Victoria Chance – MwanaHALISI Online

Author Archives: Victoria Chance

Machafuko yakosesha watoto elimu DRC 

Watoto nchini Kongo

ASASI isiyo ya kiserikali nchini kongo imesema  watoto wengi zaidi wanakosa elimu kutokana na mgogoro na mfumo duni wa elimu wa nchi hiyo. anaandika Victoria chance. Ripoti ya Baraza la ...

Read More »

Rais wa Mali kufungua kambi ya kijeshi

Rais wa Mali Ibrahim Boubacar Keita

RAIS wa nchini Mali, Boubacar Keita amefungua kambi ya majeshi  inayohusisha nchi tano za Afrika yenye lengo la kupambana na wanamgambo katika eneo la sahel mwa Afrika lililokumbwa na mashambulizi ...

Read More »

Chadema watishia ‘Nyau’ kuhusu Ukuta

Vicent Mashinji, Katibu Mkuu wa Chadema

CHAMA cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), kimetonesha kidonda kilichopona baada ya kusisitiza kwamba bado kina dhamira ya kufanya maandamano kwa nchi nzima waliyoyapa jina la Umoja wa Kupinga Udikteta Tanzania ...

Read More »

Kamanda Mambosasa kunusuru akina Lissu?

IMG-20170829-WA0002

LAZARO  Mambosasa Kamanda wa Kanda Maalumu  Dar es salaam amewataka wananchi wote pamoja na waandishi wa habari kumpa ushirikiano  ili jamii iweze kuishi katika hali ya usalama na  amani Anaandika Victoria Chance. Ameyasema hayo leo ...

Read More »

Maporomoko yaua watu 1000 Sierra Leone

DHMAG7cWAAAnbML

IDADI ya watu waliofariki dunia kutokana na maporomoko ya udongo yaliyoambata na mafuriko katika mji wa milimani wa Regent nje kidogo ya Freetown nchini Sierra Leone imezidi elfu moja mpaka ...

Read More »

Joao Lourenco aibuka mshindi Angola

Joao Lourenco

CHAMA cha People’s Movement for the Liberation of Angola (MPLA) nchini Angola kimeshinda uchaguzi mkuu uliofanyika jumatano ya wiki hii kwa zaidi ya asilimia 64, anaandika Victoria Chance. Chama hicho ...

Read More »

Mahakama Kenya waonya wanahabari, mawakili

bachelor of law-supreme-kenya

MAHAKAMA ya juu nchini Kenya imewaonya wanahabari, mawakili na wahusika wengine wa kesi ya kupinga ushindi wa Rais Uhuru Kenyatta dhidi ya mpinzani wake, Raila Odinga, anaandika Victoria Chance. Kenyatta ...

Read More »

Wakenya wabaini  akili za kuambiwa changanya na zako

Raila Odinga, aliyekuwa mgombea wa Muungano wa NASA

WAFUASI wa aliyekuwa mgombea urais nchini Kenya, Raila Odinga wamepuuza kauli yake iliyowataka leo kutoenda kazini, anaandika Victoria Chance. Odinga aliwataka wafuasi wake kususa kwenda kazini kama ishahara ya kupinga ...

Read More »

Fomu namba 34 A yazua utata uchaguzi Kenya

Raila Odinga

MUUUNGANO wa NASA, umetangaza kukataa matokeo huku ukisema matokeo yanayotolewa na Tume ya Uchaguzi ya Kenya, hayana ushahidi wa fomu namba 34 A kama sheria inavyosema, anaandika Irene Emmanuel. NASA ...

Read More »

Marekani, Uingereza kuchunguza kifo cha Musando wa Kenya

Chris Musando, aliyekuwa Kaimu Mkurugenzi wa Masuala Teknolojia wa Tume ya Uchaguzi na Mipaka Nchini Kenya (IEBC)

MAUAJI ya Kaimu Mkurugenzi wa Masuala Teknolojia wa Tume ya Uchaguzi na Mipaka Nchini Kenya (IEBC), yameziibua nchi za Marekani na Uingereza na kuamua kuungana na nchi hiyo kufanya uchunguzi ...

