Friday , 26 April 2024
Home upendo
1869 Articles239 Comments
Habari za Siasa

Serikali yaanika mkakati kubana matumizi “tutapimiana mafuta ya magari”

  SERIKALI ya Tanzania, imetangaza mkakati wa kubana matumizi kwa mwaka wa fedha wa 2022/23, ili yaakisi ugumu wa maisha wanayopitia wananchi kufuatia...

Habari Mchanganyiko

BRELA yafungua milango kampuni zenye migogoro

  WAKALA wa Usajili wa Biashara na Leseni (BRELA), umefungua zoezi la usikilizaji kampuni zenye migogoro na changamoto mbalimbali, kwa ajili ya kutafuta...

Habari Mchanganyiko

Wadau wataka sheria makosa mtandaoni iandikwe upya

  WADAU wa tasnia ya habari nchini Tanzania, wameshauri Sheria ya Makosa ya Mtandaoni ya mwaka 2015, ifutwe ili kutoa nafasi ya kutungwa...

HabariTangulizi

Serikali yaonya watu, NGO’s zinazochochea mgogoro Ngorongoro

  SERIKALI ya Tanzania, imetangaza kusudio la kuwachukulia hatua watu pamoja na Mashirika Yasiyo ya Kiserikali (NGO’s), yanayochochea mgogoro wa ardhi katika Hifadhi...

Habari Mchanganyiko

Mjadala sifa za waandishi wa habari waja

  MWENYEKITI wa Jukwaa la Wahariri Tanzania (TEF), Deodatus Balile, amesema wanaanda mjadala wa kitaifa kwa ajili ya kupata maoni na mapendekezo ya...

Habari MchanganyikoTangulizi

#LIVE: Tuzo za EJAT2021, Majaliwa atoa ujumbe kwa MCT

  WAZIRI Mkuu wa Tanzania, Kassim Majaliwa amelitaka Baraza la Habari Tanzania (MCT), kusimamia vyema vyombo vya habari ili vitekeleze majukumu yake kwa...

Habari Mchanganyiko

BRELA watangaza operesheni maalum, kufuta kampuni 5,000

  WAKALA wa Usajili wa Biashara na Leseni nchini (BRELA), imetangaza kusudio la kufanya operesheni endelevu ya kuzifuta kampuni zinazokiuka sheria, ambapo zaidi...

Habari za Siasa

Rais Samia apandisha viwango vya posho

  RAIS Samia Suluhu Hassan, amepandisha viwango vya posho ya kujikimu katika safari za ndani za watumishi wa umma, pamoja na malipo ya...

Habari MchanganyikoTangulizi

Diwani CCM aliyetoweka akutwa kwa mwanamke akiwa amelewa

  DIWANI wa Kata ya Kawe, Mutta Rwakatare (CCM), aliyetoweka tangu Februari 2022, amepatikana akiwa katika hali ya ulevi kwenye nyumba ya rafiki...

Habari za Siasa

ACT-Wazalendo yapendekeza hatua nne upatikanaji katiba mpya

  CHAMA cha ACT-Wazalendo, kimeshauri mchakato wa upatikanaji katiba mpya uanze mara moja, huku kikitoa mapendekezo ya hatua nne za kuchukua kuelekea suala...

Elimu

Serikali yashauriwa kuanzisha mitaala elimu ya anga shule za sekondari

  SERIKALI ya Tanzania, imeshauriwa kuanzisha mtaala wa elimu kuhusu usafiri wa anga, kwa shule za sekondari hadi kidato cha sita, ili kutoa...

Habari za SiasaTangulizi

Serikali yaongeza kima cha chini mshahara asilimia 23.3

  RAIS wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan, ameridhia mapendekezo ya nyongeza ya mshahara kwa watumishi wa umma, ambapo kima cha chini kimeongezwa kwa...

