RAIS wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan, ametuma salamu za rambirambi kufuatia kifo cha aliyekuwa kiongozi wa kimila nchini Uingereza, Malkia Elizabeth II....
By Regina MkondeSeptember 9, 2022WAZIRI wa Habari, Mawasiliano na Teknokojia ya Habari, Nape Nnauye, amekumbushwa kutekeleza ahadi yake kuhusu marekebisho ya sheria zinazosimamia sekta ya habari,...
By Regina MkondeSeptember 8, 2022MBUNGE wa Buyungu, wilayani Kakonko, Mkoa wa Kigoma, Aloyce Kamamba, ameiomba Serikali itoe fedha kwa ajili ya ujenzi wa barabara inayounganisha mkoa...
By Regina MkondeJuly 27, 2022WAZIRI wa Afya, Ummy Mwalimu, amewataka wananchi wachukue tahadhari za kujikinga dhidi ya Ugonjwa wa Virusi vya Korona (UVIKO-19), kwani bado upo...
By Regina MkondeJuly 26, 2022JAJI Mkuu wa Tanzania, Profesa Ibrahim Juma, amewataka mahakimu wasijihusishe na masuala ya siasa, kwani yamepigwa marufuku na Ibara ya 113 A...
By Regina MkondeJuly 16, 2022WABUNGE Viti Maalum 19 wakiongozwa na Halima Mdee, wamekibwaga Chama cha Chadema mahakamani baada ya Mahakama Kuu, Masjala Kuu ya Dar es...
By Regina MkondeJuly 8, 2022MAHAKAMA Kuu ya Tanzania, Masjala Kuu ya Dar es Salaam, inatarajia kutoa uamuzi dhidi ya maombi yaliyofunguliwa na wabunge viti maalum 19,...
By Regina MkondeJuly 6, 2022KATIBU wa Itikadi na Uenezi wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), ametembelea ofisi za magazeti ya Raia Mwema na MwanaHALISI, ikiwa ni muendelezo...
By Regina MkondeJuly 5, 2022MKUU wa Mkoa wa Dar es Salaam, Amos Makalla, amesema fedha kiasi cha Sh. 4.5 bilioni, zilizotokana na tozo za miamala ya...
By Regina MkondeJuly 5, 2022WAZIRI wa Afya, Ummy Mwalimu, amesema Serikali ina mpango wa kuanza kujenga vyumba vya faragha vya kujifungulia, katika vituo vya afya vya...
By Regina MkondeJuly 5, 2022MAKUSANYO ya mapato ya Tanzania, kwa mwaka wa fedha ulioisha wa 2021/22, yameongezeka kwa kwa asilimia 22.77, kutoka Sh. 18.15 trilioni (2020/21)...
By Regina MkondeJuly 2, 2022MAWAKILI wa pande mbili (waleta maombi na wajibu maombi) katika kesi ya Halima Mdee na wenzake 18 wameibua mvutano Mahakamani ikiwa kama...
By Regina MkondeJune 30, 2022MAOMBI ya kuomba kibali cha kufungua kesi ya madai kupinga kuvuliwa uanachama wa Chadema, yaliyofunguliwa na wabunge viti maalum 19, wakiongozwa na...
By Regina MkondeJune 30, 2022JESHI la Polisi Kanda Maalum ya Dar es Salaam, linawashikilia watu 22, kwa tuhuma za kufanya uhalifu kwa njia ya mtandao. Regina Mkonde,...
By Regina MkondeJune 28, 2022BAADHI ya wabunge wameibana Serikali kuhusu mgawo wa ajira mpya za watumishi wa umma wa kada ya afya, katika maeneo yenye upungufu....
By Regina MkondeJune 28, 2022BALOZI mpya wa Urusi nchini Tanzania, Andrei Avetisyan, amesema nchi yake imejipanga kuja na mikakati ya kuimarisha uhusiano na ushawishi wake katika...
By Regina MkondeJune 28, 2022IKIWA vuguvugu la marekebisho ya sheria zinazosimamia sekta ya habari likizidi kuongezeka nchini Tanzania, wanahabari wamepaza sauti zao kuhusu uboreshwaji wa uhuru...
