar al-Bashir aanza kusulubiwa

ALIYEKUWA Rais wa Sudan, Omar al-Bashir ameanza kusulubiwa, Jeshi la nchi hiyo limempeleka katika gereza lenye ulinzi mkali la Kobar, lililoko mjini Khatoum nchini humo. Inaripoti Mitandao ya Kimataifa…(endelea). Kwa mujibu ...

Read More »

Kesi ya Mbowe, wenzake; Jina la Akwelina latajwa

JINA la Mwanafunzi wa Chuo cha Taifa cha Usafirishaji (NIT), Akwelina Akwilin, limetajwa kwenye ushahidi unaotolewa katika kesi ya Freeman Mbowe na wenzake jijini Dar es Salaam leo tarehe 17 ...

Read More »

Mbunge CCM atetea wafungwa wajawazito

MBUNGE Viti Maalum (CCM), Angelina Malembeka ameishauri serikali kuweka utaratibu kwa wafungwa wa kike wenye ujauzito, kupewa vifungo vya nje ya gereza, ili watoto wao wazaliwe kwenye familia huru. Anaripoti Danson ...

Read More »

Watu 150 wahofiwa kufa ziwani

WATU 150 wanahofiwa kufa baada ya boti walilokuwa wanasafiria kuzama kwenye Ziwa Kivu, Mashariki mwa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo (DRC). Inaripoti Mitandao ya Kimataifa … (endelea). Taarifa ya tukio hilo ...

Read More »

Upinzani waibuka na kero saba za Muungano

KAMBI Rasmi ya Upinzani Bungeni, imeibuka na kero saba za Muungano kwamba, mpaka sasa bado zinatikisa. Anaripoti Danson Kaijage, Dodoma … (endelea). Ratifa Chande, Mbunge wa Viti Maalum akiwasilisha taarifa ...

Read More »

Sh. 17.89 Bil kujenga mradi wa maji Mwanza

JUMLA ya Sh. 17.89 bilioni zimetolewa na Serikali,  kupitia mkopo wa masharti nafuu kutoka Benki ya Uwekezaji ya Ulaya (EIB) kwa ajili ya ujenzi wa mradi mkubwa wa maji Butimba ...

Read More »

Dk. Mashinji awa kikwazo kesi ya Mbowe, wenzake 

MAHAKAMA ya Hakimu Mkazi Kisutu, jijini Dar es Salaam imeahirisha kesi ya uchochezi inayowakibili viongozi waandamizi wa Chadema, kutokana na mshtakiwa namba sita kutokuwepo. Anaripoti Faki Sosi … (endelea). Mshatakiwa ...

Read More »

Mbunge CCM ahoji ahadi za serikali

CATHERINE Magige, Mbunge wa Viti Maalum (CCM) leo tarehe 16 Aprili 2019, ameitaka serikali kueleza ni lini itakamilisha ahadi zake ilizotoa kwa jamii? Anaripoti Danson Kaijage, Dodoma … (endelea). Akiuliza ...

Read More »

ACT-Wazalendo yaibomoa CUF Tanga kimya kimya

CHAMA cha Wananchi (CUF), kipo kwenye wakati mgumu baada ya ACT-Waalendo kuendelea kubomoa ngome zake. Anaripoti Mwandishi Wetu … (endelea). Licha ya kauli tata kutoka Ofisi ya Msajili wa Vyama vya ...

Read More »

Spika Ndugai amejaribu, ameshindwa

JOB Ndugai, Spika wa Bunge la Jamhuri amejaribu kumchora Prof. Mussa Assad, Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali (CAG) katika taswira hasi kwa Watanzania, lakini ameshindwa. Anaandika Bupe Mwakiteleko ...

Read More »

AG atoa waraka kuwaonya Ma-DC, RC

MWANASHERIA Mkuu wa Serikali (AG), Profesa Adelardus Kilangi, ametoa waraka kwa Wakuu wa Mikoa na Wilaya kukazia marufuku ya wateule hao wa Rais John Magufuli, kuwaweka watu mahabasu kinyume cha ...

Read More »
Visit Us On FacebookVisit Us On TwitterVisit Us On Youtube