Habari MchanganyikoTangulizi

Rais Samia awapa makavu wanaharakati “kwangu mimi hakuna kupambana”

  RAIS wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan, amewataka watetezi wa haki za binadamu waache harakati zenye lengo la kupambana na Serikali bali wafanye...

Habari Mchanganyiko

Mabalozi wamchambua Rais Samia

  MABALOZI wa nchi mbalimbali nchini Tanzania, wametumia sherehe za maadhimisho ya miaka 10 ya Mtandao wa Watetezi wa Haki za Binadamu Tanzania...

Habari Mchanganyiko

THRDC yampa tuzo ya utetezi wa haki za binadamu Rais Samia

  MTANDAO wa Watetezi wa Haki za Binadamu Tanzania (THRDC), wamempa tuzo maalumu Rais Samia Suluhu Hassan, kufuatia mchango wake katika uimarishwaji wa...

ElimuHabari za Siasa

Prof. Mkumbo ataka maafisa elimu kata wang’olewe kufidia pengo la walimu

  MBUNGE wa Ubungo, Profesa Kitila Mkumbo, ameishauri Serikali ifute kada ya maafisa elimu kata, ili kuziba changamoto ya upungufu wa walimu shuleni....

Habari Mchanganyiko

Serikali yaita maoni maboresho rasimu ya mpango kazi haki za binadamu

  SERIKALI ya Tanzania, imewaita wadau wa Asasi za Kiraia kutoa maoni yao juu ya maboresho ya rasimu ya mpango kazi wa pili...

Elimu

Walioacha masomo zaidi ya 3,000 warejea shule

  RAIS Samia Suluhu Hassan, amesema wanafunzi zaidi ya 3,000 walioacha masomo kwasababu mbalimbali, wamerejea masomoni baada ya Serikali yake kutoa muongozo wa...

Habari MchanganyikoTangulizi

Sakata Panya Road: Masauni ampa siku saba IGP Sirro, mwenyewe ajitetea

  WAZIRI wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Mhandisi Hamad Masauni, amempa siku saba Inspekta Jenerali wa Polisi nchini (IGP), Simon Sirro, adhibiti...

Habari Mchanganyiko

Wawili mbaroni tuhuma kuua madereva, kupora pikipiki

  JESHI la Polisi Kanda Maalumu ya Dar es Salaam, linawashikilia watu wawili, kwa tuhuma za kuhusika na mauaji ya madereva wawili kisha...

Habari za Siasa

Maandalizi ya sensa yafikia asilimia 81

  MWENYEKITI wa Kamati Kuu ya Sensa ya Watu na Makazi, Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa amesema maandalizi ya zoezi hilo hadi kufikia jana...

Habari Mchanganyiko

Wataka utafiti kubaini athari rushwa ya ngono kwa wanahabari

WADAU wa vyombo vya habari nchini Tanzania wameshauri utafiti ufanyike kuhusu hali ya unyanyasaji wa kingono mahali pa kazi, ili kujua ukubwa wa...

Tangulizi

Mbunge atishia kukwamisha bajeti TAMISEMI kisa walemavu

  MBUNGE Viti Maalumu, Stella Ikupa, ametishia kushika shilingi katika makadirio ya bajeti ya Wizara Ofisi ya Rais-TAMISEMI kwa mwaka wa fedha wa...

Afya

Wizara ya Afya yamwaga ajira 1,650

  WIZARA ya Afya, imetangaza nafasi za ajira 1,650 za wataalamu wa kada mbalimbali za sekta ya afya. Anaripoti Regina Mkonde, Dar es...

Kimataifa

Urusi yaonya baa la njaa duniani kama haitaondolewa vikwazo

  NCHI ya Urusi, imeonya uwezekano wa dunia kukumbwa na baa la njaa, endapo vikwazo vya kiuchumi dhidi yake havitaondolewa haraka iwezekanavyo. Anaripoti...