By Regina MkondeJune 20, 2022KITUO cha Sheria na Haki za Binadamu (LHRC), kimeipongeza Serikali kwa kuja na bajeti inayogusa maisha ya wananchi moja kwa moja, huku...
By Regina MkondeJune 17, 2022SERIKALI ya Tanzania, imetangaza mkakati wa kubana matumizi kwa mwaka wa fedha wa 2022/23, ili yaakisi ugumu wa maisha wanayopitia wananchi kufuatia...
By Regina MkondeJune 14, 2022WAKALA wa Usajili wa Biashara na Leseni (BRELA), umefungua zoezi la usikilizaji kampuni zenye migogoro na changamoto mbalimbali, kwa ajili ya kutafuta...
By Regina MkondeJune 13, 2022WADAU wa tasnia ya habari nchini Tanzania, wameshauri Sheria ya Makosa ya Mtandaoni ya mwaka 2015, ifutwe ili kutoa nafasi ya kutungwa...
By Regina MkondeJune 10, 2022SERIKALI ya Tanzania, imetangaza kusudio la kuwachukulia hatua watu pamoja na Mashirika Yasiyo ya Kiserikali (NGO’s), yanayochochea mgogoro wa ardhi katika Hifadhi...
By Regina MkondeJune 10, 2022MWENYEKITI wa Jukwaa la Wahariri Tanzania (TEF), Deodatus Balile, amesema wanaanda mjadala wa kitaifa kwa ajili ya kupata maoni na mapendekezo ya...
By Regina MkondeJune 2, 2022WAZIRI Mkuu wa Tanzania, Kassim Majaliwa amelitaka Baraza la Habari Tanzania (MCT), kusimamia vyema vyombo vya habari ili vitekeleze majukumu yake kwa...
By Regina MkondeMay 28, 2022WAKALA wa Usajili wa Biashara na Leseni nchini (BRELA), imetangaza kusudio la kufanya operesheni endelevu ya kuzifuta kampuni zinazokiuka sheria, ambapo zaidi...
By Regina MkondeMay 27, 2022RAIS Samia Suluhu Hassan, amepandisha viwango vya posho ya kujikimu katika safari za ndani za watumishi wa umma, pamoja na malipo ya...
By Regina MkondeMay 27, 2022DIWANI wa Kata ya Kawe, Mutta Rwakatare (CCM), aliyetoweka tangu Februari 2022, amepatikana akiwa katika hali ya ulevi kwenye nyumba ya rafiki...
By Regina MkondeMay 24, 2022CHAMA cha ACT-Wazalendo, kimeshauri mchakato wa upatikanaji katiba mpya uanze mara moja, huku kikitoa mapendekezo ya hatua nne za kuchukua kuelekea suala...
By Regina MkondeMay 23, 2022SERIKALI ya Tanzania, imeshauriwa kuanzisha mtaala wa elimu kuhusu usafiri wa anga, kwa shule za sekondari hadi kidato cha sita, ili kutoa...
By Regina MkondeMay 21, 2022RAIS wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan, ameridhia mapendekezo ya nyongeza ya mshahara kwa watumishi wa umma, ambapo kima cha chini kimeongezwa kwa...
By Regina MkondeMay 14, 2022RAIS wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan, amewataka watetezi wa haki za binadamu waache harakati zenye lengo la kupambana na Serikali bali wafanye...
By Regina MkondeMay 13, 2022MABALOZI wa nchi mbalimbali nchini Tanzania, wametumia sherehe za maadhimisho ya miaka 10 ya Mtandao wa Watetezi wa Haki za Binadamu Tanzania...
By Regina MkondeMay 13, 2022MTANDAO wa Watetezi wa Haki za Binadamu Tanzania (THRDC), wamempa tuzo maalumu Rais Samia Suluhu Hassan, kufuatia mchango wake katika uimarishwaji wa...
By Regina MkondeMay 13, 2022MBUNGE wa Ubungo, Profesa Kitila Mkumbo, ameishauri Serikali ifute kada ya maafisa elimu kata, ili kuziba changamoto ya upungufu wa walimu shuleni....