Read More »

Algeria yajiita maskini jeuri

Mji Mkuu wa Algeria, Algiers

ALGERIA imesema haitachukua mkopo wa kigeni licha ya nchi hiyo kukabiliwa na matatizo mengi ya ndani hususani ya kiuchumi, anaandika Victoria Chance. Uchumi wa nchi hiyo umeporomoka kutokana na kushuka ...

Read More »

Maonyesho ya vyuo vikuu yafunguliwa Dar

Kassim Majaliwa, Waziri Mkuu (mwenye suti ya bluu) akiwa katika picha ya pamoja na viongozi wa TCU

WAZIRI Mkuu, Kasimu Majaliwa leo amefungua rasmi maonyesho ya 12 ya vyuo vikuu hapa nchini, anaandika Victoria Chance. Maonyesho hayo ya siku tatu yanafanyika katika viwanja vya Mnazi Mmoja jijini ...

Read More »

Wenye ulemavu waiangukia serikali ya JPM

IMG_6630

CHAMA cha walemavu Tanzania (CHAWATA), kimeiomba serikali ya awamu ya tano kuwaangalia kwa jicho la tatu katika swala zima la uchumi wao, anaandika Victoria Chance. CHAWATA kimedai kuwa serikali imekuwa ikiwaacha ...

Read More »

Mabadiliko katika sekta ya madini

James mdoe, Kaimu Katibu Mkuu Wizara ya Nishati na Madini

Wizara ya Nishati na Madini imefanya mabadiliko kufuatia kupitishwa kwa sheria mpya ‘the written laws (miscellaneous amendmend ) Act 2017  iliyofanyiwa marekebisho kadhaa katika sheria ya mwaka 2010, anaandika Victoria ...

Read More »

Baada ya kufungiwa vituo vyake, Diallo aburuzwa mahakamani

Anthony Diallo, Mmiliki wa Sahara Media ambaye pia ni Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi (CCM) Mkoa wa Mwanza,

ANTONY Diallo, Mkurugenzi Mtendaji wa Kampuni ya Sahara Media Group (SMG), inayomiliki kituo cha televisheni Star TV, Redio Free Africa (RFA) na Kiss FM anatarajiwa kupandishwa kizimbani kwa kushindwa kulipa ...

Read More »

 Lissu amtetea Dk. Mashinji 

Katibu Mkuu wa Chadema, Dk. Vicent Mashinji

MWANASHERIA Mkuu wa Chama cha Maendeleo na Demokrasia (Chadema) ameikosoa serikali kuhusu namna inavyoshughulikia suala la uchochezi   katika serikali ya awamu ya tano, anaandika Victoria Chance. Akiongea na waandishi wa ...

Read More »

ACACIA yakubali kuilipa serikali

1-7

ACACIA Mining Limited imekubali kuilipa serikali mrabaha wa asilimia sita (6%) baada ya sheria ya madini kubadilishwa, anaandika Victoria Chance. Kampuni hiyo inayomiliki makampuni ya uchimbaji wa madini ya ACACIA ...

Read More »

‘Boda to boda’ kuzinduliwa kesho

Dk. Augustine Mahinga, Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki

SHIRIKA lisilo la kiserikali la Foundation For Civil Society (FSC) kesho linatarajia kuzindua kampeni ya “Chungulia Fursa Boda to Bado,” anaandika Victoria Chance. Akizungumza na MwanaHALISI Online, Boniphace Makene, Afisa ...

Read More »

Somalia yaandaa mfumo wa ‘kura moja mtu mmoja’ 2021

170505-somalia-map-mn-1355_a23b77308027721fdbc114c9ccb91311.nbcnews-fp-1200-800

WATAALAMU wa masuala ya uchaguzi kutoka nchi za Kiarabu na barani Afrika wamemaliza mkutano jijini Nairobi uliolenga kuipatia Somalia mfumo bora wa uchaguzi utakaohusisha utaratibu wa ‘kura moja mtu mmoja, anaandika ...

Read More »

Chadema wamkemea JPM

Rais John Magufuli

KAULI ya Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania  John Magufuli kuwa wakati wa utawala wake hakuna wanafunzi wataopata ujauzito wataruhusiwa kurejea masomoni baada ya kujifungua imeelezwa kuwa ni chuki ya ...

Read More »
Visit Us On FacebookVisit Us On TwitterVisit Us On Youtube