Kimataifa

Mgogoro wa Ukraine: Putin kuhutubia viongozi wa Afrika

  RAIS wa Urusi, Vladimir Putin, anatarajiwa kuhutubia wakuu wa nchi za Afrika, ili kueleza msimamo wake juu ya kinachoendelea kwenye mgogoro wa...

Habari Mchanganyiko

Dk. Mpango ataka kamati usuluhishi migogoro viongozi wa dini

  MAKAMU wa Rais, Dk. Phillip Mpango, ameshauri kamati za amani ziundwe kwa ajili ya kutatua migogoro inayoibuka katika nyumba za ibada. Anaripoti...

Habari Mchanganyiko

Mama mbaroni kwa mauaji ya mwanaye

  JESHI la Polisi Kanda Maalumu ya Dar es Salaam, linamshikilia Latifa Bakari (33), mkazi wa Mabibo, kwa tuhuma za mauaji ya mtoto...

Habari Mchanganyiko

Sensa kufanyika Agosti 23

SENSA ya Watu na Makazi ya 2022, imepangwa kufanyika siku ya Jumatatu, tarehe 23 Agosti 2022. Anaripoti Regina Mkonde, Dar es Salaam…(endelea). Tarehe...

Habari za SiasaTangulizi

CCM yataja sababu za kumsamehe Membe

CHAMA Cha Mapinduzi (CCM), kimesema kimemsamehe aliyekuwa Mjumbe wa Halmashauri Kuu yake Taifa (NEC), Benard Membe na Abdallah Diwani, kwa kuwa wamekiri makosa...

HabariTangulizi

Rais Samia akwamisha kongamano la TCD

  Kituo cha Demokrasia Tanzania (TCD), kimesogeza mbele kongamano la haki, amani na maridhiano, hadi tarehe 4 na 5 Aprili 2022, sababu zikitajwa...

Habari za Siasa

DPP amwacha huru Abdul Nondo

  MAHAKAMA ya Rufaa ya Tanzania, Divisheni ya Iringa, imeifuta rufaa ya Mkurugenzi wa Mashtaka nchini (DPP), kupinga uamuzi wa Mahakama ya Hakimu...

Habari Mchanganyiko

LHRC yaunga mkono upatikanaji katiba mpya baada ya 2025

  KITUO cha Sheria na Haki za Binadamu (LHRC), kimesema kinaunga mkono mapendekezo ya Kikosi Kazi cha Kuratibu Maoni ya Wadau wa Demokrasia...

Habari za Siasa

Mabadiliko Katiba, tume huru: LHRC watoa mapendekezo 14

  KITUO cha Sheria na Haki za Binadamu nchini (LHRC), kimetoa mapendekezo 13 kwa Kikosi Kazi cha Kiratibu Maoni ya Wadau wa Demokrasia...

Habari za SiasaTangulizi

Katiba mpya, Tume huru zavigawa vyama vya siasa

  MJADALA wa nini kianze kupatikana kati ya katiba mpya na tume huru ya uchaguzi, umevigawa vyama vya siasa, baada ‘ya kutofautiana misimamo...

Habari za SiasaTangulizi

Chadema yaligomea kongamano la TCD

  CHAMA kikuu cha upinzani nchini Tanzania cha Chadema, kimesema hakitashiriki kongamano la amani lililoandaliwa na Kituo cha Demokrasia Tanzania (TCD), kikidai hakioni...

Habari Mchanganyiko

Waliosambaza video za Prof. Jay akiwa ICU mbaroni

  JESHI la Polisi, Kanda Maalumu ya Dar es Salaam, linamshikilia Mkurugenzi wa Mtandao wa U-Turn, Allen Samwel Mhina na wenzake 13, kwa...

Habari Mchanganyiko

Watanzania 300 waondolewa Ukraine, waziri awapa maagizo waishio ughaibuni

  WATANZANIA takribani 300, wamefanikiwa kuondoka salama nchini Ukraine, kufuatia vita iliyoibuka nchini humo baada ya kuvamiwa na Urusi, tarehe 24 Februari 2022....