By Regina MkondeMay 10, 2022SERIKALI ya Tanzania, imewaita wadau wa Asasi za Kiraia kutoa maoni yao juu ya maboresho ya rasimu ya mpango kazi wa pili...
By Regina MkondeMay 10, 2022RAIS Samia Suluhu Hassan, amesema wanafunzi zaidi ya 3,000 walioacha masomo kwasababu mbalimbali, wamerejea masomoni baada ya Serikali yake kutoa muongozo wa...
By Regina MkondeMay 4, 2022WAZIRI wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Mhandisi Hamad Masauni, amempa siku saba Inspekta Jenerali wa Polisi nchini (IGP), Simon Sirro, adhibiti...
By Regina MkondeMay 4, 2022JESHI la Polisi Kanda Maalumu ya Dar es Salaam, linawashikilia watu wawili, kwa tuhuma za kuhusika na mauaji ya madereva wawili kisha...
By Regina MkondeApril 28, 2022MWENYEKITI wa Kamati Kuu ya Sensa ya Watu na Makazi, Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa amesema maandalizi ya zoezi hilo hadi kufikia jana...
By Regina MkondeApril 26, 2022WADAU wa vyombo vya habari nchini Tanzania wameshauri utafiti ufanyike kuhusu hali ya unyanyasaji wa kingono mahali pa kazi, ili kujua ukubwa wa...
By Regina MkondeApril 20, 2022MBUNGE Viti Maalumu, Stella Ikupa, ametishia kushika shilingi katika makadirio ya bajeti ya Wizara Ofisi ya Rais-TAMISEMI kwa mwaka wa fedha wa...
By Regina MkondeApril 19, 2022WIZARA ya Afya, imetangaza nafasi za ajira 1,650 za wataalamu wa kada mbalimbali za sekta ya afya. Anaripoti Regina Mkonde, Dar es...
By Regina MkondeApril 16, 2022NCHI ya Urusi, imeonya uwezekano wa dunia kukumbwa na baa la njaa, endapo vikwazo vya kiuchumi dhidi yake havitaondolewa haraka iwezekanavyo. Anaripoti...
By Regina MkondeApril 15, 2022RAIS wa Urusi, Vladimir Putin, anatarajiwa kuhutubia wakuu wa nchi za Afrika, ili kueleza msimamo wake juu ya kinachoendelea kwenye mgogoro wa...
By Regina MkondeApril 15, 2022MAKAMU wa Rais, Dk. Phillip Mpango, ameshauri kamati za amani ziundwe kwa ajili ya kutatua migogoro inayoibuka katika nyumba za ibada. Anaripoti...
By Regina MkondeApril 14, 2022JESHI la Polisi Kanda Maalumu ya Dar es Salaam, linamshikilia Latifa Bakari (33), mkazi wa Mabibo, kwa tuhuma za mauaji ya mtoto...
By Regina MkondeApril 12, 2022SENSA ya Watu na Makazi ya 2022, imepangwa kufanyika siku ya Jumatatu, tarehe 23 Agosti 2022. Anaripoti Regina Mkonde, Dar es Salaam…(endelea). Tarehe...
By Regina MkondeApril 8, 2022CHAMA Cha Mapinduzi (CCM), kimesema kimemsamehe aliyekuwa Mjumbe wa Halmashauri Kuu yake Taifa (NEC), Benard Membe na Abdallah Diwani, kwa kuwa wamekiri makosa...
By Regina MkondeApril 1, 2022Kituo cha Demokrasia Tanzania (TCD), kimesogeza mbele kongamano la haki, amani na maridhiano, hadi tarehe 4 na 5 Aprili 2022, sababu zikitajwa...
By Regina MkondeMarch 24, 2022MAHAKAMA ya Rufaa ya Tanzania, Divisheni ya Iringa, imeifuta rufaa ya Mkurugenzi wa Mashtaka nchini (DPP), kupinga uamuzi wa Mahakama ya Hakimu...
By Regina MkondeMarch 23, 2022