Habari Mchanganyiko

Hizi hapa sheria, kanuni za habari zilizorekebishwa mwaka mmoja wa Rais Samia

  WAZIRI wa Habari, Mawasiliano na Teknolojia ya Habari, Nape Nnauye, amesema katika kipindi cha mwaka mmoja wa Serikali ya Awamu ya Sita,...

Habari Mchanganyiko

Nape: Rais Samia ameirudisha Tanzania kwenye heshima yake duniani

  WAZIRI wa Habari, Mawasiliano na Teknolojia ya Habari, Nape Nnauye, amesema katika kipindi cha mwaka mmoja wa uongozi wake, Rais Samia Suluhu...

Habari za Siasa

Sheria ya kulinda data, faragha yaja

  WAZIRI wa Habari, Mawasiliano na Teknolojia ya Habari, Nape Nnauye, amesema maandalizi ya muswada wa Sheria ya Ulinzi wa Taarifa Binafsi, yako...

Habari za Siasa

Serikali yaokoa Bil. 236/- baada ya kushinda mashauri 451

  SERIKALI ya Tanzania, imeokoa kiasi cha Sh. 236.6 bilioni katika kipindi cha mwaka mmoja wa uongozi wa Serikali ya Rais Samia Suluhu...

Habari za SiasaTangulizi

NCCR-Mageuzi yakubali kushiriki mkutano TCD na Rais

  CHAMA cha NCCR-Mageuzi, kimetengua azimio lake la kutoshiriki mkutano wa Kituo cha Demokrasia Tanzania (TCD) na Rais Samia Suluhu Hassan, baada ya...

Habari

Lissu afunguka Chadema kujiunga Serikali ya Umoja wa Kitaifa

  MAKAMU Mwenyekiti wa Chama cha Chadema Bara, Tundu Lissu, amesema chama hicho hakiko tayari kujiunga na Serikali ya Umoja wa Kitaifa (SUK),...

Habari Mchanganyiko

69 mbaroni Dar kwa tuhuma za ujangili, wizi mtandao

  JESHI la Polisi Kanda Maalumu ya Dar es Salaam, limewakamata watu 69 wanaotuhumiwa kwa makosa mbalimbali, ikiwemo kukutwa na nyara za Serikali...

Elimu

Serikali yatoa muongozo waliokimbia shule kurejea

SERIKALI ya Tanzania, imetoa muongozo na utaratibu wa wanafunzi walioacha masomo kwa sababu mbalimbali, kurudi shuleni. Anaripoti Regina Mkonde, Dar es Salaam …...

Afya

800 wafariki dunia kwa UVIKO-19 Tanzania, wasiochanjwa hatarini

  WATU 800 wamefariki dunia kati ya 33,726, waliothibitika kuwa na Ugonjwa wa Virusi vya Korona (UVIKO-19) tangu kuripotiwa kwa kisa cha kwanza...

ElimuHabari za Siasa

Rais Samia ala kiapo elimu watoto wenye mahitaji maalumu

  RAIS wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan, amesema Serikali yake haitakubali mtoto wa Kitanzania akose fursa ya elimu kwa sababu ya kuwa na...

Habari za Siasa

Kuachwa huru kwa Mbowe: Askofu Mwamakula amtega Rais Samia

  ASKOFU Mkuu wa Kanisa la Moravian Uamsho Tanzania na Afrika Mashariki, Emmaus Mwamakula, amemuomba Rais Samia Suluhu Hassan, aruhusu mchakato wa upatikanaji...

Habari za SiasaTangulizi

Kuachiwa Mbowe: Shangwe zaibuka mahakamani, Kibatala afunguka

  SHANGWE zimeibuka katika Mahakama Kuu, Divisheni ya Makosa ya Rushwa na Uhujumu Uchumi, jijini Dar es Salaam, baada ya mahakama hiyo kufuta...

error: Content is protected !!